Nimebarikiwa! Na kuendelea kujifunza kitu! Maarifa kila siku...Barikiwa Mtumishi wa BWANA.
@starluzenja98618 ай бұрын
Napenda sana anavyochambua biblia na anavyofundisha.Mungu akubariki sana Mtumishi. Looking forward to the other teachings about nafsi na roho
@nanyoraireuben88078 ай бұрын
Reality mmepata neema kubwa sana kuna wakat nataman ningekua naish jiran nisingekosa ibada hata mojaa👏👏👏👏👏👏
@janethkyando90958 ай бұрын
Hakika
@frankgeogre41448 ай бұрын
😅
@winnerjudith20078 ай бұрын
mimi je ningekua naishi dar ningekua naudhurua pia
@chichiherself56988 ай бұрын
”Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao mbaya. Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.“ Mwa 37:2-4 SUV 3:38
@PatrickMugambi247 ай бұрын
Very powerful .Nahitaji connection na mchungaji .Niko Kenya.Nahubiri pia
@samuelisemwile33716 ай бұрын
Shalom! You are my spiritual father
@kamfwaerick4157 ай бұрын
You are a True Servant of God. That's all..!!!!
@petermunuo16577 ай бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@HaikaFoya-m5r8 ай бұрын
Asilimia 70 ni ndoto (mwilini) 20% nafsi 10% rohoni hii ni ajabu sana. Aksante kwa ufahamu yaani naona jinsi watu wengi wanavyokimbizana ma ndoto za mwilini.
@GloriaJapheth6 ай бұрын
Barikiwa sana babah
@chichiherself56988 ай бұрын
Mwili ”Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno.“ Mhu 5:3 SUV 22:47
@FrolaMathias-w6s2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@franciswillfred97637 ай бұрын
So Powerful 🔥
@stellagwimo31158 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri Bishop wangu. Mafuta ya ualimu yazidi kutupa maarifa.
@abelchegekimani37358 ай бұрын
More GRACE
@veronicakazungu23958 ай бұрын
Mumejaliwa na neema kubwa saana itunzeni hiyo neema.
@drvidah70308 ай бұрын
Blessed is Pastor Sunbella Kyando
@catherineayako6938 ай бұрын
Blessing 😊
@Neema-wy4mh8 ай бұрын
Amen. Blessing
@JemaMbwilo8 ай бұрын
Nashukuru sana amen
@Joserine-kw7sg7 ай бұрын
Mwanza ngapi ariye sikia anisaidiye Amina
@Emmanuelamkinga7 ай бұрын
37:3-4
@happinessakim26797 ай бұрын
🙌🙏🙏🙏
@NickierNduche7 ай бұрын
Mwanzo 37:2-4
@godlovewarwa8 ай бұрын
MUNGU AZIDI KUKUINUA MTUMISHI
@JanethNdalu8 ай бұрын
Naomba namba ya huduma
@ElviskKogo7 ай бұрын
Pastor naomba uniambie kuhusu hii ndoto yangu ...... niliota nikiwa nimenunua samaki watatu kisha nikagawa miwili nikabaki na moja je? Hii ni ndoto ya aina gani
@lubegajosia9737 ай бұрын
Unahuduma Gani .
@NoelaPendo6 ай бұрын
Naomba munieke kwa group la maombi
@nellyshivere42677 ай бұрын
hivi tutajua aje ndoto za ukweli, manake naona umekataa ndoto zote
@upendolaizer47758 ай бұрын
Mimi nimekuwa nikiota navua samaki wakubwa na hii ndoto imekuwa ikijirudia
@starluzenja98618 ай бұрын
Samaki mara nyingi ni positive dream .Depending with the context can mean utajiri as in provision Zingatia mazingira ya ndoto na uulize roho mtakatifu akusaidie.