Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️ kzbin.info/aero/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5 ◼️Ukitaka snacks⬇️ kzbin.info/aero/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL ◼️Halfkeki za kila aina⬇️ kzbin.info/aero/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo ◼️Vyakula vya kiswahili⬇️ kzbin.info/aero/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz Thanks for stopping by please Subscribe Road to 500K Subs💃💃 #roadto500k
@veronicaduma59779 күн бұрын
Can you share measurements in English
@israeluronu9958 Жыл бұрын
Nimejaribu yaani kiukweli ubuyu ilikua mtamu ajabu, hauchubui mdomo. Asante sana na Mungu abariki kazi ya mikono yako.❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameeen my love nakupenda sanaaaa na hongera kwa kujaribu♥️
@neema29829 ай бұрын
5kg maji vikombe ngapi na sugari
@peemmyculinary2022 Жыл бұрын
The best mabuyu video I have ever watched
@HadijaSheban Жыл бұрын
woow thanks
@mwamzfamily59835 ай бұрын
Same here
@HadijaSheban Жыл бұрын
Unga wa Mabuyu Recipe kzbin.infojju8TGJOf-w?si=ylSRgRRA5SuN24NT
@irenenkini901311 ай бұрын
Nisaidie vipimo
@adeelahsalaam-wg2es9 ай бұрын
Tunaomba recipe ya kashata za ubuyu please☺️
@OnesmoNaibala8 ай бұрын
😊😊 i got ue
@salvatakiseo335910 күн бұрын
Nasemaje ubarikiwe sana da hadija maana napikaga ubuyu ila sikuwai kuweza kupika ubuyu siku moja bila kutumia njia nyingine nilioizoea juzi nikapata oda 😊sinikapika chapu kwa haraka kwa kutumia hatua izo na mteja ameupenda ❤❤❤❤asante sana
@gracekaniala8788 Жыл бұрын
Ahsante dada Mungu wa mbinguni akubarki mnooo kwa elimu nzur kiukweli nimejifunza vitu vingi sana sana kupititia hapa pia naomba kujua rangi ya ubuyu naweka kiasi gani🙏🙏
@HadijaSheban11 ай бұрын
Ameen my love weka kijiko kimoja cha chai kama haijatokea vizuri ongeza usieke nyimgi sana itakua uchungu
@HalimasadiaAhmed2 ай бұрын
Masha Allah may Allah bless the work of your hands 👍❤
@deborahmwakihaba248410 ай бұрын
😮Nimejifuza nashukuru nipo mbeya Tanzania
@donensiamkanjumwa5 ай бұрын
Asante kwa mafundísho yako,nafatilia sana nikiwa kenya,yamenisaidia sana,ubarikiwe dada
@devothashija32554 ай бұрын
Asante sana kwa somo nimepata maarifa hakika
@AnuciatherWaswije Жыл бұрын
Unafundisha vema c* God bless you mejifunza vizur many thanks to you
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameen darling ♥️
@ghanimakassim46953 ай бұрын
I'm from tz,,,,napenda sana video zako zinasaidia sana Allah akubarik
@mamaummy-q5g2 ай бұрын
Naitwa mama ummy kutoka zanzibar nimezidi kujifunza ahsante
@Rizikihassan-x3y3 ай бұрын
Thanks so much nimejifucha naitwa riziki kutoka Kenya na nimeipenda video yako hata mm nitaanza biashar yamabuy
@shebanishebe7866 Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tabarakallah
@ZabibuNazir4 ай бұрын
Nimejifunza alhamdulillah
@sofreenjuneja3747 Жыл бұрын
I hardly comment...u r the best chef dida🎉
@HadijaSheban Жыл бұрын
awww shukran Darling ♥️♥️Be commenting pls
@BundaraMaria2 ай бұрын
Asante dada nimependa sana
@jenifferwaema57015 ай бұрын
Liking from kibwezi...iko dope...let me try to make nione
@immanuelmaleko800Ай бұрын
Jamn nimependa sanaaaa
@selmezahor46968 ай бұрын
Ma Shaa Allah Mpak umenitamanisha mtamu,
@HadijaSheban6 ай бұрын
pole hun
@yitshyzuriially520111 ай бұрын
Unaweza mashallah all the way from Tanzania
@yusraali53656 ай бұрын
MashaAllah may Allah bless the work of your hand 👌 Dada ❤
@HadijaSheban6 ай бұрын
Allahuma ameen shukran
@CHIRWAGracious-bg9xl4 ай бұрын
Watching from malawi , naipenda sana process yako dada❤
@Ashdon-s4zАй бұрын
Nimependa sana nipo ilinga
@areebmohamed5229 Жыл бұрын
Thanku so much for perfect recipe, very well explained..
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibu sana
@SamiaRajab-f2b2 ай бұрын
Asante❤
@IbrahimNgome-ou7dj8 ай бұрын
Upishi wako smart na simple thank u
@HadijaSheban8 ай бұрын
Shukran sanaa
@salvatakiseo33595 ай бұрын
Asante dear Uko 👌🏻
@umhusseisofiamnassar Жыл бұрын
Mashallah yavutia mabuyu yenu...❤..mm niko yemen nimejifunza vizuri dear .
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nafurah sana kuskia umejifunza love share na wengine
@umhusseisofiamnassar11 ай бұрын
@@HadijaSheban usijali dear
@bubandaika7 ай бұрын
Asante tena kwa kutuonyesha kutengeneza mabuyu, nashukuru sana.
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibu sana
@cookwithfanas7358 Жыл бұрын
MashaaAllah yametoka ajab
@HadijaSheban Жыл бұрын
na matamu sana
@mwanaishaanzazi48746 ай бұрын
Mashallah naangalia nikiwa mtwapa 🎉
@khailattaynah3125 ай бұрын
Nimeipenda asante kwa SoMo nipo mtwara
@ZenabAli952 ай бұрын
Mashaallah
@ziadamyombe2843 Жыл бұрын
waooooh mabuyu yametoka na lang ya kipekee
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante sana love
@FurahaKhush-b7kАй бұрын
Hello dad una darasa la kujifunz@@HadijaSheban
@karenndoro6383 Жыл бұрын
Tamu sana.Tunangoja jinsi ya kutengeneza unga wa mabuyu.
@HadijaSheban Жыл бұрын
okey babe
@MuhammedMkubwa-bd3ie6 ай бұрын
Hujb
@MinahKhamis Жыл бұрын
Npo dar shukran 🙏
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibu sana kipenzi
@Dorisjackson-h2f6 ай бұрын
Asante kea elimu ya mabuyu❤❤
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibu sana❤️
@salmafaraj3839 Жыл бұрын
Masha Allah yummy yummy mabuyu nitajaribu na mm
@HadijaSheban Жыл бұрын
utapenda babes
@YusuphSoma8 ай бұрын
Asante aunty Kwa darasa ♥️♥️
@FatmaAbdul-xf7sy7 ай бұрын
Allahubarik
@afiafaiz6466 Жыл бұрын
MashAllah❤ mombasa mvita
@HadijaSheban Жыл бұрын
MashaAllah nafurah kuskia karibu sana
@khadijakhamisi58533 ай бұрын
Naitwa khadija kutoka shanzu asante kwa ujuzi
@HadijaSheban3 ай бұрын
Karibu sanaa kipenz
@JustineMahembea5 ай бұрын
Asante naomba kujifunza zaidi maana kwetu ubuyu ni mwingi hauuzwi tunaokota wenyewe ila sijajua kutengeneza Kwa rangi
@EddieMuranga4 ай бұрын
Nice madam
@maryasintalazaro8502Ай бұрын
Asante
@najmathiney65 Жыл бұрын
Inshallah na mm nitajaribu mana siku zote nikipika unakuwa mbaya au sababu naukorogea kwenye jiko
@HadijaSheban Жыл бұрын
ooh kila la kheri babe
@staher108 Жыл бұрын
MashaAllah.
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tabarakallah
@ilsaharuna6 ай бұрын
naitwa hanifa mama ilsa naangalia kutokea ikwiriri rufiji asante kwaujuz
@HadijaSheban6 ай бұрын
asante kipenzi
@MariamKazungu-sc7mi2 ай бұрын
Asslam aleikum naangalia video yako kutoka Kenya ❤
@zeenatalimohamed5642 Жыл бұрын
Looks so tempting! I will definitely give it a try. Thank you! Could you please share the recipe for seedless mabuyu balls and mabuyu bars? Thank you again
@HadijaSheban Жыл бұрын
Hey love yes i had shared it already check my shorts
@zeenatalimohamed5642 Жыл бұрын
Thank you. However, I couldn't find it in the shorts. If you don't mind, could you share the link here please. Thanks again.
@halimaado8685 Жыл бұрын
Hi rangi ni gani dear n pls share the each package na prices
@leilamalje Жыл бұрын
MashaAllah dada, please weka recipe ya huo unga Sasa... Looks very yummy ❤😍😍😍😍
@HadijaSheban Жыл бұрын
Hey love nishaeka kwa short
@JeniphaKaiza6 ай бұрын
Ubarikiwe mnoo
@HadijaSheban6 ай бұрын
Ameen my love
@Dr.GraceJill6 ай бұрын
Asante dada
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibuu
@owinosueh Жыл бұрын
Looks really good better than what you get from the streets
@HadijaSheban Жыл бұрын
za street sio mabuyu babees🤣🤣🤣
@saimarmuhsin9578 Жыл бұрын
Aslaam alaykum naomba kujua ni kikombe cha size gani ulichopimia maji shukran kwa sadaka hii Allah akuzidishie❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
waalykhm mussalam ameen tumia tu the normal cup ile kikombe haikosekani nyumba zote
@AnitaGrace-xp8ps7 ай бұрын
Naomba kujua Ni kikombe gani hicho ambacho hakikosekani kwa nyumba zote😅
@cececcyruskin48346 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ElizaJonh-by4fr6 ай бұрын
Asante my ❤❤❤
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibu❤️
@alyeehhuwel89026 ай бұрын
Salaam alykm vp hali yako thanx kwa kipimo naomba tuelekeze pia ubuyu wa vipande
@ExavelyJohn3 ай бұрын
Asant❤
@NyadzuaMgandi3 ай бұрын
Video nzuri mashallah apo kw baking powder ndo ilkuw nkishangaa
@سيوابورندي Жыл бұрын
Asantee
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibi sana
@najwasalim9915 Жыл бұрын
Mashallah didah they look yummy mpka nijaribu 😅
@HadijaSheban Жыл бұрын
asante sana love
@HalimaSelemani-u2h Жыл бұрын
Dada naomba utufundishe namnan ya kutendeneza ubuyu wa vipande(kashata)
@HadijaSheban Жыл бұрын
nitajaribu siku moja love
@LuluMwakipesile-xi2nb7 ай бұрын
Dada Asante sanaa Kwa maarifa, but me natamn kujua na ubuyu wa vipande