NESI AUAWA na KUZIKWA KWENYE SHIMO la CHOO ARUSHA, PAKAOTESHWA MITI, MUME ADAIWA KUKIRI KUHUSIKA...

  Рет қаралды 68,147

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

NESI AUAWA na KUZIKWA KWENYE SHIMO la CHOO ARUSHA, PAKAOTESHWA MITI, MUME ADAIWA KUKIRI KUHUSIKA...
Mwanamama Furaha Kashe, mkazi wa Mbuguni wilayani Arumeru mkoani Arusha, mwili wake umekutwa umefukiwa katika shimo la choo katika nyumba yake baada ya kuuawa huku mume wake, Godfafher Mndeme akidaiwa kuhusika...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 203
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@luluwhite3818
@luluwhite3818 Жыл бұрын
Asanteni sana majirani huo ndio umoja sasa TUJIFUNZE KUISHI NA WATU VIZURI JAMANI
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Arusha ndomaana Mungu amewaacha saasaivi hatamvua hamnayo mrudieni Mungu
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Innalilah 😭😭 Allah karimu
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Жыл бұрын
@@jacklinejosam3713 kiukweli wana matukio ya kutisha sana
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
Damu ya mtu haijawai kumuacha mtu salama utaua tu lakini mwisho wa siku utakamatika.
@basilsawewe1712
@basilsawewe1712 Жыл бұрын
Huyu kiongozi ni mweledi sana. Viongozi wote kuanzia ngazi za Balozi, kitongoji ama Mtaa jifunzeni mbinu za kiongozi huyu.
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Жыл бұрын
Jamaniii ukiona mtu mmeshindwana na vipigo vya mara Kwa mara ni afadhali uondoke mapema maisha ya kuvumiliama Kwa namna hii ni hatari
@ghatititus7136
@ghatititus7136 Жыл бұрын
Uvumilivu wa namna hiyo mwisho wake ni mbaya ukiona mnashindwana ondoka usiangalie nyuma jamani
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@ghatititus7136 mshashindwa kuondoka acha muishe tu sasa tusemeje!
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Korumbaaa big up muandishi msomi. Arusha kulikooooni ck hizi hamuishiwi matukio? Au sababu korumbaa msharp🧭🚨
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Mwenyekiti wewe uwongozi unauweza unakili sana
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Wanawake amkeni usikae na mtu anataja kukuua mara nyingi😭😭
@aishayosuf3531
@aishayosuf3531 Жыл бұрын
😭😭😭😭Ndugu Zake Wako Wapi jamani Mungu uyu Atupe Mwisho Mwema Waja Wake vifo vimekuwa vingi vya kinyama
@ggfffhii4706
@ggfffhii4706 Жыл бұрын
Dar kuna matukio ila Arusha kumezidi khaaaaaa
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
Ya wauwaji wasipo nyongwa nawambia watu awaachi kuuwa never 🙌🙌
@delekalxon7221
@delekalxon7221 Жыл бұрын
Kila mtu ana haki ya kuishi
@zakariasengo8930
@zakariasengo8930 Жыл бұрын
@@delekalxon7221 haki ya kuish ni Kwa wenye haki sio WAUAJI,,Yan uue mtu alafu uniambie Una haki ya kuish???
@zakariasengo8930
@zakariasengo8930 Жыл бұрын
M nawaambia kila siku hawa wasipo kuwa wanauliwa case zitakuwa hivhiv kila siku na hazitapungua,,we mtu anaua ushahid uko wazi kabisa lakin utashangaa miaka mi5 bado anasomewa mashtaka mwishowe ana honga,bas watu wanachukulia poa
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
@@delekalxon7221 unasemaje wewe kwahio ww uuwe mtu afu ww uwe nahaki yakuishi huyo ulie uwa hakuwa nahaki ukiuwa uuliwe ili walau haya mauwaji yakome watu waogope ww unaonekana uko mbioni kuuwa 🙌🙌
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
@@zakariasengo8930 huyo alio comment haki kuishi muuwaji anaharisha ayuko sawa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Huyu kiongozi ana akili sana asanteni majirani
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Жыл бұрын
Mimi naungana na global TV kupinga ukatili wa kijinsia TANZANIA na duniani kote.
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Huyu kiongozi kazi nzuri sana
@saeedahhenry711
@saeedahhenry711 Жыл бұрын
Mungu wetuu shuka Kwa ndoa za wanadamu
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Hili Pepo limehamia Arusha Jamani mungu tusaidie
@GiftAbduly
@GiftAbduly 10 ай бұрын
Duh yaan saiv kuna matukio ya kishetani hata shetani mwenyew anatuogopa duuh🙌🥲
@marymrosso4258
@marymrosso4258 Жыл бұрын
Sio Arusha tu Dunia nzima tuombe rehema kama Kuna sehemu tulienda kinyume atusamehe
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 Жыл бұрын
Arusha arusha sku hiziiiiii🙌
@faridajuma7960
@faridajuma7960 Жыл бұрын
kongole wananchi mliyemchagua kiongozi mwenye hekima busara na kujua nini anafanya, pole kwa wafiwa na mungu awatie nguvu katika mtihani huu mzito
@mwamedypwemu6117
@mwamedypwemu6117 Жыл бұрын
dunia aiwezi kuisha mpka mtoa roho ndo kiumbe wa mwishoo kwaiyo dunia bado san mpka pale allqh atakapoo amua inshallah allah atupe mwisho mwema
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Mungu ampumzishe kwa amani poleni sana majirani
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 Жыл бұрын
Mwe wanawake tunaishaa jamani mungu tusaidie dah inauma sana Tena sana Arusha Kila siku Arusha
@mustaphakijazi9807
@mustaphakijazi9807 Жыл бұрын
Jamani naombeni mnipe jibu mbona Arusha kuna matukio mengi sana dah
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Magano ya. Nchi ndio yanayutesa sis wanadam Mungu hajaumba binadam ateseke kias hicho Ila tumwachie Mungu apigane naye aliyeyasaini haya maagano,Shetan ametawala sana hawa wanadam wametawaliwa na ushatan san,
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Arusha jaman😢😢😢😢
@lukiyakimolo3409
@lukiyakimolo3409 Жыл бұрын
Subuhana llah wanaume waume zetu Kama mkeo aumwanamke unae ishinae umemchoka mwambie endezake au wewe unaweza ukaondoka ukamuacha kuliko kumuua sasaonabasi Yule uliye muua nawewe uliye shikiliwa naserekali ninani Anapata mateso? Unafikiri jela nisehem yabula bila? Ukimuchoka mwambie aende zake
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
Hadi tunaogopa kuolewa hatar sana duuh , wanaume mukitushindwa mutuache tu turudi majumbani kwetu
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Жыл бұрын
Innalilah wainnailaih raajiun Arusha Muogopen Mwenyezi Mungu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Hongereni sana majirani, baba una wakili sana.
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Sana kajaliwa sana umakini
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
😭😭😭watu tumekuwa mshwetwan hata chembe ya huruma atuna
@fatmazahor357
@fatmazahor357 Жыл бұрын
Subuhannallah yataisha lini haya yarabbi 😭😭😭
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Jamani huyo mwanamke hana ndugu ambao wapewe taarifa ili watoto wake wapate kujua yakwamba mama yao ameuliwa
@isaacksika3576
@isaacksika3576 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehem mahal pema. Ameen
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Innallilah wainallilah rajioun subhanallah watu wamekosa utu wallah sio kwa unyama huo dunia imeisha 😭😭😭
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
Suala la kukata miti ndiyo amuue, huyu jamaa hata kwenye hiyo miti mingine uhenda alizika watu wengine
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 6 ай бұрын
Kabsa
@tatumwakitwange8369
@tatumwakitwange8369 Жыл бұрын
Wanaume wana Roho mbaya sana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Camera man kuna namna unawasiliana na dada mwenye kiremba
@elianasimwe2989
@elianasimwe2989 Жыл бұрын
Nami nimestukia mchezo
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
@@mamachris6811 Nikweli jamani au hamjaona
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Jamani wanaume hawa wauliwe huko serikalini ili iwe fundisho kwa wengine wakifungwa wakiachiwa wengine wanajigamba nitafungwa nitoka tu😭😭😭
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Jaman😭😭
@eliakitungo8642
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
Arusha nyumbani lakini naogopa kurudi matukio ya kutisha.
@victormushi6641
@victormushi6641 Жыл бұрын
nashauri iwe kanda maalumu ya kipolisi
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
Ingien kweny maombi maalumu tuy mnatishiaaa amaniiiiiiiiii
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
@@theresiamichael5817 maombi tena, watu wapo serious wew unaleta comedy
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
@@hallin9561 hapo kinacholeta comedy ni maombi?? au kipiiii?? kupitia maombi roho mbaya na chafu kama hzo zitawatoka
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Bakia huko huko
@teopistakomba2189
@teopistakomba2189 Жыл бұрын
Hatari sana
@luluwhite3818
@luluwhite3818 Жыл бұрын
INNALILLAH WAINNA ILAIH RAJIUN 😭😭😭😭😭WANAWAKE SISI JAMANI TUNATESEKA
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Tunaisha kwa hawa wanaume yan sielewi
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@sophsoph4740 mpaka siku mkiamua kuchukuwa hatua stahiki ndo yataisha lakini hayo maneno ya niende wapi niache nyumba sijui watoto ohooo mtaisha sana!!
@wardadimoso6649
@wardadimoso6649 Жыл бұрын
Nashukuru mung sina uvumiliv ukinipig tu hunikuti na ndy tumeachan nasikusamehi
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 4 ай бұрын
😂😂😂
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Mmh mtihani
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
Jaman arushaaaa mnahitaji maombi maalumuuu......kwannn nyieee kilaa ckuu hani kila cku arushaaaaaaa......MUNGU INGILIAA KATI TUU SISI AKILI IMEFIKA MWISHO
@hanifukuzenza5686
@hanifukuzenza5686 Жыл бұрын
Mbona inatisha Arusha wanadam afadhali ya mnyama tupendane
@user-wq4vv9yv1x
@user-wq4vv9yv1x 9 ай бұрын
😢😢😢😢duuuh watu wana roho ngumu vipigo vinapoteza watu kipigo kimempoteza warda yuko wapi warda 😢😢😢
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 10 ай бұрын
Polisi wauko wapo vizuri hawanakupindisha wala mizunguko mungu afanye njia kwa mtoto warda jaman
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Mwenye HAKI wake!
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Jamani hii Dunia mbona iv
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah
@celiahaule9166
@celiahaule9166 Жыл бұрын
Jamani jamani miwanaume siipendi
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Innallillah wainnaillah rajoon. sasa hayo maj altaka aote Tena Hak 2naish na majambaz.
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
Mngewaacha wananchi na yeye wamuue anaenda jela kumaliza chakula cha serikal ndio maana mauaji hayawezi kuisha muuaji anajuwa nikishauwa nakamatwa naenda kufungwa nawapongeza wananchi wa dar waliomuua yule kijana aliyeuwa house girls na huyo angetembezewa kichapo kila anaeuwa nae angeuliwa mauaji yangepungua Tz
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Dogo unajua sana!we unafanya nini hapo Global wewe sio wa online inamana hujashtuka tu mdogo wangu unajua sana kureport
@pendokazi7525
@pendokazi7525 Жыл бұрын
Jamani ndugu zake wapi? Inasikitisha sana
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Yaani mauaji kila kukicha na wanaouliwa ni watu wa karibu na wauaji na majirani huwa wanaogopa kuingilia ugomvi kati ya mume na mke
@zaituniyasini8629
@zaituniyasini8629 Жыл бұрын
Arusha inanini lekeni mbona wanawake tunaisha jamani😭😭😭
@obadiahnkwale124
@obadiahnkwale124 Жыл бұрын
Watu waarusha tatzo mineli sana kla baada ya sku2 mauaj Arusha jiangalien kwa jiko la tatu😌
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Жыл бұрын
huko chuga kun nn jmni mbon visa vimekuw vingi😥
@manahiljamal834
@manahiljamal834 Жыл бұрын
Kila siku Arusha
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii mtihani mkubwa
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Arusha acheni Bangi nikiwaambia mnachukia
@sophiairumba7056
@sophiairumba7056 Жыл бұрын
Arusha Kuna nini Jamani mbona matukio yanazidi....
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Lakini wasingemzika pale mume wake alipomfukia
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 Жыл бұрын
Jamani kazikwa bila kuwepo Ndg zake😭😭😭😭
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Жыл бұрын
Naria na Arusha kila siku matukio ya ajabu aise htr xnn
@hildpaul7823
@hildpaul7823 Жыл бұрын
Arusha kama bagdad😌
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Damu ya mtu jameni uwezi kuondoka nayo maisha
@tricemollel6739
@tricemollel6739 Жыл бұрын
Tunaomba ufwatilie angalau ujue kuhusu watoto kama wapo, wangapi, na kama wapo wapi na kama wamepata taarifa please!!
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Watu hawana pesa,wanaingia ktk Imani za kidhirikina ili kujipatia pesa,Wanaume muache ushirikina
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 Жыл бұрын
Jamani Dunia imehisha duuu😭😭😭
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Жыл бұрын
Duu arushaa khaaa
@scolabahame2214
@scolabahame2214 Жыл бұрын
Jamani Jamani Jamani 😭 😭 wanaume mmekuwaje lakini 😭😭😭😭
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Sio wanaume wote
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Bora ya queen kudai talaka mapemaa wanawake tunateseka
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Damu ya binadaam haiendi Bure ukiuwa lazima utajulikana tu.
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Hamna watu wabaya kama wanaume ni wanyama mno Yani utadhani wanakuoenda kumbe ni maadui Rest In Peace sister
@fredyemmanuel4303
@fredyemmanuel4303 Жыл бұрын
Wew salm wew mim siyo mkatili bwana
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Sio wote
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 Жыл бұрын
maombi kwa mji wa arusha
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Daah jamaa anayo roho ngumu sana anauwa na kuzika
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mshenzi huo kusukuma mke wake ni muwaji huo mwaname
@sharifamakawa9900
@sharifamakawa9900 Жыл бұрын
Inauma jamanii R.I.P
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Wanawake wenzangu tuache umbumbu na ulimbukeni wa mapenzi na kujifanya tunajua sana kupenda unapomuona mwanaume ameanza tabia ya kukupiga na kukutolea maneno ya vitisho ni bora uondoke zake tuache tabia ya kuwa ving'ang'anizi kama kupe tunaisha jamani 😭😭😭
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni umasikini ndio tatizo
@michaelnjobo9242
@michaelnjobo9242 Жыл бұрын
Kweli jaman wanawake tunaisha
@halimalule2646
@halimalule2646 Жыл бұрын
Arusha mmh
@habsnsuleman4981
@habsnsuleman4981 Жыл бұрын
Jamani mm ndo maana sipendi uo mji nimji wa majambazi mkiolewa na mwanaume wa Arusha usilale ni majambazi wanaume wauko ni mikatili jamani Arusha sio hakufai oleweni tanga na zenji jamani
@pennygibson4542
@pennygibson4542 Жыл бұрын
Sio wanaume wote Arusha ww
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
Ni kweli
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
@@pennygibson4542 wengi wao ni washenzi dada.
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Tatizo imani ya dini ni ndogo sana tofauti na Tanga na znz ndio maana huwezi kuskia mtu kamua mwenzake
@AminaLibisa
@AminaLibisa 10 ай бұрын
Mmmh Arusha jamani ivi kuna nini😢😢😢
@HalikiRasuli-ko9rv
@HalikiRasuli-ko9rv 4 ай бұрын
Dawa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
@@HalikiRasuli-ko9rv Ivyooee
@prettymasha2430
@prettymasha2430 Жыл бұрын
Kwani hana ndugu
@emanuel798
@emanuel798 Жыл бұрын
Mjumbe ana akili nyingi mno, maelezo yake yanajitosheleza, mjitaidi kuchagua watu kama Hawa.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Marehem.hana ndg?
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 10 ай бұрын
Yani weacha2 nawaza vipi atupati suluh kuhsu warda mambo yako namna hii story yaweza kuwa hivi jamani Allah ataonyesha nchia
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jamani nesi wa watu ingekuwa sasa nesi ndio kamuua raia sijui angekuwa ndani sasa huyo raia anyongwe
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Arusha nisehemu hatari kuishi hawajali kuua kwao Ni kitu kidogo sana ukiona watu wanakula nyama sana wakimbie wanahasira na kuua kwao nikitu kidogo sana kama unavyomuona sima anararua wenzie kama mchezo tu
@vivianremig8524
@vivianremig8524 Жыл бұрын
Wanawake tumelogwa kweli Mtu anakutishia kukuua Kila siku unachukulia tu sawa unaendelelea kumuita mume,mume gani unalala nae anakupiga Kila siku
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
hivi arusha kumelaaniwa
@BeatriceSaid
@BeatriceSaid 10 ай бұрын
jamani tunaelekea wap tena
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Jamani tu anakuambia nitakuua na kukufukia kwenye shimo la choo bado upo tu!!!! Wanawake tuchangake tutumie akili!!!
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 Жыл бұрын
Mgemuacha auliwe tu
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 Жыл бұрын
Arusha Tena
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Umepata uhakika mngelichoma moto.Mlimkimbixa wa nn ?
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Du ndio maana nilikimbilia.Oman.kiosha vyoo
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
UDadaTalks Arusha Girls High School with Vanessa Mdee and Maua Sama
1:00