Wimbo huu ukiusikiliza Kwa utulivu na kwakumaanisha unakupeleka viwango vikubwa na Mungu atakujibu Kwa wakati mbarikiwe wote Kwa wimbo mzuri 03/01/2025
@happydonald2274 ай бұрын
Wimborne huu umekuwa faraja sana kwangu
@MichaelKingazi-wm7xj6 ай бұрын
Walter mungu.akutunze sana,kazi yako nia.njema sana, Amen
@margarethmonjesa79832 жыл бұрын
😍😍😍
@danielorango58757 жыл бұрын
BWANA YESU ndiye msaada na tumaini la kweli kwetu wateule wa MUNGU. Nashukuru kwaya ya Tumaini Shangilieni St. James
@amosnyanda11604 жыл бұрын
Huwa najiulizatu kwa mawazo yangu ya kibinadamu kuwa, kama duniani tunaimba nyimbo nzur kama hivi na wapiga vyombo wanapiga kwa mpangilia ulio bora namna hii , je ? Mbinguni itakuwaje nyimbo za huko na vyombo vya huko ambavo Mungu kavitengeneza mwenyewe spat picha, Mungu nisaidie nisije nikakosa hufika😭😭😭
@emanuelmoshi74145 жыл бұрын
Ninamngoja kwa furaha...... Fadhili zake ninkubwa sana kwangu... Ni mwaminifu kwa neno lake...
@happymsaki17203 жыл бұрын
Namngoja Yesu kwa Furaha atanijibu hata ktk hili 03/12/2021
@isaackivuitu8575 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo sana...abarikiwe mtunzi na waimbaji wote kwa ujumla.
@isaiahsitati60076 жыл бұрын
This song....I listen to it every morning.Our Lord for sure answers our prayers.Be blessed ST.James
@ellichrissjohn53045 жыл бұрын
Hunisikiliza bwana Yesu nikimuomba Sina Shaka..hunijibu kwa wakati🙏
@happymsaki17203 жыл бұрын
Hakuna Rafiki kama YESUUU
@juliemulupi14534 жыл бұрын
Hunijbu kwa wakati, hachelewi Mwaminifu..... Atanijibu
@Chekibobu6 жыл бұрын
This Song! Mai Mai Mai
@Oncer-xe1gr6 жыл бұрын
Amina Hachelewi ni mwaminifu
@annaa.kijanjali79684 жыл бұрын
Huu wimbo ni mpya kila siku🙏🙏
@makuratantirenganya54884 жыл бұрын
God bless you a lot
@neemathomas88977 жыл бұрын
mbarikiwe sana tumain
@emanuelmoshi74145 жыл бұрын
Hii song ni hatari tupuuu..... Kila nikisikiliza napata kitu kipyaa