Naamshukraan. Sanakwauchambuziwako. Wandoto. Allah. Akujaliyekheri. Namimiaomba. Uniunge. Kwenye group
@Salma-ho6wx2 ай бұрын
Jee kuota kuna mtu kakupaka kinyesi ktk nguo na ukajisafisha inaashiria nn
@JigaBoy-y7u3 ай бұрын
Asalam alaykum, nimeota ndoto haja kubwa kwwnye mabeni maana yake nn
@RamlaNasriАй бұрын
Mim naota nazibua bafu limeziba
@Dirawandesiymran2 ай бұрын
Sheikh Abuu Jadawi .. nmeota naenda safari ambayo sijui naenda wapi. Nimepotea kwa msitu milima ndani ya barabara Kuna vinyesi vingi nikawa naviruka ruka mbele tena naona makaburi sheikh .. hii inamaana Gani? Katika hio safari nikafika tena kwa shamba la mtu akawa ananitetesha mbona watembea kwa shamba langu akatoa kitabu akawa ananiuliza jina huku anaandika kwa kitabu . Sheikh hiii maana yake ni nini