Baba tumbua baba, mara nyingi watu hatuelewi umuhimu wa kuwa na kazi na ni muhimu sana.ukiuliza hayo utaambiwa upo kimwili hasa mwanamke. wanawake utabebeshwa majukumu yote na hataki u mwambie kweli! Bwana Yesu akubariki baba kwa kutuwaka sawa!
@mgallason...56865 жыл бұрын
dah, Ubarikiwe mtumishi.
@muumbisdota55097 жыл бұрын
So encouraging I will pause before I remarry thanks servant of God
@mwaumark43724 жыл бұрын
This man is blessed I say.
@laimosmasebo11178 жыл бұрын
asante sana mchungaji nakufuatilia sana mafundisho yako! siku nikipata nafasi ya kuja mjini ntahudhuria ibadani kwako.
@julietknight62705 жыл бұрын
Awesome teaching. Thank you Servant of GOD.
@matinipilla90424 жыл бұрын
Y
@reginarhina68379 жыл бұрын
Asante kwa mafundisha kwa sisi atuja olewe.
@allymanywele32997 жыл бұрын
Regina Rhina 0786035773 namba yng nibeep naomba
@larzapiproduction14276 жыл бұрын
Nakupenda sana rabi
@jenimakoi52506 жыл бұрын
Ahsante sana imenigusa mi ambae sijaolewa
@yunesnyabonyi17287 жыл бұрын
ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu
@larzapiproduction14276 жыл бұрын
Ubarikiwe san
@estherwaga19556 жыл бұрын
Thanks MOG
@musafirisuzana68626 жыл бұрын
kweli kabisa ubarikiw
@mwajumamapunda6249 жыл бұрын
somo nzuli xn ubalikiwe xn bb mch.nganyi
@agnessmwakyusa58757 жыл бұрын
barikiwa sana
@yohanangailo957 жыл бұрын
Amina kubwa
@isayamanyonyi88267 жыл бұрын
kwenye majukum hapo Ameen
@marietherese66807 жыл бұрын
ubarikiwa
@festoallan20357 жыл бұрын
somo zuri saaaaaaana
@isayamanyonyi88267 жыл бұрын
hiyo ni fafanuzi ya kibinadam ila siyo ya Mungu, mengine unasema ya kwel ila mengine hapana
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
safi sana una akili. ila achana n.a. suala la bashite
@franciskiwale53227 жыл бұрын
unanibariki baba
@lukafrancois75049 жыл бұрын
lakini Mungu haku mwambia mwana mme akae bila mke ,bali aliwabariki wakaijaze dunia, yaani Mungu haja penda mtu akae bila kuoa, na Mungu hakumwambia ADAMU atafute kwanza pesa za kumtunza mkewe na watoto baadaye waishi pamoja .wewe zamani ulisemaka kuna watu wana weza kupata maisha wakiwa wawili, kama mtu hapendi kuoa zababu hana pesa huyo anachemsha ukasema tena anatakiwa aowe kwa sababu baraka zake zitakuja wakati ana mke au mme. tena ukasema kunawatu hawaolewi ni kwasababu wanafungwa na nguvu za kichawi au wana mtupia majini ili asiolewe au kuoa kwenye ulimwengu wa roho, leo tena unasema kuwa singo ni vizuri , haujuwi kama utachanganya watu? mtu atafikiri anafuata maneno yako kumbe analongwa bila kujuwa , akisema mimi sipendi kuoa au kuolewa bila mafanyikio, unaposema biti awe na nyumba au gari unamaanisha akiwa na vitu hivyo ataenda kuoa mwana mme? unayo imani kwamba Mungu aliwahumba watu wote sawasawa? kama wewe ulikuwa napesa kabla aujaoa unafikiri hivyo ndivyo Mungu aliwapangia watu wote?. mimi niliowa bila pesa lakini leo ninapesa kidogo za kusaidia familia yangu, pesa hizo nazitafuta wakati niko na mke wangu na Mungu akafungua milango ya baraka. kwa hiyo usivunje watu moyo wakati wewe sio Mungu wa maisha ya watu. kuna maneno mazuri unayo sema na mangine ya kuvunja watu moyo. unaposema mtu akitaka kuowa awe kwanza na maisha sawa ,sasa akikosa maisha atakuja kwako akwambie , nakosa maisha lakini nataka kuoa ni fanye je? usifundishe watu kufanya usharati na kondomo kwa sababu Mungu hapendi hivyo. mtu anatakiwa ahoe ,aholewe kwa sababu ya tamaha ya mwili wake hivyo ndivyo Biblia inasema. unaposema mtu anaye pewa talaka avumilie na atafute mme mwengine mzuri , unamaanisha wewe unasapoti watu wapewe talaka, ili waolewe tena ,biblia inawaita watu kama hao wazinifu, na mtu kama huyo kuholewa au kuoa mpaka mmoja wao afariki kwanza.
@gadielmchome2039 жыл бұрын
upo njema ktk jina la yesu.Bwana akulinde
@Isack-g7u8 жыл бұрын
Barikiwa
@mercylinenanjala67879 жыл бұрын
Amen
@isayamanyonyi88267 жыл бұрын
Aisifiaye mvua isha mchapa, hahahahaaaah
@estasage4985 жыл бұрын
Mwanzo sura 2:18
@ImanWambuiIman9 жыл бұрын
umenichanua pasta
@زيادحمد-خ2ك8 жыл бұрын
Amen pastor tumejifunza kitu
@اناانا-خ5ن8م8 жыл бұрын
Asante Sana mchungaji unayo sema ni kweli nimebarikiwa...lakini mimi nili Kuwa kwa ndoa 16 years Mungu akanibariki watoto 4 talaka ikaja tumeachana for 6 years nimeokoka,je mchungaji naeza olewa tena?
@mbithejustus2468 жыл бұрын
انا انا la uwezi olewa tena as long your husband is alife au awe msharatibusb
@اناانا-خ5ن8م8 жыл бұрын
Josephat Gwajima RudishaTv Amen pastor josphat gwajima Mungu akubariki sana neema ya mungu izidi juu yako milele Amina