No video

Ndoto na Tafsiri zake - Askofu Gwajima Full Sermon 12/06/2015

  Рет қаралды 119,900

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

To support this Ministry contact whatsapp 0623057134 or 0714729805

Пікірлер: 83
@FloraIloko
@FloraIloko 2 ай бұрын
Amen my pastor one of the true leader in my country soldier of christ more grace sir
@mwacuka119
@mwacuka119 2 жыл бұрын
Amen and Amen. Neno hili nalipokea katika Jina la Yesu..
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 Жыл бұрын
Ameeen my father
@helmanjoseph8854
@helmanjoseph8854 Жыл бұрын
Amen
@godfreysiata7014
@godfreysiata7014 4 жыл бұрын
Amen nimeota nimepewa kifunguo ya Gari napokea katika jina la yesu Amina
@juddieemma32
@juddieemma32 2 жыл бұрын
Amen ....nimeona upako wa mungu kupitia huduma hii..may u be blessed so much.
@saz6s324
@saz6s324 7 жыл бұрын
Amen ndoto yangu nzuri itatimie kwa jina la yesu
@oscaremmanuel9732
@oscaremmanuel9732 3 жыл бұрын
Napokea ushindi katika Jina la Yesu Kristo.
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 5 жыл бұрын
Nashukuru saana Mungu kwa somo la ndoto ,Mungu akubariki Sana baba ,ndoto yangu japokua itachukua mda gani itatimia kwa Jina la Yesu.
@marympemba1829
@marympemba1829 3 жыл бұрын
Asante muchungaji, somo nzuri sana na linatusaidia kujua mengi spiritually
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 жыл бұрын
you are man of God God bless you
@nellymukantwari9036
@nellymukantwari9036 2 жыл бұрын
Jamani huyu rwajima nitamupata wapi safike Burundi miye ninataka kumuona n'a maco yangu mungu azidi kukubariki mafutayako yazidi kuwa mengi
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 7 жыл бұрын
Amen napenda Yesu sana kwa maisha unao ipitia ina kuwa ndaraja ya kupitia thank God you are so amazing and your lovely God never fail Jesus🙏🙏🙏🙏🙏.
@perufamily6941
@perufamily6941 8 жыл бұрын
Amen baba ninayo ndoto naiita ndoto yangu njooooo. Mchungaji mmoja akaniambia aliota ndoto inayonihusu mm kwamba aliona nina biblia kubwa sana ni nzito alijaribu kuibeba hakuweza na ndani ya hiyo biblia kuna lugha za mataifa mbalimbali. Baba niombee ndoto hiyo itimie. Toka nizaliwe nimekuwa nikipitia magumu sana
@agnesminja4727
@agnesminja4727 6 жыл бұрын
Kwa kweli somo la ndoto limenigusa sana na kunitoa mahali nilipokuwa nimekwama barikiwa baba askofu mungu akupe miaka mingi ili watu wengi waendelee kunufaika na kazi ya Bwana Yesu ndani yako.
@isackbaton3682
@isackbaton3682 5 жыл бұрын
Agnes Minja amina Dada nikiwepo mimi
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 8 жыл бұрын
Amen nime pokea kwa Jina la Yesu Amen. Thanks Lord to send him and pray for who's in hard condition .
@wanyendakutta1936
@wanyendakutta1936 4 жыл бұрын
amen pastor umenena vema ktk maisha yetu tumepona sasa
@kokubanza8538
@kokubanza8538 8 жыл бұрын
umenigusa sana nilikuwa sijawahi kukusikiliza umenisaidia ndoto zangu nitaziandia kwanzia Leo mimi nimuota ndoto maarufu hapa duniani sema nyingi nazisahau
@dannyking7782
@dannyking7782 7 жыл бұрын
kokumbanza maiko didas pole dada
@hillsgate386
@hillsgate386 8 жыл бұрын
Thanks I've learnt something about this message about dreams,forsaking dreams are very dangerous sometimes.
@joannembaja6053
@joannembaja6053 5 жыл бұрын
Ubarikiwe askofu,Mungu anakutumia kuwafungua akili watu nyakati hizi ambapo wengi wanahubiri baraka hali kuna matatizo ya kumjua Mungu sana..niombee hats Mimi ndoto zangu nzuri ila nyingi zachukua mda kutokea.japo Luna Sikh asubui naota nikaamka na kukemea asubui ile ikatokea na sababu ya kuomba sikupatwa na balaa
@benefactorkitalika4614
@benefactorkitalika4614 4 жыл бұрын
Baba mchunji naomba unuombee Mimi niota ndoto nafanya mapezi na watu wasiojulika na kila ninaposhtuk naanza kukemea
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 7 жыл бұрын
Yaani umenifungua sana. Mimi nimeota ndoto ambayo nimeota zaidi ya mara 10 ikinijia kwa utafauti naumwa miguu mpaka siwezi kutembea kabisa hata kuinuka. Ni miaka kama mitatu. Ninapoandika nimeanza kuumwa miguu. Namwomba Mungu aniponye na Mungu anisamehe kwa kutokutii sauti yake.
@pitambike5544
@pitambike5544 7 жыл бұрын
Sophia Mwakila
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 жыл бұрын
Kweli Mungu alikuwa anakupa taarifa ya kinachokuja mbele! Ayubu 33:14-18ndo maana ilikuwa inarudia Hivyo ulïtakiwa uifanyie kazi kwa kukataa hilo tatizo ! Hivyo basi Mungu ni wa rehemà sn,omba toba kwa Mungu kwa kutotii hiyo sauti, hatua ya pili ng'oa,futa kila kilichoachiliwa kupitia ndoto na kuleta madhara mpk umeanza kuumwa kwa kutumia DAMU YA YESU
@vioellyuther395
@vioellyuther395 6 жыл бұрын
Sophia Mwakila pole
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 5 жыл бұрын
Hallelujah praise God
@noellamabumbwa8901
@noellamabumbwa8901 4 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji ; nimefunzwa kabisaaa
@datsanmechant863
@datsanmechant863 8 жыл бұрын
Ameeeeeeeen.. in the might name of JESUS CHRIST IT WILL BE.. AMEEEEEEEN.
@peninaancon1256
@peninaancon1256 4 жыл бұрын
Ujumbe umenigusa. Na ni kwaajili yangu Leo hii.
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kwa somo nzuri sana Amen Amen ndoto yangu itatimia
@revocatusmuganga6278
@revocatusmuganga6278 7 жыл бұрын
Somo zuri Sana limenifunza mambo mengi sana Baba askofu ubarikiwe.
@maryadega7157
@maryadega7157 8 жыл бұрын
I call my dream in Jesus name to come to pass soonest in Jesus Name.Thank you servant of God be blessed.
@adelmwajupatient1641
@adelmwajupatient1641 6 жыл бұрын
Daddy!!!,amen amen amen
@salomewanjirukibira9933
@salomewanjirukibira9933 7 жыл бұрын
mungu akubaliki mshunganji kwa kazi mzuri yake .nimejua mengi kupitiya mafuzo yako Amen
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 жыл бұрын
mungu akubariki sana nabarikiwa sana nikiwa saudia
@mariamohamed4870
@mariamohamed4870 7 жыл бұрын
Somo zuri nimebarikiwa sana nami nang'ang'ana mpk ndoto yangu itimie.ubarikiwe mpakwa mafuta wa bwana
@shohamuwokovuhalisi.2648
@shohamuwokovuhalisi.2648 8 жыл бұрын
Amina ndoto yangu nzuri itatimia kwa JINA LA YESU KRISTO.
@datsanmechant863
@datsanmechant863 8 жыл бұрын
ameeen
@dstrings508
@dstrings508 5 жыл бұрын
Shalom Baba.naombannisaidie nini maana ya kuota.ulo kwenye treni inayokimbia kasi.
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 5 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 7 жыл бұрын
nikweli kabisa. nakumbuka Mungu anaongea na mimi nikiwa nime lala. Amen thank you God you are awesome to my life Lord!!😇😇
@rehemazitatu4039
@rehemazitatu4039 6 жыл бұрын
if God with us who can against us I loveJesus i
@rehemamohamedi5132
@rehemamohamedi5132 4 жыл бұрын
Mch barkiwa na vizazi vyako jaman
@hamidankata2590
@hamidankata2590 7 жыл бұрын
Mafundisho mazuri saana mtumishi
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 6 жыл бұрын
Amen!!!
@carolyneoirere4748
@carolyneoirere4748 3 жыл бұрын
Ameeeeen
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 8 жыл бұрын
Amen amen mon PAPA
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Jamani cameramen, mtumishi anapotaja mtu, mzee Gwajima, salama, grace, Amos, please roll the camera so we can all see the person please
@princessyvetteevedollyisma2586
@princessyvetteevedollyisma2586 7 жыл бұрын
nimekuamini sasa mungu akubariki
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 жыл бұрын
hallelujah hallelujah haleluhya
@johnsonnjamasi9567
@johnsonnjamasi9567 7 жыл бұрын
Safi Mch. Gwajima ! Nmependa somo hl
@fettyally7893
@fettyally7893 8 жыл бұрын
Ameen!!
@charlesimalimi9865
@charlesimalimi9865 5 жыл бұрын
Nmeota kuwa naomba na mbwa nikwa nataka kumchana mdomo yule mbwa kisha mbwa akawa anatoa maneno akisema nmsameh nami nkamwonea huruma na nikaanza kumbembeleza kwa kupapasa mgongon,kisha ile ndoto ikawa inaendelea kuwa nmelala na kuota kua npo kijijin na sehem nisiyoijua na nikiwa na rafiki nisie mjua piah mara mtu akatokea mbele yetu akiwa anatusogelea na mm nlikua nyuma kidogo na yule rafki nisie mjua maan yy alikua na baisker, mara yule mtu aliekua kma mganga akawa anataja jina lang kwa saut ya chini kdogo japo nilkua naskia nikiwa ndotoni akisema Charles usifanikiwe huku akiwa ameshikiria vtu mkononi pake kama mkia wa ng'mbe na fimbo ikininyoshea mm nkageuka nyuma kuangalia nakuna familia mja nkawa nmekimbilia pale ghafla nlipo fika pale alie toka nje kuniuliza kulikoni alikua askofu gwajima mtumishi wa mungu, kwa kwel baada ya kuona vle mtumishe wa mungu yupo pale naijiwa na imani ya kwamba atanisadia, huku yule mganga akizidi kukaribia akiwa ananuia maneno yaleyale ..Charles usifanikiwe ' kisha askofu akawa anamfuata yule mtu na kumuuliza ww n nani, hule mganga hakujibu Bali aliongeza saut na kutamka Yale maneno kisha nkiwa nmeingia kwenye chumba fulan hv kilichokua na giza na hakina dirisha ila mlango ulikuwepo ili kujificha mara askofu akaanza kumkemea yule mtu na kuanza kukimbia akisema yy n jin katumwa tyu baada ya kukimbia akiwa anafukuzwa na familia ile huku na mm nafuata nyuma tukatokea sehemu pana uwanja na watu wapo wanaangalia mpira, yule mtu akawa amedondoka akisema n mm wale wameondoka nisemehen tyu hapo tukawa tumemuacha ndipo nkawa nmeamka kutoka usingizini..natamani njue hyo ndoto inamaana gani tafadhari naomba msaada..
@kokubanza8538
@kokubanza8538 8 жыл бұрын
mimi naota sikuhizi harafu na sahau lakini inanisumbua moyoni kutaka kuijua jamani
@josephmunna8577
@josephmunna8577 8 жыл бұрын
Amina aminaaaaa
@faradaykanylugha9271
@faradaykanylugha9271 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@catherinealcy9176
@catherinealcy9176 7 жыл бұрын
UKWELI KABISA!!!
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 жыл бұрын
Kiatu cha Bwana hahahaaaa safi saaana
@estherluzenja6117
@estherluzenja6117 7 жыл бұрын
Lesson learnt
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 2 жыл бұрын
Mwokaji ndiyo alinyongwa lakin mweshaji alirudishwa kwenye kazi yake maana mwokajia alikuwa anaoka mikate ya mfalme yamkin na mweshaji huyu ni mtengeneza vinywaji yamkin farao aliumwa hata akaharisha ndy akawatupa gerezan hawa mtazamo wangu lakn
@titusmarwa2370
@titusmarwa2370 6 жыл бұрын
Amen;
@rehemamahenge5088
@rehemamahenge5088 6 жыл бұрын
Titus Marwa
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 6 жыл бұрын
Nilikuwa bado kusikia lililo kuwa ndani kumbe mambo kabisa mchungaji kanifurahisha sana. Mtu anasoma vitabu akitumia kaffé na mguu ndani ya maji...... Kkkkkkkkk Sifi kabla sijaona ndoto yangu. Mungu mapenzi yako yafanyike
@tupokigwemwakabanga9769
@tupokigwemwakabanga9769 6 жыл бұрын
Kunasiku niliota watu walikuwa wamepanga foleni sikujua ni foleni ya kwenda wapi. Lkn ghafla mtu mmoja akaniambia "karibu ningia sema nikakuombee nini"ghafla nikagundua kuwa ni foleni ya kwenda mbinguni lkn nikashituka kabla sijajibu.
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 жыл бұрын
bro nasikia Mahubiri hadi nalia
@princessthecute2732
@princessthecute2732 6 жыл бұрын
I have been having dreams fighting with the demons, what does that mean. I really need spiritual help
@chrysentlaizer9642
@chrysentlaizer9642 7 жыл бұрын
safi
@maimunaponza593
@maimunaponza593 8 жыл бұрын
mm leo nimeota juu ya mbingu kulikuwa kweusi alafu wametokea watu wawili wajabu sana alafu maji yanamwagika na kuanza kusomba watu tofauki imenitisha kweri je hii ndoto yangu inamahanisha nn pls napenda kujua
@jireoh5493
@jireoh5493 8 жыл бұрын
plz pastor Nombee Nko na hitaji ya ndoa yangu tulundiane na mume wangu Cna na amani ata
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 жыл бұрын
jire Oh Omba toba kwa kila kilichosababisha mfikie hatua hiyo na kuachana! Then omba kumrudisha na chochote kinachozuia kipndoe kwa damu ya Yesu
@shukurusbxrule
@shukurusbxrule 7 жыл бұрын
mimi nina swali sasa ukiwa katika ndoto mbaya ni kwanini
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 жыл бұрын
Shukuru Sb_Rap Ndoto ni mlango ambao Mungu anautumia kusema na watu! Lkn mlango huo pia unaeza kutumiwa na adui,shetani! Hivyo sio kila ndoto hutoka kwa Mungu,kuna ndoto ambazo hutoka kwa shetani,hivyo ni muhimu kuombea mlango wa ndoto ili adui asipitishe vitu vyake! Hivyo ndoto mbaya ,lzm ukiamka ukatae kwa jina laYesu hayo mabaya yasitokee!
@kesiamenyaulilaizer392
@kesiamenyaulilaizer392 4 жыл бұрын
nDOTO ZINGINE ZINATISHA MTU UNAOTA ETI MTU KAINGIA KWA POCHI KAKUIBIA DOLA ZAKO.LOO SHETANI SHINDWA KURUDISHANA NYUMA HUKU
@mariamfaith9914
@mariamfaith9914 3 жыл бұрын
Amen
@elizabethsimonmapunda7678
@elizabethsimonmapunda7678 6 жыл бұрын
Amen
@maryannemuumbi6851
@maryannemuumbi6851 6 жыл бұрын
Amen
@saz6s324
@saz6s324 7 жыл бұрын
Amen
Kwanini Unaota unakula au unalishwa chakula?
1:31:29
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 98 М.
KUVUNJA LAANA YA UDONGO PART 1/5 - Bishop Dr Josephat Gwajima
46:21
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 37 М.
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 7 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 2,1 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ #akashatv #mawaidha
1:35:51
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
ADUI WA NJIANI | BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA | 24.04.2022
2:24:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 78 М.
KWANINI MUNGU ANATAKA SADAKA KUTOKA KWETU? | ASKOFU SENTOZI
46:57
The Open Forum Episode 58
3:48:17
EFDawah
Рет қаралды 70 М.
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
"TAFSIRI YA NDOTO YA NG'OMBE KIBIBLIA|KKKT KARIAKOO|Mch Joash Aila.
44:40
Askofu Gwajima -  Siri ya Kusubiri Kabla ya Ndoa
48:17
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 69 М.
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 7 МЛН