Wimbo huyu umeniingia sana kinywani eee MUNGU washangaze madui Zangu wajuwe MUNGU wewe ni mshindi baba hujawahi kushindwa baba Naomba ukashugurike na mahitaji Yesu🙏🙏🙏🙏🙏
@IbrahSalum-ok7xl Жыл бұрын
Mungu wetu hajawahi kushindwa .😁😁😁 Hallelujah
@aishakidoti8956 Жыл бұрын
Amen wimbo unanibaliki san mungu akutunza dada neema
@emtv96755 жыл бұрын
Kutoka +254 kenya kama bado upo hapaaaa 2019 gonga like Tanzania is fire
@humphreyreuben13657 жыл бұрын
Mungu wetu hajawai kushindwa ng'oo!! sina cha kusema sana ila ngoma imefanya vizuri na itaendelea kufanya vizuri
@florahsekidolima89705 жыл бұрын
Baba ukashughulike na mahitaji yetu,, baba ukashughulike na watoto wetu, baba ukashughulike na biashara zetu,, Tena ukashughulike na maadui zetu baba ukashughulike na ndoa zetu,,,,,,,,,,,,,🙏🙏🙏🙏🙏😘💓💓💖
@Beny_Daniel Жыл бұрын
Maombi yangu siku moja Mungu anipe korabo na wewe Boss!
@tinagibe92647 жыл бұрын
Amena kuuubwaaa nyimbo imenibariki sana wapendwa Asante Yesu nimefarijika sanaaa
@edinahmaganga35282 жыл бұрын
GOODLUCK HEKO NABARIKI SANA NYIMBO ZAKO NZURI BABA SHUGULIKA NA FAMILIA YANGU 🙏🙏👏👏
@Thevillagermom4 жыл бұрын
I am African American in America crying to God through this song! God hear our prayers🙏
@violetliz81023 жыл бұрын
Amen
@asuntanasi9622 жыл бұрын
Here I am Lord, don't pass my by.Washangaze watu bwana.
@pascalinatimotheo13063 жыл бұрын
Kwel kabisa mungu amewashangaza wengi kwenye maisha yangu, amerudisha heshima kweny maisha yangu, mungu awabarik sana gozbert na dada grolia! Huu wimbo Kama uliuimba kwa niaba yang kabisa!
@sangirimagiri82964 жыл бұрын
Naupenda Sana huu wimbo ubalikiwe Sana
@njambimuthoni65346 жыл бұрын
Some gospel Kenyan musicians should go for benchmarking in Tanzania from thea gospel artists waah these amazing and touching.
@dariadeus64295 жыл бұрын
Good
@emtv96755 жыл бұрын
Yeees
@stellathadei67845 жыл бұрын
We welcome you in Tz. You Kenyans are our lovely neighbors.
@stellanjagi70393 жыл бұрын
Well said
@PapaTheKingKenya2 жыл бұрын
Am also doing benchmarking in tanzania
@everkyando11267 жыл бұрын
Bwana washangaze wajue kwamba ww ni mshindi tena ulshnda mauti am grateful God
@magrethjackson99454 жыл бұрын
Amina. Yesu atawashangaza maadui zetu. Hatuna muda wa kupigana nao ila Yesu atawashangaza, I feel blessed with this song! Big-up to Goodluck & Neema.
@gloryedward95137 жыл бұрын
Wimbo unabariki sana huu Mungu azidi kukupa kibali cha kuweza kuhubiri kwa njia ya nyimbo
@fahadal-fahad43842 жыл бұрын
Thanks for this song i really like all ur videos just keep trending
@philemonmbise6282 жыл бұрын
Washangaze Bwana Mungu
@williamprosper75617 жыл бұрын
mbarikiwe sana wambimbo huu umenibariki sana mwenyezi azidi kuwabariki na awape kibali zaidi nazaidi kweli nimeshangwazwa sana nanimekuwa mshindi namshukuru mungu mbarikiwe kaka goodluck na dada neema
@estergerald25894 жыл бұрын
2020 kama upo apa gonga like
@brenderotieno96803 жыл бұрын
nimegonga
@bernadethaignass30457 жыл бұрын
kama lile lilipita sina mashaka wala silalamikia sikatishwi tamaa na dhiki................. mungu angu ajawahi kushindwa ng'oooo💪
@edwardmasalu54064 жыл бұрын
Mko vizuli sanaaa!!
@glorymaagi72044 ай бұрын
Nampenda goodluck Gozebert anavyocheza Eh Mungu washangaze adui zangu
@jemimawilliam87667 жыл бұрын
kazi nzuri watumishi wa mungu, endeleeni kusonga mbele,
@lelonash83377 жыл бұрын
washangaze wajue, hujawahi kushindwa, waongee maneno yao Mungu mimi nakuangalia wewe tu. ubarikie kaka
@keziadaudi78815 жыл бұрын
Oooh washangaze watu wote oooh ww ni mshindi,,baba shughulika na maisha yetu baba shughulika na watot wetu shughulika na ndoa zetu,,,,full mahubir mbarikiwe sana
@godsfiercegirl12933 жыл бұрын
Coming across this for the first time .wow ..much love from 🇰🇪
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
MUNGU KAPATA HESHIMA HAKIKA ANASHUGHULIKA NA FAMILIA ZETU, NIMEPENDA BIG UP NEEMA & GOZBERT
@dionisiaegidius88147 жыл бұрын
wao hongera sana wimbo huu umenibariki sana mungu awatie nguvu na aikuze huduma hii msonge mbele
@samwelkasandiko51937 жыл бұрын
The great gospel video.....hongereni #waafrica neema mudosa Gozbert...Mungu awabariki tena na tena.
@mowezytatoo18057 жыл бұрын
I love this song it's encouraging me when am down.... God bless you
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
👍 brains create GREAT STUFF 🙏
@annenekesa87874 жыл бұрын
Yesu washangaze 2020 wewe ni mshindi. Love from 254
@violetjuma95225 жыл бұрын
Waaw mko Poa God bless for such song
@faithnnancy43787 жыл бұрын
these is now what we call gospel...Lord may y use me to preach gospel n bring people and all nation to know y...use me to be blessing to people n my songs to give hope
@ShobydanielOfficial2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/enWvpWSpeZdmnLs
@gisellebusimesepa34353 жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa iyi collaboration naipendaka sana iyi wimbo nimebarikiwa sana❤️🙏
@isayalaizer13675 жыл бұрын
wawooooooh mnaweza sana mungu wabariki sana karibu masaini kwetu
@pillynyanda30785 жыл бұрын
Ndiy washangaze wajue mungu wangu kuw ww ndiy unaestahili heshima zote ata nijap tengwa na ndugu ewe mungu unawashangaz kwa miujiza yk ya ajabu mungu wang weee hujawah kushindwa ng'oo matatiz yng ni madg madg vitoto vidog ameeeen yeny ushind ndan
@chikuamedeus870010 ай бұрын
Huu wimbo umeniingia sana moyoni napenda kuusikiliza kila siku ee MUNGU Naomba uwashangaze maadui zangu kuwa ww ni mkuu baba hushidwi na chochote baba
@roseedevooo12367 жыл бұрын
Mungu washangaze maadui wng kwamba ww ni mshindi na umeshanishindia vingi na unaendelea kunishindia barikiwa nyote😍😍😍😍😍😍😍
@anithajames31096 жыл бұрын
nice song
@JonathanMwakijele6 жыл бұрын
Nimeusikiliza mara nyingi wimbo unabariki sana pia una ujumbe mzuri sana.
@beatricenyangasa86716 жыл бұрын
Kwel washangaz wajue yesu nimshind coz hamn mwingine zaid ya yes napend san nyimbo zako gud mungu akuongezee kipaw
@philemonmbise6282 жыл бұрын
Your simple dancing is killing for sure
@amaniapoul73745 жыл бұрын
nyimbo ni zuri sanaaaaaa......
@magrethndola69883 жыл бұрын
Nyimbo zako zote zinanibariki sana
@joshuaraphaeli6097 жыл бұрын
washangazwa wajue nimekubali sana dada yangu
@bellam98657 жыл бұрын
Nice song kweli Yesu ni mshindi mbarikiwe watumishi wa Mungu
@babygirllove64422 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 nimekumbuka kifo cha mwanangu huuu wimbo ulinifaliji sana kifo kibaya 😭😭😭😭😭
@neemamisangu68207 жыл бұрын
washangaze maadui zangu barikiwa sana ,mmekonga moyo wangu na azidi kuwashangaza wajue Mungu ndiye mkuu
@furahaema60007 жыл бұрын
it's so nice congratulations wapedwa kwa kazi zuri
@Rashidmussa-m3x2 ай бұрын
Hatarrr Mungu awalinde na kuwainua wahitaj
@emilianaosakan28684 жыл бұрын
Amazing songs keep up bro love it
@luciamaagi53527 жыл бұрын
ahaaaaaa hizi sifa sasa yaan jamani neema kaonyesha uhalisia doctor wangu mwnyw hukoseag goodluck ,taiya mama ubarikiwe
@jannyjenny88546 жыл бұрын
Lucia Maagi
@ephraimasobenie99402 жыл бұрын
Hakika Mungu! Shangaza wote wakorofi!!!!
@naturalme2545 жыл бұрын
Yaani nawapenda.....I love your music @neema mudosa.......@goodluck gozbert
@williamprosper75617 жыл бұрын
daa hii nyimbo inanibariki sana mengi yaliyohumu yananigusa mungu awabariki Dada NEEMA na kaka GOODLUCK kweli bwana anatushangaza nasi tukiwa pamoja naye hakika tunashinda kwa matatizo yetu anashuhulika na kilakitu chetu. mubarikiwe sana
@beatricemaina21916 жыл бұрын
Oh Washangaze wajue wewe ni mshindi Yesu
@rehemanyitu6406 жыл бұрын
Nice song
@bzablonsenior93687 жыл бұрын
Nazi njema sana songa mbele Goodluck na Dada Neema
@elis22dears687 жыл бұрын
kweli washangaze wajue. huu Ni wakati wangu kabisa..
@hakisengo71577 жыл бұрын
Serious wakibadili maneno mimi nakutazama wewe... Ulishinda mauti xo ivi ni vishida vidogovidogo... Waouw nimebarikiwa sanaa hapa
@hellennandwa74067 жыл бұрын
Such a beautiful song. Baraka tele
@angelleonard36857 жыл бұрын
wakitabiri maneno mi nakuangalia mungu ..sikatishwi tamaa na dhiki ...matatizo yapo madogo ...barikiwa sana goodluck unaponya mioyo ya wengi
@lydiajohn32687 жыл бұрын
Neema umenigusa sana ! mbaya zaidi uko vizuri sana Mungu azidi kukupigania my love.
@neemaagustino56793 жыл бұрын
Hakika mungu hajawahi kushindwa yesu washagaze wajue kuwa ww upo
@musahussein74307 жыл бұрын
matatizo yako madogo vidogo - loving the song
@costasiahakizimana16237 жыл бұрын
🐓
@tembokidtv52676 жыл бұрын
iko vizuri
@alyciawilly28517 жыл бұрын
Oooh washangaze wajue.. oooh ww ni mshindi
@mussamasanja20785 жыл бұрын
kweli mungu Washangaze Wajue ili washangae Nasiojua kushangaaa
@marygeorge44957 жыл бұрын
huyu kaka ana sauti nakupend bureee,ubarikie kwa kazi yako ufanyayo
@brhchannel66186 жыл бұрын
Nice song Our God is Faithful Endelea kuwashangaza Mungu Wetu we are victors.
@peterorioky16907 жыл бұрын
Kenyans need to patient with some of gospel songs. God bless you Gozbert yo continue spreading the gospel through such touching songs.
@tuombesunzuesperance51967 жыл бұрын
Congratulations my brother and Sister good job may God bless guys
@njolenjole6666 жыл бұрын
yani ukiisikiliza hii nyimbo ilivyokua na Upako atakama ulikua na dhambi inaweza kumfanya mungu akakufutia dhambi zako zote ulizokua nazo nyimbo tamu sana hii mbarikiwe. Sana..!! watumishi mungu azidi kuwainua ili muendelee kumtumikia..!! 🙏
@carolynekanyanga39115 жыл бұрын
Mungu huninea kupitia wimbo huu kweli. Mungu abariki vipaji vyienu.
@floramashala86206 жыл бұрын
ubarikiwe sana goodluck kwa karama yako ya uimbaji
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Nyimbo tuliipendaga hii
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Nyimbo nzur
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Wanacheza vizur
@agnesselifatha31067 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe nzuri washangazee watu katika maisha yangu bwana ili wajuee
@neemamtui11924 жыл бұрын
Barikiwa sana wa jina pamoja na kaka goodluck
@annenekesa25625 жыл бұрын
Washangaze wajua wew n mumgu nice song glory to God
@pastor_bedondickson7 жыл бұрын
Another Hit song in town. Mubarikiwe zaidi
@kelvinclemence47284 жыл бұрын
Mungu nibarik na mm
@jeanettegloria62446 жыл бұрын
Washangaze wajuwe baba, wenye kiburi uinuliwe zaidi mom
@upendochiwango48807 жыл бұрын
Awwwww,,, Kaz nzuriii!!!! Stay blessed
@magrethjackson99454 жыл бұрын
Yesu atashughulika!!
@agliventures7 жыл бұрын
The message,the video every thing is just waoo
@lawmaina785 жыл бұрын
Huu wimbo haunitoki kichwani, yaani nauimba muda wote.
@sarahmarco30466 жыл бұрын
Inanibariki sana hii nyimbo ni kunifanya nickate tamaa
@ellyeofficial79327 жыл бұрын
Bro Goodluck u have made it again. LOVING IT UNCONDITIONALLY.
@marianapeter24055 жыл бұрын
YESU washangaze wajue ya kwamb ww n mshndi katk maisha yangu
@anerthymalugu34927 жыл бұрын
Amen Mungu washangaze wajue Ww ni mshindi ubarikiwe Dada kwa kaz nzur
@tinatinna65417 жыл бұрын
naipenda sana hii nyimbooo daaaa ahsante mungu nafarijika sana napousikia
@carolinekunambi587 жыл бұрын
it is nice, i like it . keep it up dears
@nextymusician24535 жыл бұрын
One day God will grant me favour of seeing you two and worship with you too. Thanks for glorifying God in truth
@ShobydanielOfficial2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/enWvpWSpeZdmnLs
@joyceezekiel91753 жыл бұрын
Nimebalikiw Sana nahuuwimbo mungu awabarikisana waimbaji
@tinatinna65417 жыл бұрын
daaaaa huu wimbo unanifariji sana imekaa poa sana kuanzia wimbo hadi waimbaji mko
@edwardnyihande41685 жыл бұрын
Mungu ukashughulike na maisha yetu
@olganahimana9406 жыл бұрын
Merci seigneur. Tu es l grand vainqueur dans m vie. Yimbo zuri sana Mungu akubariki sana
@clarakhamisi11002 жыл бұрын
Nice song🔥🔥
@mathewmogambi81857 жыл бұрын
Finally another gospel song that makes sense. Si kelele kelele in the name of 'gospel music' I'm loving it. Good work!!
@glaucioferreira133 жыл бұрын
What a beautiful worshiping song...Gob Bless you !!!!! Greetings from Manaus, Brazil...
@ShobydanielOfficial2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/enWvpWSpeZdmnLs
@millenmacky16557 жыл бұрын
nice song na Ujumbe mzuri mbarikiwe Mungu azidi kuwainua
@zakarykakobeaskoph33007 жыл бұрын
yesu washangaze sana mimi kakobe zakary nasema goodluck ubarikiwe
@magemaths29957 жыл бұрын
the song is so🔥🔥🔥🔥yani sichoki kucklza Una ujumbe mzur sanaa