NDOTO NA SIKU ZETU: BISHOP GWAJIMA IS LIVE NOW: 02.08.2020

  Рет қаралды 48,122

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

TAREHE 02.08.2020
SOMO: NDOTO NA SIKU ZETU
-Kwenye Biblia kuna ndoto 21 kwanini waota ndoto ni wachache lakini ndoto ni nyingi kwasababu
MUNGU ANAZUNGU MZA NA WATU KUPITIA NDOTO.
SABABU ZA KUOTA NDOTO ZINAZO JIRUDIA
-Mungu anaongea na watu kupitia ndoto. Anaweza kuongea na wewe hata mara tatu kama ujatendea kazi kile alicho ongea na wewe kupitia ndoto.
‭‭MHUBIRI‬ ‭1:3‬
“Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?”
1/ Ndoto huja kwa wingi wa shuhuri hunazo zifanya
2/ jambo unaliota lime hakikishwa
-Mungu haluhusu matatizo ya kupate, Mungu ana kutengeneza wewe ili upigane vita na maadui wote wanao kufatilia.
-Mungu akitaka kukupigania anakupa nguvu za kupigana katika vita itakayo kuja kukukabili.
-Kuna kazi zingine hazi wezi kutokea mpaka ufunge na kuomba .
KUNA NDOTO WA KATI WA ANAGO LA KALE NA KUNA NDOTO WA KATI WA AGANO JIPYA
‭‭MWANZO‬ ‭20:1-3‬
“Ibrahimu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari. Ibrahimu akamnena Sara mkewe, Huyu ni ndugu yangu. Basi Abimeleki mfalme wa Gerari akapeleka watu akamtwaa Sara. Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia, Umekuwa mfu wewe kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemtwaa, maana ni mkewe mtu.”‬‬
-Neno ndoto limeanzia kwenye kitabu cha mwanzo
-Unapo otandoto siokwamba ndio inatokea wakati huohuo, Ndoto huja kama taarifa juu ya jambo fulani litakalo tokea siku au wakati ujao.
-Kwenye agano la kale unapo ota ndoto siokwamba litatokea
‭‭MWANZO ‭40:1-9‬
“Ikawa, baada ya mambo hayo, mnyweshaji wa mfalme wa Misri, na mwokaji wake, wakamkosa bwana wao, mfalme wa Misri. Farao akawaghadhibikia maakida wake wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji. Akawatia katika lindo nyumbani mwa mkuu wa askari, humo gerezani, mahali alipofungwa Yusufu. Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumu, nao wakakaa siku kadha wa kadha katika kifungo. Wakaota ndoto wote wawili, kila mtu ndoto yake usiku mmoja, kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake, mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri waliofungwa gerezani. Yusufu akawajia asubuhi, akawaona wamefadhaika. Akawauliza hao maakida wa Farao, waliokuwa pamoja naye katika kifungo, nyumbani mwa bwana wake, akisema, Mbona nyuso zenu zimekunjamana leo? Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, Kufasiri si kazi ya Mungu? Tafadhalini mniambie. Mnyweshaji mkuu akamhadithia Yusufu ndoto yake; akamwambia, Katika ndoto yangu nimeota, uko mzabibu mbele yangu.
-Kwenye kitabu cha Mwanzo kuna story za watu wa wili waliota ndoto nao ni
Mkuu wa mwokaji na mkuu wa mnyweshaji.
-Unapo ota ndoto unapewa talifa juu ya jambo fulani linalo kuja kutokea baada ya siku tatu ,wiki , mwezi au mwaka kabisa.Kila mtu na ndoto yake
-Ndoto huja kama talifa juu ya jambo fulani ambayo halijatokea ila Mungu anakupa tarifa juu ya jambo litakalo kuja kutokea ili ulitendee kazi.
-Ukiota ndoto ambayo haina fomura basi hakika hiyo ndoto itatokea kwa siku chache zijazo. Nakama ukiota ndoto alfu aijatokea ujue kuna mchoro Rohono
-Ndoto za zamani zilikua zinatokea lakini ndoto za saivi zina tabiliwa.
-Ndoto utafasiliwa kwa utulivu ndoto
- Ndoto ya agano jipya inaanza ivi
Yusufu alikuwa mwenye haki ndio maana hakumuabisha Mariam, ndipo akatokewa na malaika kwenye ndoto
KANUNI 5 ZA NDOTO:
1/Ndoto lazima iwe kubwa kuliko uwezo wako wa kimwili
2/Ndoto inayotoka kwa Mungu lazima iwe ya kutisha
3/Ndoto ndogo haitokagi kwa Mungu
4/Ndogo ya Mungu huwa ni kubwa sana
5/Muota ndoto hafi
-Ndoto ya mtu ndani yake ni mapenzi Mungu. Kwenye Agano jipya unaweza kuota ndoto na ukaibadilisha.
-Ndoto kwenye agano jipya unaweza kuiepuka kama ilivyo pangwa
-Unailetaje ndoto kwenye maisha haya tunayo ishi. Ndoto tunzo ota ni tofauti na za kwenye Biblia.
AGANO JIPYA NA SAIVI NI TOFAUTI:
-Unapokua umelala wachawi wana kuja wakiwa wamejibadirisha maumbo yao na kutumia maumbo ya watu wengine ili kukujia katika ndoto na kutimiza wanacho kitaka.
-Ukiwa umelala kila jambo linalo tokea uendeshwa katika ulimwengu wa Rohoni ndio maana mchawi akija kwako anajibadirisha umbolake.
-Kwenye ulimwengu wa Roho kila jambo linalokuwa linaendelea na kufanyika huwa linafanyika katika ulimwengu wa Roho.
KUNA AINA TATU (3) ZA MARAFIKI.
1/ Confidant
2/Constituents
3/ Comrades
-Mungu huya beba maneno ya watu wake na kuya timiza.
-Kila jambo na wakati wake kuna wa kati wa kutupa mawe, kuna wakati wa kukusanya mawe, kuna wakati wa kulia na kuna wakati wakucheka.

Пікірлер: 162
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
I cannot get enough of this precious man of God. I'm a congolese from the congo DRC but I love Tanzania because of my brother Dr. Gwajima and Dr. Magufuli
@joycemwaipaja4618
@joycemwaipaja4618 4 жыл бұрын
Jamani nilikumis we we baba Bwana akutunze nimepata maarifa mengi sana kupitia wewe
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 4 жыл бұрын
Amen Askofu Gwajima. Mimi ni mfuasi wako kutoka Denmark. Asante tutazidi kuwa Imara na Salama katika jina la Yesu. Ninakuombea ushindi mkubwa katika safari yako ya Ubunge jimbo la Kawe. Utakuwa mtu sahihi kumsaidia Rais wetu mwema Magufuli. Kwa vile wewe ni muwazi na mkweli ni mtu wa Mungu. Amen kura yangu umepata. You have my genuine and sincere support. Mwenyezi Mungu akusimamie na akupatie ushindi mkubwa.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@billjeremiahmaiwe
@billjeremiahmaiwe 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@keithgitau1516
@keithgitau1516 2 жыл бұрын
Samson kutoka Mombasa nafarijika na mahubiri yako mchungaji Asante ulindwe na mungu🤷‍♂️🤷‍♂️ amen
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Na pokea kuona kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai ubarikiwe sana jitu la mbinguni 💪🙏🙏
@annkim2690
@annkim2690 4 жыл бұрын
Jamani wapendwa tusikome kuomba kabisa tutie bidii kweli Mungu yuko
@margaretkarambu936
@margaretkarambu936 Жыл бұрын
Jamani, Askofu huyu yuko tofauti sana na wahubiri wengine.Hatumii makorokoro yanayotumiwa na wengine.Yuko Sawa sana Kwa neno la Mungu.Tunampenda sana.
@mariamfaith9914
@mariamfaith9914 4 жыл бұрын
Oh nime barikiwa Sana Leo nkiwa Saudia. Napeda huyu mtumishi Sana. Huwa Ana fafanua Neno LA mungu vizuri na elewa sana Neno LA mungu Lina ingia Sana. Thru roho mtakatifu
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Haya mahubiri yako hai milele asifiwe yesu kweli anatupenda sana
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Niliota tulikuwa nyumbani familia nzima ,sasa kuna chumba kimoja kilikuwa na ATM machine wezi wakavunja wakachukua HELA zote halafu hatukusikia hata kidogo ,asubuhi watu wakawa wanatushangaa kwamba ATM yetu imevunjwa .narudisha utajiri wa familia yangu kwa jina LA yesu nakata kila ngome za Giza kwa damu ,pesa zilizo chukuliwa kusini ,kaskazini mashariki na magharibi kwa damu ya yesu
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 4 жыл бұрын
Kila mchawi aliye nyuma ya kila kitu ninachokifanya na amekaa kuharibu na kurudisha nyuma ninamfyeka kwa jina la Yesu. Maana imeandikwa usimwache mwanamke mchawi kuishi. Kwa mamlaka hii ninawafyeka na upanga ukatao kute kuwili na kuwatekeza kwa jina la Yesu. Amen
@daughterofakingtabitha.9833
@daughterofakingtabitha.9833 3 жыл бұрын
I listened to this sermon over and over and everytime it sounds new. This is a true gift from God. Thank you dadi for obeying the voice of God.
@danielnjuguna3135
@danielnjuguna3135 Жыл бұрын
@mariaseuta4125
@mariaseuta4125 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu umenifungua leooo nilifungwa god bless
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Tutakuwa wazito hadi hatubebeki kwajina la yesu
@kapingatshiasuma5647
@kapingatshiasuma5647 4 жыл бұрын
Mungu akongezeya siku mingi duniyanyi kwa njima la Yesu ubarikiwe 🙏🙏🙏👏🏻👏🏻👏🏻
@evamwinga921
@evamwinga921 2 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe kwa somo mchungaji, mi huwa sidharau ndoto
@simiyulisbon5444
@simiyulisbon5444 10 ай бұрын
May God bless the servant of God, because through him my spiritual eye has been opened.
@elvisekhayemba9069
@elvisekhayemba9069 3 жыл бұрын
Ameeeen Ameeen asante kwa mafunzo ya hekima ya kuomba
@annkim2690
@annkim2690 4 жыл бұрын
Hua ninajifuza Mambo mengi kupitia kwako kweli huduma haitaki mchezo na haitaki uvuguvugu sivyo utawekewa mbau
@user-gl8du7zx6m
@user-gl8du7zx6m 7 ай бұрын
Muhubiri umenifurahisha saana ujube
@jean-bosco.ntiyabumviye6874
@jean-bosco.ntiyabumviye6874 4 жыл бұрын
Asante Askofu kwa ufunuo huo wa ndoto za kichawi. Umeniponya.
@jamesjosephm6358
@jamesjosephm6358 4 жыл бұрын
Amen amen nashukur sana baba mungu akupe umuli mlefu 🔥🔥🙌🏾❤️hallelujah 🙏🙏🙏
@graceambilikile7442
@graceambilikile7442 3 жыл бұрын
Amen ,nimeanza kuwaona kwa maumbo yao kwa jina la Yesu,nawaona ,nawaona nawaona na siwagopi mje hapa leo niwafyeke kwa upanga kwa jina la Yesu
@powerplus1933
@powerplus1933 2 жыл бұрын
Ushuhuda unatujenga sana.asante askofu.
@zawadimwanyuke3053
@zawadimwanyuke3053 4 жыл бұрын
Nime furai sana kuku sikiya tena mutumishi wa yesu Asante yesu
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Wapigweeeeeeeeeeee katika jina la Yesu
@pastortoratipreachingtv
@pastortoratipreachingtv 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa mnoo. Kumbe katika siku zetu hizi hatuoti ndoto Bali tunaona. Ameeen
@bejishful
@bejishful 4 жыл бұрын
Wapigwe! Kwa Jina la Yesu wachawi! Amen.
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba yetu
@nginamugwe8093
@nginamugwe8093 4 жыл бұрын
Amen Amen Amen..asante sana Askofu gwajima kwa kutufungua macho ya kiroho elim ya hekima...
@nicolaus4088
@nicolaus4088 2 жыл бұрын
Nakuelewasana mchungaji karbunjombee ubarikiwee
@margaretmuranga1362
@margaretmuranga1362 4 жыл бұрын
Na waona na wapiga kwa njina la yesu
@paschalinahharis9604
@paschalinahharis9604 4 жыл бұрын
Oh love you my Dady
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 Жыл бұрын
Kwa jina la Yesu
@lindammasi3347
@lindammasi3347 4 жыл бұрын
Wachawi wapigwe kwa jina LA YESU
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Wapigweeeeeeeeeeeee
@powerplus1933
@powerplus1933 2 жыл бұрын
Asante Sana askofu.
@carolineayuma9361
@carolineayuma9361 4 жыл бұрын
Wachawi wa pingweeeeeeeee kwa jina la yesu
@MirriamMeshach-j2c
@MirriamMeshach-j2c Ай бұрын
Tunayo guvu ya kuwtebezea mikwajo
@MirriamMeshach-j2c
@MirriamMeshach-j2c Ай бұрын
😂😂😂😂 Mimi peda mafunzo ya rohoni saana barikuwa sana askofu
@sarahseleman2126
@sarahseleman2126 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana baba yangu mkuu
@jiwejiwe3224
@jiwejiwe3224 4 жыл бұрын
Nimewafyeks kwa jina la yesu
@merrymerry5199
@merrymerry5199 4 жыл бұрын
Wapingweeeeeee kwa Jina la yesu kristo
@pastorhermantv5420
@pastorhermantv5420 4 жыл бұрын
Ameeen Baba yaan leo nilikua rohoni sana nami nimefrhi kufundisha kama wewe
@kapingatshiasuma5647
@kapingatshiasuma5647 4 жыл бұрын
Mungu wangu a akubariki Sana na sana na Sana 🙏🏻🙏🙏🏻🙏 Aleluya
@borntowinborntoshine698
@borntowinborntoshine698 4 жыл бұрын
Am blessed by the word of God thank you man of God .. May God increase you and entire family of ufufuo
@tegemeomalimi9014
@tegemeomalimi9014 4 жыл бұрын
Ahsante Babaaaaa.....Siku ileeeee Imewadia.....Panua Mipaka....Panuaaa......
@dionestermwinuka7520
@dionestermwinuka7520 2 жыл бұрын
Nataman uje na mbeya siku moja
@nicolemulonda8984
@nicolemulonda8984 4 жыл бұрын
Amen baba yangu
@ufufuonauzimakitui
@ufufuonauzimakitui 4 жыл бұрын
Amen baba Apigweeeee
@longinocleophace3184
@longinocleophace3184 3 жыл бұрын
Josephat gwajima wokovu
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Tuwapige wachawi kajina La Yesu
@rachelmligwa5922
@rachelmligwa5922 4 жыл бұрын
Asante Yesu maana leo nimerudishiwa macho yangu
@edwinonsombi
@edwinonsombi Жыл бұрын
Ameni
@lucaskanyasutv9385
@lucaskanyasutv9385 Жыл бұрын
Naikubali injili hii na shuhuda hizo ni hakika
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Nakataa kufa ndotoni kwajina laYesu
@EndTimeCrusander
@EndTimeCrusander 4 жыл бұрын
Iron sharpens iron thank you sir!
@tonnymasiga4828
@tonnymasiga4828 4 жыл бұрын
Man of God you are powerful and strong man
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 4 жыл бұрын
i believe.i receive.Amen.
@zawadimwanyuke3053
@zawadimwanyuke3053 4 жыл бұрын
Amen amen Asante sana mutu wa mungu
@upendomsemo3880
@upendomsemo3880 4 жыл бұрын
BArikiwa mtumishi wa Mungu
@user-gl8du7zx6m
@user-gl8du7zx6m 7 ай бұрын
Amen
@annkim2690
@annkim2690 4 жыл бұрын
Amen man of God may u live long
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Batili batili batil ndoto mbaya
@blessingsgeneral93
@blessingsgeneral93 4 жыл бұрын
🖤❤💚Hii ni kali sana 🤝🖤❤💚🤝
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 7 ай бұрын
Ha ha ha ulishawah kuona sampuli hii
@esthercharles2210
@esthercharles2210 4 жыл бұрын
AMEN
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rachelmakokha7389
@rachelmakokha7389 4 жыл бұрын
Ameeen Amen
@neemadonath5737
@neemadonath5737 4 жыл бұрын
Ulikuwepo mtumishi wa mungu km unanisema mimi
@paschalinahharis9604
@paschalinahharis9604 4 жыл бұрын
Safi sana Flora uinuliwe na Bwana zaidi
@dr.sarahosima8066
@dr.sarahosima8066 Жыл бұрын
WAPIGWEEE
@immaculatenowara97
@immaculatenowara97 4 жыл бұрын
Amen Amen my Dad God bless you
@steliakyteisiehello6096
@steliakyteisiehello6096 4 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@jacksonasiimwe4230
@jacksonasiimwe4230 4 жыл бұрын
Amen from Australia
@agnesslyatuu8026
@agnesslyatuu8026 4 жыл бұрын
Ameeeeeeenii
@janetchinga5617
@janetchinga5617 4 жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏
@mtewatina9471
@mtewatina9471 4 жыл бұрын
Amen amen baba
@oliviarevocatus9540
@oliviarevocatus9540 4 жыл бұрын
Amen Amen fire fire fire
@mysskibe
@mysskibe 2 жыл бұрын
Ameeen 🙏🏿🙏🏿
@henryokello6609
@henryokello6609 Жыл бұрын
Tangu ulivokuja mikumi wachawi wamepunguwa
@esthercharles2210
@esthercharles2210 4 жыл бұрын
Wapigweeeeeee
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 4 жыл бұрын
Wachawi wapigweeeeeeee🔥🔥🔥🔥
@jamesmutema2113
@jamesmutema2113 4 жыл бұрын
Wapigweeeeeee
@franciskennethngwale5195
@franciskennethngwale5195 Жыл бұрын
Like
@nicolemulonda8984
@nicolemulonda8984 4 жыл бұрын
Sisi ni waonaji
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 4 жыл бұрын
Ameen baba
@jacobmagulu6859
@jacobmagulu6859 4 жыл бұрын
Ameen.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 4 жыл бұрын
Mkimaliza na mimi ntaanza 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 4 жыл бұрын
wapumbavu hao wameshashindwa hahaaaaa
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 4 жыл бұрын
Haaaaaa
@malindisamwel4144
@malindisamwel4144 4 жыл бұрын
Ameeeee
@derickmsokwa1882
@derickmsokwa1882 4 жыл бұрын
Et unataka kulala unaomba li saaa lizimaaa omba kwa imani ....hapo nimekupata Dr.
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 4 жыл бұрын
Chuma kinaongea
@brigitharmacha4991
@brigitharmacha4991 4 жыл бұрын
God bless u
@gjgtv8134
@gjgtv8134 4 жыл бұрын
Ameen my Daddy
@wanzitaathumani5174
@wanzitaathumani5174 4 жыл бұрын
Wapigweeeee!!!!!!!
@wanzitaathumani5174
@wanzitaathumani5174 4 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!
@wanzitaathumani5174
@wanzitaathumani5174 4 жыл бұрын
Natamani nije huko msaada pakufikia pia no.ya mawasiliano
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Amen 🙏🏻🙏🏻
@wanzitaathumani5174
@wanzitaathumani5174 4 жыл бұрын
Wapigweeeee;!!!!!!!!!!
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣wameacha mikia yao🔥🔥🔥
@yusuphnestory7349
@yusuphnestory7349 4 жыл бұрын
Saw
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Fayaaaaa
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 4 жыл бұрын
Ni bahati mbaya bado hakuna anayeweza kubaini uongo wa huyu askofu. Kuna hadithi nyingine akizisi.ulia zina ukakasi sana. Nilimsikia akielezea hadithi ya wezi na jiwe la fatuma. Nilicheka sana. Kwa sababu hiyo ni hadithi iliyotokea miaka ya nyuma mkoani kilimanjaro. Lak ok ni yeye alisema ilitokea kwake yeye. Mtamjua siku sio nyingi kwenye hizi kampeni zinazokuja.
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Kama humpendi unamfuatilia ya nini sasa,mbona vipo vitu Vingi vya kufuatilia ,na wapo watumishi wengine wengi na mambo mengine mengi,usipoteze MB zako kwa kumuangalia MTU ambaye kila siku unamkosoa.
@negelowile441
@negelowile441 2 жыл бұрын
@@highzacknnko4002 sahii
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 4 жыл бұрын
Apigweeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NDOTO NA SIKU ZETU: BISHOP GWAJIMA IS LIVE NOW: 02.08.2020
41:02
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 21 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 85 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН
ASKOFU KAKOBE: Nyerere siyo Mungu asiyekuwa na makosa
9:00
Wess Right
Рет қаралды 157 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU YA MAISHA NA BARAKA YA KIVIZAZI
39:08
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 10 М.
Karama ya Mungu haina Majuto | Bishop Dr. Josephat Gwajima | 11.09.2024
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 87
Aina ya marafiki Bishop Gwajima
2:58
UZIMA TV
Рет қаралды 8 М.
MUNGU AKIKUPA KITU AMEKUPA HAWEZI KUKUNYANG’ANG’A | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA
21:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
GWAJIMA | "MIMI NIKIONGEA JAMBO NAWEZA KUBADILI UPEPO SASA HIVI" MOTO UMEWAKA SASA
29:01