Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda

  Рет қаралды 301,692

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Bunge lilimepitisha mapendekezo ya mapato na matumizi ya wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2017/18 huku waziri mwenye dhamana Prof Palamagamba Kabudi akitumia muda mwingi kutoa somo la sharia bungeni.

Пікірлер: 247
@thegreatsource2953
@thegreatsource2953 4 жыл бұрын
Mbona sisikii "Taarifa Mheshimiwa Mwenyekiti" 😂😂😂😂 Watu wanaogopa kuumbuliwa na Professor🤣🤣🤣 Kama unamkubali Professor Kabudi, Gonga like twende sawa!
@hajiramadhani2699
@hajiramadhani2699 3 жыл бұрын
Kawaida ya sheria za bunge waziri anapoongea mbunge haruhusiwi kutoa taarifa wala muongozo
@jacksonwillson4369
@jacksonwillson4369 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄
@normankusalula5770
@normankusalula5770 26 күн бұрын
Mvutano wa bashe na mpina ulianzia wakati waziri bashe anaongea na mpina akatoa taarifa, spika akaruhusu taarifa kutolewa. Unatudanganya wewe au spika alikua hajui kanuni?​@hajiramadhani2699
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Wanaofuatilia speech za Mh.Kabudi baada ya BBI Kenya tujuane.
@nicholasmaina7775
@nicholasmaina7775 4 жыл бұрын
Huyu waziri anafaa awe rais wa Africa mashariki he is a great Man I like him very much
@eng.lameckkagaali4814
@eng.lameckkagaali4814 4 жыл бұрын
Í
@isaacmboya1719
@isaacmboya1719 3 жыл бұрын
Isaac mboya naomba mungu anisaidiie kumuelewa professor kabudi
@isaacmboya1719
@isaacmboya1719 3 жыл бұрын
Watu kama kabudi walikuwa wapi
@isaacmboya1719
@isaacmboya1719 3 жыл бұрын
Kumbe shida ni uelewa wetu nikiwemo na mimi profferser unastahili heshima upewe aman ya moyo appreciate that we fight because we differ in our level of understanding proffer never give up tupo tayari kujifunza
@mkomatembo
@mkomatembo 6 жыл бұрын
Safi sana Profesor Kabudi Waziri wa Sheria Wafungue macho wailewe Sheria na Unaifahamu Kinagaubaga. Upo Vizuri. Sana. Hata Wabunge Wa Upinzani Wanakuitika kwa Heshima na Adabu.
@romanstephen4101
@romanstephen4101 6 жыл бұрын
Huyu Prof. Namkubali sana, ni moja kati ya watu muhimu sana kwa taifa
@kalingamazda
@kalingamazda 3 жыл бұрын
profeosor wa majalalani
@mussasadick770
@mussasadick770 Жыл бұрын
Wanasheria wengi watanzania hawaijui Sheria bali wengi ni madalali
@MoshiMganza
@MoshiMganza Жыл бұрын
​kalingamazdap😊
@MoshiMganza
@MoshiMganza Жыл бұрын
P
@philipobenson1410
@philipobenson1410 5 жыл бұрын
Kabudi ni jembe sana, nachompenda huyu mzee ni kwamba huwa anatoa elimu kwanza ndo naenda kwenye hoja.
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 6 жыл бұрын
Nimejiona niko darasani uko vizuri mimi nikati ya watu nisiopenda wanaoongea kwa sauti bali HOJA na WELEDI Mzee uko vizuri....
@nyamwizajoseph6241
@nyamwizajoseph6241 5 жыл бұрын
Newborn Haule asate
@augustinomariano1764
@augustinomariano1764 7 жыл бұрын
hapa ndipo unapojua kuna wazee wengine wapo mle bungeni wakubwa miili tuu, yani vitu muhimu vinaongelewa na kutolewa elimu bado WANABEZA yani kuna wamama wanapiga tu kelele hapa ndipo unapojua kuna waheshimiwa wengine their level of appreciation of issues is DIMINISHING...
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
augustino Mariano yuko vizuri sana
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
augustino Mariano mimama mingine inapiga kelele kama wako bar ya mbege
@nyabittanervar1315
@nyabittanervar1315 6 жыл бұрын
Ni kati ya Mawaziri bora wa Sheria waliowahi tokea Tanzania''' wengi wanasoma sharia ila kupambanua wengi hawewezi'''''
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 жыл бұрын
Wanadhani kubaghazana ndio kushinda hoja au kuonekana kuwa umeongea. Ahsante sana Pro. Palamagamba. Longalonga za hovyo zinaweza kupungua na hawa watu kuheshimiana.
@isaacbhudoma8750
@isaacbhudoma8750 4 жыл бұрын
The living encyclopedia 😘😘
@hasionshekiondo6680
@hasionshekiondo6680 4 жыл бұрын
prof kabud ni mtu mwenye hekma zake na mtu anaefanya kitu ambacho anakitambua ila kuna wengine humoo acha tukae kimya wanakaz ya kushangilia na kupiga makosi alafu ni 0 tu
@mikelmasanja2522
@mikelmasanja2522 5 жыл бұрын
Halima mdee kama namuona vile alivyonywea kisura kimekuwa kidogo kama piritoni huyo ndiye professor wa Sheria na mwalimu wako tulia ujifunze usiwe unapiga kelele tu.
@mariethaawaki3008
@mariethaawaki3008 7 жыл бұрын
sina la kuongeza,heshima kwako mzee tunakuombea na uendelee kutuelimisha
@ConrardSondas
@ConrardSondas 4 жыл бұрын
Profesa uko vizuri
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Kama ibara ya 8 ya katiba ya URT inaheshimiwa watekelezewe matakwa ya katiba ya umma ( katiba watakayoshiriki wote kuitunga na kuipitisha kwa umoja wao). Maneno huumba. Tuombe Mungu Mh Prof uyaone ungali hai.
@andreajeremia436
@andreajeremia436 5 жыл бұрын
Yaani Prof Kabudi ni kichwa kweli kweli,ni mtu mwenye historia ya nchi hii ya ndani sana,na anayethubutu kuisema
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 4 жыл бұрын
Huyu professor huwa anaongea kwa KUWAFUNDISHA HAKIKA NI PROFESSOR 🔥🔥🔥🔥
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 3 жыл бұрын
Hivi Ni vichwa vichache vilivobaki Mungu akulinde vema
@josephkaimenyi4613
@josephkaimenyi4613 3 ай бұрын
Uyu proffesor anafaa akue Rais wa tanzania
@sabihimngetuka6971
@sabihimngetuka6971 6 жыл бұрын
Ukiona kimya vitu vinaingia
@allymllanzi4245
@allymllanzi4245 6 жыл бұрын
Natamani siku moja nikutane na pro kabudi
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Nimerudi hapa baada ya kuona huyu ndo anafaa kuwa makamu wa raisi Tanzania baada ya jpm kulala.
@nicholasmaina7775
@nicholasmaina7775 4 жыл бұрын
Tanzania you have a great Man very smart and a teacher he is a true leader
@deogratiuswilson8994
@deogratiuswilson8994 7 жыл бұрын
Tunahitaji watu kama hawa bungeni, sio vinginevyo.
@majurakiboga3430
@majurakiboga3430 7 жыл бұрын
Deogratius Wilson broo inabid aserch wengine tena ktk profession zingne ili kila wizara kuwe na kichwa
@ahmedjamal5084
@ahmedjamal5084 7 жыл бұрын
Prf nakuheshim saaaaaaaana hii hotuba nairudia nakurudia umetoa elimu kubwa mno
@mashakamarikomalyante243
@mashakamarikomalyante243 6 жыл бұрын
huyu kweli ni msomi
@richifrenki135
@richifrenki135 5 жыл бұрын
Mzeeee uko safiiiiiiii wape mawee wakarambaa hoo
@samwelmaburi3522
@samwelmaburi3522 5 жыл бұрын
Kwa huyu jamaa tu hata lisu akasome yaan ni zero brain.!!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 жыл бұрын
Wabunge vilaza wanatumia madesa ya pale kwenye mdigirii.. wanakopi tu..!
@nelibaba
@nelibaba 7 жыл бұрын
Tanzania inaelekea mahala pazuri
@petrolukumay6627
@petrolukumay6627 6 жыл бұрын
hongera mzee
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 5 жыл бұрын
huyu ni rais ajae
@sudidoto9759
@sudidoto9759 3 жыл бұрын
Wenye akili wote wanaomkubali huyu jamaa like apo jmn
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 3 жыл бұрын
Msidhani Raisi ni binadamu mmoja anayetembea la hasha ! Raisi ni Taasisi imekaa vyema mno
@chia9963
@chia9963 7 жыл бұрын
hiki nacho nikichwa
@majurakiboga3430
@majurakiboga3430 7 жыл бұрын
Chia sana
@noelchao292
@noelchao292 3 жыл бұрын
Tena kichwa kikubwa sanaaa
@mariethaawaki3008
@mariethaawaki3008 7 жыл бұрын
uprofesor wako ni wa halali.
@josephjosephat7826
@josephjosephat7826 5 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaaaa !!!!!!!
@tonynuru435
@tonynuru435 4 жыл бұрын
NOW NDO NIMEPATA JIBU KWANN MUUNDO WA BENDERA YETU YA TAIFA INAFANANA NA MUUNDO WA NCHI YA TRINIDAD AND TOBAGO 🇹🇹🇹🇹 !!
@issayamshana3750
@issayamshana3750 3 жыл бұрын
Samahan tutafutane 0744412614
@barakangogo7391
@barakangogo7391 7 жыл бұрын
paramagamba anatisha kuna wabunge wanasheria walikuwa wnapotosha uma
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 жыл бұрын
Sababu ya madesa ya pale kwenye mdigirii.. wanakopi tu..!
@bobwanjala1401
@bobwanjala1401 4 жыл бұрын
Profesa Kabudi Palamagamba ni msomi na ana ustadi ya hali ya juu. Umakinifu wake haulinganishwi na yeyote. Mzee amekalia kigoda, mtii. Kongole kwako guru Kabudi. New York, Marekani tuko nawe mwalimu.
@ufunuoeliya7868
@ufunuoeliya7868 5 жыл бұрын
jamaaa Kichwa duu
@nkyabosi4827
@nkyabosi4827 4 жыл бұрын
Yani mpaka spika anatabasamu hi ni lecture kweli
@jumakatema6348
@jumakatema6348 5 жыл бұрын
Rais ni tasisi. huyu mtu sio wa kawaida
@benbranco3688
@benbranco3688 4 жыл бұрын
akiongeaga huyu hakuna cha taarifa ha ha ha ha
@lupakisyomsese8210
@lupakisyomsese8210 6 жыл бұрын
Baba kiukweli unaimudu nafasi uliyopewa
@sdawalokole9489
@sdawalokole9489 7 жыл бұрын
kubaghazana.........kabudi oyeeeeeeee
@majurakiboga3430
@majurakiboga3430 7 жыл бұрын
Tigahwa Mugongo lissu na wanasheria uchwara vichwa chini
@jumadema7646
@jumadema7646 5 жыл бұрын
Wape shule hao jamaa zetu!
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 5 жыл бұрын
Mungu Akubariki kwa somo ulilosaidia Wabunge siku hii, Mimi nimekuwa muumini wa kukufuatilia speech zako I guess utakujakuwa zaidi ya Msaada kwa nchi yetu, Heshima kwako Kiongozi.
@samwelmaburi3522
@samwelmaburi3522 5 жыл бұрын
Kwa huyu jamaa tu hat lisu akasome.
@frankmusa808
@frankmusa808 9 ай бұрын
Taarifa mweshimiwa
@florafilbert9817
@florafilbert9817 5 жыл бұрын
Ndo raha ya kuwa na wasomi
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 5 жыл бұрын
Kabudi unajua
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw Ай бұрын
Sema Baba, Prof Palamagamba. Mm ninafahamu kuwa kila taaluma in principles zake na code of conducts. Bungeni ni Mahali makini sana, ni LAZIMA waheshimiwa waongee kwa MANTIKI ya UHESHIMIWA.
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw Ай бұрын
Longalonga yani sema sote tuelewe vema. Wengi wamezoea kuongea kwa MIHEMKO badala ya HOJA , na hoja LAZIMA ziwe na FACTS na SMART.
@hassanhasano6201
@hassanhasano6201 6 жыл бұрын
Safi professor wape elimu waelewe
@phillipianboy9069
@phillipianboy9069 4 жыл бұрын
Kutoka kenya mpaka bungeni nimetokea kumkubali sana huyu prof hatare
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 3 жыл бұрын
Jamaa anatosha kua naibu rais wa tz
@emanueljoshua9393
@emanueljoshua9393 5 жыл бұрын
Aaah muzee wewe material
@shedeck8974
@shedeck8974 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua aisee...
@paulotarimo206
@paulotarimo206 3 жыл бұрын
N kiongozi mzuri Sana
@samwelmaburi3522
@samwelmaburi3522 5 жыл бұрын
Tanzania one kabudi bigup sanaa!!!.
@levinekalikuela4916
@levinekalikuela4916 4 жыл бұрын
Thank you sooo much Professor. You are at the point. What is lacking in the country is poor education and Spirit of humour among the people. Educate and Train them. We shall be transformed. Congratulations for your brain.
@abdulkarimurassa3548
@abdulkarimurassa3548 5 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko makini sana, uprofessa wake ni wa uhakika
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 2 жыл бұрын
Kwahiyo wengine sio wa uhakika?
@kiwisesenior4273
@kiwisesenior4273 6 жыл бұрын
uko vozuri saana waziri
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 3 жыл бұрын
Hv haowabunge waupinzani huingia bungeni wakiwa wamelewa? Au ilimladi wapate posho?
@jumamavind7713
@jumamavind7713 3 жыл бұрын
Profesa Kabudi nijembe jingine la watanzania,tumtumie vizuri
@isaacmboya1719
@isaacmboya1719 3 жыл бұрын
Asante baba unastahil heshima kumbe shida, ni uelewa wetu nikiwemo na mimi I appreciate that we fight because we differ in the Level of understanding
@kamejathegreat689
@kamejathegreat689 6 жыл бұрын
aiseee,,waziri kabudi uko makini, vizuri sana
@harunilibangite7205
@harunilibangite7205 3 жыл бұрын
Sasa waziri wa mambo ya nje ni nan kama huyu ni wa katiba na sheria tena !!!??
@fkilawa
@fkilawa 2 жыл бұрын
Unajua saaana una akili saaana lakini unajua kuhadithisia saaana
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
tuna wabunge wengi hawana uelewa kabisa wa katiba, safi Jpm kutuletea wasomi humu, sio porojo
@redmondmulilo174
@redmondmulilo174 6 жыл бұрын
iyo nafasi ya waziri mku angegombea ichocheo cha uwaziri mku ndani ya bunge kama sipa alafu awemtendaji kweli wa serikali. make mda wowote anafukuzwa kazi na rais. alakini sipika wa bunge hawezi kufukuzwa kazi na rais
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Pengine Afrika ndio viongozi wamebaki na wapambe wanajeshi waliovaa magwanda!
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
"Ibara ya 8 ya katiba ya URT wananchi ndio mamlaka ya nchi sio sisi wah wabunge"
@salumtalib2344
@salumtalib2344 3 жыл бұрын
Unaongea English hill binge in lawasuwahili usijione umesoma we ongea lugha yako usichanganye lungs mbili wakati moja ones lugha moja iwe English au kiswahili mm nnakwita mzee was nasari wewe
@nkyabosi4827
@nkyabosi4827 4 жыл бұрын
Damn he’s a true professor
@MohdAbdallah-w8l
@MohdAbdallah-w8l 7 күн бұрын
Kuanzia Leo huyu ni rais wa tz nimemchagua staki ubishi mwamba Yuko sawa
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 Жыл бұрын
Hiyo katiba nihovyo sana kwanza imepitwa nawakati kwasasa haitufai kabisa
@mgosimungkwanzmsambaa2492
@mgosimungkwanzmsambaa2492 2 жыл бұрын
Yan huyu plo nikichwa magufuli uliona mbali san baba wet kwakuwatambua wat kama kabudi
@sudidoto9759
@sudidoto9759 3 жыл бұрын
Vp mbn siskii hoja pemben uko mdee vp ingia mziki wa jamaa uyo Hahahahaha
@danielonline3181
@danielonline3181 4 жыл бұрын
Namwona tundulusi anavyo ilivyo ikubali hiyo spich
@benochengele2296
@benochengele2296 4 жыл бұрын
You were there When the Law was Law and when the President was President!
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 3 жыл бұрын
Yani Mh Kabudi anapoongea Huwa napata Nondo na historia ya nchi yangu watoto wa Mh Kabudi Wana Raha sana ya kujua nchi yao na nahisi Kama watoto wa Mh Kabudi wangekuwa wapinzani Kwa Nondo za baba yao CCM wangepata shida.
@ntegrity277
@ntegrity277 Жыл бұрын
Darasa la saba ni walewale wanataka professor anyamaze ili wapige makofi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 жыл бұрын
Serkali ishauriwe, isimamiwe na wabunge hapo bungeni kwa kupitia waziri mkuu na baraza la mawaziri na si vinginevyo. Madaraka ya Rais yaheshimiwe. Acheni kubaghazana, tusubiri kura toka kwa wananchi zituingize Ikulu. Tusitoane macho Ona CUF sasa wanavunjana miguu, tunaenda wapi jamani!!!!!!!!??????
@charlsmwamlima6767
@charlsmwamlima6767 4 жыл бұрын
Hahaa hahahaa, wabunge wametoa tu macho historia hawaijui, terminologies za mzee ziko sawa sawa kwa kwel kama ndio degree za kuunga unga na vyeti feki hapo unaachwa solemba
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Sikuhizi hata mwenyekuti wa kijiji anakuwa na mpambe!
@romeraphael6472
@romeraphael6472 5 жыл бұрын
Naonaga unaongea points sana sijui ni nini adi naisi unazungumza ukwel mm sio mwana CCM
@zebedayophilimon7834
@zebedayophilimon7834 3 жыл бұрын
Kumbe jamani kabudi ni jembe Kia's hiki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@eliusjohn3242
@eliusjohn3242 2 жыл бұрын
Nimemsikia msukuma anapatikana😅😅😀
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
"Don't dare me we spoke when the law was law and the president was the president ( Mwl Julius Nyerere)."
@sundayharris8549
@sundayharris8549 4 жыл бұрын
tulieni mfundishwe bure... maana yake wengi hampo vizuri kisheria.
@busegamediatanzania
@busegamediatanzania 5 жыл бұрын
Embu sema Palamagamba Kabudi
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 4 жыл бұрын
Daah nondo nzuur saan hasa kwa walimu wa uraia,civics na general study
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 5 жыл бұрын
Heshima kwako Prof. Unastahili nafasi hiyo uliyonayo. Mungu akupiganie
@nuhubalandya9164
@nuhubalandya9164 6 жыл бұрын
Mzee uko vzr sana Leo nimekuelewa.
@ConfusedDaisies-rb5
@ConfusedDaisies-rb5 7 ай бұрын
Safi sana prof
@vstvst3135
@vstvst3135 3 жыл бұрын
Kabudi for president.
@BLESSblessing1
@BLESSblessing1 4 ай бұрын
Kwanini wanamuacha nje huyu mtu
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Umenifundisha kitu pro.Kabudi
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 5 жыл бұрын
Your level of appreciation of issues is dimished
@atukuzweluhanga7401
@atukuzweluhanga7401 5 жыл бұрын
Hao ndo wazee wenye busara
@bellutbellut3049
@bellutbellut3049 3 жыл бұрын
Prof Kabudi anafaa kuwa makamu wa Rais wa Tz .
@thefeedstv9762
@thefeedstv9762 4 жыл бұрын
we spoke when the law was low and when the president was president
@richardkamenya3228
@richardkamenya3228 7 жыл бұрын
Ili kuweza kufukikua hatua yoyote ile ya mafanikio ni muhimu kufahamu kanuni au sheria za asili zinazotawala matokeo unayotarajia na kufahamu historian ya jambo lolote ni muhumili mkuu was kujenga hoja zenye mashiko tujenge tabia yakusoma ili kujenga hoja zenye mashiko Big up My Role Model Pro Kabudi
@shalomizrael667
@shalomizrael667 3 жыл бұрын
Sijuwi kwa nini JPM hakukuweka wewe kuwa makamu wa Rais 😔Sasa hivi tusingekuwa na majonzi endelevu😢Chukuwa fomu hapo mbele 🙏
@henrickchambilo4806
@henrickchambilo4806 5 жыл бұрын
Naelewa professor
DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA
21:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Waziri Ashindwa Kujizuia  "Nitaleta Marks Zenu Hapa"
14:04
Global TV Online
Рет қаралды 330 М.
URAIA PACHA TANZANIA
1:29:43
Clarence Msuka
Рет қаралды 30 М.