Shukrani shekhe ..Allah akupe umri mrefu uzidi tuelimisha
@abdulsaid20145 жыл бұрын
You are the best sh me God bless you you and your family thank you
@khadijahkhdoo63875 жыл бұрын
Shukran ustadh wetu,nakuskilizia nikiwa IRAQ Baghdad,miss ma Homeland Lamu🙏🙏
@user-dg8qe9rf9h5 жыл бұрын
Vita hakuna huko. Napenda nije kuishi huko. Mi nko oman
@khadijahkhdoo63875 жыл бұрын
@@user-dg8qe9rf9h hakuna vita salamaa huku,karibu
@wahidkhalifa29524 жыл бұрын
Mh
@stevejumaree3437 Жыл бұрын
Salamu alikumu khadijah naomba nitafutie kazi uko uliko that's my dreams country
@edwardouma3 жыл бұрын
Maashallah Sheikh Jafaar. Mola akupe muda mresh wa kazi yake🙏🙏🙏
@moviesseries99235 жыл бұрын
Masha Allah Shekh Allah akupe umri mrefu na mwisho mwema Aamin 🙏
@sherrymkofoye1595 жыл бұрын
Mashaa Allah mwenyezimungu azidi kukuweka
@AishaAli-zv8se2 жыл бұрын
Jee talaka ya mume mzinifu ni ipi
@husseinzeid63422 жыл бұрын
Asalam aylkm ustadh izuu din mm cjaolewa hyo wakupa khutbaa za kusema wataka kaushaa koo wallah kwanza ww mwalim ulitusomesha mld maqarem akhlaaq turpentine ndugu tustikiane lasaawa ukanifunza kwa hadeth seraa na fiqi mungu akujazi kilaa kher mambo mawili nashikaa mm cwachi inshalah lakusenyaa wallah cjui huchaa kabisa nseme mwenzangu nimpe khr zangu na barka laaah na uwongo nakata kabisa cjui kusema huwaje mm nko ndani mwanamume akanitaka badae ckuenda sawa ckumuona naitwa mzinifu jini lakini hawa wanisemao nawachia kwwa molaa atalipa tayari zibati mungu awanwapa kuchanganyikiwa kwake ankua husema mm mke ati nlikua mrongo nlikua mtumwaa wake wema kasahau ouvu kaka mbele ss cha Maputo yuwaliya akiyaramba niya chumbi ankua hukata zidole kumi hna la kusemaa yyasitaje🙌🙏 hilo neno nawa
@sadamatano39375 жыл бұрын
asante sheikh na namwana mume mwenye kueka mwanamke kinyumba na Yule mwanamke awe na watoto je wale watoto wafaa kurith
@husseinzeid63422 жыл бұрын
Nliamua kaa ndani pia akereka akisema ako na wengine wazur wanawake mbona hawakumfaa mm mbya kisha kwann anitaka tatizo mwalim ataka nyotaa hasbunallah wanemal wakil ...wakati umeisha mdaa miakaa bado wasema na chorwaa mm play wa games kwl hyuu anitakata ama anisutaaa mm moyo khalaas umeharibika thuma wallah tamaa yann kwann hawatwai hawo wazur wanawake mbona wamemharibia wallah nia safi hushinda uchawi niya yamnyanyasa kisha ati namroga mm kma naenda Ana nasema nae mola atanilipia nazidi kueka subra moyo wangu lakini mungu hajapenda ntasema na bado nasema alhmdulilah kila cku kilaa saaa bado anipenda Allah mm namm cjakata tamaa kwa Allah lakini kwake ctaki tena bada matuc ctizai kuchekwa kusemwa natoa ahsantu na osha mkono mola cku zote hakupi jambo ila lina khr naww na nakma shari yngu basi nasema nlioyo niepuka mm shari hakuwa khr yngu htaa akirudisha moyo badaa ashaharibu moyo wangu mm wallah cwez tena shukran ustadh boraa umpe jawabu sahihi aelewe kma yy mbya mkosaaa mm ctaki tena masalam shukran 💔🙏🙌😰😥😭miaka mingi tangu 2018 mm natezwaa Shere haishi wallah navyo sema mm haniski na deni yke ntamlipaa uishe udhiyaa tena mwaka hunu hunu naww ustadh niombe kwa mola aniweshe nlipe deni kabla kufaa mm 😪💔🙏🙌😭😥😰😥
@AminaSapar4 ай бұрын
Assalamu Alaykum warahhmatullahi wabarakat naomb kuuliza sheikh ni ipi hukumu ya mwanamke aliyeachika yaani yupo katika eda ya kuachwa akazini
@mdmohammed15933 жыл бұрын
Shukran shekhee kwa darsa nzur
@fatmaali4092 жыл бұрын
Assalam alaykum ust Naomba kuuliza hvi mume atakapomuambia mke wake utakapofanya jambo flani mathalan ukizini au ukitoa chchte bila y ridha yangu basi mimi sio mume wako na mke akaja kufanya je atakuw kashaachikaaa.....?
@ratifahosseni65211 ай бұрын
Ndio taraka hiyo
@husseinzeid63422 жыл бұрын
Wallah ustadh nailani ile cku nliomuona yy kamjua kamuamini yy kwann nasema moyo nlimjua kamuamuni kupita kiasi madhara hya yaisha lini jamani najuta kumjua mm umri napoteza bado Ana typ story afunge muambie tafadhali shukran
@vibestudio47075 жыл бұрын
jazzaka llhahi kayr shekh izzudi MUNGU akupe ukipendacho
@mwanamisigulu24015 жыл бұрын
Allah akuzidishie InshaAllah....
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
Assalamualaikum warahmatullh wabarakatuh... swali langu ni mke umemshika na message kuwa nalala na mtu mke uyu ni sawa ukimpa talaka na Mali ama arusiwi kupewa mali
@fatmabakari5505 Жыл бұрын
Nina swali je mume aweza mpa mkewe talaka ndani ya ramadhan
@abdulhafidhi845 жыл бұрын
Ahasantee shekh
@carolinenakirutimana15592 жыл бұрын
Kuzini ni thambi mbele ya mwenyezimungu kwa mwanamume namwanamke
@aminabukenya2315 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa mafunzo mazuri
@mahmoudrajab45875 жыл бұрын
Shukraan maalim
@dorisnasubo84305 жыл бұрын
Shukran
@hudainamohd45325 жыл бұрын
Asante shekh kwa kutup elmu
@abasimachano29643 жыл бұрын
Alhamdulillah naelmka
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@udymakame52694 жыл бұрын
Mashallah
@noluv53323 жыл бұрын
Ikiwa mume hamuangalii mke kwa mwaka mzima talaka imepita
@khadijayusuf32225 жыл бұрын
Mashaallah Shukran
@mwanahamisially52345 жыл бұрын
Alhamdulilah
@maliksuleiman11594 жыл бұрын
بركالله
@bilalbaker92382 жыл бұрын
Kushambulia
@yahayaabdalla34113 жыл бұрын
Shekhe Mwana Mke anaposema hakutaki nini hukumu yake. Navilevile mwamke anakuandikia talaka anampa babayake mzazi ndiye akukabidhi hapo panahukumugani.Nimeuliza Mimi Yahaya Abdallah Mohamed. Kigoma Tanzania.
@yahayaabdalla34113 жыл бұрын
Shekhe Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuluzuku elimu tunakuombea kwa Mungu azidi kukupaafyanjema kwaniunafundisha mpakakila anaye kusikiliza nakukufuatilia anaelewa vizuri siobora kuelewa.Mungu akulinde Shekhe wetu.
@fafaali17565 жыл бұрын
Mm naona bora ujibu maswali cz kipindi cha maswali ni hii mwezi wa ramadhani tu ndio wajibu ukiwa live ..bt darsa huwa liko mpk malamtana
@NurdinKishik4 жыл бұрын
yaallaah
@jokhaali91874 жыл бұрын
Naomba namba ya shekhe
@munirahmed77533 жыл бұрын
Ingekuwa paka hapo ningekubali maana paka wazini njiani tu kila mmoya aona
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
@munirahmed77533 жыл бұрын
Na kama wasubiri mashahidi basi utaziniwa mpaka milele na mashahidi hakuna
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
@ramakibati74154 жыл бұрын
mashaallah sheikh swadakta
@bigboss68132 жыл бұрын
Hukumu ya kulala ngizani nini
@esirmviha5832 жыл бұрын
Habib Assalam aleykum ,naomba kufahamishwa jambo Fulani katika talaka kuna mwanadada mmoja aliolewa sasa na bwana mmoja waliishi na kuna wakati walikuja wakakosana yule bwana akampa yule bibi talaka tatu kwa mpigo Swali 1. Je talaka tatu za mpigo zina EDA kwa mwanamke mjamzito Swali 2. Kama yule mume alimuingilia yule mke kabla ya EDA ya hzo talaka tatu kwa mpigo kuisha ile ndoa bado ipo ama haipo. Swali 3. Ile talaka bdo imepita ama imefutwa na lile jambo la kumuingilia
@omarybenga9860 Жыл бұрын
Talaka 3 ni haina kumrudia na huko kuingiliana ni zinaaa na mwanamke ndy atakaa EDA mpaka ajifungue
Kweli watu waweza zini njiani mpaka watu waone ? Mbn vitekesho waleta ustaaz
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
@khamiskhamis53235 жыл бұрын
A.aleykoom..Ustadh mm nataka kuuliza kitu kimoja lkn nilikua naomba number yk ya whatssp ili nikutumie audio au chukua Yang hii +96897892279 ili uokoe Umma,,Unapo msaidia Muislam mmoja ni sw na kuokoa Waislam 1000
@asyaibrahim15045 жыл бұрын
Hapo chini AME weka no zake mbili za kumpata shukran
@zakiakhalid2125 жыл бұрын
Square
@IzudinAlwyDin5 жыл бұрын
+254772611120
@khamiskhamis53235 жыл бұрын
Asya Ibrahim Afwan ahsant asya
@munirahmed77533 жыл бұрын
Mashahidi 4 wala 6 hakuna hadithi hizo
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
@jibabahbah51884 жыл бұрын
Assalam'alaikum shekh mm mume wangu nipata msg za mapenzi kwa simu yake na msg za hawo wanawake zaidi ya wawili na vile walivyo wakifanya mapenzi na yy mwenyewe pia akaziona kisha akata shekh mm nataka aniache na hataki
@ntopangonyani69644 жыл бұрын
Kilichokupeleka kwenye simu yake ni nini, epekuzi au sio. Sheria haikuruhusu kufanya unachofanya. Haya tujalie una high blood pressure uchungulie chungulie kwenye simu ya mume wako uanguke kwa kupandwa na BP na stroke juu. Ushindani ushakushinda unabaki handicapped na hasidi wako ndio watamchukua kirahisi zaidi na huto weza kumzuia. Wewe ni mjinga kabisa na unaidhulumu nafsi yako na kuitafutia madhara.
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Pole Dada yang wanaume wa cku iz ni mtihan
@ntopangonyani69644 жыл бұрын
@@aishaaisha1495 kwani wanawake wa siku hizi sio mtihani?
@aishaaisha14954 жыл бұрын
@@ntopangonyani6964 ni kwl unachokisema lakn wanaume ndo anasababisha kuwa mwanamke nae achepuke me naona2 bora kila m2 awe mwaminifu kwa mwenzie ttz la wanaume co wote baadh yao wakioa anaaza kutaman mwanamke wa Nje mkeo unamuona mby jmn tutaishia wap hakuna k2 kinachouma km mweza kumsaliti mweza wake kwa mm bora ukaoa2 nikajua 2po wawili kuliko kunishalit wanaume me siwaamin yalishanitokea ndo mana najua maumivu yake
@ntopangonyani69644 жыл бұрын
@@aishaaisha1495 acha kuangalia simu ya mume wako, itakufaa sana. Utajiepusha na mengi, Allah akiamua kukuonyesha madudu ya mwenzio atakuonyesha tu ila sio kwa kupekuana ndani ya nyumba. Simu ya mumeo ni kituo cha polisi cha watu wasiojulikana na labda akuruhusu. Ndoa nyingi zinaharibika kwa simu.
@fatmaathumani75695 жыл бұрын
Assallam aleykum shehe mm Nina swali yangu naomba unisaidie ktk hili no yangu 968 99353340
@munirahmed77533 жыл бұрын
Dah shekhe waweza kuona kweli wakizini? Kwani ni paka hao mpk wazini njiani watu waone? Hivo mashahidi 4 hao ni hadithi dhaif hizo wala haiwezekani
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Hiyo sio Hadithi ni Qur’an inasema hivyo: Sura ya 24 Aya ya 4
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.
@munirahmed77533 жыл бұрын
@@kimmseinvtz hapo ujue kuwa m mungu ni mwingi wa hekma anajua kabisa hakuna awezae kuzini njiani mpk watu waone hivyo talaka ameweka pingamizi sana kutolewa
@munirahmed77533 жыл бұрын
@@kimmseinvtz hivi ww maishani kwako ulishawahi kuona watu wakizini barabarani mpk ushuhudie??? Quraan inataka upeo sana kuelewa na kutafsiri
@munirahmed77533 жыл бұрын
@@kimmseinvtz tafsiri na maana ya quraan sı neno kwa neno kama unavotafsiri ww quraan ni maneno yenye hikma sana na inaona mbali mno
@munirahmed77533 жыл бұрын
Binadamu wazinifu watatafuta sehemu faragha tena na mlango watafunga na pazia wafunga ss hao mashahidi unaosubiri ww watawaonea wapi tendo hilo wanalofanya? Hakuna hadithi hiyo
@kimmseinvtz3 жыл бұрын
Hayo ni maneno ya Allah Holy Quran 24:4 ------------------ وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ فَاجْلِدُوهُمْ ثَمَانِينَ جَلْدَةً وَلَا تَقْبَلُوا لَهُمْ شَهَادَةً أَبَدًا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete mashahidi wane, basi watandikeni bakora thamanini, na msiwakubalie ushahidi wao tena. Na hao ndio wapotovu.