“NASEMA KAMWE HATUTAPIGA MAGOTI, TUMEONA VIHOJA VYAO”-WAZIRI KABUDI

  Рет қаралды 74,928

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 218
@mrphylophylo7842
@mrphylophylo7842 5 жыл бұрын
This guy bhana.......yupo vzur aisee
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 5 жыл бұрын
Katapeliwa na wakaenya juzi
@jamesmethuselafredrick6064
@jamesmethuselafredrick6064 5 жыл бұрын
Safi sana Professor Kabudi umenena vyema,
@dismasswai5838
@dismasswai5838 5 жыл бұрын
Big up Hon. Minister
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 жыл бұрын
Prof KABUDI KAPIGA 4-4-2 KUMBE MAKELELE YOOTE YALE HOFU KUWA HUYU NDIO KIUNGO hatari katoka team ya MAGUFULI
@petercheyo7255
@petercheyo7255 5 жыл бұрын
Dah hatari sana
@prospermakundi2787
@prospermakundi2787 5 жыл бұрын
Nalichukia Sana hili neno kuomba misaada,miguu mikono tunayo akili aridhi madini wanyama bahari gesi tunavyo,rasimali watu tupo.TANZANIA TUAMKE.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kuliongoza vyema taifa letu na raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
@goldengordian6835
@goldengordian6835 5 жыл бұрын
Bro...my Lovely Prof. Kabudi, U deserve 2b our next Presedent after our Presedent Dr. JPM kumaliza Muda wake wa Miaka 10.
@boniphacekasagamba465
@boniphacekasagamba465 5 жыл бұрын
We should need this professor Kabudi
@thieryniyonkuru1067
@thieryniyonkuru1067 5 жыл бұрын
Nina wivu kabisa kuwa inchi yangu haina mtu wenye uzalendo kama bwana Kabudi. Ana uzalendo, Ana hoja, anagusa historia na anaunyenyekevu sijaona. God bless kabudi👌👌👌☝️💪💪💪💪
@boniphacekasagamba465
@boniphacekasagamba465 5 жыл бұрын
Mungu akusimamie katika yote ayafanyayo
@asubuhiotieno2463
@asubuhiotieno2463 5 жыл бұрын
Kukosa skill ya tafakari night janga
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 5 жыл бұрын
Prof. Umenena kweli kweli,,,,si wapendi wazungu mm.
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 5 жыл бұрын
Ndo wanakulisha utakufa njaa wakavuta handbrake
@muammarghadaffi3554
@muammarghadaffi3554 5 жыл бұрын
Huwapendi wazungu na unatumia simu iliyotengenezwa na haohao weupe kucomment ushuzi wako hapa........ So stupid
@matingo-bk1248
@matingo-bk1248 5 жыл бұрын
@@muammarghadaffi3554 hajakuambia hawapendi watu weupe fala wewe, yeye anawazungumzia wazungu simu anayotumia sio ya wazungu
@kebo2155
@kebo2155 5 жыл бұрын
@@ericklyatuu1301 tunajilisha wenyewe...wazungu wanakulisha sumu...
@meshackmayenga969
@meshackmayenga969 5 жыл бұрын
Mtani wangu nakuheshimu sana, hakika upo vizuri. Mungu akujaalie.
@saidrubeya6415
@saidrubeya6415 5 жыл бұрын
Safi sana tunakukubali hao chadema wameuzwa.sasa shukuma ndani tuu wasije kulita machafuko kama libya.tunamkubali raisi wetu mwanzo mwesho.proff tunga sheria ya raisi akae miaka 7. Kwa awamo.raisi putti wa urusi wamemkubali na china mpaka akifa sisi tunashindwa nini?
@matingo-bk1248
@matingo-bk1248 5 жыл бұрын
I like this
@janeypheremmanuel9844
@janeypheremmanuel9844 5 жыл бұрын
nampenda kabudi
@husainabdu2676
@husainabdu2676 5 жыл бұрын
This is Tanzania 🇹🇿
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 5 жыл бұрын
Prof. Kabudi ni mzalendo wa kweli. Hakika anaitendea haki nafasi aliyoaminiwa kuiongoza na mara nyingi huwa anajitahidi sana kuitumia taaluma yake haswa katika kazi yake. Mungu aendelee kukuongoza daima.
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 5 жыл бұрын
Wape sindano hao
@aidanbugufi6200
@aidanbugufi6200 5 жыл бұрын
Mwanangu john mwaliko kabudi naona kazi yako iliyo tukuka
@juliankamugisha9886
@juliankamugisha9886 5 жыл бұрын
Kabudi unatisha Kura yangu unayo songa prof.
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 5 жыл бұрын
Prof. Kabudi yuko vizur sana huyu Baba ni mtaalamu sana anafahamu historia
@manyanyapeter4640
@manyanyapeter4640 5 жыл бұрын
Mh nimekuelewa sanaaaa
@barakazakayo3798
@barakazakayo3798 5 жыл бұрын
Najiskia fahari sana inchi ninapoishi nikishuhudi viongozi kama hawa wakilitumikia taifa.
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 5 жыл бұрын
Aghh Huyu Prof.kabudi is such a bold man yaani he talks like it's his last breathe yaani dahhh I wanna be him one day I will be a professor one day
@castatomatovu3362
@castatomatovu3362 5 жыл бұрын
wandera othumani I wanna be like him
@benmbwele
@benmbwele 5 жыл бұрын
I like the determination in you
@mashakalonka9407
@mashakalonka9407 5 жыл бұрын
Kiukweli huyu jamaa ni hazina ya taifa letu.Anazungumza mambo mazito ambayo twapasa kujifunza.Nashangaa hata huyo mbunge anayeomba utaratibu/mwongozo!.
@wilsonluzibila5695
@wilsonluzibila5695 5 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@michaelmrosso2106
@michaelmrosso2106 5 жыл бұрын
Kabud wew ni jembe baba 🔥🔥🔥
@enockosward5813
@enockosward5813 5 жыл бұрын
Fact of all
@fidesmassoyi9174
@fidesmassoyi9174 5 жыл бұрын
Nakukubali waziri wangu uko vizuri
@shaabanimasoud5686
@shaabanimasoud5686 5 жыл бұрын
mheshimiwa jazbar haita saidia nnchi tetea katiba mpya ulio icimamamia cheo kina kushusha sasa mheshimiwa
@shaabanimasoud5686
@shaabanimasoud5686 5 жыл бұрын
tuciwabeze wazungu allwa kawapa zaid ye2 wapo walokua najazba leo wako wp
@shaabanimasoud5686
@shaabanimasoud5686 5 жыл бұрын
unaweza uciione leo athar jazba ila baada miaka kazaaa ukakumbuka
@pantaleokulaya5308
@pantaleokulaya5308 5 жыл бұрын
big up our next president pmk
@judyngowi391
@judyngowi391 5 жыл бұрын
Kabudi upo juu
@joasitz9559
@joasitz9559 5 жыл бұрын
Salute Professor, proudly of my country. Piga kazi upo vizuri sana.
@yessecharles3155
@yessecharles3155 5 жыл бұрын
Magufuli aliona hichi kichwa jman dah kweli baada ya miaka. Mitano Tanzania itakuwa nchi kubwa sana jmn
@henryndosi3800
@henryndosi3800 5 жыл бұрын
Waambie hao vibaraka wa mabeberu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 5 жыл бұрын
Kweli awambie magamba wenzake wanaoenda kukopa kila kukicha.
@leinamwilongo6890
@leinamwilongo6890 4 жыл бұрын
Uuu
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 5 жыл бұрын
Hao chadomo watasubiri saana, na wale wanaomdanganya Tundu la choo bora wangemshauli aboleshe fani yake YA sheria siyo kuongoza tz
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san baba mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@allymkali
@allymkali 5 жыл бұрын
Nakukubali sana prof. Kabudi
@bonifacebenny2733
@bonifacebenny2733 5 жыл бұрын
I just like this bold prof... I love his love over the mama Tanzania.. naungana na wewe... my eyes always filled with tears when listerning to you prof P. KABUDI.. keep it up baba
@kelvinkimambo7534
@kelvinkimambo7534 5 жыл бұрын
Profesa makin sana huyu aisee anajua vitu
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Safi sana kabudi uko vizuri
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Tusi pige magot kwa tamaa ya hao vijana walevi chadema
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 жыл бұрын
Kweli
@kebo2155
@kebo2155 5 жыл бұрын
Kweli 💯 💯
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 жыл бұрын
Asikie tundu na wenzie.
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 5 жыл бұрын
Kabudi hajasema kuwa sheria nyingi za EU za ajira zinaweka mshahara mkubwa mwanaume kuliko mwanamke kwa kazi hiyo hiyo. Hatuna demokrasia ya kuiga huko, mashoga tu basi.
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 5 жыл бұрын
fuatilia tena alaf uje... hili suala yaonesha fika hulijui
@romeoromeo4125
@romeoromeo4125 5 жыл бұрын
@@jumajasjas2925 Mwambie mpuuzi uyo, mengi ya muhim hawaoni wanaleta hoja za kipuuzi na wala hazipo.
@exaurdkalongole1150
@exaurdkalongole1150 4 жыл бұрын
Prof itapebdeza saana 25 ampokee mheshimiwa magu akimakimaluza muda wake
@maulidibrahim9665
@maulidibrahim9665 4 жыл бұрын
Upo vzuri professor
@dennisstafford450
@dennisstafford450 5 жыл бұрын
Tundu lisu listen to inteligence guy professor John Aidan Mwaluko Kabudi
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 жыл бұрын
Thanks
@Gamba177
@Gamba177 5 жыл бұрын
Kabudi mwizi kaiba hela yetu ya korosho kibaka huyu.
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 жыл бұрын
@@Gamba177 hahahaaaaaaa.Pole sana
@chumizola1847
@chumizola1847 5 жыл бұрын
Akimaliza JPM kipindi chake, huyu Anafaa Kuwa Rais
@bernardmcabbeys9627
@bernardmcabbeys9627 5 жыл бұрын
Chumi Zola wazt siyo wajinga aisee
@williamhonest3156
@williamhonest3156 5 жыл бұрын
Mimi mwaka wowote ukigombea Mimi mapema naenda kupigia msitari nakupa mapema haki yako
@hoseakaponya5070
@hoseakaponya5070 5 жыл бұрын
Anafaa kuwa waziri wa ulinzi na siyo urais maana anaamini yake nakubeza ya wengine, anawachukia wazungu ila anapenda hela zao.
@hoseakaponya5070
@hoseakaponya5070 5 жыл бұрын
Halafu ananikera anapojaribu kuaminisha watanzania kwamba kuna vibaraka wa mabeberu bila kuthibitisha
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 жыл бұрын
Kweli namuomba mungu aliye hai ampe urais atakapo maliza muhura wake rais magufuli
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
sijui kama kuna mwenye uwezo kama huyu mzee
@emmanuelmhina95
@emmanuelmhina95 5 жыл бұрын
wapo japo wajapata nafasi
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 5 жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu wangu
@aidanbugufi6200
@aidanbugufi6200 5 жыл бұрын
Siku ukingombea uraisi nitafrahi sana
@evansignas3732
@evansignas3732 5 жыл бұрын
Yan hata kama hupendi SIASA kwa huyu mzee utavuna HISTORIA
@mansourynawab8923
@mansourynawab8923 5 жыл бұрын
Namkubali sana Pr. Kabudi
@gracegrace3087
@gracegrace3087 5 жыл бұрын
www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=www.energyvoice.com/oilandgas/africa/200694/panorama-investigates-10bn-bp-energy-scandal-in-senegal/&ved=2ahUKEwjMiOS30tDiAhWeXRUIHY1MBqkQxfQBMAB6BAgJEAQ&usg=AOvVaw2c4r_eBcD2NI7skZgLpQbf angalieni vile Africa inavyoibiwa kupitia viongozi wetu
@eliankya3272
@eliankya3272 5 жыл бұрын
Uko vizuri mzee wetu ukiona upinzani wa tz umekusifia lazima ujiangalie mara mbilimbili kitu kizuri kwao uwaga awakipendi kabisa
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 5 жыл бұрын
Vp korosho tumeuza au tumetapeliwa?
@omarykaita43
@omarykaita43 5 жыл бұрын
Umekuwa si tu waziri kwa serikali yetu bali pia umekuwa ni mwalimu wetu wa lugha yetu ya kiswahili
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Kaa chini bunju Huna kanuni bwege kanuni chadema hovyo 🐅🐅🐅
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 5 жыл бұрын
Bunju mamakooooo
@kiwangodaniel1302
@kiwangodaniel1302 5 жыл бұрын
Je aliyeshangiliwa Africa kusini ni Rais yupi?
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 жыл бұрын
Tanzania kwanza mengine baadae sema baba usiogope maana Taifa hili ni huru na sisi ndio wenyewe hakuna mwengine anaeweza kutuelekeza wanavyotaka wao
@alimasijuma8248
@alimasijuma8248 5 жыл бұрын
Wasomi wanazungumza mambo makubwa mazwazwa wanaomba utaratibu mwakajoka nenda ukasome
@alicksinkamba3401
@alicksinkamba3401 5 жыл бұрын
Level gan ya Elimu mwaka joka?
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukujalia afya njema mzidi kuiongoza Tanzania yetu
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 5 жыл бұрын
Mim nakujua toka kwenye maoni ya katiba ya warioba! Upo sawa balaa
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 3 жыл бұрын
I've come to love 💘 this man 💪
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 5 жыл бұрын
kati ya vichwa vichache vyenye upeo, watalipwa na Mungu..
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 5 жыл бұрын
Amina
@selemakilawa3969
@selemakilawa3969 4 жыл бұрын
Mm huwa najiuliza watu kama hawa mliwaficha wapi? Tz yetu ingekua mbali sana kongole Dr John pombe Magufuli kwa kumteua huyu ndugu mwazoni tulijua Lisu Ndio kiboko ya wanasheria kumbe yupo mwalimu wao na mtu mwenye historia kubwa ya nchi yetu Afrika na hata nchi za ugaibuni safi sana
@kimchi-91
@kimchi-91 4 жыл бұрын
Huyu ndo professor wa kuiga nchini tanzania,achana na wale maprofesa uchwara kama akina Lipumba.
@jislainyuda
@jislainyuda 3 жыл бұрын
Muheshimiwa uwepewe uwezo mwingi na nguvu
@255LK
@255LK 5 жыл бұрын
DUH LEO PARAMAGAMBA AMERUSHA MABOMU KINOMA NOMA. WAPINZANI HOIII!.
@boniphacekasagamba465
@boniphacekasagamba465 5 жыл бұрын
Wametepeta hawana issue
@emmanuelrobert7222
@emmanuelrobert7222 5 жыл бұрын
Nchi yangu nguvu ipo palepale Tuwe wazalendo
@nisilesimon6781
@nisilesimon6781 4 жыл бұрын
Hivi hao wanaomzomea huyo profesor uelewa wa mambo ni mdogo sana kwenye sheria palamagamba ni moto wa kuotea mbali
@balozidaud5092
@balozidaud5092 5 жыл бұрын
Huyu jamaa noma, na mimi mbona sijawai mskia m bunge wa arumeru akiongea hata siku moja, Gibson tulikuchagua utuwakilishe kwa kupeleka malalamiko bungeni tupate barabara nzuri umeme na kathalika,lakini tumeambulia patupu lakini mungu yupo pamoja nasi Amin
@selemakilawa3969
@selemakilawa3969 4 жыл бұрын
Hawa ni watu waliosomeshwa na mwalimu Nyerere waje waisaidie nchi yao ndo tunaowataka watu kama hawa sio wachumia matumbo natamani hata ungekuja kugombea jimbo letu la Kalenga
@jislainyuda
@jislainyuda 3 жыл бұрын
Iwe mwisho wakuburuzwa
@selemakilawa3969
@selemakilawa3969 4 жыл бұрын
Yaani ww ungekua na umri mdogo ilibidi uje kua rais mm nakuombea kwa Mungu uje uwe ata waziri mkuu ktk hii nchi
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 5 жыл бұрын
Baba umesema sana, hao wasio jielewa kazi kwao
@naymlip2956
@naymlip2956 5 жыл бұрын
Sio ukabila ila wakaguru tuko vizur kwenye maswala ya kiuongozi keep it up professor,, kudahaa
@leonardkigutu7190
@leonardkigutu7190 4 жыл бұрын
Profesa Kabudi ni mzalendo was kweli....nampenda sana..ukiipenda Tanzania na rais wetu Dr J Magufuli lazima nikupende sana.
@masuseleman978
@masuseleman978 5 жыл бұрын
Hii kichwa hii haito dumu na mzee jiwe..kama namuona mwaka huu hautobisha.
@kibogoyomasai4876
@kibogoyomasai4876 5 жыл бұрын
umejitahidi kutetea ugali wako, mzee kaa ukijua dunia ingekuwa na maprofesa km wewe sijui leo tungekuwa wapi
@msafirimwangamba5258
@msafirimwangamba5258 5 жыл бұрын
Tafta mwingne bas kama wwe mzee kabudi tukiwa nao wawil tu,inatosha sana kuisaidia nchi
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Prof. Wewe ni zawadi mojawapo Mungu aloyoitunuku Tanzania, asante kwa nia yako njema kwa nchi yetu
@billgussy6099
@billgussy6099 5 жыл бұрын
Watanzania ni wepesi sana kusahau kama kuku wa kienyeji juzi tu huyu mtu katapeliwa na mkenya yule mnunuzi feki wa korosho. Leo anaongea PUMBA tena kwa jambo lenye athari kubwa za kiuchumi kuliko za mugabe watu wana shangilia. Elimu elimu elimu.
@leonardmaganja9535
@leonardmaganja9535 5 жыл бұрын
Bill Gussy hukufunzwa maadili na mama yako, huwezi kumtukana mzalendo kama huyu hii inaonyesha unawezakuwa unamtusi hata baba yako!!
@billgussy6099
@billgussy6099 5 жыл бұрын
at a1 Yaan siku hizi mtu aki waambia UKWELI mna sena ni matusi. Mmeishiwa HOJA.
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
I wish aje kuwa raisi 2025
@AgnesAndrea-l3k
@AgnesAndrea-l3k Ай бұрын
Unastahili kuwa rais wa nchi
@alexjackson6608
@alexjackson6608 4 жыл бұрын
Uko vizuri mkuu
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 жыл бұрын
huyu jamaa ni muungwana sana
@michaelcheyo3903
@michaelcheyo3903 5 жыл бұрын
next President
@PH-hg2vn
@PH-hg2vn 5 жыл бұрын
Ki ukweli Professor Kabudi ni msumari wa inch 6, unafaa sana mzee wetu, Mungu akubariki sana
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Chadomo.leo ziiiiiiiii
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Na kweli si Chedema ni CHADOMO 👅, hujakosea Rosemary Msulwa 😁😁
@charlesbarongo6922
@charlesbarongo6922 5 жыл бұрын
Kazi bado tunayo!
@johnsonjulius7832
@johnsonjulius7832 5 жыл бұрын
I really appreciate this man
@godfreymollel6903
@godfreymollel6903 5 жыл бұрын
Hivi huyu Pr Kabudi ndio yule yule wa Katiba mpya ya Warioba?
@Mwalusamba-tu2ix
@Mwalusamba-tu2ix 5 жыл бұрын
Hahaaaa ndio yule yule bro na mwenzie pole pole
@ngwandujoseph2155
@ngwandujoseph2155 5 жыл бұрын
Umetisha
@sabihimngetuka6971
@sabihimngetuka6971 5 жыл бұрын
Wewe kweli ni mwalimu piga msasa
@mo-tm6sr
@mo-tm6sr 4 жыл бұрын
Chumaaaa
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 жыл бұрын
safi cn mzee wangu
@jacksonmollel7940
@jacksonmollel7940 4 жыл бұрын
I believe you
@ernestjoseph7593
@ernestjoseph7593 5 жыл бұрын
Sasa Angela Merkel, sii ni zaidi ya speaker?
@jumakatema6348
@jumakatema6348 5 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@yohanabillges6131
@yohanabillges6131 5 жыл бұрын
Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
@bantuisolele2543
@bantuisolele2543 5 жыл бұрын
Naam
@alexjackson6608
@alexjackson6608 4 жыл бұрын
Hivi mnaonaje wakuu tukimuachia mrs kabud agombee kiti cha urais . Kama unakubaliana na hii hoja piga like yako hapo
@omarwahab7191
@omarwahab7191 4 жыл бұрын
I love so March prof Kabudi wallah nikikusikiliza ww napata raha sana
@jallyhill1884
@jallyhill1884 5 жыл бұрын
Safi sana mzee minakukubali sana wewe nimsomi kupitiliza minaamini wewe ndie tanzania mh magufuli amekuweka pahalapake unapo sitahili kuepo hiyo sehem naamini mh rais anaumizwa sana nawewe hapo uliopo mana hapo ulipo hakutaka uwe hapo mana yeye alitaka uwejuu ya hapo lakini hana budi unamsaidia sana kazi unauwezo mkubwa BABA.
@subiramohd885
@subiramohd885 5 жыл бұрын
Mungu Akubark sana Waziri.Akukinge na Uwadui wa wasiokupenda.ila mimi Nakuombea Duwa kwa Mungu lnsha Allah Atakulinda kwa Uwezo wake Allah
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 5 жыл бұрын
Kabudi msaidie mh,rais akika MUNGU kaitendea kweli Tanzania nasema Amina
@carentemu9141
@carentemu9141 3 жыл бұрын
Ukovizur
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 301 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
PROF KABUDI ATAJA VIFUNGU VYA BIBLIA AKIAPISHWA IKULU DODOMA
20:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA
21:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
Palamagamba Kabudi: A united Kenya means a united East Africa
24:11
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,2 МЛН
PROF. KABUDI AWACHANA WAANDISHI "HAMNA UWEZO NAWAAMBIA UKWELI"
14:52
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
URAIA PACHA TANZANIA
1:29:43
Clarence Msuka
Рет қаралды 30 М.