NDOA ya dada yake DULLA MAKABILA (Amina Vikoba) yapigwa Kiberiti, YAVUNJIKA, Talaka yapostiwa Insta

  Рет қаралды 6,044

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

Пікірлер: 26
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 15 күн бұрын
Hongera sana amina ukiona kitu kimekushinda ondoka mapema wanaweke wengi wanakufa kwa kung'ang'ania ndoa ya mateso kuogopa wstu watasema nn
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 14 күн бұрын
kulikua kuna haja gani ya kupost kwenye mitandao!!!!!!!
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 14 күн бұрын
Ukooo mzito huuu
@FatumaJuma-f6s
@FatumaJuma-f6s 15 күн бұрын
Kwaiyò walikuwa dini tofauti😮
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 15 күн бұрын
Hapana huyu Amina alibadilisha dini kimfata mume ukristo na wakafunga ndoa , hivyo kashasema amerudi Tena kwa dini yake ,uislam
@MashaMbwana
@MashaMbwana 15 күн бұрын
@@mariamkibindo1741 Anafanya dini ya kiuslam kama sokoni anaenda na kurudi vile anavyojiskia
@FatumaJuma-f6s
@FatumaJuma-f6s 15 күн бұрын
@mariamkibindo1741 kumbe
@Jamila-h1w
@Jamila-h1w 15 күн бұрын
Sasa ndoa iyo ilikua ndoa gani ya muislam na mkiristo😊
@abrahmanomar9766
@abrahmanomar9766 15 күн бұрын
Uislamu upi uwo
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 15 күн бұрын
Familia ina hekaheka hiii😂😂😂
@Niget-us1np
@Niget-us1np 15 күн бұрын
Miak 16 ya ndowa sio jamb mdogo
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 15 күн бұрын
😂😂😂
@abdullmo8736
@abdullmo8736 12 күн бұрын
Ndio maisha ya Tanganyika ety njiwa ana muowa kunguru huwoni km shida 😂
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 15 күн бұрын
😂😂😂😂 ndoa imevunjika vipande vipande
@roqayaro9439
@roqayaro9439 15 күн бұрын
Sawa mwaka mpya ndoa nyingi tu zitavunjika
@AllySibila
@AllySibila 14 күн бұрын
Ndoa walikua wanazini
@McT-m1m
@McT-m1m 15 күн бұрын
Mbona majina ya wahusika yanatofautiana mimi sioni tatizo kudai talaka tatizo nikuionyesha
@issazalala4907
@issazalala4907 11 күн бұрын
Mbona wakiwa chumbani Hawa tu postii vinavyo fanyika uko ndani pumbavu zao kila kitu mtandao tu
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 15 күн бұрын
Idadi ya mishangazi inaongezeka
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 15 күн бұрын
Bado kombolera inaendelea au
@anny19988
@anny19988 15 күн бұрын
Ipo hâta leo
@MashaMbwana
@MashaMbwana 15 күн бұрын
Mwanamke Muslim ataolewaje na mkiristo
@FatumaMuya-w5h
@FatumaMuya-w5h 15 күн бұрын
Mbona wanaolewa wengi tu
@Awatee
@Awatee 14 күн бұрын
​@@FatumaMuya-w5hHakuna ndoa ni uzinzi tuu sheria inafaa kwa mwanaume kuoa watu wa kitabu lkn sio hawa wakiristo wa sasa wenye utatu ila mwanamke kuolewa na asie kua muislam ni kinyume na sheria na dini yetu ALLAH atuongoze ktk njia ilio nyooka kwa sote 🤲
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 15 күн бұрын
Nitafute mie nikuoe
@iddsimba3849
@iddsimba3849 15 күн бұрын
Upumbavu mtupu
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Putin urgently interrupted a meeting / Change of power in Ukraine
14:46
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН