Netanyahu amuwakia Rais Macron kwa wito wake wa kusitisha usafirishaji wa silaha kwa Israel

  Рет қаралды 10,093

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 197
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 4 сағат бұрын
Kumbe analazimisha watu wamsapoti ujinga
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 сағат бұрын
Message sent and well received.
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 4 сағат бұрын
BENJAMIN MILELKOWSKY FROM POLAND anawaka ni nini wakati bila weast huwezi kitu
@anny19988
@anny19988 2 сағат бұрын
Kiboko ya Macron ni Ibrahim Traore wa Burkina Faso 😂😂😂😂. Ukitaka Macron achanganyikiwe taja hilo jina😂😂😂
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 4 сағат бұрын
Free palestine
@choggysly3541
@choggysly3541 3 сағат бұрын
Aibu kwako netanyahu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 4 сағат бұрын
Netanyau chizi.walipa kodi wa ufrasa wamegoma wanashinda njaa kwajili ya msaada.usilazimishe kusaidiwa. Hii tarifa tumeipata kiusahihi kwenye vyanzo vya habali vingine.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 сағат бұрын
Netanyahu analasimisha urafiki
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 сағат бұрын
Hizo siraha hawapewi Bure 😂😂😂😂 wananunua kijana
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
So chizi na hujuwi historia ya Israel...nilikuwa Israel juzi hapa wa Israel wanakabiliana na undamaged kutoka kwa wa Arab wachi ugaidi kwakoongoza na Iran...maandaki mpakani mengi
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 сағат бұрын
​@@paulvimbamvula9508Uliku Israel jimbo gani?
@godcompeter9844
@godcompeter9844 Сағат бұрын
Kitu Hujui ni kwamba Macron Amejichimbia Shimolake mwenyewe
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 4 сағат бұрын
😂😂😂 Kimeumana
@HakizimanaJeandieu-dy7cx
@HakizimanaJeandieu-dy7cx 3 сағат бұрын
Mungu anawaliti na bado
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 3 сағат бұрын
Kimeanza kunuka Inshallah Mtaangamia wote wauwaji
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 3 сағат бұрын
Amiiin
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 сағат бұрын
Allahuma Amin
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
Biidhinllah inshaallah
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 4 сағат бұрын
Mbona huwa kila siku anaomba msaaada kwa marekani tupeni silaha tumalize kazi huwa anamaaanisha nini?
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 сағат бұрын
Na silaha anapewa lkn kazi hamalizi😅😅😅
@emanueltobias3420
@emanueltobias3420 4 сағат бұрын
Haya yana visho tu ipo siku
@RICHARDWAUSA-ep4xe
@RICHARDWAUSA-ep4xe Сағат бұрын
Stop war , seeking a peace ✌️
@ramadhanmkandas5733
@ramadhanmkandas5733 2 сағат бұрын
Mungu akutosheleza na Shari zako
@aftapat5365
@aftapat5365 4 сағат бұрын
huu kujisemesha tuu
@l.marley_2542
@l.marley_2542 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 pambana na hali yako sasa 😂😂 mwanakuyakanyaga mwanakuligeti😂😂😂😂😂
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 4 сағат бұрын
Wote wanafiki
@amanmalima940
@amanmalima940 24 минут бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 сағат бұрын
Macron anakua anaongea hovyo km Kocha wa Club ya ....
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 сағат бұрын
Washenzi wote Hawa, hamna lolote.. Huyu Jamaa akiongea naona kama Pumbu linaongea...😮
@abduljuma7807
@abduljuma7807 3 сағат бұрын
Iran usirudi nyumba washa choka wauwaji wamaskini wagaza na nchi nyingine duniani msiwapumzishe wamesha zoea kuuwa ndio wale wakijiita Taifa teule
@SalumMohamed-ph4yn
@SalumMohamed-ph4yn 4 сағат бұрын
Kumbe wanasafirishiwa silaha?
@KhamisShekifu
@KhamisShekifu 3 сағат бұрын
Inamana nyinyi mlikuwa hajui? Hujawahi kuskia akiitaka Marekani wamuongezee silaha? Sio mara moja wala mara mbili sasa jiulize ikiwa Israel ninchi yennye nguvu na ndio nchi yenye technology kubwa Diniani mbona wanaomba msaada kutoka Marekanu Ufaransa Uingereza nanchi nyingi tu zaulaya?.
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 сағат бұрын
Huyo yatayauuu paka😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 сағат бұрын
Unamchukia hata jina lake hulijui😂😂
@shuzashadyproduction8438
@shuzashadyproduction8438 Сағат бұрын
😀😀😁
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 сағат бұрын
Ile iziraili tuliokua tunaambiwaga zamani ndo hii au ni ingine Kumbe wanapewaga silaha za msaada😂
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
😂😂😂
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 3 сағат бұрын
Bibi sio mzima ana taka dunia nzima impe silaha SI tumesema Israel haina nguvu Ina tumiwa kama Ukraine kuomba omba
@hopemwalemwale2100
@hopemwalemwale2100 4 сағат бұрын
much love BIBI ❤
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Сағат бұрын
Leo nimechelewa kwa habar nzuri, Sky mnachelewesha habar bhn
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 сағат бұрын
Huyu paka auwawe tu Bora afe ili dunia ikae na usawa
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 3 сағат бұрын
Ujue hawa wahuni wasipoungwa mkono wiki tu wanapotea katika uso wa dunia sema kunamaslahi ya watu hapo
@MikelSitoe
@MikelSitoe 3 сағат бұрын
Huyu nzee Ana onekana kama Hana shukran, 😂😂😂😂😂
@hanspop6961
@hanspop6961 Сағат бұрын
Kibaraka yeyeote ni Kama Nyumba ndogo hairidhiki
@yarmfayce167
@yarmfayce167 2 сағат бұрын
Hongera sana #FREDRICK_BUNDALA/SKY Kwa utangazaji wako na mpangilio wako wa habari zako uko vizuri sana. Ni kwa Jinsi unavyotafsiri neno kwa neno kutoka lugha moja kuja lugha nyingine, Jinsi unavyopangilia taarifa zako na uwasilishaji wako, Na kwa Jinsi unavyopatia utamkwaji wa majina ya Watu au ya Sehemu, na ule Ufasaha wako wa Maneno/Lafudhi/Kimatamshi ya Kiingereza na hata ya Kiswahili. Kiukweli unatufurahisha na inatupendeza sana sisi wafuatiliaji wako wa #SNS. HONGERA TENA, HONGERA SANA #SKY. #SNS Mko Vizuri Sana.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 сағат бұрын
Tunashukuru sana kusikia hivyo
@Saletz-j8q
@Saletz-j8q Сағат бұрын
Bundala nimeweka bando kwaajili ya GPS naona kimyaa kulikoni
@Saletz-j8q
@Saletz-j8q Сағат бұрын
​@@SimuliziNaSauti bandala GPS leo vipo
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x 4 сағат бұрын
Lebanoni nj koloni la ufaransa
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 сағат бұрын
Nyetanyahu kawa kama zelensk na mzaramo wakutoa michambo
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e 4 сағат бұрын
Itashinda kwa..au bila msaada wa...alikuwa anamaana kubwa sana netanyahu maana yake ni kwamba MUNGU atawashindia bila wao
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 сағат бұрын
Labda Mungu marekani 😂😂😂
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Сағат бұрын
​@@MohamedAhmada-ie7kemwisho utafika! Tutajua MUNGU wa Israel! Au Allah wa Iran.
@NelsonJackson-z7r
@NelsonJackson-z7r Сағат бұрын
Mungu yupo pembeni netanyahu bali yeye yupo na shetani .
@noelswai2660
@noelswai2660 Сағат бұрын
Watu hawajui kuwa dunia nzima itaiacha Israel pekee yake na itashinda 🥲😅 🇮🇱✅
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Сағат бұрын
Mungu wenu anakula na kunya Ndio maana maadhimisho ya ushoga kila mwaka kidunia yanafanyka israel Naww uende
@GhalibAlsulaimani
@GhalibAlsulaimani 3 сағат бұрын
Huyu kichaa tayari kimemjaa akili yake ipo miguuni
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 сағат бұрын
TUKISEMA ISRAEL SI LOLOTE BILA MISAADA KUTOKA KWA MASHOGA MNAKATAA ONA SASA😂😂😂😂
@Muzammil99p
@Muzammil99p 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 ana force support what a shame Wapi wale wanaoshabikia holly land 😂😂😂😂😂 Jama hana nguvu kama si USA
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 2 сағат бұрын
Hata Hamas, Hezbollah na wengine wanasaidiwa na Iran siyo kwa nguvu zao
@asslammachano1483
@asslammachano1483 2 сағат бұрын
Basi kumbe Iran yyni kidume anasaport wat wengn, ni saw tu kumuit Israel mlala hoi hafany kit pasipo kusapotiwa
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 2 сағат бұрын
Kama urusi yenyewe inasaidiwa na china na korea unashangaa nini kwa taifa dogo kama israel kuomba msaada wakati ikipigana na mataifa ma4 kwa wakat mmoja...
@asslammachano1483
@asslammachano1483 2 сағат бұрын
@@Majambo_Duniani_Tv Israel mpak sas haijapigan na taif hata moja, inapigan na vikund tu vya wanamgambo, na hivyo vikund ndio vinaungwa mkono na Iran km vile marekn anavyoiung mkono Israel. Ukij ktk kes y Russia, Puttin hawezeshw na hayo mataif kupigan vita, anajiamulia yy km yy kupign vita pasipo kuwezeshw na taif lolt tfaut na israel mnaosem taif la mung ambao hwafany jamb pasipo na kupangiwa na kupew vitu na huyo mung wao Marekn. Sjui umeelewa kiongz
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Сағат бұрын
Nimefurahi kusikia India itamuunga mkono Israel kwenye vita hii
@MussaKulanga
@MussaKulanga 4 сағат бұрын
Huyu jamaa bila kupewa silaha mwezi mmoja tu hawezi kusurvive kabisa nchi yke ni ndogo sana haiwezi kabisa anachangiwa kila kitu
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 сағат бұрын
Mwezi mbali sana wiki tu hatoboi
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p 3 сағат бұрын
Ndio unajidanganya ivyooo jiulize kwanini marekani na washirika wake hawana nguvu kubwa ya kumzuia akili kukichwa mtu wangu 😂😂😂😂😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 сағат бұрын
Kumbe shule ni muhimu.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Сағат бұрын
Israel ni habari nyingine,watoto wamungu Hawa, acha waarabu wajichanganye wataanza kutia huruma acha tuone
@martinemifuko71
@martinemifuko71 Сағат бұрын
Ukubwa wa pua haimanishi kutoa makamazi mengi
@razakiissa9127
@razakiissa9127 3 сағат бұрын
huyu jamaa wamemchekea mpaka sas hvi anawapanda kichwani hawajui kam Netanyau chizi😂😂😂
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 4 сағат бұрын
Taifa la mungu linalazimisha msaada kwa watu ههههههههه😂
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 сағат бұрын
Mungu amewakataa😂😂😂😂😂
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Mungu angetumia hata kimbunga kulinda Israel kama kweli taifa la mungu
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 2 сағат бұрын
Acheni uchokozi
@juma-z2n
@juma-z2n 2 сағат бұрын
Taarifa mzr lkn mnachelewa kuzitoa
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 3 сағат бұрын
Nch za kistaarab au nch za upinde mashoga
@swahilibrotherhood
@swahilibrotherhood 3 сағат бұрын
😂 sema huyu mwamba sio binadamu wa kawaida
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu 4 сағат бұрын
Hainashida endeleeni kuwapa silaha wanaume wa gaza wameshawatoajasho mpaka mnaanza kujichomoa mmoja baada ya mwingine mpaka mtafilisika nabado
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 4 сағат бұрын
Wanaume wamepigwa mpaka eneo lote limebaki vifusi tu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 сағат бұрын
​@@humphreymwihambi4330vita ni mikakati,Israel ishashindwa vita hiyo,time will tel
@lakasid3860
@lakasid3860 3 сағат бұрын
​@@kassimrajabu7805 imeshindwa kivipi mwarabu wa Buza?
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 сағат бұрын
@@lakasid3860 imeweza je?? Muisrael wakwa Mparange,hujaona mvua ya Makombora juzi...mashoga wenzio wanahaha uko...nenda kawasaidie...wanaficha ukweli kuwa wemetandikwa kisawasawa😂😂😂😂
@MikelSitoe
@MikelSitoe 3 сағат бұрын
​@@humphreymwihambi4330wee una akili kweli israel kashinda wapi? kubomowa majumba ya Raia huwo ni Ushindi? 😂😂😂😂😂😂😂
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 сағат бұрын
Huyo jamaa ni shoga mkubwa hafu nishetani. Bila msaada angenyolewa mavuzii yotee
@issazalala4907
@issazalala4907 3 сағат бұрын
Yani uyu nyau na washilika wake wote dole lakati kila siku mnaua watu kwa faida gani mnayo ipata pumbavu zenu
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 сағат бұрын
Hao waliyo anzisha vita wanapewa silaha na wanasaidiwa lakini Israel mbawazia. Mungu mkuu yupo atawapigania Taifa hilo na ardhi takatifu. Amen.
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 сағат бұрын
Ukapimwe mkojo chizi ww
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 3 сағат бұрын
We huna akili wala marinda kama wale waliolaaniwa kina farao wenzako mashoga wenzako israel
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 сағат бұрын
Hauko sawa kiakili
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz 2 сағат бұрын
Hawa si mayahudi tunao wajua, hawa ni mazayuni kutoka ulaya na American. Ndio maana hawana hofu ya Mungu hata chembe, wanavamia miji ya watu na kufanya uharibifu mkubwa. Wanateketeza kila kiumbe kilicho hai, kiongozi wao mkubwa sio Yesu ni shetani.
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
😂😂​@@kassimrajabu7805
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 2 сағат бұрын
Na leo wamechezea Mzigo wameuliwa Magaidi 440 kwenye kambi yao Beirut..
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 сағат бұрын
NetaPaka anahaha
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 2 сағат бұрын
Hao wote sio wa kuwaamini hata siku moja. Hata akikwambia habari ya mchana usimuamini toka nje utazame jua limetoka
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Nyatanyau Wanajeshi wake ndio watammaliza maana solution ipo yeye analeta kiburi ajue kama wanajeshi wake pia wanakufa na jamaa zao inawauma
@yarmfayce167
@yarmfayce167 2 сағат бұрын
KiUwazi kabisa, Maoni yangu kwa taarifa hii! Kikundi au Vikundi vyovyote vile vyenye itikadi kali iwe ni za kidini/kikabila au zile za kibaguzi wa rangi, ubaguzi wa kikanda au ule wa kivyama katika siasa na misimamo mikali. Vyote hivyo havitakiwi kupewa nafasi duniani, wala taifa lolote linalowasapoti pia halitakiwi kupewa nafasi. Hivyo nasapoti vikundi hivyo kuvunjwa vunjwa visiwepo au hata kudhoofishwa visiwe na nguvu kubwa ikiwa vitakuwepo.
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 3 сағат бұрын
pale taifa la mungu linapo tia huruma lipewe silaha liuwe watoto wasio nahatia
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
Yanii
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 40 минут бұрын
Miye huyu kila siku Naomba duwa lowe angalau tupate Amani ya duniya shenzii paka
@edishaa3108
@edishaa3108 Сағат бұрын
Kifo cha nyaunyau kipo kiribu
@PhilipsRevocatir
@PhilipsRevocatir 2 сағат бұрын
Sasa yalilia nini kama injiweza?
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 сағат бұрын
Zelensk wa pili
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 сағат бұрын
Netapaka
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 2 сағат бұрын
Atajua mwenyew endelea kuwatungua .. wachumba hao..
@shekhaahmed3961
@shekhaahmed3961 3 сағат бұрын
Shetani anaongea,mwisho wake utafika tu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 сағат бұрын
Kumbe shule ni muhimu,sijui kwanini niliishia darasa la 5.😊
@musaabbinumeir7718
@musaabbinumeir7718 3 сағат бұрын
mchongoo uwooo wameupangaa tuh😂
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 сағат бұрын
Shetani mkubwa we netapaka masikio kama popo. Usijidanganye marekani na nchi za magharib wakikuacha siku moja tu umekwisha pumbav zako
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz 38 минут бұрын
Kama una nguvu na unajiamini unaomba msaada wa nini sasa lzrael wanajua huu ndo mwanzo wa mwisho wao wanatumia nguvu kupinga maandiko kwenye kuruan ALLAH Anasema hazidishi chochote yaani madhwalimu(wauwaji) hawatapata faida ila hasara na maangamizi Israel+marekani+UK +ujerumani+ufaransa watapata hasara KWA dhulma wanazofanya ni suala la muda tu ALLAH hana haraka na alivoviumba
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 2 сағат бұрын
Ufarasa kasahau.....hiyo nchi ingekua ya kiislamu lkn Kuna mwamba mmoja Toka uturuki mwenye asili ya kiyahudi ndo aliipambania ikafika HAPO na kuwa ya kikristo.
@othmandigaga1191
@othmandigaga1191 Сағат бұрын
Dhulma haijawahi kuwa na mwisho mzuri, kama hata Godfathers wameanza kumtupa, ni dalili njema za kuanguka kwa utawala wa kizayuni
@AnnaroseSway
@AnnaroseSway 34 минут бұрын
Mungu hutangaza mwisho tangu mwanzo, Israel ameshashinda
@Hemedabdallah-kb4xd
@Hemedabdallah-kb4xd Сағат бұрын
Damu za watu zimeanza kumlilia ameanza kutapatap
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Mtu ukitaka kuangamia hata uambiwe nn humsikilizi mtu namuona nyatanyau akielekea kuangamia maana mpaka kaka zake American na ufarasa wanamuonya bali hawasikii
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 2 сағат бұрын
Israel itashinda zaidi ya kushinda Mungu ibariki 🇮🇱
@thelaoban6236
@thelaoban6236 2 сағат бұрын
Huyu Mbwa atakufa kifo kibaya sana kelb waheed
@Saletz-j8q
@Saletz-j8q Сағат бұрын
Oy ww bundala kwani GPS akuna juma pili ya leo nauuliza
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Сағат бұрын
Silaha zimewaishia na mateka hawanao
@AliMuraya
@AliMuraya 4 сағат бұрын
kumbe ni myonge .anategemea inchi za magharibi wamsapoti
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
Hivi unaelewa maana ya embargo...?
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 сағат бұрын
​@@omondiowino7875 wewe kichwa maji tukikwambiaga Israel anategemea misaada kutoka Marekani unakataa naona leo umepata ukweli na kichwa yako ngumu kuelewa 😂😂😂😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
@@saleemsuleiman2220 hivi unajua maana ya embargo..?macron anataka Israel isiruhusiwe kununua silaha Kwa mataifa ambayo ni Alies wake...sasa hivi unaelewa hiyo inamaana gani..? vita Israel anapigana mwenyewe ila vifaa vya kutengeneza silaha ananunua...na ndomaana Netanyahu amemuambia kuwa Israel haimuitaji MTU yeyote kumuambia chakufanya na amemuambia hata kama akiwekewa vikwazo za kununua silaha na vifaa vya kutengeneza silaha kutoka kwao bado atashinda Tu...kama Israel ingekuwa inawategemea au kama Israel ingekuwa inasaidiwa Kwa vita basi Netanyahu angenyenyekea
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 2 сағат бұрын
Kwa Sasa hatuwezi muelewa netenyahu....ila kiukweli Iran ikipata nguvu na uungwaji mono ...itaanzisha vikundi vingi vyenye msimamo mkali.maana dini inatumika Sasa kisiasa kutaka kuwa na Dola ya kiislamu yenye nguvu duniani.wenye macho wanaona mbali.
@hilarymtepa9811
@hilarymtepa9811 3 сағат бұрын
Mtoto umleavyo.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 сағат бұрын
Ata bado hao ndio israeli km hawajui hawafadhikiki babu zao walimjibu mungu yakuwa walichoka kushushiwa chakula itakuwa hao mavi ya paka?
@WadySaidi
@WadySaidi 4 сағат бұрын
Uyo awezi kuishinda iyo vitaa hata afanye vyovyote kama ana nguvu ajitegemee mwenyew mpumbavu metanyau
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 18 минут бұрын
Hakuna taifa lisilo na washirika ktk vita
@WadySaidi
@WadySaidi 10 минут бұрын
Sio taifa teule ajitegeme sasa
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 2 сағат бұрын
Mshenzi Tu huyu anataka asaidiwe kuuwa watu alafu anajitapa huku watu hela tax inapelekwa huko anawazimu na itafika mwisho aachiwe mwenyewe amelikoliga sasa alinywe wamfanye Ka Ukraine labda marekani vichwa vya wandazimu ndio wamsaidie maana viongozi wa marejan wabashida na utundio wa akili
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 сағат бұрын
Shetwani netanyahu atakufa kibaya naua watu ovyo ambao hawana hatia hata Mungu apendi.
@benardmakori4012
@benardmakori4012 3 сағат бұрын
Wewe ndio utakufa Kwanza,Alaa!wewe siyo mungu😂
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 сағат бұрын
@@benardmakori4012 ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga . Stop being bias dude , you’ve been brainwashed and you don’t want to know the real truth. It’s so sad surely
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 2 сағат бұрын
Kibri chako ndio anguko lako soon
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Сағат бұрын
Umekwisha weee babu wa motoni mdogo wa farao
@Bahati47
@Bahati47 48 минут бұрын
Kuna minitu inawaita Hawa mbwa eti ni simba 😂😂 Simba gani wanategemea msaada?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Сағат бұрын
Rais anatapatapa kiboko yake Rais wa burkindafaso
@H2025-y8g
@H2025-y8g 2 сағат бұрын
Sasa km anauwezoe kwann anaomba msaada😂 Muoga huyuuu😅
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 19 минут бұрын
Hakuna taifa linalosumama peke yake ktk vita hilo halipo
@omanmct135
@omanmct135 Сағат бұрын
Aduwi mkubwa sana uyu
@Atmospherec3
@Atmospherec3 2 сағат бұрын
Kuna msaada unatakiwa ukreine wa nguvu, ulaya inaona vita vipya mashariki yakati utazorotesha msaada kwa ukraine ambapo utaipa ushindi Urusi kirahisi, wakisema mzozo uishe kwa majadiliano wakubaliane kwa vita vyote. Hivi vita vya mashariki yakati vinafaida kubwa sana ya ushindi kwa Urusi, na Urusi ataendelea kuwasapoti Iran mshirika wake ili kama magharibi wanavyo sappot ukraine, Iran aliisaidia Urusi kwa kamikaze na silaha nyingine ni ngumu sana kumuona Iran akipambana pasipo na wao kutoa msaada wa silaha, WW3 is near. Waafrika tusioweza kutengeneza hata chupi zetu tuu tukaepembeni
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Сағат бұрын
Free Palestine
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x 4 сағат бұрын
Ufaransa ndo inawazamini ezbolla mda sana watu tukisema mnabisha sasa mmeanza kujua
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 сағат бұрын
😂😂😂😂kwani kusaidiwa lazima si apambane na hali yake
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 сағат бұрын
Netanyau jambazi km majambazi wengine wangefanya akamatwe ndo apate akili na record ipo akumbuke bossinia jamaa alikamatwa akiwa kikongwe we muache abwate tu
@sameerbaksh98
@sameerbaksh98 Сағат бұрын
Tatizo Netanyahu huwez vita unaua raia kama unaweza ingie ground upigane ufate sheria za kivita kama unaweza fanya operation kama unaweza kupigana sasa unaua watoto na wanawake
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Сағат бұрын
Makamanda walouawa mpaka Rais hujawaona?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 59 минут бұрын
Hajui chochote 😂 Kamanda wa Hezbollah Hamas 😅 hajui kama wamesha uawawa
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 3 сағат бұрын
Israel itashinda bila msaada wa huyo chizi Macron
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Sasa kitu gani kinamfanya nyatanyau apandishe mori wa kimasai
@omanmct135
@omanmct135 Сағат бұрын
🐷🐷🐷🤮🤮🤮🤮🤮😡😡😡
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
Macron Yeye angojee dozi yake kutoka Kwa Putin.. huwezi laani Israel na ufaulu...kitakachoikuta Ufaransa kutoka Kwa Putin haijawai tokea...nway Israel itashinda vita wakubali wakatae
@asslammachano1483
@asslammachano1483 2 сағат бұрын
Ukishamalz kujifariji katafte soda ushushie 😁😁 ukiona haitosh nend Israel kamhubirie yesu wako 🤣🤣 uwaone ndug zako waseng watakavyokufanyia ya mtoto kautaka 🤣🤣🤣
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
@@asslammachano1483 wakati nchi za kiislamu zinachapwa na wayahudi mnakuja Kwa Wakristo kutafuta huruma yetu Kwa kutuambia jinsi wayahudi wanavyotuchukia wakati nyinyi waislamu huwa mnatuona kama maadui zenu ... Wakristo tutabaki na wayahudi na hatuitaji upendo wao kwetu ...sababu twazijua wenyewe...wewe endelea kutukana maana hiyo ndo njia yenu waislamu yakuingia nayo huko peponi jinsi mlivyofunzwa na yule jamaa lenu Muhammed...
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 4 сағат бұрын
Huyo mpuuzi tu mbona hasitishi siraha huko Ukraine 😢
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 4 сағат бұрын
Kwenye mshono mumepigwa taifa la kishetani linaenda kupotea mungu huwa hapenzi uzalim anapenda haki shetan anapenda uzalim
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 2 сағат бұрын
Hao wote sio wa kuwaamini hata siku moja. Hata akikwambia habari ya mchana usimuamini toka nje utazame jua limetoka
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 сағат бұрын
Si mnasema taifa la Mungu lina nguvu wana silaza za kutosha tena ya nini walazimishe msaada
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 2 сағат бұрын
@@salumabdallah2990 kuwapoteza hao watu ni kazi sana😢
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
Mcron huna lolote,Bukinafaso huko rais Ibrahim traole anakutoa jasho baada ya kukata mirija ya upigaji na kuwafukuza nchini kwao! Anakunyoosja kila jaribuo la kutaka kumuua limeshindikana ndo utaiweza Israel wewe! Yaani bila uwepo wako Mungu atawasaidia
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 4 сағат бұрын
MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA
@cdeegwau551
@cdeegwau551 3 сағат бұрын
Dua za mashogaaa
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 сағат бұрын
Hiyo dua mungu hataikubali, wewe unaona mungu anapenda dhuluma?
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 сағат бұрын
Kama Mungu marekani kweli ata ipambania ila Mungu alie umba hii dunia hawez kuwapa ushindi madhalimu anatuonesha tu ukatiwi wao tuwajue ila kwenye ushindi hapana
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 сағат бұрын
Huyo jamaa ni shoga mkubwa hafu nishetani. Bila msaada angenyolewa mavuzii yotee
Why Does the U.S. Support and Fund Israel So Much? | WSJ
8:52
The Wall Street Journal
Рет қаралды 1,2 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 19 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 121 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 586 М.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mark Zuckerberg sasa ndio Tajiri #2 duniani, anazidiwa na Elon Musk tu!
2:36
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН