Mashaa-Allah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
@chunaamina87193 жыл бұрын
Shekh izzu din mashaallah Allah akupe umri mrefu, wallah mawaidha yako yatuingia akilin, I wish ungekua kwa compen 2022 (Sheikh izzu din for president) kura yangu unayo
@hamismasoud83065 жыл бұрын
Huyu mtu namkubali sana aisee Allah amjalie maisha marefu yenye tija InshaAllah.
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
Amiiin Amiin
@chunaamina87193 жыл бұрын
Aamn
@abdulmohamed62412 жыл бұрын
Amin
@zakiazakia45525 жыл бұрын
Nafaidika na mafundisho Alhamdullilah ALLAH anijalie moyo wakutenda mema daima
@حليمهال-غ1ظ5 жыл бұрын
Baraka llah wamashaa Allah fiyka Yaa Ukhti lkariim. Allah akutakabalie duayako
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah Allah atupe wepec na watto wetu amen
@rojalule91995 жыл бұрын
Masha Allah Allah barik ya Akhiiy kwa mafundisho mazuri
@sarahlitho83315 жыл бұрын
😂😂😂😂😂duuh nampenda huyu shekhe jamani Allah akupe maidha marefu
@abdullathabithemed93775 жыл бұрын
Mnh
@ماندوماال5 жыл бұрын
Mungu ndie hakimu! Kwasababu wengine wanaishi maisha magumu, wazazi hawana uwezo hata chembe, hususan mijikendas nibalaa tupu, unaishi na baba na mama unalala njaa unaamka asubui hakuna kitu , mavazi yenyewe ni shida hata mbele ya wazazi ni aibu ,ila Allah awasamehe wote walozaliwa nnje ya ndoa inshaAllah yaarab ☝
@asyaluay57875 жыл бұрын
Walozaliwa nje ya ndoa wana makosa gani?
@fatmasaloum18215 жыл бұрын
Walozaa nje ya ndoa usiseme walozaliwa, walozaliwa hawana makosa
@OfficialJouma5 жыл бұрын
asya luay hawana makosa.
@OmaryMustapha-ho7bk3 ай бұрын
Napenda saana unavo elimisha shekhe izzu dini
@shakilamasoud89795 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe kila lakher shekhe...uendelee kututoa gizani
@hafidhaadan95465 жыл бұрын
Kwa mwenye hayuko kwa ndoa adhabu ni viboko mia moja na mwenye ako kwa ndoa adhabu yake ni kupigwa mawe.
@shammusfredy41585 жыл бұрын
Kwa hapa anakutia gizani
@baravaniboyomar40065 жыл бұрын
Kweli sheikh hata mate huwezi meza kibahati mbaya hahahaha
Huyo anamakosa usiikurubie huyo nimzinifu Sheria inasemaje 😂
@vuaipanduhaji36815 жыл бұрын
Unanichekesha sheikh na wala si mambo ya kucheka 😂😂😂 eti hakuna bahat mbaya.. swadakta sheikh
@fatmaomar29965 жыл бұрын
Hii
@ummygongo20034 жыл бұрын
Allh akupe umri mrefu kama nambr ya vocha
@hawaabubakar26195 жыл бұрын
Haha sheikh ati mme amuongeze juu mimba nyigine haha jazakAllah Kher kwa mawaidha from saudi Arabia
@saidtwahir96165 жыл бұрын
Kama ni suala kuhusu ndoa Q 24:3 , Allah asema "mume mzinifu haowi ila mke mzinifu au mshirikina, na mke mzinifu haolewi ila na mume mzinifu au mshirikina. Na kwa walio amini hayo ni haramu." Sasa tuzingatie ikiwa ALLAH asema ni haramu kwa muumini kufunga ndoa na mzinifu au mshirikina vipi twazikiuka dalili zake Mola kwa kuhalalisha aloharamisha??? Pili Q2:221- ni ONYO usiowe au kuolewa na asiye muumini...lazma awe muumini.... sisitizo sio muislamu- sisitizo ni muumini maanake alitendea kazi neno la Mungu (Quran). Kwa alio amini Allah asema Q17:32- MUSIKURUBIE ZINAA. Sisitizo ni kutokaribia sio kutenda. Je alopita kukaribia hadi akatenda zinaa Q24:2- wachapwe mboko mia kwa wasokuwa wanandoa na ikiwa ni wana ndoa Q4:15.-hukmu yao ni kifo kwa hadith ya mtume pamoja na hio aya.
@awesoaminsaid68585 жыл бұрын
Toa clip yake tukufahamu vizuri,,kwa maandishi hatuelewi hivo
@awesoaminsaid68585 жыл бұрын
By the way,,,wakitubu hao waliokosea mungu husamehe makosa yao na akawapa 2nd chance
@idrisaallysalum94474 жыл бұрын
Kumbe wewe "NI MJUZI zaidi" kwanini usitoe nawe ufafanuzi wa video Kama mwenzio?
@saidtwahir96164 жыл бұрын
@@awesoaminsaid6858 kaka ikiwa huna dalili ya Ayah ama hadithi ya mtume... dini haiendi kwa fatwa za kichwa chako ama maoni yako... zingatia unayoyasema kabla kupayukwa. Q 17:36. NA MUSIFWATE YALE MUSOKUWA NA UJUZI NAYO HAKIKA UTAWAJIBIKA KWA UNAYOYASIKIZA NA UYAONAYO NA YALIO MOYONI.
@saidtwahir96164 жыл бұрын
@@idrisaallysalum9447 Twalabul ilmu fareedhwatan alaa kulli muslimeen wal muslimah. Kusoma ni Faradhi kwa kila muislamu mume na mke. Malengo kunukuu ayah ni urudi ukasome uhakikishe ili nawe kesho ukoina yatendeka kimakosa uweze kutoa fatwa ilio na ushahidi wa tamko la Allah. Sio shekhe fulani kasema. Ni jukumu lako kama muislamu kusoma.
@sharifgojo8785 жыл бұрын
fatua mbovu sana hazina mashiko
@nawawiitara79095 жыл бұрын
Sheikh Izzu Ddin Unaeleweka sana Jazaka llahu khayr
@saidtwahir96165 жыл бұрын
Asalam aleikum jameeil muslimeen wal muslimaat. Kuna swala nyengi twachukulia hukumu kiholela holela pasi na mazingatio. Yoyote atoae fatwa pasi na kutegemeza dalili ya Aya ama Hadithi huyo atoa rai za kichwa chake na Uislamu ni asemayo Allah na Mtume wake...Q- 33:36 Eda ya mja mzito wa mimba ya zinaa malengole ni yapi hana mume wa kurudiwa, wala eda hilo halithibitishi uja uzito wa mumewe hai au alokufa, wala huyo mwana hana urathi au mahusiano na yule mwanamume kwakua ni zinaa kwahio ni mwana wa mama kwa hadithi ya mtume! Eda hikma yake ni maagano baina ya mume na mke kuivunja ndoa kwa amani apendavyo Mola Q 2: 227-232. Aula ni eda la mja mzito Q65:4-7, kama ni eda la mjane Q2:234.
@hassankuemya36134 жыл бұрын
Shukran lkn ww na yy nyote mwaongolea jambo moja. Mungu awazidishieni nyote
@saidtwahir96164 жыл бұрын
@@hassankuemya3613 Asalam aleikum tofauti ya ufahamu ni kuwa shekhe ahalalisha ndoa ya zinaa. Ambapo Allah ameiharamisha Q- 24:3. Na isitoshe Q 24:32 Allah anaposema waozesheni ambao hawajaowa au kuolewa- amri hii yamuelekea nani kama sio mzazi??? Kwahio mpaka ilipofikia mwanao kuzini ina maana ulipuuza jukumu la uzazi kuitekeleza amri ya Allah. Ushahidi zaidi ni wakati sayyidina Omar amtakia binti yake (mjane) mume kwa kuwauliza maswahaba wenziwe wamuowe bintiye... khatimae akaolewa na Mtume S.A.W. Dhidi ya hayo al islamu nadhweef. Ikowapi tendo la ibada katika kuhalalisha zinaa??? Dini kazi yake ni kuitakasa nafsi yetu kutokamana na uchafu. Allah asema Q- 17:32, USIKARIBIE ZINAA KWANI ZINAA NI UCHAFU NA UOVU. Kitu ambacho mashekhe hawazingatii ni kuwa ndoa ni ibada kama kuswali. Msichana amezini akashika mimba imani yake hajaichafua??? Je nafsi husafishwaje kama sio kwa taubah??? Mfano mpesi wa kufahamu hii mada ni kuwa huwezi kumsujudia Mola ikiwa una najisi mwilini. Lazma ujitwaharishe ushike udhu tena ndipo uswali. Kwa kuilinganisha na ndoa ni lazma azaliwe yule mtoto kwanza, alafu aombe taubah kwa kuinajisi nafsi yake ndipo afunge ndoa kwa njia apendavyo Allah.
@adilihassan84553 жыл бұрын
Sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah. Unasema kweli vijana wengi uenda jela na wasichana kuachwa huru,,Sasa io ni haki??
@mesalimrashid63125 жыл бұрын
Kuepuka haya wenye kuozesha ndoa vile vile pimeni ukimwi na mimba kabla kuoana kama c mwanamwali.
Nakubaliana na yote ila kuweka lawama ya zina kwa binti. Wote mume na mume wamezini pamoja utamlaumu vipi msichana pekee.
@msafiriduwiya77655 жыл бұрын
Someni dini mbona mwizi katajwa mwanamume kwa Nini, wewe mke ungekataa kuziniwa zinaa ingefanikiwa kufanyika? Unamfanya Mungu hajui
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Assalam aleikum warrahamatulah wabarakatu jaman tunao comment tuache kutoa matus km hujickii kukoment acha tusiwatus mashekhe km amekosea bora umwambie2 nae ni binadam Ana mapungufu aliekamilika ni Allah wanapendeni wotee kwaajili ya allah
@zainabuhmbabazi49285 жыл бұрын
Kekekekeke mimba na nyingine ju kekekekeke 😀 😀
@khairulabdi82315 жыл бұрын
raha, eh?
@mariammdoe80455 жыл бұрын
😁😁kabisa yani azae pacha akome kabisa sheikh sio kwakunivunja mbavu huku khaaaah😁😁
@soudalharthy88425 жыл бұрын
Hasbuna llah waniima lwakiil
@abullahkabaka87743 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@khanrashidi3945 жыл бұрын
Sheikh allah ajaalieumli mlefu wenye manufaa
@mohamedzubery26195 жыл бұрын
Maashaallah
@aliabdalla93385 жыл бұрын
Assalaam Aleykum.. Hakuna ndoa baada ya kwisha kuzini nae huyo Binti...
@aminaabbas28405 жыл бұрын
waallahu ya alam
@jasmininasabi4955 жыл бұрын
JazaAllah kheri
@summerellahkab70705 жыл бұрын
Kama unamuelewa kama Mimi usiache kukoment na kulike ....Instagram @only_summerellah_tz
@selemanmtipu66445 жыл бұрын
Shukrani shekh
@kisharitv1054 Жыл бұрын
Je ikiwa mwanamume umemtia mimba binti kisha ukataka kumuoa akiwa ni mjamzito inaswihi.?
@rukiamwinyihija78495 жыл бұрын
Kwenye sheria za kufungisha ndoa mbona suala la kuwa na mimba halijatajwa kama ni masharti ya ndoa kuwa sahihi,? na kama aliyekupa mimba ndio muhusika anayekuoa hapo inakuaje?
@bakarikambi64525 жыл бұрын
Mashallah bi rukaiya habari ya mombasa
@rehemajumanne14115 жыл бұрын
Rukia Mwinyihija
@husseinparco96403 жыл бұрын
Hiiii nikweli wabongo wanabishaaa
@Saidoo2545 жыл бұрын
Sheikh, je waeza kuoa mwanamke ulimsilimisha bila idhini ya wazazi wake?
@allymngwaya62195 жыл бұрын
Sheikh vipi kuhusu Qur'an iliyotukataza kuoa wanawake wakiwa na mimba?
@hassankuemya36134 жыл бұрын
Amejibu kwamba mimba iliyokusudiwa ni iliopatikana ndani ya ndoa.
@dirhammatatizo59015 жыл бұрын
Kwa iyo mwanammke uliye mtia mamba ni halali kumuowa??
@fareedsseif42975 жыл бұрын
Sheikh Tatizo hapa kuna zinaa. Ambayo Allah ametuasa ndani ya Quran “Wala musiakaribie Zinaa” na hukumu ya Zinaa inajulikana ni kupigaa mawe
@iddopaka46065 жыл бұрын
Mtu ambaye ameoa ama kuolewa ndio anapigwa mawe. Sheik anazungumzia msichana hajaolewa
@omarynachiwa59735 жыл бұрын
Elewa mada iko wazi
@bablasbulludozer-be3ww Жыл бұрын
Misikaribie zinaa inakuwaje umpe mimba mmezini mkiowana mnazini / mzinifu wataendelea kuzini au wazinifu fateni hukmu kwanza ipo
@aminaziddin26114 жыл бұрын
Assalam Aleikum warahmatullahi wabaraqatu. Allah akujaalie na umri mrefu na atukutanishe kwenye pepo yako. Swali langu ni; Je inaruhusiwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kma vile girlfriend na boyfriend ...je inaruhusiwa?
@halimaabbas5080 Жыл бұрын
Haifai. Mahusiano ya boyfriend na girlfriend ni haram na mdo ilee ilokatazwa usikaribie zinaa. Kua na boyfriend au girlfriend ni kuikaribia zinaa tayar. Wa Allahu Aalam
shehe huyu mtihani sana hivi hana fatwa zingine ambaxo zinavutia na kuhamasisha?
@khanrashidi3945 жыл бұрын
Wewe ndio mtihan hamfuatiliit mboni ananyingi tofaut nshizi zandoa
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
Kkkkkkkkk
@mussayusuph59915 жыл бұрын
Kwa hiyo huyo mwanamke anaruhusiwa kuzini?na kama akithibitisha ni mimba ya zinaa nini kifuate kati ya huyu mzinifu ni hukmu au kufungishwa ndoa!.Na swali langu LA pili nini hukmu ya mZinifu ambae hajaoa au kuolewa?na mzinifu ambae ameoa au ameolewa?
@hassansingano1150 Жыл бұрын
Asalam Shekh naomba ufafanuzi wa hii aya Quran 4 : 24. Ndoa pasi na zinaa
@ماندوماال5 жыл бұрын
Je! Mtoto alozaliwa inje ya ndowa ana weza kwenda Makkah ku hijji , au Umrra?.
@afdaa9465 жыл бұрын
Sasa kwan mtoto anakosa gani cnmtu kama wengine tendo ndo lilikua baya lkn mwana nmwana
@khairulabdi82315 жыл бұрын
kwann asiende sasa?
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shehe wetu unapo sema hivyo unasababisha vijana kuzidisha zinaa tulikua tunaishi kwa nyumba yakupangisha kijana jiran mpangaji mwenzetu akaona nyumba nzima haina watu akamngojea dadangu kaenda kuonga akamvamia nakumbikiri alipinga kelele hakusaidika nakubeba mimba siku hiyo alikua hampendi yule kijana akanyamaza baada mimba ikajulikana kijana akakubali kumuoa hiyo ilisababisha na kijana makosa ni ya nani
@khairulabdi82315 жыл бұрын
Dah! pole iyo ishu ilitokea lini?
@shaniahrachma77675 жыл бұрын
😁😁😁
@hamisiibrahim20595 жыл бұрын
nice
@ramadhanimkali60255 жыл бұрын
Shekh na kama mwanamke amepata mimba nje ya ndoa na alie muoa ndy yuleyule aliempatia mimba je mtt akizaliwa mtt atakua upande gn wa haramu au halali?
@mamyssmoe67065 жыл бұрын
Wa haramu bd sheikh kwasabsbu mimba imetunga kabla ya ndowa
@othmanhajj6365 жыл бұрын
Inaitwa Haramu kwasababu Umetawaza kwanza Halafu ndio ukanya
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@othmanhajj636 😂😂😂😂
@danymsinga70485 жыл бұрын
Haahaha
@fatmaomar29965 жыл бұрын
Hii
@iddyhalifa66435 жыл бұрын
Shee mm nina swali jee kama mwanaume umemtiya mimba mwana mke na mimba ile imeingiya kwanjiya yazinaa je? Yaxwihi kufunga naye ndoa akiwa na mimba na ilemimba itakua ya harali?
@abuzubeyribnmuhammad77315 жыл бұрын
Huyu sheikh Allah amuongoze anatoa fatwa batili
@IzudinAlwyDin5 жыл бұрын
Ameen mola atakabali dua yako
@husseinchiaseeds26535 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin shekhe Mimi nlimpa mimba bint ktk zinaa na nkamuoa huyo huyo bint mimba ikiwa na miezi 4 hukm ya ndoa ikoje na vip kuhusu mtoto
@asyaluay57875 жыл бұрын
Mtihani
@OfficialJouma5 жыл бұрын
asya luay mtihani mkubwa, Allah atuepushe na haya mambo
@nurarich49455 жыл бұрын
Very misogynistic
@bwegelanyakhaido30885 жыл бұрын
sheikh apo bhana naona km umebugi kidogo...mimba ya alamu ina mwenyewe na mwenyewe ni mwanamke aliye ibeba...so anapaswa kushusha mzigo wake ndio aolewe
@ibnali52375 жыл бұрын
Ok, Pia mm nilikua naelwa hivo. Je uko na ushaidi wa usemayo?
@ibnali52375 жыл бұрын
@likoni tv 🤣🤣🤣🤣
@bilalmohamed51335 жыл бұрын
Kwani waskiza mawaidha ukipeleka mbele...hujamskia ustadhi akisema mimba ni ya mwanamke
@makamemufadhil6275 жыл бұрын
Bwegelanya khaido si amesema
@arababs5 жыл бұрын
Shekhe anazungumza kuhusu hadithi ya mtume inayosema usinosheleze miti ya mwenyewe. Elewa vizuri kaka. Kiswahili cha Amu chakutatiza