Anayepigana na sisi Anapigana na Mungu Anayekinzana na sisi Anakinzana na Mungu Ooh yoyoyo Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale Wanajeshi wale Tuliotumwa na Mungu Anayepigana Anayepigana na sisi Anapigana na Mungu Anayekinzana na sisi Anakinzana na Mungu Anayepigana Anayepigana na sisi Anapigana na Mungu Anayekinzana na sisi Anakinzana na Mungu Say sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu one time say sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu mmh yeeeh Aliye upande wetu Ni mkuu zaidi ya miungu yote Aliye upande wetu Atatushindia yote Tusifadhaike tusitetereke Tunaye mkuu wa ulimwengu wote Yeye ni ngome imara Haiwezi tikisika Aliye upande wetu Ni mkuu zaidi ya miungu yote Aliye upande wetu Atatushindia yote Tusifadhaike tusitetereke Tunaye mkuu wa ulimwengu wote Yeye ni ngome imara Haiwezi tikisika Say sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu Come on somebody say Sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu Let me see you dance Let me see you dance for the Lord Say kati ya vizazi Kati ya vizazi Mungu kaita jina langu Nami nikaitika Nipo hapa Kati ya maelfu Mungu kaita jina langu Nami nikaitika Nipo hapa Kati ya vizazi Mungu kaita jina langu Nami nikaitika Nipo hapa Kati ya maelfu Mungu kaita jina langu Nami nikaitika Nipo hapa Let me see dance Say sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu Sisi ni wale wale Say sisi ni wale wale Sisi ni wale Tuliopakwa mafuta mabichi Sisi ni wale Tuliopigwa chapa ya Mbinguni Sisi ni wale Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu One time say Sisi ni wale Shout Say Kati ya vizazi Mungu kaita jina langu Nami nikaitika Say nipo hapa Nipo hapa Kati ya waimbaji wote Tanzania Mungu kaita jina lako wewe Japo hawakuoni say niko hapa Niko hapa Kati ya wanamuziki wote duniani Mungu kakubariki wewe nawe ukaitika nipo hapa Nipo hapa Kati ya familia zote Na maagano ya familia Mungu kakutenga nayo Kasema nipo hapa Nipo hapa
@Barbian-u1e9 күн бұрын
SISI NI WALE
@dottoreuben78909 күн бұрын
Sisi ni wale 🎉🎉🎉🎉
@BenyDaniel9 күн бұрын
Amen amen ❤
@kinyuakami49419 күн бұрын
Sisi ni Wale tulipigwa chapa na Mungu
@labanianthony9 күн бұрын
Ameen
@david_michaels9 күн бұрын
Sisi ni wale wanajeshi wale, tuliotumwa na mungu...powerful song 🙌🙌
@twosistersdivinesifa76179 күн бұрын
Amen 😊
@shadrack65309 күн бұрын
Amen mbarikiwe watumishi wa mungu🙏
@Am-ryn9 күн бұрын
🔥
@mckakamtumishi96149 күн бұрын
🙏 🙏 🙏
@mpimwaipaja12489 күн бұрын
🔥🔥
@CR738127 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪sisi ni wale tuliopakwa mafuta mabichi