Mashekhe mkowapi .hebu muombeni mungu muwapatanishe hao watu.
@mbwanamasoud90627 жыл бұрын
Yote hayo yanatokana kukosa tarbiya ya kiislam kutomjuwa mwenyez mungu kukosa iman kutojua kama zote hizo ni kudra zake mwenyez mungu (kheri na shari ) zinatokana na yeye, kiufupi huwo ni mtihani kwa mungu anakutizame ni mtashuru ama mtakufuru lakini kwa mnayoendelea kuyafanya mimi naona sasa kama mnaelekea kumkufuru mwenyez mungu, na huo ni mtihan mkubwa siku ya hisabu mtashindwa vya kwenda kumjibu Mungu kwan yy kila kitu kishabainisha wazi katika kitabu chake, dunia ni mapito ruduni kwa mola wenu na mustaghafiru kwa makosa mliyoyafanya.
@bxrkeshorts7386 жыл бұрын
mna roho mbaya sana tena Sana na nasema hivyo kwa sababu yashanikuta Mimi na ndugu wa mume kisa Mali niliishi na mume wangu hatuna pakukaa ila alhamdulilah tulikuwa tunakula vizuri tunaenjoe maisha japo tunakaa banda la udongo yaani alipo nyanyuka tu m'me wangu Mamaaaa nikaambiwa namroga tukaachanishwa kwa waganga ila mpaka kesho m'me wangu nampenda ila wapi nimeshaolewa
@fatwimamakungu54566 жыл бұрын
Subhanallah akuna kitu kibaya kama katka family mwene kipato awe mtu mmoja apo mali ndio zinawatoa rohoo angekua fukara yasinge tokea
@KuruthumBilaliАй бұрын
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
@samsungjsevenprime57174 жыл бұрын
Maoni yangu mimi watafuteni masheikhe wasuluhishe hiyo familia iwe na maelewano mazuri ili wawe pamoja wasichukiane hivo masheikhe wapo watasuluhisha kwa uwezo wa Mungu waelewane vzr
@maatumkombo79624 жыл бұрын
Subhanallah muogopen mungu muachen nampenda achaneni roho mbaya
@neemaabdul95536 жыл бұрын
Usisahau ALLAH aliposema Mali,watoto na mke ni mtihani.na huyu mzee mitihani hiyo yote anayo! Tumuombe ALLAH AMPE USHINDI kwa lile sahihi alifuate kwa hekma zake.
@khadijamuro10362 жыл бұрын
Subuhana Allah bless the
@tausilifestyle7956 жыл бұрын
Mmmmmmh mtihani kwa kweli
@omarjuma60546 жыл бұрын
Tamaa zenu hzo
@munashally33185 жыл бұрын
Allah atusahalishie
@AminaKhamls6 жыл бұрын
Daa kazi ipo
@qaboossaid22596 жыл бұрын
Acheni kumzonga babu wa watu,mali ndiyo inayowatoa roho,huyo mwanamke ana haki na hiyo mali kwa asilimia zote,muacheni kama alivyo na hajarogwa,muislamu wa wapi ww unae tamka mtu amuache mkewe bila ya kosa! Na jee una uwezo wa kumkidhi mahitaji yake? Acheni upuzi,jitumeni mutafute vyenu
@farhatsoud59166 жыл бұрын
hakika kunawanawake wanafarikishawaume na familia zao hasa yeye kwa vile hakuzaa anahofu mali ya mumewe itakwenda kwa watoto wake nawashauri hawo watt wakae kimya wamejitahi inatosha na wazi inaonekana sio watt hawakumuuliza baba yao miaka 32 ila baba katelekeza watoto wakeinaoneka na wazi miaka 32 nyuma watoto ndio walikua wanahitaji uangalizi wa baba yao ukizingatia umri wao ila kuachana sio suluhisho
@qaboossaid22596 жыл бұрын
Farhat hawashauriki,mimi mwenyewe hadi sasa sijaoa nawaza nikaoe wapi,jee ww umeolewa
Wao ndowanojuwa matatizo ilaa sisi wanawake tunaa roho mbwa
@neemaabdul95536 жыл бұрын
Ila huwa inatokea baadhi ya wanawake kufarakanisha mumewe na ndugu zake kwa maslahi yake ukweli wa hilo analijua mungu .la msingi kuweni na uchamungu hamtohuzunika na wala hamtohofu.msiharibu ndoa yao mkajipa lawama kwa msilokuwa na ushahidi kamili
@husnatgamaah13356 жыл бұрын
Neema Abdul ila kwa maelezo ya hao ndugu wao macho yao yako kwenye mali
@dashuusaalim88826 жыл бұрын
قال رسول الله( ص):اثنان لا ينظر الله يوم القيامة ١)قاطع الرحيم ٢)وجار السوء amesema (s.a.w): watu sample mbili allah hatowaangalia cku ya kiama 1)mwenye kukata udugu 2)na jiran muovu allah tuhyfadh na dhambi aaaammiiiin
Amuache mke vp,tafteni suluhu ila si kumuachanisha na mkewe,,mumemuona anacho ndo mnamtaka waswahili tunawajua nyie,,lkn angekua Hana kitu uyoo msinge mng’ang’ania uyooo,,,nyie fanyeni yenu nayy muacheni na yake,,kubwa ni kumuomba Allah awape wepes Lkn sio kuingia ktk shirki uko siko,,shauri lenu
@abdulwaheed50045 жыл бұрын
We mzee ww unapata zambi
@naslamgollo64057 жыл бұрын
Hatariiiiiii
@thauratali36566 жыл бұрын
Mmmhg mwenzangu nlifkir kawatnga watoto kumbe fmlia yte mtihani jamani
@faizhamad20067 жыл бұрын
Huyo mzee anamakosa makubwa kusema amuache mkewe hatari jambo ni kutafuta watu wa hekima kutafuta suluhu masheikh wako tele tu wanaweza kuamua hilo suala rahisi tu hilo kama sheria itafatwa
@saadsalum32536 жыл бұрын
Hana makosa kwa hayo mambo hafai huyo mwanamke ni sahihi kumuacha
@omarbaruan26406 жыл бұрын
@@saadsalum3253 Kosa si la mwanamke bali ni mzee mwenyewe! Na ushirikina ni upuuzi tu haufanyi kazi, Kwa hivyo si kweli kwamba mwanamke huyo kafanya ushirikina kwamba ndio umesababisha mzee asijali familia yake, Kwanza kama Waislam ni dhambi kubwa kuamini vitu vya kipuuzi kama hivyo na ni aibu.
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Amuache kweli ni mshirikina hafai na awatenganisha na familia yake ataenda jibu ni kwa mungu
@fatmahamad21566 жыл бұрын
Mungu
@hassanmahmoue30344 жыл бұрын
Unajua nn ndoa wee mzee una elimu ya dunia wee
@dashuusaalim88826 жыл бұрын
kimazingira nooo kmazingara yess
@fatumahengo68496 жыл бұрын
huyu mzee hana bus ara vp unamwambia kaka yako a mwache mkewe huu mtihani Allah Atunusuru na hii mitihani Aamin
@zureamandai16546 жыл бұрын
Du usiombe kwenye familia ukawe wewe pekee mwenye uwezo yaan ndugu wanagombea kabla ujafa nazan akifa si watauwana.
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Kabisa!!
@missiffa46366 жыл бұрын
Njaa mbaya sana so watafute zao..tu mitihan ukiwa na pesa mitihan,ukiwa huna pesa pia mitihan.
@ahmadsayyeid17406 жыл бұрын
Suluhu hapo ndugu zangu sio kumuacha mke na wakati huyu baba ameshakua mtu mzima na mtu mzima kumuacha mke wake ni ngumu sana kwa mana hiyo wamchukulie tu kwamba mpaka sasaivi mze wetu anatukia akili za mwisho za uzee alionao msimshauri mtu kumuacha mke wake au kudai talaka kwa mume wake kwani mwenye kuvunja nyumba ya mwenzake yaani ndoa anabeba jukumu zito kwa Allah s.w ila kwa pande zote mbili watoto wapo sahihi kwasababu yule ni baba yao na baba yupo sahihi kwasababu yule ni mke wake ahsanteni
@aminaa2mwanamtit4526 жыл бұрын
asbiallahu wa neemal wakil
@hellenkombe50026 жыл бұрын
Kweli huyo mzee hana akili nzuri. Kuo kuacha
@goodlucksemba11456 жыл бұрын
Watoto wakubwa hao, watafute mali zao bwana!
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Harusi zenu sio lazima!!!!!
@MdArif-or9um6 жыл бұрын
Nyie waisla. Talaka yann
@fatmat68837 жыл бұрын
Jamon kazi ipo.
@nmand47307 жыл бұрын
Hakuna ushirikina ni njaa tu zitawauwa na uzabizabina wenu mmekomaa kama kuni za mkarafuu haachwi mtu apo na ubaya wenu
@asmamussa40735 жыл бұрын
Nm And wanatetea mapenzi na watoto wake hata jngekuwa ni ww baba ako kaoa lkn hawajali nyie wala ndugu zako ingekuwaje kwaiyo hao wote wanamsingizia jiongeze kidogo uwepo wako Mdogo maana wanae wengi wanaishi landan
@twahiraliy33827 жыл бұрын
Kwa nn wasieckti filamu hawa watu hakuna shirki wala nn ispokuwa watoto na jamaa nyote njaaaa inawatesa na wewe basi umuache mke wako acheni mambo ya kuamini ushurikina mwenyewe amesema kuseidia anasaidia hadi miskitini
@salamakombo32572 жыл бұрын
😭😭
@antonyfunguo46715 жыл бұрын
Mtegemea cha ndugu au baba hufa maskini.
@salehsultani63296 жыл бұрын
Kosa kubwa sana hilo kutaka kuvunja ndoa ya ndugu yenu inawausu nini
@Ahmad_Rayus06 жыл бұрын
inaonesha dhahiri huyu mwanamke mmbaya tena mmbaya sana na hilo la kuachwa nimeliunga mkono ili familiya ipate salama na mzee anaonesha anapelekeshwa ingekuwa baba yao wangekubaliana na hilo
@FettyNaturalista2 жыл бұрын
Wamedumu miaka 30 kumbuka
@haithamkhamis37446 жыл бұрын
Here makubwa na umri uo alonao wanampangia amwache mkewe wao maisha yao wanapangiwa na nanii mmmmmh
@mwanakhamishaji42367 жыл бұрын
Mtihan,muacheni jaman mushajitahid vya kutosha
@SaidShkel8 ай бұрын
Yeye mwenyewe kashasema mumuwache namkewe,nanyie mukae nawaume zenu yann zogo,muacheni huyo nimtu mzima anajuwa kila kitu.
@abdalaramadhnibizimana34627 жыл бұрын
Watoto wameonawameshindwa nababayao wamewaingiza mashangazi namjomba iliwamuona mamandiombaya wawekitukimoja umrimkubwa waujabibi badoanatakamsana asaidiwenayye yani ukiwanamali hatari
@a.8567 жыл бұрын
Allah atuongoze waja wake sote.
@kidaga82547 жыл бұрын
Mhh kutu la ngo'mbe lol hatari maneno mnatoa wapi
@sharifaalsinawi61436 жыл бұрын
duniya ya Mungu ni kubwa safsi ndogo.ajabu ya sisi vina adamu tuna ingiliya maisha ya mtu na mkewe
@castorchandeu85316 жыл бұрын
Ndugu wa mume wanagubu wanagubu sana jamani
@fathiasalum95456 жыл бұрын
halafu huyu Mzee anaonekana yeye mwenyewe mchawi
@tinkiboniface33425 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@عايشهسعيد-ض5ذ7 жыл бұрын
Duuuu shikamoo Unguja yamenikuta mpaka leo dunia naiona chungu wanapenda ubaguzi na kuingilia ndoa za watu baadhi yao mpaka leo cna hamu na kuolewa nao sisahau walipomlazimisha mume wangu aniache wakamsusia kwa kila kitu ata kama babu wa watu hana makosa madhali washakusudia bib wa watu aachwe hawali hawanywi adi talaka itoke nachukia sana hii tabia
@qaboossaid22596 жыл бұрын
عايشه سعيد pole
@ummunaa5046 жыл бұрын
mtihan huo ninao na mm wamenisakama family nzima kisa mali nitakachofanyiwa na mume wangu wao watukana naambiwa hivyo hivyo namroga
@mauwam36276 жыл бұрын
عايشه سعيد yote mali vo iyo mwenzngu asingekua na kitu wasingelimtaka
@mauwam36276 жыл бұрын
ummu naa mwenzngu mwmmbie mumeo mapem mana family izi we acha tu wakat mtu akiw anaukw wew ndo kil ktu
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
عايشه سعيد pole dear Lol
@nadiyakisho21785 жыл бұрын
duuu hp kazi ipo ten so ndogo
@habeebaalriyami4066 жыл бұрын
mume ana haki na watoto kuwa kitu kimoja na pia ni haki ya mke kuwa nae pia watoto wakulea wasiwabague pendaneni iliyobaki washikane wote wawe kitu kimoja waache tafauti zao na watoto waache kumtukana mama lbd inamuumiza hasa wakimwambia hukuzaa hio ni kazi ya Allah nyote kuweni na busara na mkipatana mambo yatakuwa mazuri na kheri tupu
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
habeeba alriyami ni kweli ila kama nilivyosema mwanzo wanaosema mama anaonesha ni mbaya kwa mimi sina ushahidi huo na je kuachwa ndio suluhisho?
@gesusgegangphray76892 жыл бұрын
Mwacheni mzee Ana Uhuru Family ya nini msalimiane tu mwacheni mzee mapenzi n 2.mnataka pesa tu
@mumewangu71626 жыл бұрын
Naona kama ambae ni episode inaendelea
@reemiiomar93866 жыл бұрын
Mmmh kila anayechangia kutaka ndoa y mzee mchaa kuvunjika ajuwe kesho atakuwa mass'ulia kwa Allah mm sijaona sababu y kuwa amuache mkewe naistoshe mwenyewe kesha kataa ila watoto n ndugu nyny ndio maafirithi
@rahmayussuf43686 жыл бұрын
Hii familia ni Fitnah tupu nyinyi mnamngangania Mzee mzima ana mke wake ..au ni Hayo mali ndo mnagombania muogopeni Allah wacheni Fitnah
@a.a.70296 жыл бұрын
Na nyie wazee jueni maisha yenu 😼amuache mkewe ata haya hamuna nyooooon
@ashaali71546 жыл бұрын
Ushirikina umewaingia hata dini wanaisahau hawa kuwa huyu si mtumwa je wao wanamuhitaji yeye au pesa zake acheni aishi maisha yake.
@zahariajr79502 жыл бұрын
Mzee kaelewa shoo muacheni
@alinuhu37276 жыл бұрын
Daah ni mtihani kwa kweli ila tuwaombee hawa wana familia hii upendo na subra,hapa mzee lazima akae chini afikiri watoto ni damu yake ni jukumu lake pia mke pia wake ila aina gani ya mke alienae ajue Hilo kwanza kwa maana mke anaevutia kwake tu huyo sio mke bora maana utaona watoto wa mke wake ni wema hawana baya kwa mzee ila watoto wa mzee mwenyewe hawapendi na sio, lzm watu wakae chini kuyaongea
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
ali nuhu ni kweli ila mzee kutowapenda watoto wake lingechunguzwa je ni kweli na ni kwa ki vipi?
@geofreyngoloka8066 жыл бұрын
Kwa wanaojua wanawake ni wabaya kidole juu
@utaani16 жыл бұрын
Hatuwezi kujua anachopewa babu pengine ananyonywa mpaka haja zake anazimalizia mdomoni kisha kweli hapo atataka mtoto au ndugu zake ?
@esterkapufi77536 жыл бұрын
Hayo yote yanatokea kwa uroho wa mali angekuwa hana kitu wala msingefikia uoko mnashindwa kutafuta malizenu mnajifanya mna uchungu sio kweli niwivu tu wa malizake mwanamke kaishinae myaka 30 mpaka leo anamuheshimu ndio maana anampenda nahisi mnakesha kwawaganga ili afe na hafi atakufa kwa almi ya mungu nyoo wasabasi wakubwa muda wotehuo mnao upoteza msimtafute pesa zenu.
@hidayamussa42737 жыл бұрын
Pole sana mzee mcha ila kaza Uzi huo huo usimuache mkeo ng'o achana nao hao waseme wapasuke na roho mbaya zao, mzee mcha simama na maamuzi yako na haikubali kupangiwa na watu wenye wamazo wakujitakia faida kwao wao
@merryn48916 жыл бұрын
+online tv 😂😂😂 Kama Mali watafute zao mbona Mimi siudumiwi Lakini naishi yote mipango ya mwenyezi mungu kikubwa wasake zao
@merryn48916 жыл бұрын
+online tv 😂😂😂 Kama Mali watafute yazao mbona Mimi siudumiwi Lakini naishi yote mipango ya mwenyezi mungu kikubwa wasake zao
@newahomwashiuya88582 жыл бұрын
Yote hiyo inayowasumbua hawa ndugu ni tamaa ya Mali tuuu!!weee angalia tishrt aliyovaa huyo Mzee!!halafu mnasema uislam ndio dini pekee...sikatai Sasa iko wapi Imani Yao zaidi ya kuiingiza shirki!eti mkewe hamuache!!Sasa huyu bibi alitaka aachiwe milioni Moja ya kuuguliwa!!Hana watoto!!;
@fatmaabdulla70805 жыл бұрын
wanawake wadunia hii tukiona mali tunamroga mwanamme kisa mali tumuogopen Alla aibu za ushirikina zitafichuka siku ya kiama
@nmand47307 жыл бұрын
Acheni roho mbaya nyny mtaenda kuchoma moto
@biramsakh92126 жыл бұрын
Mke mkorofi uyo lkn mzee hajiwezi
@gamershyper10167 жыл бұрын
nabii ibrahim (a.s) alimuona mke wa mkewe hana tabia nzuri na alipikwenda kumtembelea kwake hakumkuta mwanawe akmkuta mke wa mwanawe akagundua hana tabia nzuri lakini akaacha salaam kama akija mumeo mwambie abadilisha kizingiti yaani yule mke alonae amuache .sikwambii huyu mshirikina kasome suratul -baqra uone Allah alivowakeme washirikina wameambiwa wanaume kama wataowa washirikina hawataki kumuabudu Allah.nakuskitia wewe babu au bibi una miaka mingapi hujui dini yako.wallahi umo ktk walohasirika .
@عايشهسعيد-ض5ذ7 жыл бұрын
Hunayna Hassanali ahaaa sawa mm cjui dini ila kutukanwa huwa cpendi nirekebishe kwa hekima nikujib kwa hekima kama wew ndo mungu sawa nimehasirika hongera wew ulobashiriwa pepo usingoje yanikute yamenikuta tayari na hujui nna machungu gani ndomana nikasema hayo coz hata mm niliambiwa mshirikina ata kwa mganga ckujui nilipoachwa tu wakasema ckua na makosa walitaka niachwe wampe mke ndugu na bab etu pia alitutelekeza ila hatukuwahi kumwita mkew mshirikina coz hatuna uhakika bas tayar yamenikuta wala usingoje yanikute
@ashminaabdullah56266 жыл бұрын
Hunayna mm nnayo km ayo ama pungufu au zaidi ila mm naamin Allah ndiye kila kitu
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
yap kwanza suala lipo hapo! kuna ushahidi gani kuwa huyo mama ni mshirikina? na hata ikiwa hivyo au sivyo ni tumuelekee Allah na kusuluhisha kwa busara na hekima coz pia je akishamuacha huo ushirikina utakuwa haupo? hapo ndipo pa kufanyiana da awa na sio ugomvi...👏🏽 Then nabii Ibrahim alimtuma mke wa mwanawe kuwa amwambie mumewe abadilishe kizingiti yaani amuache kwa tabia mbaya alomkuta nayo, sasa je kwanza hawa wameshuhudia tabia mbaya ya huyo mama kihakika na ni kama ipi?
@abdulazizimohd26824 жыл бұрын
Nyinyi inaonyesha mnataka mali tu choyo kimekujaeni mukiona mamaenu wa kambo akishuhulikiwa vizur yeye na familia yake nyinyi mnasena amuache nyinyi mnaweza kumpa anachopewa na mkewe
@monamo52446 жыл бұрын
Yeye muachieni hyo mume pamoja na mali.mana hyo mke anatamaa ya mali aona mtapata nyinyi.
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Sio lazima kuwa na nyinyi!!!!
@reginalaurent51756 жыл бұрын
Kwann wote wamseme vbaya tatizo lipo
@mashallahsheikhnoormariama45527 жыл бұрын
Nyie mnasema asiachwe kwa sababu hayajawafika ndio mana mkasema hivo Mke ni mmoja lkn je wanawe saba damu yake hata akiruka vipi hawawezi kutoka sio sawa na mke maslahi tu. Na hata wakitaka mali basi ni yababa yao wanahaki nayo siyo ya mtu baki. Na nyinyi yakiwafika mtajua utamu wake acheni kuropoka tu Mzazi kitu kingine
@hafidhnzota21423 ай бұрын
FAMILIA za kiswahili HIZO Mali ya wanandoa ni Mali zawanandoa HAJALOGWA.MTOTO AKIOLEWA NI WAMUME HUYO.SHETANI NYIE
@ahmadajamal75247 жыл бұрын
Hahaha sehemu ya mwishoo km mchezoo wakihindii
@habeebaalriyami4066 жыл бұрын
kwann matatizo ya family yanaletwa mitandaoni hawasawazishi hukohuko hii sio vzr
@rebekamwambatata95122 жыл бұрын
Kumbe ameishi nae miaka 30 Hugo ni make mwachr
@rizikially35676 жыл бұрын
just mawazo tu hayo yenu mm pia nna yangu
@fathiasalum95456 жыл бұрын
her huyo Dada hivyo ulivyo nawe unamume amakweli duniani hakuna MTU mbaya ovyooo
@ahmedshaib84406 жыл бұрын
Muacheni na maisha yake kila mtu atafute maisha yake mwenzenu kahangaika kapata ma nyie tafuteni cha kwenu
@msafiribakari59416 жыл бұрын
Baada ya miaka 32 amuache mkewe mulikua wapi miaka yote hiyo
@salimahmed94966 жыл бұрын
Huyo mke si mwema, atamchuna mpaka ngozi...... Dawa ni aachane Nae tu
@asmabintikiwashatz93216 жыл бұрын
nyiny achen tamaa ya pesa muachen na mkewe
@sharifangalleny47902 жыл бұрын
Mmezora kuwachanisha sasa amewangundua
@milkamugomomugenimgomo68246 жыл бұрын
Ni njaa inawasumbua hawa ndugu na wivu tafuteni na nyinyi mali zenu mwacheni mwenzenu na mkewe
@shekhahamed76256 жыл бұрын
Rohombayatuu rohozinawatoka kwamali
@maryamalbahry13877 жыл бұрын
😂😂😂 niambieni ilo kutu la ng'ombe 😂😂 ndo nini?
@marinamooh40556 жыл бұрын
Maryam Albahry kutu la ngo'mbe maana yk mavi ya ngo'mbe Duuh mitihan Wallah
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
Marina Mooh yap kutu la n’gombe maana huwa juu kavu (wema) ndani maji maji (uovu)
@hamiduabdul87076 жыл бұрын
kawaida ukiolewa namwanaumemwenyewatoto mtihani wallahi hatauwemwemavipi huwahunathamani ndomaana mamawakambo huonaborawawe narohongumu kwakweli mwaka wa33 mnatakaachwe uyoalozaanaehajafikamiakaiyo mnanininyie mali tu zawatoaroho mfyuuuuuu pumbavuzenu
@kidaumtumbwi11286 жыл бұрын
Suluhisho sio kumwacha mkewe Suluhisho ni agawe Mali zake kwa watoto wake kabla Mauti hajamkuta.
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
Duh
@husnatgamaah13356 жыл бұрын
Mali amezitafuta mwenyewe muacheni atumie na mkewe acheni uroho wa mali nyie ndugu, mna mikono 2 mna miguu tafuteni za kwenu
@joliesaida98296 жыл бұрын
Huezi chukiwa na kila mtu huezi ekelewa na kila mtu lisemwalo Lipo uyo mama wa kambo ana jambo
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
Uyu mzee atakuwa anavimali angekuwa kapuku awo watoto ata wasingekuwa Na mda wajumteka wako busy Na wanaume ,lol anamwachaje mtu Na anampenda Na mkewe kilahisi Tu mnavyotaka ,Kam Ni Mali tulieni akifa selikari wanagawa wacheni ndoa mungu pekee Ndio anachanisha Sio nyie
@bekaali17526 жыл бұрын
Mali lazima iwatoe roho huwezi jua wamexipata vp.Kikubwa pana fitna ndio inayochochea hiwexi kuitupa familia yako tena wanao au familia mzima kama hapana ufisadi huyo mama sie hafai.Kama hawa watoto wangelikua wadogo huyo bibi angewatia moto akawaua llkn ni watuwazima ndio wakapambana nae.
@maryammmakunduchmahammed97866 жыл бұрын
Mh kila mtu baba wa taifa asoshughulikia watoto wak akiwasaidia watu wengin
@mariamfaki11666 жыл бұрын
Kwanini hili jambo msilipeleke kwa viongozi wetu wadini wakalimaliza?kwani huu mvtano ndio unaomfanya huyu bwana achanganiyikiwa inavoonesha nyote mwaroga mmezidiwa nguvu mshuruni mungu muombeeni tu dua atazinduka acheni shirki
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
Mariam Faki yap mvutano na kukosa kiongozi mwenye hekma ili yasuluhishwe peacefully ndio mtihaaan nao!
@haithamkhamis37446 жыл бұрын
Na hao wazee wenyewe pia wanaonekana wana njaaa tuuu wapambane na hali zao wamwache mzee afanye yake
@samayrahamid89776 жыл бұрын
Watu wanajua kulivunjaa alqaba
@chancemtitu18526 жыл бұрын
Kula MTU apambane na hali take ndugu sio poa some tym