Baba tuombee maana vita, zinabadilishana tu, no kupumzika Mungu unisaidie maumivu ni makali Sana siwezi bila wewe!
@maryandason18153 жыл бұрын
Jaman sijui nifanyje ili tu,niweze kuonana na BABA Sanbella kyando.kila nikijarbu at kuomba no.sipewi.aisee! YESU nisaidieee 🙌🙌one day wakat wa BWANA nitakuona.barikiwa Sana🙏🙏🙏
@calorinemwoga26382 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana Asante pastol sanbell unazaidia wengi Mana wengi tumefungwa ila hatujui Asante kwa kutufundisha roho mtakatifu awe nawe daima
@maryandason18153 жыл бұрын
Amen barikiwa Sana pastor Sanbella kyando🙏🙏🙏🙏🙏
@petermunuo16572 жыл бұрын
Amen mtumushi barikiwa sana
@edithanyisile40013 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako pastor..Utukufu kwa Yesu,Amen
@beatriceresiato33082 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu mungu wako atufungue tukuwe huru kabisa maana vifungo ni mingi
@ExseviaSamwel5 ай бұрын
Amin amin pastor 🙏🙏🙏🙏
@eaglecrown11013 жыл бұрын
Amina 🙏 hili somo pastor umefunika nimebalikiwa sanaaa Hadi nacheka mwenyewe
@murekatetegermaine65593 жыл бұрын
Mcungaji mwenyezi mungu awabariki asante sana tumebarikiwa na neno ra mungu yesu azidi kuwapakaa mfuta loho mtakatifu awe nanyi 🙏
@isaacisaya31132 жыл бұрын
The real power of God is in you pastor
@projestusvenant1475 Жыл бұрын
Namkubari sana sanmbella
@veronikaaugustino22583 жыл бұрын
ASANTE YESU kwa kunipenda zaidi ya upendo Amein
@fabianalfredy5557 Жыл бұрын
Amen !! A'm blessed
@joannelson11372 жыл бұрын
Amen , thanks God for your servant 👏👏👏🙏🙏🙏
@joshuamutua37272 жыл бұрын
Deep revaltion... GOD IS in this place
@adelaidanyange58963 жыл бұрын
Thanks Jesus..
@helansakeyan53072 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI,UWE NA UHERI
@StephanoRamadhani10 ай бұрын
God bless us
@masprintventures76462 жыл бұрын
Pastor nilituma maombi kwako yakwamba nipate nyumbani ya biashara nanikapata sasa pastor stima pekee yake imekwamisha kufungua Hilo duka, niombee njia zifunguke mtumishi WA mungu,
@patrickmunishi22772 жыл бұрын
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe,ushauri,kama una tumia kiswahili iwe kiswahili.tusaidie na sisi wa standard 7
@patrickkatana88232 жыл бұрын
Be blessed man of God
@Leghosamedia.tz12043 жыл бұрын
Be blessed God's servant
@alfricksungu37693 ай бұрын
Hii series inaitwatwe
@stevenmponzi81683 жыл бұрын
Thankx man of God
@paulmwangi2942 жыл бұрын
Amen hallelujah
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
YESU AHSANTE
@aronemakanyaga72843 жыл бұрын
Asante yesu
@maryandason18153 жыл бұрын
Kila ninapoendelea kufatlia mahubir na kusikilza.ndipo moyo ❤️ wangu unataman.sana .nionane na pastor..yako mengi tu.nataman kusher n pastor..coz vifungo n vingi shetan.anateseka kwel watu wa MUNGU.... barikiwa.piya kupitia mafundisho napiga atua moja zaidi.Asante🙏🙏🙏
@dollamtui58493 жыл бұрын
Yesu usinipite, nitoe kwenye vifungo mimi na familia yangu kwa neema yako Yesu