Asanteni sana nikiangalia nakumbuka mbali sana muko poa
@tifaahkhamis30912 жыл бұрын
MashaAllah Mnaweza sana mfanye ndefu bhas tunainjoi wallah
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Jomba mwakitahidi sana kiwango kizuri na shooting safi
@kairatiswahilli7024 Жыл бұрын
Kidundo Asa mroho😂😂
@AsyaKombo-qi6yn2 ай бұрын
Kidundo Acha uroho 😂😂
@mwalimothman16802 ай бұрын
Jaman muda munaufanya mdogo sana 😢😢
@mbaroukhabib80482 жыл бұрын
Ng’onda weee ng’awaaa wee
@masoudkombo24423 жыл бұрын
Wewe ndie star wa new star record pemba
@alisleiman5622 жыл бұрын
Kidundo pua unaipenda
@abdullatifhassan93993 жыл бұрын
Dah jamaa ajua kuupanga uongo
@imansaid80203 жыл бұрын
😃😃😂😂😂😂😂😂nimecheka alhamdulillah
@MAPETEE3 жыл бұрын
Nipo oman NA furahi sanaaa kuona kazi zenu
@abdullatifhassan93993 жыл бұрын
Tecno
@MAPETEE3 жыл бұрын
Yeee
@fatmasaid97653 жыл бұрын
Nimecheka mpaka kidundo kapiga mbio nyingi kwenda kutafuta maziwa hahahahah
@aishaaisharagp93813 жыл бұрын
Uwache uroho
@hafidhabeid98893 жыл бұрын
Mbona vipande ni vifupi sana
@allyshaame8883 жыл бұрын
Ma Sha Allah
@mubarakahmed27753 жыл бұрын
Sallaaala he
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Heeeeee kidundo wanauliwa ukome kudokowa
@saidahmed96883 жыл бұрын
good movie
@faika55383 жыл бұрын
Napenda sana
@MAPETEE3 жыл бұрын
Safi sanaaaaa
@othmanmbwana21303 жыл бұрын
Mbona mnatuonjesha robo robo
@hashimsalim16213 жыл бұрын
A.alkum nafarajika nikiangalia movie u zenu,ila ushauriwangu natowa kidg hzi movie zinangaliwa na wtu wengi na tafauti tafauti mgepunza sna maneno ya kikabila(kipemb) kama vle ubuku,ngawa, ngo'nda, nk mm hpo cjaelewa chochety hajalishii lafudhi hmna kila mja anaongea na ladhi zke mungu alizomjalia ila engependeza sna tna sna kuongea kiswali fasaha bila kuweka maneno flank iv ambayo kwa wengine yatakuwa nivigumu kuyalewa smhni kwa pale nilipo wakosea ktka wazo langu mm cjikamilika ninamapungufu ansanteni wpmba kwa burudani na madili
@newstarrecords-pemba3 жыл бұрын
Tunakushukuru kwa kufuatilia kazi zetu. Nikweli kabisa tumekua tukitumia lugha ya kipemba cha asili jambo ambalo linaweza kupelekea watazamaji wetu kushindwa kuyafahamu. Lakini ikumbukwe pia kwamba moja kati ya madhumuni ya kazi za sanaa hii ya maigizo nikuhifadhi lugha. Hivyo basi tunaibua misamiati ambayo ilitumika katika kiswahili cha pemba cha asili. Nijukumu la mtazamaji kutafuta maana ili lengo la kuhifadhi lugha liweze kufikiwa. Ahsante na tunakushukuru sana kwa maoni yako
@hashimsalim16213 жыл бұрын
@@newstarrecords-pemba asanteni nimemuelewa vzr shukrini Mungu akubarijin mufike mbali
@hamadmshenga7973 жыл бұрын
Ubuku maana yake ni uroho - ngawa ni mnyama mfano wa paka na ngo'nda ni samaki w kuanika au kukausha kwa jua sijui umeelewa kidg
@hashimsalim16213 жыл бұрын
@@hamadmshenga797 eh shukrni kaka hpo nimekulewa
@hamadmshenga7973 жыл бұрын
@@hashimsalim1621 shkrn na ww
@salmamohd82023 жыл бұрын
Ama uyu kumbakumba heee
@a.8563 жыл бұрын
😃😃😃
@khalfannasornassor73963 жыл бұрын
Hatari
@mufadhilmalik74393 жыл бұрын
Unakula ubuku
@engineerkhamis92753 жыл бұрын
Good
@mudathirsaid8723 жыл бұрын
Zero ndugu yng Salut my blood Never give up 💪💪
@azizaaziza79963 жыл бұрын
Tunataka muendelezo
@massoudjr61463 жыл бұрын
Etii Gonda ww ndo nn From Kenya
@hamudseif3 жыл бұрын
Sio Gonda, ni Ng’onda..ni mnyama nadhani anaharufu mbaya sana km mzoga vile, kiswahili cha kipemba iko broo
@abdillahhamad46793 жыл бұрын
Dah hatar
@mudrikkhatib27803 жыл бұрын
Kidundo noma sn
@aboukibesh83563 жыл бұрын
Dj Mpembaa episode 2 kzbin.info/www/bejne/bHetq2WEbsyZg68