NEEMA CIZUNGU,MAPITO LIVE, Nawapenda sana naomba mkisikiliza wimbo huu share Kea watu 10 ili kusapoti huduma hii Mungu awabariki sana
Пікірлер: 48
@stellanyagoe20736 ай бұрын
Wangapi tumekimbia huku kutoka TikTok,Mungu tu.
@neemanyimbo67965 ай бұрын
Tupoo😂
@kirikhaukwa86805 ай бұрын
Me here😂😂
@azenathnicole39655 ай бұрын
Me here
@user-uq3xw5rk5i3 күн бұрын
❤❤❤ Barikiwa sana dada unatukumbusha tulikotoka na sasa ni kwa neema ya Yesu
@janerosesituma870715 күн бұрын
Nimekimbia huku kutoka Tiktok. Huu wimbo umenikumbusha maisha yangu ya hapo nyuma. Huyu Mungu amenitoa mbali!
@bernardombeo91259 күн бұрын
Yesu nitabaki na wewe kwa kila jambo ni mapito tu
@MARIAMIGOMBE15 күн бұрын
Huu wimbo unanibariki sana barikiwa mtumishi wa mungu
@LilianNgamba-wg8sc4 ай бұрын
Nimebarikiwa San na huu wimbo barikiwa dada nikikumbuka alikonitoa huyu Yesu😢😢nitabaki na Yesu ❤you Jesus
@azenathnicole39655 ай бұрын
I'm back again this songs needs 1million views it's a blessing
@adamchiguma9198 күн бұрын
Wimbo bora sana Asante
@zakarialemtya328210 күн бұрын
Namwamini mungu atanifikisha nyumba ya ahadi emeeee
@alexanderkapinga70016 күн бұрын
Wewe dada sijui ndo utakayebaki na ndoa yako pekee maama wenzio daaa wameshapepetwa wote.
@kisimbaemmaemma86065 ай бұрын
Nafarijiwa sana kwa wimbo , niki kumbuka kule yesu ali po niondoa.
@lucyemmanuel9487Ай бұрын
Mungu azidi kukuinua dada unaponya mioyo ya wengi.
@agnesmali46106 ай бұрын
Kweli nilibaki na wewe Yesu....Ubarikiwe Neema
@SarahJuma-qf1xq5 ай бұрын
Mtumishi mungu akubariki sana kwa huu wimbo 🙏🙏this song is my testimony my true life story 😭😭😭Mungu sio mwanadamu kwa hakika I can say that God is great always
@user-od4fv8vz4n3 ай бұрын
Amen Amen Glory I'm by the song imeniguza sana
@aumajemo5 ай бұрын
Am getting blessed 🙌 every time I listen to this song.......❤❤❤
@jacksonnyiro70657 ай бұрын
Barikiwa na Bwana
@DondeDieuElias-ic3qj5 ай бұрын
Aminaa Amina ubarikiwe mutumishi wa Mungu
@charitysalama1837 ай бұрын
Nimebaki na wewe ❤❤❤❤am blessed 🙏🙏🙏
@mercylinewangila490215 күн бұрын
Very touching song indeed
@user-uk5gi1wk6i24 күн бұрын
Barikiwa dada
@louiseneemamparanyi65747 ай бұрын
MUNGU akubariki sana dada yangu
@josephmirambo9957 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akuniue juu kwa utukufu wake
@kirikhaukwa86805 ай бұрын
God's love is unfailing. He is our deliverer. Our Redeemer. We hope in Him we can never be shamed🙏
@lindamunga25774 ай бұрын
Thank you Jesus and God bless you Neema
@phoebeandati7 ай бұрын
Wow! Powerful! I love your ministry mum. Every time I watch I listen and watch your music you remind me of the late Angela chibalonza
@pstbahavusylvain6897 ай бұрын
Ubarikiwe sana sister
@user-xj9ru4ku1p6 ай бұрын
Mungu aku bariki sana sayidi
@joycemwende58945 ай бұрын
This is my song ❤️
@fredrickmikera59985 ай бұрын
Huyu mkongo ndo muimbaji sasa
@salomemwekyelu38767 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtu wa Mungu ,hakika nitabaki na YESU nitabaki na wewe Yesu wangu