Walikum msalam warahmathullah wabarakathu mm nimeota exwangu.anafanya mapenzi na mwenzie
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
Shukran sheikh jazzakhaAllahu
@muznehaji4704 Жыл бұрын
Ahsante nimekuelew sana mwalimu... Lkn mie nimeota tofauti hivi karibuni nimeota ((nimetoka nje ya nyumba yetu nimevaa singlend tu haijafunika ata paja nikajihisi nina uchi mrefu haliyakuwa unashikika, nikaushika nikaupelekea kwa nyuma nikavuta singlend hadi kwenye mapaja na kujifunika vizuri,,,)) sasa hii inamaana gani
@fatmaduhllu81644 жыл бұрын
Subhana Allah....mm nliota mtu alie kufa akiwa tupu yake iko injee kabisaa
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Asante shehe nimekuelewa vizuri
@zohoraramadan45404 жыл бұрын
Waghaleikum muslamu warahmatullah wabarakatu,mashallaaaah,ALLAH atutimizie katika ya kheri anayotuahidi na atuahirishie Katika mitihani aliyotuonyesha katika njozi .
@buhitexmohamed47852 жыл бұрын
Mashalah
@kidotitv55273 жыл бұрын
Nmeota nipo mm na radio yangu choon lkn mm npo uchi naoga lkn mwenzangu anaoga na nguo, baadae watu wakafungua mlango na kunichunguli, nisaidie shekh
@clementinekieti48944 жыл бұрын
Amina
@nasraally85943 ай бұрын
Shekhe mm nimeota ndugu yangu akiwa analia sana alafu Yuko utupu kabsa alafu masikion ana mapovu ya sabuni nn mana ya hii ndoto
@AishaMohamedIbrahim-l9i Жыл бұрын
A.alykum sheikh mm nimeota nakula keki nn maana yake mana mm kihalisia sipendi keki ila nimeota nakula keki tena kubwa sana
@julietylady62202 жыл бұрын
Shukran
@REBAWANYAMA-mk7ng11 ай бұрын
Yes mimi niliona utupu wangu lakini sikuona aibu.Nishapata jibu
@IddyJumanne-x2u3 ай бұрын
Mimi pia nimeota utupu wangu na sikuona aibu Sasa nimepata jibu
@shamsamohamed434 жыл бұрын
Walahi nimeota ndoto hizi utupu wa mwanaume mara zingine naona kwa ndoto utupu wa muke jirani yangu .nikiamka siwaoni thank you now I know how to deal wit dat dream
@shamsamohamed434 жыл бұрын
👍
@muhsininatv20923 жыл бұрын
Nitafute mtavassy TV atakusaidia
@dr.barasaaugustine75532 жыл бұрын
Fit sanaa baba
@merhatyup9162 жыл бұрын
Habari, nimeota nimechuna ngozi ya binadamu nikaweka kwenye begi nikawa naogopa natafuta pa kuificha sikupata hadi naamka naomba uniambie maana yake 👏👏
@husseinsadick7785 Жыл бұрын
Unakalibia kuwa mchawi
@merhatyup916 Жыл бұрын
@@husseinsadick7785 🙁🙁🙁
@fatmaabdallah77099 ай бұрын
@@husseinsadick7785😂😂😂
@FayedHamid-k5t5 ай бұрын
😅😅😅😂
@HabibaAmaniАй бұрын
😅😅@@husseinsadick7785
@SuleimanBahati-d6q3 ай бұрын
Asalam alykm Mimi nimeota mwanangu ndogo wakiume nafanyanae mapenzi
@husseniddy8615 Жыл бұрын
Mbona watabiri hampo sawa
@hajatyyusphu3343 жыл бұрын
Asallam allykum sheihk mm niliota nimelala na mmewangu halafu hapohapo Yuko na mwanamke mwingine wakifanya tendo la ndoa
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
Nimeota nimeona utupu wa mwanaume (baba) lkn alikuwa amevaa nguo asubuh mapema nimeamshwa na boss wangu kwa maneno ya kejeli bila hata ya salamu kutwa nzima ya leo tumenuniana
@mariammichael23698 ай бұрын
Mi nimeota nimetoka nje nakuingia ndani nikiwa mputu.. Nakulikuwa na wanawake wengi.. Akatokea mwanaume akanifunika nguo.. Akaniambia hebu jifunike huoni aibu mbele za watu, akawa kanifunika.....
@malialungwe36573 жыл бұрын
Mimi nimeota mtoto wangu anaogerea yupo utupu yupo na wenzakemtoto wa miaka10
@ajaychudere13154 жыл бұрын
Sheikh wewe uko vizuri kuelezea ila unaboesha Sana yani naamini ukitoa Khutba Ya Ijumaa basi naamini watu husinzia Sana kwa ulivyo slow
@pilimusa77704 жыл бұрын
Kabisa yani
@fenrearubeiy41704 жыл бұрын
Kweli teena
@aminaally91563 жыл бұрын
Yaan huyu waweza lala ukasahau kama kuna kitu wasikiza mmh sio kwaupole huu jman mmh
@AngeMichaellaNGANJI-dm5wh7 ай бұрын
Hhhhh yani unamsema live sheikh wa watu
@mamaafrika14813 жыл бұрын
Amin
@kabwefrancine99 Жыл бұрын
Jambo mimi nime hota maman mzazi iko na vaha nguo ya ndani kisha nika hona hutupu wake
@Fatma-yz2xr4 ай бұрын
Aslamu alikum waramatulliah mm nimeota mume wangu anagalia utupu wangu ila juu niko na nguo but chini sina nguo maana yake nn plz
@emmanuellushinge82723 жыл бұрын
Mm nimeota nmeshika sehem za siri mkononi mwang za kiume lakin ila haziko mwilini,nisaidie shekhe
@MalikiHashim-bb6uh Жыл бұрын
Shekh salam aleikum kama umeota umeingia kwenye watu wamefanya makosa aliyakua wew uyafaham alafu wakaukumiwankunyongwa nawewe ukiwemo alafu unamkuta anaesoma majina ya wanao TAKIWA kunyongwa nikaka Yako alafu hukunyongw inamaana gani
@HarunaKarimangasi6 ай бұрын
Mm niliota utupu wamanaume ukitoa shawa nyigi sana mpaka nikazama kwenye shawa mpaka tumboni. Inamaana gani
@charleschiligati21332 күн бұрын
Mimi nimeot utupu wa mwanamke nime muona na nilikua nime simama nimauangalia tu
@somoeGodhana7 ай бұрын
mimi niliota nimeona uchi mwanamke ninae mjua tena alikua mgonjwa sanaa kakonda hadi nyama zimeshikana na mwili je hiyo inamaana gani nijibu tafadhali
Yani hawa wanaofasiri hawaeleweki,...kila mtu na tafsiri yake na ndoto ileile
@joharkimaro61882 жыл бұрын
Yan ata mm c waelw kabsa🤣
@jasminisharifu7446 Жыл бұрын
Kabisaaaaaa
@neemambotola1139 Жыл бұрын
Wajinga hawa mtu unanunua bundle Ili upate majibu ya maswali Yako ..Wanamikwala mingi Kila mtu anasema yake hupate jibu.
@mercypeter162 Жыл бұрын
Umesema kweli Sasa sijui tumwamini nani
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Hamna tafisili nyingi ukiifuatilua uwa maana zinafanana nyie fuatilieni vizur zinafanana Kama samaki wanasemaga ni riziki ata watafisil wengi wanasemaga ivyo na ATA wachungaj wanatafisil ni riziki nilishawai ota
@ruqayyahkweji10042 жыл бұрын
Assalam alaykum shekh nimeota naangalia utupu wa mwanamke mwenza bila aibu nayeye akiwa Hana aibu nini maana yake
@ivanamkapa23692 жыл бұрын
Unamaerezo mengi mno...
@sarahchambega54283 жыл бұрын
Niota mme wangu anaoga nje na nikaona utu wake ukiwa umebadilika
@mussaramadhani58083 жыл бұрын
Nmeota tumelazimishwa kuoga hadharani wanawake na wanaume kixha tukalazwa kifudifudi uku wengine wakilazimishwa kwa fimbo kuvua nguo ila sikuona utupu
@tausiathumani94084 жыл бұрын
Jitahidi kupunguza maneno
@AliRahma-tw7cz Жыл бұрын
Mm nmeota utupu wa maremu bwanangu na ckuona aibu nijipu hapa
@mussaramadhani58083 жыл бұрын
Naomba unisaidie tafsiri yake sheghe
@fatumamgaza16024 жыл бұрын
Assalam alaykumshekh mm nimeota kuna mwanamke mtumzima namfahamu amenitoanje nikiwasinanguo hatamoja akaniogesha na yeyehaongeikitu namm siongei tukarud ndan nikiwa hivohivo akanikalisha kwenye stuli akani chanjachale lakinibajaongeakitu
@alisaida40803 жыл бұрын
Ukiota umelala na babako mzazi je maanake ni nimi
@sityjuma30492 жыл бұрын
Nafran2 me siamin
@ashurasaid50173 жыл бұрын
Shekh dogowangu ameota amemuona mwanaume yupo utupu wake in was mdogo wangu na halo yeye ni wakike yani amembadilishia yule mwanaume kachukua wa mdogo wangu halafu huyu wakike kachukua wayule mwanaume nn maana yakeshekh
Mi nimeota mama yngu ananifukuza kwenye nyumba nitafsirie nijue alafu nikaota tumepanda boti kwenye maji tunaelekea pemba ila zile bot za wazi juu bot ndogo za kuvulia naomba nitafsirie
@johnpepe9805 ай бұрын
Huyu muongo huyu mganga tu mpiga pesa kila kitu Anapeleka ktka Uchawi na mattizo to Wafasiri wa ndoto wawili tu mnajimu KULTHUMU NA MAALIM MTAVAS JAFARI HUYU HUYU HAPA NWIZI TO HUYU MCHAWI
@رحمهمحمد-ح4غ3 жыл бұрын
Asalaam Alaykum shekhe mm nimeota mwanamke amekaa vibaya nikaona utupu ila sasa utupu wake ni wakiume ali yakua yy ni mwanamke tena ninaemjua shekhe nisaidie
@malialungwe36573 жыл бұрын
Namimi hivyohivyo mtoto kakaa utupu mtoto wa kike utupu wa kiume
@HusmaMweya4 ай бұрын
Nimeota mama yupo na mahusiano na mtu ninae mpenda
@kamilali30163 жыл бұрын
Awja
@salya88844 жыл бұрын
Nimeota nimetoga kuoga nikatoga bila nguo but sikuwa na uoga Ata na mama mwingine akanifunika na kitambaa
@HamisMdee-lg4tx4 ай бұрын
Me nimeota nimeona utupu mwanaume akifanya mapenz na ndugu yang tena kitanda ambacho nilicholala mpk wakamaliza
@Oman-ew8qe2 жыл бұрын
Ustadh nimeota mumewangu alikua na mwanke wakifanya mapenzi lkn nikamuona mwanke utupu wake inamaanisha nn
@najmabozz29984 жыл бұрын
Asall alkm ,shekhe mm nimeota nimelala. Kitandani na madogo wangu nikiwa mtupu huku najishika sehamu A siri na kujisifia utupu wangu mkubwa
@manirampapascal36173 жыл бұрын
Asalam alaikum ww .shehe mimi nimejio sina nguwo
@majumamasinde19532 жыл бұрын
Nimekuelewa sana brother. Na nina uliza mimi sasa ni mara ya pili niota sina nguo sehemu za chini niko na nguo but sehemu za juu kuanzia kiononi hadi kichwanu sina nguo ndoto ya kwa niliona aibu nikiwa barabarani sina nguo za juu na wstu walikuwa barabarani nikaomba leso na nilipewa na mtoto wa kama miaka kumi. Na nilifunika kifua tu na kikakimbia nikaenda ila watu wengi walikuwa kwa hio njia nilikuwa. Ya pili nilikuwa uji sehemu za juu vile vile na nilikuwa jikoni natengeneza chakula gafula boss wangu akaingia wa kiume na nikatorokea mlango wa nyuma na sikukuwa na nguo upende wa chini nilikywa na nguo but juu hakuna . Please hii ina maana gani
@dennismurusha7753 жыл бұрын
Nimeota nafanya mapenzi na mdogo wangu, ambaye alikua ananyonyeshaa
@KmMk-n7p7 ай бұрын
Hii yako ni uwongo baana usidanganye waja wa Allah
@saumumohamed74413 жыл бұрын
Nimeota tuko wanawake watatu mwanaume mmoja mara mmoja nikamuona wanakumbatiana mara nikamuona mwanaume kavua nguo zote wanafanya mapenzi mbele yetu maana yake nini
@barakadodora65143 жыл бұрын
aiseee Mimi nimeota nimefumania watu wa nje mwanaume tunaye heshimiana naye na mwanamke ambaye alikuwaga Dem wangu hapo nyuma Tena et wakiwa kitandani kwangu ninacholalaga Mimi na mke wangu tukaanza kupigana na yule mwanaume huku mwanamke yule nikimlushia matusi mabaya Nini maana ya ndoto hii?
@MiradjiAsina9 ай бұрын
Je ukiota mwanao wakike iko tupu?
@khoilynn17212 ай бұрын
111
@zamzamMaulidi-q8s5 ай бұрын
Maana ya kuota ndoto ya utupu wa mwanaume anao mwanamke na mdogo kisha mbovu kichwa kimelika chote na nikamuambia nenda Spital ye wala hana habari ubivu wake je inamana au shaitan tu wanasumbuwa
@renatusmasunzu76922 жыл бұрын
Ukiota unakula chakula na Boss wako, haliyakuwa amekutelekeza kikazi, nini maana yake.
@MarryMethodi12 күн бұрын
Mi nimeota naona mwanaume wangu anafanya mapenz Na mwanamke mwingine lakin huyo mwanamke alikuwa ni bint mdogo nn maana yake?
@mariamsimion36093 жыл бұрын
nimeota marehemu bibiyangu mzaa baba analazimisha nilazima afanye mapenzi na babayangu inamaana gani
@hinessprotas253 жыл бұрын
Shekhe na he, kama ukiota uko utupu na baada ya hapo ukakimbia kwa mwanamke mwanzio na kumnyanganya kijitenge na kujisitili na kumuacha akiwa uchi inakuaje nisaidie
@nancypeter4300 Жыл бұрын
Me nimeota mwanaumee ninae mjua Sasa ananionyesha utupu ila nikamngata kwenye utupu na kumfungia na kukimbia
@FayedHamid-k5t5 ай бұрын
Unakabiri wa wee zombi
@qayllahkusaga1207 Жыл бұрын
Jmn mimi nishachelewa yote yamenikuta na cjui nifanyeje
@aminiwizze4664 жыл бұрын
Samahani sheikh naomba unisaidie tafsiri yandoto hizo nimeota nimeenda kumsalimia bibialiekufa nanimeota mtu amekufa nabado yupohai
@gfyt90369 ай бұрын
Nakam waota umeona mtu amekuja Uchi kwako na ukamchapa sana uku uwalia
@bahatiabc42912 жыл бұрын
Mi niliota rafiki yangu wa kike marehemu.ukinionesha utupu wake sijui maana yake
@rahmamsagati34373 жыл бұрын
Je ukiota umemuona mtoto anajisaidia haja kubwa nyingi ina maana gani
@FayedHamid-k5t5 ай бұрын
Kavi mbiw san🐖
@Anneekisa-jk7yg Жыл бұрын
Mmmh huyu anasema hivi yule anasema vile mmmh hata siwaelewi
@jacksonguylight57392 жыл бұрын
Ukiota kitambaa kinacho funika utupu wako kimeanguka ukaona utupu wako na ukajiona aibu papo hapo ukatoa kile kitambaa ukafunika utupu wako papa hapo maana take ni nini?
@mariamsimion36093 жыл бұрын
je ukiota unachawa wengi weupe kichwani ininamaana gani
@تةامممن2 жыл бұрын
Nime OTA watu wanaziinii
@SublraАй бұрын
Ukiota hutaki kufanya mpenzi na mume
@marrykagame69623 жыл бұрын
Shekhe umenichekesha eti mwananamke mwenye bichwa kubwa 😂😂
@zuhuraissa20992 жыл бұрын
kuna watu mnakuwa hampo seriously kbz😁😁😁😁😁
@fadhilarashd82632 жыл бұрын
Shekh sik izi naota ndot za ajab kweli .. ivi shekh mwanamke alokuwa hajaolewa akaota una utupu wa mwanamme na ikiwa ana ham ya ile tendo maana yake nn????
@fahidashishi255 Жыл бұрын
Yani huyu kaka tafsili yko malanyingi zinakukosesha rahaa zinatishaa 😂
@sherrymum3 жыл бұрын
niliota nyanya yangu akitembea uchi na alienda safari ndefu sana, maana ake ni nini ?
@elviramlowe10913 жыл бұрын
Mhh
@sarahchambega54283 жыл бұрын
Nn tafasiri yake
@mwgaadam72613 жыл бұрын
Punguza nyodo na kujivunavuna wakati wakufanya kipindi
@aminaally91563 жыл бұрын
Wee kiboko achangamke bhna mtoto wakiume
@winnieboss97454 жыл бұрын
Ukiota kama umekanyaga mavi ya 🐐 nini maana yake ?
@nataliamemes50934 жыл бұрын
Ukiota mavi ni liziki yani mali au pesa mana yake umekanyaga pesa au liziki