ADUI WA NJIANI | BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA | 24.04.2022

  Рет қаралды 80,680

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@harunisalingo
@harunisalingo Жыл бұрын
Emen and i am so blessed with the message Bishop Gwajima, I'm fully connected myself with this alter in Jesus name.
@dannyulomi9727
@dannyulomi9727 10 ай бұрын
Amen baba ahsante Kwa somo Zuri sana
@japhetathuman8592
@japhetathuman8592 2 жыл бұрын
Haleluya BWANA ni mwema sana tangu nilipoanza kuungana na huduma ya UFUFUO NA UZIMA nimejifunza kupiga vita vya kiroho zaidi na zaidi.
@greggmarshall4869
@greggmarshall4869 2 жыл бұрын
Ameeeen, I say amen after three weeks this sermon has been posted but what i know the word of God doesn't expire sureeeee.
@ndatoyeaspert6745
@ndatoyeaspert6745 2 жыл бұрын
Adui wa jia yangu wote wameondolewa kwajina la Yesu
@Gaynor1234
@Gaynor1234 2 жыл бұрын
Amen. Asante kwa Neno lako zuri kupitia Mtumishi wako. Nalipokea kwa Jina la Yesu, Amen.
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 2 жыл бұрын
Mwana wa Mungu tunakupenda sana Mungu akupe maisha marefu duniani
@sylviawambui4303
@sylviawambui4303 2 жыл бұрын
1
@PendoSamson-rr8uy
@PendoSamson-rr8uy Жыл бұрын
Tunampenda hasa yaani sanaaaaaa
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Ndiyo Baba tuna songambele ,watakaotufata wazame kwa Jinala Yesu
@harerimanadaniel7202
@harerimanadaniel7202 2 жыл бұрын
Kabisa ni kweri ufunuwo wa kweri ubarikie MUTUMISH WA MUNGU.
@devotamwambola8303
@devotamwambola8303 2 жыл бұрын
Barikiwa sanaaa Mwana wa Mungu.
@astaafriqa9275
@astaafriqa9275 2 жыл бұрын
Amen Amen Asante papa nashukulu sana wagawanyike nipite wazamekwajinalayesu.Amen
@kasashimujinga3814
@kasashimujinga3814 Жыл бұрын
Amen!!! NaBarikiwa kwa mtumishi wa bwana Bishop gwajima
@VictoriavannesaPius
@VictoriavannesaPius Ай бұрын
Kila aliyezuia njia yangu agawanyike kwa jina la Yesu
@alphonsemwendelwa2793
@alphonsemwendelwa2793 5 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu unatusaidia mambo mengi sana unatusaidia sana
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 жыл бұрын
Ayayayayayaya!!!!! Lazima tutoke na adui wa njiani hawatazuia kusudi, mpango na ahadi za Mungu. Watatatana na watapatana sisi tutapita katikati yao, haleluya!!! Napita kwa jina la Yesu!!! Wewe Farao unataka kunifuata, haya nifuate utabaki baharini ukielea. Natoka na watoto wangu na ng'ombe zangu na kondoo zangu na vyote alivyonibariki Mungu ukavishikilia.
@abellameck440
@abellameck440 2 жыл бұрын
Amina mtumishi nimejifunza
@maryjerome6160
@maryjerome6160 2 жыл бұрын
Amen, napokea yote kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliyehai.
@gusaunasesospiter5230
@gusaunasesospiter5230 10 ай бұрын
Gwajimaaaaaaa nakupenda sana baba yangu maneno yako yananijenga sana
@JaclineGoglas
@JaclineGoglas Ай бұрын
Baba naomba utuletete injili huku mang'ola mkoa wa Arusha tunateseka baba.
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 2 жыл бұрын
Amen 🤗🤗🤗🤗i receive my husband from UK in the name of Jesus 🙏🙏🙏
@milikaekal8623
@milikaekal8623 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu nimebarikiwa
@twiser6029
@twiser6029 2 жыл бұрын
Amin mtumishi.Umeyasema yaliyofichika na yaliyo yakini barikiwa
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
Ameeen Bwana anausuka mwili wangu Kwa ajili ya kazi yake. Farasi na mpanda farasi lazima waelee baharini Kwa Damu ya Yesu
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
Nafukia mashimo ya adui wa njiani Kwa jina la YESU Kristo 🙏
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Wafe wao namagariyao yavita yakwame mimi na familia yangu tuvuke bahari ya Shamu Amen
@eliyamtotowayesuahsanteyes1250
@eliyamtotowayesuahsanteyes1250 2 жыл бұрын
Ibaada hii tamu sana mungu akubariki sana askofu
@pierrekabunga5843
@pierrekabunga5843 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa uduma hiyo.
@nchekumunuo5134
@nchekumunuo5134 2 жыл бұрын
Eimen eeh Bwana napokea njia yakunifikisha uliponiambia
@pstvincentnyakundiofficial616
@pstvincentnyakundiofficial616 2 жыл бұрын
God bless you Bishop (from Kenya)
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Asante sana iyinihekma yakina kirefu
@nathanielsteven2186
@nathanielsteven2186 2 жыл бұрын
MAOMBI YANGU KWA MUNGU JUU YA HAWA WATUMISHI WA MUNGU,AWABAKIZE KIDOGO,KIDOGO TU ANGALAU WAINULIEWE WENGINE WATAKAOSIMAMA KWAAJILI YA JINA LAKE KTK TAIFA HILI.Mungu awafunike,awalinde,awahifadhi usiku na mchana.KARIBUNI IFAKARA,MLIMBA,MALINYI NA MAHENGE,kuna mbegu mtakiacha kwenye miji hizi🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@floraluaga1795
@floraluaga1795 2 жыл бұрын
Ok Nathanael mwisrael kweli kweli asiye kuwa na hila ndani yake
@floraluaga1795
@floraluaga1795 2 жыл бұрын
Awabakishe San cyo kidogo
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@floraluaga1795 sio sana tuu Sana Sana Sana Sana Sana sana Sana Sana Sana yaaani Sana Sana Sana Sana Sana narudia Sana Sana Sana Sana Sana Sana sana
@mwaminilikane2281
@mwaminilikane2281 2 жыл бұрын
Mtumishi Mungu wa Ibrahim, Yakobo na Isaka azid kukutia nguvu zaid na zaid neno la Mungu latuponya na kunifariji tunakufuatilia sana.
@irenenjeri1646
@irenenjeri1646 Жыл бұрын
Asante roho mtakatifu for ur help ad use of mightly man of God
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Wagawanyike kwa Jina Yesu kweli na mimi nipate kazi
@esthersubbi8605
@esthersubbi8605 2 жыл бұрын
Amina.....napokea kwa Jina la Yesu ahadi zake
@estherwathuku1232
@estherwathuku1232 2 жыл бұрын
God's n his word r the same .... Distance is not a barrier I receive 🤲🙏🙏
@maryjerome6160
@maryjerome6160 2 жыл бұрын
Amen,, napokea kutengenezwa mwili wangu kwa ajili ya kazi maalum. Kwa jina la Yesu. Amen
@bahatichombo7209
@bahatichombo7209 2 жыл бұрын
KAKA YANGU BISHOP WANGU KUSEMA KWELI NIMEFURAHISHWA SANA NA HAYA MAHUBILI YA LEO UBARIKIWE SANA
@lilianebahati7290
@lilianebahati7290 2 жыл бұрын
Murakoze caneee Uhoraho aguhu migisha mwungere
@martinsntonyo8537
@martinsntonyo8537 2 жыл бұрын
Amen baba askof nimebarikiwa Mungu atukuzwe na ikawe kama nilivosema
@MariamSindano-k3c
@MariamSindano-k3c Жыл бұрын
Nawapiga adui wa njiani wote Kwan jina IA Yesu
@dorcasblanketministries70
@dorcasblanketministries70 2 жыл бұрын
Amen naagiza Malaika wakawatowe watu mashimoni hata huku Rwanda kwa mamlaka ya Damu ya Yesu
@mercyaleyo981
@mercyaleyo981 2 жыл бұрын
Ujumbe mzito sana. Nisaidieni ninashiriki kutoka kenya. Ila kila mara najaribu kutoa sadaka huwa haiwezekani. Naomba maelekezo
@JosephatGwajimaRudishaTv
@JosephatGwajimaRudishaTv 2 жыл бұрын
Kusapoti huduma ya Askofu Gwajima; Unaweza kutuma sadaka yako kupitia namba zifuatazo: MPESA- +255 763 432 025 | TIGOPESA- +255 65 480 8036 | AIRTEL MONEY- +255 787 485 811 | Mungu akubariki!
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Жыл бұрын
Namfuta niko kwenye utumishi Kwa jina la YESU Kristo
@jovithaclavery6474
@jovithaclavery6474 2 жыл бұрын
adui zangu wa njiani nawafyekaaa woteee kwa jina la Yesu ,nawapondaponda wotee
@jesusjesus7231
@jesusjesus7231 2 жыл бұрын
Amen Mtu wambingu napokeya ujumbe yangu Kwa nguvu sana Maneno yangu ya unabi nikiwa TU mushida Mungu anakutumiyaka anakupa Maneno yakuni fariji ubarikiwe naweye TU Njoo mwenye Mungu ananitumiya Uniombeye ndotoni
@edwinonsombi
@edwinonsombi 2 жыл бұрын
Amen, napita kwa jina la Yesu. somo nzuri sana
@monikajuma9012
@monikajuma9012 Жыл бұрын
Amezwa wote wanonfuatiliawaniache mimi na watoto wangu
@marystellambogo2820
@marystellambogo2820 2 жыл бұрын
Aminaa, Jasusi la mbinguni nakupenda baba
@agnesjandwa7362
@agnesjandwa7362 2 жыл бұрын
Najengeka sana kwa mahubiri yako baba. Unanijenga kama msingi ulio imara sana. Asante baba yangu.
@godfreymsembe169
@godfreymsembe169 2 жыл бұрын
Amen napokea kutengenezwa mwili Kwa jina la Yesu kwaajili ya kazi maalum
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Yani vile unavyo hubiri hii story ya pharaoh do mpaka Ina ladha nzuri may u live long
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Amen,Amen , I will just press on to my destiny,no matter what my enemies are planning against me, I don’t care so long as God is on my side.
@faithmakena9988
@faithmakena9988 2 жыл бұрын
Amen.Our enemies are liers
@marythindwa3267
@marythindwa3267 2 жыл бұрын
Halelluah bishop leo nawabiga hadui zangu. Amen
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 жыл бұрын
Nawagawa kwa jina la Yesu
@catherinendubi4416
@catherinendubi4416 Жыл бұрын
Let my people go.hata Leo 7th march 2023 nasema siwachi hata kwato.kila adui wa njiani wachia Kwa Jina la Yesu
@daliuskahilila2431
@daliuskahilila2431 2 жыл бұрын
Farasi na mpanda farasi wa maisha yangu watoswe baharini kwa jina la YESU
@rhodamwakatundu5226
@rhodamwakatundu5226 2 жыл бұрын
Thank you Jesus Christ 🙏🙏🙏
@dorcasblanketministries70
@dorcasblanketministries70 2 жыл бұрын
Ni kweli Baba Askofu lakini huku Rwanda hatujuwi tupite njia gani kusupport kazi ya Mungu
@naomigathia1703
@naomigathia1703 2 жыл бұрын
Amina amina. Napokea hili neno kwangu kwa jina la Yesu Kristo. Ewe Mungu muumba wa vyote nipiganie kwa adui wa njia yangu.
@michaelouma1040
@michaelouma1040 2 жыл бұрын
Let them sink in the mighty name of Jesus
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 2 жыл бұрын
Naona Yesu anarudi upesi sana enezeni habari njema kote duniani.
@noelpaul640
@noelpaul640 2 жыл бұрын
Powerful Revelation
@annaseleman1851
@annaseleman1851 2 жыл бұрын
Karibu singida wilaya ya mkalama Amina baba
@jesusjesus7231
@jesusjesus7231 2 жыл бұрын
Amen Baba Roho Mutakatifu ndiye mufariji wa jamaa yangu
@catherineefraim8392
@catherineefraim8392 2 жыл бұрын
Napita Kwa jina la Yesu
@davidkabodo8019
@davidkabodo8019 2 жыл бұрын
Amen amen man of God
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 5 ай бұрын
Amen Amen baba.
@alicensabimana2137
@alicensabimana2137 2 жыл бұрын
Lindwa amen Amen Amen
@anifasifa6150
@anifasifa6150 2 жыл бұрын
Haleluya 🥳🥳🥳
@josephmaundu7351
@josephmaundu7351 2 жыл бұрын
Karibu kitui kenya
@Patience.67
@Patience.67 2 жыл бұрын
Ameeeen asante Kwa mafunzo mazuri 🔥
@Patience.67
@Patience.67 2 жыл бұрын
Wow what a revelation 💕💕
@esterlazaro7774
@esterlazaro7774 2 жыл бұрын
Barikiwa 🙏
@MariamSindano-k3c
@MariamSindano-k3c Жыл бұрын
Amina Baba
@maryrungwe1373
@maryrungwe1373 2 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@devotamwambola8303
@devotamwambola8303 2 жыл бұрын
Amen nitapita kwa jina la Yesu
@rahmamusa4484
@rahmamusa4484 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 жыл бұрын
Ameeen
@josephmukhwana4795
@josephmukhwana4795 2 жыл бұрын
Our future Prezo amen
@rahmamusa4484
@rahmamusa4484 Жыл бұрын
❤Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@neemamassame8183
@neemamassame8183 2 жыл бұрын
Amen God Jehova strengthen us
@selinasitonik1594
@selinasitonik1594 2 жыл бұрын
Amen and Amen Man of God 🙏
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 2 жыл бұрын
Big Ameeen 🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃👍
@alphonsemwendelwa2793
@alphonsemwendelwa2793 5 ай бұрын
Amen amen
@berthakumwenda7885
@berthakumwenda7885 2 жыл бұрын
I received 💪🙏
@catherinendubi4416
@catherinendubi4416 Жыл бұрын
Amen Amen.
@nchekumunuo5134
@nchekumunuo5134 2 жыл бұрын
Hallelujah
@sallysalamakenga6329
@sallysalamakenga6329 2 жыл бұрын
Ameeeen amen ameeeen my daddy
@yayanews6870
@yayanews6870 2 жыл бұрын
Karibu sana manyara
@MariamSindano-k3c
@MariamSindano-k3c Жыл бұрын
Ameen
@millicentochieng5740
@millicentochieng5740 2 жыл бұрын
Amen and Amen ,God bless you .
@mariarin6428
@mariarin6428 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@claudinemushimiyimana1804
@claudinemushimiyimana1804 Жыл бұрын
Ameeeeen
@AdamMdolo-cm6qi
@AdamMdolo-cm6qi Жыл бұрын
Ameeeeee
@belinsdrivingschoolltd5743
@belinsdrivingschoolltd5743 2 жыл бұрын
amina.
@mkushiinafricatvonline3309
@mkushiinafricatvonline3309 2 жыл бұрын
AMINA KUBWA
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 24 күн бұрын
❤❤❤❤Amina
@farida_mussa.
@farida_mussa. Жыл бұрын
Akika Wewe ni mchungaji na mwalimu vilevike
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Faith❤️❤️❤️
@geeva99
@geeva99 2 жыл бұрын
Kumbe huyu jamaa anamafundisho mazuri hivi!!
@noelpaul640
@noelpaul640 2 жыл бұрын
AMEN 🙏
@merianamaganga8413
@merianamaganga8413 2 жыл бұрын
Amina sana
Siku Ya Uovu | Bishop Josephat Gwajima | 06.12.2021
1:44:00
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 30 М.
BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA NDANI YA RETREAT CAMP DISEMBA 2023
1:34:26
Pastor Dickson Kabigumila
Рет қаралды 7 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 30 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
RAMANI YA UBAYA [Bishop Josephat Gwajima] 04.07.2021
2:47:22
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 45 М.
MICHORO YA UOVU: BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA: 03.11.2019
2:48:13
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 28 М.
Kuvunja viwanda vya Uharibifu -  Bishop Dr Josephat Gwajima
1:49:33
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 57 М.
HISTORIA USIYOIJUA JINSI MAREHEMU REMMY ONGALA ALIVYOKOKA KANISANI KWA ASKOFU GWAJIMA
35:12
Mch Moses Magembe - UTAWALA WA MPINGA KRISTO | KYELA 07
1:56:48
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 3,9 М.
MTU NA WAKATI WAKE WA VITA - ASKOFU GWAJIMA JUMAPILI 20.12.2020
1:52:31
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 59 М.
USHUHUDA WA MWANZO WA HUDUMA YA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA ALIVYOTOKA KWA ASKOFU SWAI,
33:49
GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu"
6:11
Global TV Online
Рет қаралды 97 М.
KEKIMA YA BISHOP GWAJIMA || RETREAT CAMP DAR ES SALAAM
56:31
Pastor Dickson Kabigumila
Рет қаралды 16 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 30 МЛН