Jamani hata like moja sjawahi kupata tangu nianze kucomment 😢
@kamaujo200023 күн бұрын
❤❤❤ God bless you 🙏
@wendyomollo12483 күн бұрын
😂😂😂😂
@Othnie-1j29 күн бұрын
Wa kwanzaaaaa hapoooo, like nyingi kwangu
@SaraKasiga-h9q19 күн бұрын
Mungu ibariki East Africa. Kiukweli tunabarikiwa na waimbaji wote. YESU wetu azidi kutukuzwa juu zaidi. Gonga like hapa
@jamesygodfrey859323 күн бұрын
Jamani raha sana kwa YESU hallelujah
@rachelrobert898529 күн бұрын
Mimi huyo leader Huwa ananibariki sana🎉atunzwe na Mungu
@martinenawejtshineng21 күн бұрын
Jésus christ le même hier aujourd'hui et éternellement akuna kama wewe
@tomkyalo110728 күн бұрын
Iyo wimbo nimeigojea for many years since wakuje Kenya
@mesiambilinyi411228 күн бұрын
Hata mm nimeingojea Sana hii nyimbo Nabarikiwa Sanaa 😊
@pendothomas725817 күн бұрын
Umenipimia kwa wingi kuliko hata nilivyodhani 🙌🙌🙌
@AbednegoTemba28 күн бұрын
Ma Favorite soloist of ALL TIME.... He's Back.... Keep Him.
@josephprince963228 күн бұрын
Ukiachana na wimbo ni mzuri nani anaona pia kama wamependeza sana na sare zao ...
@FloraNzawilla23 күн бұрын
Wimbo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hakuna wakunananishshwa kweli na nawala kufanana ni MUNGU pekee mbarukiwe sana nawimbi huu
@donattuyisenge127425 күн бұрын
From Rwanda 🇷🇼 I really like the song message, melody , dance, the leader❤
@paulkimbulu670928 күн бұрын
Yahweh Wewe ni Mwaminifu siku zote maishani mwetu sifa na utukufu ni zako daima🙏🙏
@EliasLucasjr25 күн бұрын
God is God ❤❤
@lizezra29 күн бұрын
Yahweh, I am so grateful, Hakuna wa kufanana nawe anayeweza kufanana nawe, Wewe ni Yahweh milele
@mosesmuinde82128 күн бұрын
wapi likes zake soloist.... kama umemtambua...Big up Kazadi... Ngc🎉🎉🎉
@kadenyikigalu828028 күн бұрын
Nimefika let but I thank God (YAHWEH NI 🔥🔥🔥🔥🙏🏿🙏🏿) LIKE ZII COME 🇰🇪🇰🇪
@paulmalugala48623 күн бұрын
Wimbo mzuri sana
@ElishaMichael-d3v29 күн бұрын
Tuko pamoja mpaka siku tunayokwenda mbingun kwa baba
@TheWorldGospel29 күн бұрын
MUNGU NI MKUU 🇹🇿🇰🇪🇷🇼🇧🇮🇺🇬🌍. Baraka zake kwetu ni 100 🔥🔥. Weka likes hapa. Dunia itambuue
@topamazingclips29 күн бұрын
Even in this season that am mourning the death of my mother you remain to be God
@yvonnesally310926 күн бұрын
May God's grace be sufficient as you mourn the loss of your mum. He is close to you.He will comfort you
@topamazingclips18 күн бұрын
@yvonnesally3109 Amen
@MyMercy8428 күн бұрын
Ila Neema Gospel Choir mmejua kukimbiza mwaka huu..mbarikiwe moto usizimike
@leahngugi504917 күн бұрын
3:05 Amen.
@pendothomas725828 күн бұрын
Yahweh ole wawiza ❤❤
@maruramjomba171828 күн бұрын
Neema Gospel Choir yaani hamna hata one bad song. I always look forward to your releases and I've never been disappointed once. The song writing is so intentional it touches God's heart and ours as well. The music arrangement is masterfully done, yaani this entire group is talented and blessed beyond measure. Asanteni kwa kutubariki na talanta zenu kila wakati, muzidi kuinuliwa viwango vya juu kwa utukufu Wake.
@wilfredlucas-nf6yo27 күн бұрын
Kwa kweli siwezi kumuacha Mungu
@ElisabathMuzungufu-tt4zx28 күн бұрын
Nalingi bino makasi. Merci depuis kinshasa 🇨🇩 ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@AbednegoTemba28 күн бұрын
Hyu solo sasa hyo intro yake ya kwanza tu kalii 😅 hyoo yahweehh ilivyopigwa love it
@ElizabethBunga-y8p25 күн бұрын
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua mmekuwa Baraka kwa watu wengi ❤🙏
@jukaelyelisha631128 күн бұрын
Kristo azidi kuwainua zaidi watumishi wa MUNGU
@pendothomas725817 күн бұрын
Hii nyimbo ni tamu sana jamani , nimerudi hapa tena na tena yaani 🎉🎉🎉❤❤
@elizabethnduku802227 күн бұрын
Wow NGC on another level 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you, utukufu umrudie yeye aketiye enzini Samuel limbu Mungu akuneemeshe
@hellenrichard18728 күн бұрын
Wimbo ni mzuri nimerudia rudia na huyu muimbishaji ni moto aiseee hongereni sana❤
@IsackDominiko_29 күн бұрын
WHO IS THIS GUY? 😁 The Song is Songing, Hakuna wa Kufananishwa nawe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@cynthiakchristian26 күн бұрын
Baraka za Mwenyezi Mungu Kwaya ya Neema, salamu kutoka dada yenu Mkenya.
@chumajoyce995123 күн бұрын
Wimbo huu jamani Eeeh Mungu asante unabariki mno 😘😘
@dativapeter120427 күн бұрын
Waaoh! wimbo wa kutubariki , kwakweli mbarikiwe sana @neemagospel
@BeritahWambani29 күн бұрын
Amen.hakuna.wakufananishwa na mungu na hatakuwepo mungu ni wapekee milele❤❤
@stevecharlo714928 күн бұрын
Yahweh, you are so good. Much love from Kenya 🎉
@AnswerAnswerafanga28 күн бұрын
My family is proud of you from Congo today I am in Kenya ❤
@Fran3pen29 күн бұрын
Hii song nilkuwa nmeisubili kwa hamu saaana
@lizyjonath222629 күн бұрын
🙌Jina la Mungu linatukuzwa
@NashoniFerdinand25 күн бұрын
Neema gospel Mungu Awabariki sana kwa Kwa uimbaji mzuri sana ❤
@LydiaMuthoki-bz2xg29 күн бұрын
Hakuna wa kufananishwa na Mungu ni WA pekee 🇰🇪🇰🇪🙌
@widsonswalala969628 күн бұрын
May God continue to bless you, mnamtumikia Mungu kwa moyo sana.
@hellenrichard18727 күн бұрын
Huyu muimbishaji si yule wa Tubariki leo anajua sana
@emanuelmbupula928424 күн бұрын
Munatubariki sana
@naomipraiseofficial319224 күн бұрын
Hawa watafika Kenya Lini ❤ Karibuni
@mussakondela189229 күн бұрын
Mbarikiwe sana Watumishi waaminifu wa Mungu Neema Gospel Choir NGC ,Me and Neema Gospel forever in Jesus
@samwelcharles413429 күн бұрын
Tulio subili wimbo huu kwa ham kubwa like hapa😊
@mesiambilinyi411228 күн бұрын
Na mm nimesubiri Sanaa Huu wimbo 😊
@barakamhenga619529 күн бұрын
Chavala Hezekiah endeleeni kumtumikia Mungu vijana wa Jehova
@Amina-o7x1h29 күн бұрын
Kama huwa unabalikiwa na uvaaji wa neema weka liki. kwamaana wote nivijana lakini wana jistili sana mauwa yaoo🎉🎉🎉❤
@samuelmyete463729 күн бұрын
Dah hatari sana jaman, into tu shida, Dah aisee, Neema gospel hatari
@isackobadiah48429 күн бұрын
Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Kuendeleza Kutoa Nyimbo Nzurii, Hakika Nabarikiwa Sana na Nyimbo Zenu. 🙏🙏👏👏
@carsonsrecords29 күн бұрын
Wimbo huu umejaa baraka na upendo. Mungu abariki waimbaji kwa kueneza neno lake.
@MickyTash25 күн бұрын
Mimi naipenda hii kwaya na nyimbo zao zote.... Ila ningependa mfanye collabo na msani aitwaye shigo boy pamoja na paul clement tafadhali naomba. Mungu awabariki kwa kazi nzuri
@joanamanda170923 күн бұрын
Paul Clement tayari
@joshuajustustz29 күн бұрын
Big up leader 🎉🎉🎉
@hellenrichard18728 күн бұрын
Mmebarikiwa sana watumishi
@DennisFelixTz27 күн бұрын
Huyu brother ni international performer yaani anajua ku introduce audience anaperform hadi naskia mziki kwenye damu❤❤❤
@detishbitejuckhubby537927 күн бұрын
BASIST BE BLESSED NATAMANI KUWA KAMA WEWE🔥🔥🔥💯💯
@edisonemmanuel-po6ds28 күн бұрын
Nawapenda sana neema Gospel choir
@emasonnziliye863528 күн бұрын
Mungu anatukuzwa sana through this team❤❤🎉🎉
@anitaanne552429 күн бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pureglam_Ke6 күн бұрын
Love love this song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.....much love from Kenya. This is my favorite gospel choir