Kuna wakati shetan mwenyew.anajua kile kiti cha kusifu na kuabudu tumekichukua
@samuelmyete46372 жыл бұрын
Haijawah tokea na itaendelea hivyo kila siku wakisimama jukwaani...Neema gospel ndiyo kwaya yetu hapa Tanzania inayo enda kufanya zaidi Tena kwa Africa yetu na Dunia watawasililiza, safari ndiyo kwanza imeanza bado mbona...Kama sisi tuna ona maono hayo je wao wanaona Nini juu ya huduma yao... MUNGU awabariki sna nakuona Kama tunavyo watakia Kheri kwenye ulimwengu wa kumtumikia MUNGU kwa viwango vya juu..
@mwinje Жыл бұрын
Hadi raha sichoki kuwatazama kila siku😍😘❤
@MicahCharlz Жыл бұрын
Watched this on the decoder and had to come look for it here because it blessed me so much, love from Nigeria 💜.
@victorywakasa62872 жыл бұрын
Sound❤️✅ Vocals❤️✅ Dance💃❤️✅ Synchrony❤️✅ Energy ❤️✅ Dressing code💚💚✅ Song's message❤️✅ Annointing ❤️❤️❤️🔥🔥🔥✅ Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@petermwangi8851 Жыл бұрын
😂😂😂I love you so much from kenya we envy your performance 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💕💕💕💕💯💯💯
@faithnthambi4306 Жыл бұрын
Wow....umetutendea ukarimu mwingi umetukumbuka wakati wa dhiki
@febiolam59042 жыл бұрын
Nyieeeeeee🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️,,,Hivi viwango ni Hapana, You guys are Extraordinary Glory to Jesus🙌🏽🙌🏽
@NeemaGospelChoir2 жыл бұрын
Amen
@julieeliah55112 жыл бұрын
Good performance! Well organized, self committed, love from above 👐👍 Love you guys!
@isaackamando84842 жыл бұрын
That amapiano on the last was unexpainable faaaayaaaaa 🔥🔥🔥 haaa nyieee hawa neema gospel musician ni hatari aisee, ni dunia ingine hawa aiseee
@petermacharia89522 жыл бұрын
Naona nikihamia Tanzania sasa😃😃😃 I love Tanzanian gospel music😍😍
@jamesyohana73552 жыл бұрын
daaah mnabadilisha ulimwengu wa kwayaaa,tulishazoea kwaya zinaimbaga kwa namna flan ila nyie mmepinduaa
@EmmanuelKatembo-u5g Жыл бұрын
Amina Amina❤❤
@lukelukenza01 Жыл бұрын
Huyu drummeer😅 Fredrick nd stress Hana kbc😅😅🎉🎉❤❤❤
@trofimogodfrey53862 жыл бұрын
Utafikiri mnatumia ilo recordiwa mwanzo kumbe hii ni ya hapohapo daaaa music mungu awainue mtumikieni mungu bila kiburi,majigambo wala majivuno nawapenda na nawaombea
@marystephen11832 жыл бұрын
Hawa watu wako serious na kazi yao sana
@japhetmakyao88902 жыл бұрын
Ila nyie huu mziki😀😀👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌 mega nimeipenda mnooooo
@jonathanmwigune84992 жыл бұрын
Kaka masanja mini sisemi sana but Kwa huo moto lazima tuseme ukweli sisi tumejifunza kutoka kwao lakini hapa walijifunza kitu sasa kutoka kwetu I LOVE YOU NEEMA GOSPEL
@liznanabirir-kd1rw10 ай бұрын
Wueeeeh this hits ,, where are my Kenya people ♥️🫂, feeling blessed ♥️♥️
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen we love you❤️❤️🇰🇪
@liznanabirir-kd1rw10 ай бұрын
@@NeemaGospelChoir we love you ❤️
@HELLBECCAENTERPRISESLIMI-hl9mb Жыл бұрын
This is the most creative choir I have ever seen !!!!! Amazing energy, astonishing creativity and all round perfection....Glory to Jesus!!!!!!
@annitakavingi8088 Жыл бұрын
Kidogo kidogo nifikirie ni amapiano🙈 but imewezaa 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@iammichaellukindo2 жыл бұрын
Kazi hii ya Mungu inastahili Million views jamani
@janetadhiambo9122 жыл бұрын
Lots of love from Kenya.Amazing Amazing and glory to the Almighty God.YEIIIY🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@antonyndungu3512 Жыл бұрын
Oh yeeeeeah I love it... I was thinking ni mix ya dj kumbe what I think can be true ilikuwa hapa... You did it perfectly. God bless you team
@neemawillison8912 жыл бұрын
Mungu alie ndani yenu msimuache mtafika. Mbali sana
@kenmatata15812 жыл бұрын
Kazi safi wadau... pelekeni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na rieng
@vicentjoseph68882 жыл бұрын
Andrew kwenye sollo 🎸🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️🙌🙌
@evarlynkavaya65838 ай бұрын
Ameeen 🙏 🙏
@cateomondi717510 ай бұрын
Tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu , mnatufikisha Karibu na muumba wetu😢 Hadi rahaaa ndani ya Injili ya yesu❤ naomba Mungu awajalie mtunge nyimbo nyingi zaidi ❤🎉🎉
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@ainneswilliam94272 жыл бұрын
Nyie jamaaa banaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉 acha ninyamazeeee ila i need to download this and have it in my Pc
@innocentzawadi Жыл бұрын
that drummer something else ....olive hizo feels zake Sana ...❤❤
@stephenmalilo98332 жыл бұрын
The best in town!! Hii haina mjadala kwa sasa......🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@tonie54472 жыл бұрын
Hahahah hawa jamaaa sijuiii daaah kaka
@nelsonomondi7825 Жыл бұрын
Wow! The gospel music bar is raised to a higher level. I love the songs; very powerful, instruments are on a top notch, the vocals are amazing and very accurate and on point..I can't even comment on the dance. Keeping it lit and within the religious boundaries........the amapiano climax is just wow! Welcome to Kenya men and women of God.
@naomiribson46152 жыл бұрын
Nawapenda snaa mpaka Sina Cha kuongea 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@josephatmathayo23552 жыл бұрын
Nimewapenda bureeeee. Utunzeni huu Moto wa roho mtakatifu ndani yenu. Na umoja wa roho muutunze
@mikadanniel19522 жыл бұрын
Nimesema ivi waiteni tena joyous wenu kwa Neema Gospel lazima wafikirie vizuri 🙌 sio kwa ubaya lakini
@mariamhinda67102 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@joramwilson25132 жыл бұрын
Yesu na alitunze kundi lake,hakika Sifa na utukufu kwake yeye aliye juu.#NGC🔥🔥🔥
@faithwangeci33472 жыл бұрын
Now,,,I imagine hawa na essence,,uiiiiiiiii Mungu wangu,,,the musica imepangwa
@daisybartena4537 Жыл бұрын
Yooh the Energy,mavazi mazuri ya heshima,praise safii kabisaa.Big up neema choir 🔥,love from Kenya 🥰
@nathanvenancy80292 жыл бұрын
I rarely comment on gospel music videos... but this is excellent work right here. Perfect vocals, wonderful music arrangement.... just perfect everything. Glory to Jesus for this.
@DAUDILUTEMATZ2 жыл бұрын
Ameen
@NeemaGospelChoir2 жыл бұрын
Amen
@evmichaelmagembe1943 Жыл бұрын
gGood job
@SelviaIlunga-jr1lp6 ай бұрын
Mungu Awa zidishi ye neema ku pita je suis totalement béni par vos chansons . je vous suis depuis la RDC
@NeemaGospelChoir6 ай бұрын
Amen
@shedakamu13054 ай бұрын
@@NeemaGospelChoire'#'¹Z//X@'@@S@SEE===⁴43;19 IS 😊😊😊
@perfectkadewele3122 жыл бұрын
mmetubeba kwa kweli hatujahaibika
@MinisterJonathanDev2 жыл бұрын
Ayayayaya Guys mungu awa bariki kabisa.
@yusuphdeogratius10362 жыл бұрын
Jmn nyinyi mnajua mnaemtumikia siyo kwa huimbaji huuu mungu awabarki
@mwangosikennedy96432 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Neema Gospel, hakika siku ile nilienjoy sana pale Uhuru kupitia ninyi kuliko hata Wasouth. Combination mliyonayo iendelee kudumu Milele yote Ameni.
@felixobare8135 Жыл бұрын
waooo so nice
@emmanuelmwangosi94002 жыл бұрын
Dah! Hii next level kataa au kubali
@veronicaalex1950 Жыл бұрын
Nawakubari sana pia najifunza sana kupitia this team muendelee kufanya vizuri zaidi
@adrianlyanga53922 жыл бұрын
Mnatuheshimisha Neema Gospel.... Let's go to the Highest level..
@boazmwinga2 жыл бұрын
Nawapenda bure🫡🔥🔥🔥💯
@tongatopsir4686 Жыл бұрын
Greeting from Sydney Australia. Big ❤🎉to you all
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@danielngimbwa78469 ай бұрын
Wooow this is wonderful
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@godwinmongi52422 жыл бұрын
17mns but for me it's just like 1mns... I feel proud to have of you NGC In TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@janelindak582 жыл бұрын
Watching from 🇺🇸 and this has blessed me for now three months and am grateful!!!
@shyllahadema22032 жыл бұрын
I have been replaying from 14:19.Hiyo dance ni noma...kama hivi ndio tutasifu uko juu...Jesus arudi haraka twende.Everything in this song is just fireeeeeee
@albert-kkitwenga48892 жыл бұрын
I am touched by your evangelism. Wimbo wa double double umenigusa mno. May the Lord keep taking you and your ministration from glory to glory.
@iantosslizip65122 жыл бұрын
A clear message that we can organise a perfect Gospel event 🎉🫡🫡🫡🫡🫡❤️❤️❤️
@jonathanmweri91232 жыл бұрын
I wish a lot of people could see your comment adi iwe a success
@iantosslizip65122 жыл бұрын
Amen 🙏
@norahkiereri40852 жыл бұрын
Let everything that has breath praise the Lord! Praise God!! Hii ni ishara Yesu yuko karibu kurudi. Mataifa yanakusanyika mbele zake na kumuita Bwana. God bless you Neema choir for gathering us here to worship before his majesty. Hallelujah!!!
@pastorfredmsungu3 ай бұрын
Itakapoandikaa historia ya mapinduzi kwenye kizazi chetu , NGC hamtakosekana. Keep it burning
@gloriousnp2 жыл бұрын
Wow , just wow .i am sure hata joyous celebration waliwakubali kwa hii performance. Lazima wakajipange kufanya nyimbo nyingi za kiswahili next time wakirudi Tanzania itakua balaa
@Apostle_Nehemiah2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@DAVIDKAYLE2 жыл бұрын
Yees
@ev.mhugohantish2882 жыл бұрын
Wao wanazicheza sana kuliko kuziimba. Ingawa wapo vizuri pia nao kwa namna yao.
@RegisMc2 жыл бұрын
Do you understand what you talking about bro??????
@Josh_11942 жыл бұрын
😂😂😂unazungumzia joyas ya buza au
@polyjoh5492 жыл бұрын
Nawapenda sana na kazi yenu ni njema mnoo, mzidi kubarikiwaa sanaa
@adaaron9483 Жыл бұрын
I'm blessed
@immanuelcharles26992 жыл бұрын
Kinanda kinamtii Mr Masanja nasalute
@catholicvibemusic31512 жыл бұрын
Hapa double double pale conquers nyieeeeeee😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yusuphdeogratius10362 жыл бұрын
Live record itayofauata mje mwanza jmn
@catholicvibemusic31512 жыл бұрын
Your becoming the top one in Central Africa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@djjude2542 жыл бұрын
Woooow 😮😮 puuullll op, this just sick, waaah watu wa mungu 🙌🙌🙌 nyinyi ni wa baraka
@hellenminja37342 жыл бұрын
Yaan hawa walifanya vzr kuliko wenye shughuli hakika tulienjoy na hawa watu sana🥰🥰
@stevenmahinda6579 ай бұрын
Wenye shughuli walikua wakina nanii
@JenipherVenanc-el2jv4 ай бұрын
Kwa furaha izi ata mungu mbinguni anajivunia.......
@AP-ze4tm2 жыл бұрын
the energy invested in this ministry is on another level, am admiring the church, these are God's Angels doing Gods Things. praise To the most high.
@chiefben48612 жыл бұрын
@ Masanjaaa🙌🙌 yan wakurungwa wamefanya mule mule
@daisypamela5041 Жыл бұрын
Neema imewatosha kweli🔥❤️🙌🏾just a lovable Choir. Baraka tele💯🔥🙌🏾❤️
@johnnzioka4566 Жыл бұрын
What God has done in my life i have to praise Him
@meshacknassary80232 жыл бұрын
hehehehe vidole vya MD sasa your blessed in everything
@ntabulimwakifuna62572 жыл бұрын
Mpo vizuri sana,,Mungu azidi kuwainua
@fidelisernest35232 жыл бұрын
Hongerani Sana mlifanya vizuri mlituwakilisha vyema Watanzania
@kirabasimon4398 Жыл бұрын
so cool
@lizzybethmayengoh96242 жыл бұрын
Nawapenda. Nilikuwepo uwanjani nilifurahi kuwaona live mbarikiwe sana
@janeymhando2 жыл бұрын
Aisee..this is soo nice..!and LIT..🔥🔥Mungu azidi kuinuliwa kupitia nyiee🙏
@catherineonyango67513 ай бұрын
Tanzania you are blessed am proud of you...who is watching this 2024🙋
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥Glory be to God🙏🙏
@maymbeyu54582 жыл бұрын
The ending was peeeeeerfect
@maymbeyu54582 жыл бұрын
Akuna siku inapita hadi n watch hii vedio waaaah neema i love uuu guyssss
@obeidroden29342 жыл бұрын
Mmmmmmmh, maneno ya kuelezea uzuri na upako wa hii performance yananikosa kwa kweli. Bwana wa mabwana awabariki na kuwapa upako na maono zaidi. God bless you all NGC...Love from GEITA TANZANIA❤👍🤝😁😆
@Ryland254 Жыл бұрын
You have set a TREND in EAST AFRICAN LIVE GOSPEL concerts God bless and increase your ministry in all fronts!! Much love from 🇰🇪
@amonphilip59022 жыл бұрын
Neema gosple wasipokukamata kwenye nyimbo na lyrics za kibabe basi wanakukamata kwenye dance ..sijui utatokea wapi 🤣🤣🙌🙌utachagua wewe Sasa kusuka au kunyoa...#thisisbeyondamazing
@NeemaGospelChoir2 жыл бұрын
😀😀😀😀🙏🏻🙏🏻
@briandiru79062 жыл бұрын
WOW, that was an amazing performance. Praise to the most high. You are a blessing to this generation .Baraka
@goodnewsofsalvationministr11352 жыл бұрын
Mungu awabariki nakuzidisha zaidi nawakubali sana
@mgayamgaya2 жыл бұрын
Well organised team, nice songs, vocal , punch, i see you guys. Masanja namuona hapo fund wa mziki Tanzania. Blessed.
@tracyjafari4023 Жыл бұрын
Ive never had goosebumps while watching any gospel team from tz. This is on fire!!! Kwanza the choreography n instrumental on the last song, waaaaaah! Those guyz can dance mehn!!?
@brownngullo40512 жыл бұрын
such amazing live performance done by Neema Gospel choir . It will be better for regional tour arrangement
@gracemkiwa7450 Жыл бұрын
I'm your Fun 😊😊.May God continue to use you as his instruments
@rosemaryalbert11542 жыл бұрын
Waooo Mungu awabariki watumishi wake kwa kazi njema