No video

NGUVU YA KUJUA - Uchambuzi wa Kitabu | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 347

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Күн бұрын

Kitabu Cha NGUVU YA KUJUA Kinaeleza kuwa Mafanikio huanzia Kichwani kwa Maana usipo badili namna unavyo amini na Kufikiria basi siku zote utaishia Kupata matokeo yale yale.
Pia kitabu kitakufundisha Mambo 16 unayotakiwa kuyajua na kuzingatia ili ufanikiwe kwenye Maisha yako. Haya ni baadhi ya mambo hayo,
1. Kuwa na Imani na mtazamo chanya kwenye Maisha (Positive Mindset).
2. Kanuni 7 za Kutumia muda vizuri.
3. Mbinu za kujenga mtandao na watu wa Maana.
4. Kuchagua watu sahihi wa kuambatana nao na kujua kuishi na watu Vizuri.
5. Kuishi kwa malengo na kuwa na Malengo makubwa.
6. Kutambua na kuishi Kipaji chako na kukigeuza kuwa Biashara.
7. Mbinu za kuwa na afya Bora na kuishi Maisha marefu.
8. Sababu 12 kwanini wasomi wengi ni masikini.
✍️ Kwa sasa ni Tsh 20,000 tu.

Пікірлер: 4
@johanessjohn
@johanessjohn 8 ай бұрын
Hongera, best wishes
@petropaul1525
@petropaul1525 8 ай бұрын
Wooow thanks..
@victormwambene
@victormwambene 8 ай бұрын
Karibu sana
@mwanaidialiame318
@mwanaidialiame318 4 ай бұрын
Napataje kitabu hicho nipo nungwi Zanzibar ??
MBINU 6 ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO | Victor Mwambene.
15:33
Victor Mwambene
Рет қаралды 8 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 17 МЛН
JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO ILI UFANIKIWE KWA HARAKA | Victor Mwambene.
16:15
Uchambuzi Wa Kitabu Cha How To Stop Worrying And Start Living
27:44
GODIUS RWEYONGEZA
Рет қаралды 4,5 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 4,9 М.
MAMBO 10 YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUAJIRI MFANYAKAZI - Victor Mwambene.
16:49
ELIMU YA FEDHA ISIYOFUNDISHWA SHULENI - Victor Mwambene
6:43
Success Path Network
Рет қаралды 5 М.
NJIA TANO ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA | Victor Mwambene.
11:58
Victor Mwambene
Рет қаралды 14 М.