Kweli kabisa unayosema,,,uchawi upo na DUA zipo ila wazee na viongozi wa Simba wafanye umuhimu wa kuwakinga,,mana yanga ni wachawi sana,
@khalidmwakabuta50456 күн бұрын
Umefikiria mbali sana nduguangu , haiwezekani wazee wa utopolo wanajitokeza hadharani na kuongea mpaka vitisho kwa wachezaji wanaohujumu timu,mf; Mzee Mpili , sisi wa kwetu Simba Sc wamekaa kusema tuu wazee tupo , haina maana ya uwepo wao sasa kama hawatimizi na kuonesha uzee dawa
@MamboMbuli6 күн бұрын
Kinachotakiwa kuwakumbusha viongozi kwa busara na mifano
GB.64 leo umesema kweli bro uchawi unatumaliza wanyama 👍❤️❤️❤️🦁💪🤲🌹🌹🌹
@josepahatmargwe65047 күн бұрын
Uko sawa GB 64 ,Yanga mafanikio Yao ni Ulozi.
@user-yh3dv2bl7u7 күн бұрын
Gb 64 nakuelewa sana mwamba najua unaumia sana walindwe hao wachezaji tunawapenda Mo dewij umevuja jasho kuvunja kibubu tunaomba uwalinde mwenyewe
@khalidmwakabuta50456 күн бұрын
@@user-yh3dv2bl7u Na pesa ilivyongumu hivi mtu anajitolea pesa yake halafu wazee washindwe kuweka japo ulinzi wa timu yetu kweli watakuwa hawatendi haki
@GodfreyJames-zt6ig7 күн бұрын
JB wewe unaakili sana lingne sisi tupo sumbawanga tumesha chungulia viongoz wa yang Tim ikuwa plszn wanaenda kuchimbia dawa bunju wachezaj wakija tu Wana ingia kwenye mtego
@daudinyello40336 күн бұрын
SIMBA WANAHUSUDU UCHAWI SANA
@samadady77957 күн бұрын
Mwanangu unaongea ukwely sana
@LupatuDaiya6 күн бұрын
Nakukubali sana kaka wew ni Big thinker
@kefamahenge51877 күн бұрын
Mungu aendelee Kuwabariki sana ,tunazidi kufunuliwa na kipindi hiki cha kusifu na kuabudu. by Mshana.
@SalhaSuleiman-y8mКүн бұрын
Naomba kazi ya upishi hatutaki uchawi
@user-mw5xs2wx8n7 күн бұрын
Kweli wanawapiga misumari sana
@salimmalaka2567 күн бұрын
HIYO 100%
@patrickmohamed36397 күн бұрын
Umeongea point sana ila najua kunamabwege wata kuponda ili kukufifiza viongozi fatilieni hilo swala GB anaonekana kama anachekesha kumbe ndio ukweli kabisa
@beatussoka95177 күн бұрын
GBwambie ukweli msimuhuu kaziwanayo
@MohamedChillo6 күн бұрын
Tusisingizie uchawi , soka la kisasa halina hayo mambo ndugu yangu,wachezaji wetu ni wa kawaida ,angalia hata gharama zao ni za kawaida siyo kama wa Mamelod au Al Ahly
@DonatelaSanga6 күн бұрын
Gb 64 unaakiri sana kaka viongoz waliangalie hlo yon da
@AbbasyMdabwa7 күн бұрын
Gb wemsema kweli ila wachezaji wetu walindea
@aminaomary55675 күн бұрын
Kweli kaka uchawi upo na ndio maana tunafungwa ovyo na viongozi wetu wa simba hawaamini uchawi. Lakini uchawi upo sana.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Bboy-ek8vn7 күн бұрын
Yanga wamemchukua tena pa jobe
@salimmalaka2567 күн бұрын
NDIO ZAO HIZO
@user-id5oc7hm4n7 күн бұрын
Kula chochote nitalipa,,,umeongea true maana wanawafunga wachezaji wetu,wanaonekana ,wabaya,, tukiwaacha wanawachukua ,,utopolo kwa vibuyu nomaaaa😂
@user-xc8jp2ol4m7 күн бұрын
Umetufumbua macho blo
@fidelismwakanyamale67877 күн бұрын
Huyu ata Mungu amjuwi kila kukicha anawaza njaa
@HamadSuleiman-e1x7 күн бұрын
Mm najitolea kuipeleke pemba maziwa ngombe 😂vp mutakuwa tayar kupigwa dua na kuoga chumvi
@user-os7yv7gg1s7 күн бұрын
😂😂😂GB bana
@JohnMpemba-in1jm7 күн бұрын
Gb upo saw bro
@SalhaSuleiman-y8mКүн бұрын
Nasisitiza kazi ya upishi
@user-hu4el2rx2u7 күн бұрын
Fukuza wafanyakazi wote wa simba wachawi wanapewa pesa ahsante GB64 humeona hilo na viongozi wajue
@salimmalaka2567 күн бұрын
KIBOKO YAO ALBADIRI TU
@user-hu4el2rx2u7 күн бұрын
Wachezaji wote tuwasimee Albadir wakiwagusa wafe hao utoporo pumbavu
@salimmalaka2567 күн бұрын
NDIO INAVYOTAKIWA WAFE TU
@yohanalungwa79607 күн бұрын
Yanga kweeli wachawi Kuna shabiki wa yanga alionekana anapeleka majina ya wachezaji wa Simba morogoro kwa waganga washenzi wachawi wakubwa hawa
@hamidudigogo58635 күн бұрын
HAPA BG NAMINI UMESOMA MEAEJI ZANGU KUHUSU UTOPOLO KWALOGA WACHEZAJI WA SIMBA
@HamisiAthumani-vz1oi7 күн бұрын
Hakika inatakiwa wasomewe dua🙏🙏🙏
@sedekiantibahoha22457 күн бұрын
We ndo huna akili sio gb
@daudinyello40336 күн бұрын
HUYU JAMAA KUMBE TAAHIRA
@user-wk2bg8zf3l7 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA
@komboarts71107 күн бұрын
Tanzania ukisema ukweli watu hawapendi kabisa jamaa anasema ukweli mara comments za watu wanasema kalewa hiyo sio. Kweli jamaa Yuko real sana😂
@KuchbyMskude5 күн бұрын
Shabiki mwenye akili hold up broah
@Mwnashabani6 күн бұрын
Nakuelew xan kk yanga ni wachaw xan hata mm pia nalifahamu maana kuna kiongozi mmoja ni jirani yangu ni mchawi tenah mkubwa xan
@danielpeter80857 күн бұрын
Ila GB ww ni shabiki lia lia nakukubali sana ..unajua mengi kaka 🖐️ uchawi upooo ata mm sipingi
@abuuhassani4976 күн бұрын
Mashine ya kivita Valentin nouma full back ya mpira anapanda na kushuka, anakaba mpka dhambi, hii ni version ya Roberto Carlos krosi dongo ukigusa waya. Wanasimba msimu unaokuja mjiandaa kushangilia magoli, maana nouma hajisikii furaha kumaliza mechi bila kutoa assist mbili.
@user-hu4el2rx2u7 күн бұрын
Mo oyeeee nguvu moja
@user-pz9nd8ys8o4 күн бұрын
Gb yupo sahih
@lemamolelilemamoleli77407 күн бұрын
Nakweli
@salimmalaka2567 күн бұрын
ALBADIRI LAZIMA ZISOMWE KWA UWINGI ANAE GUSA AFE TU
@SilivesterHasunu7 күн бұрын
mwaka huu jaaa Mani hatari tupu myamani
@mtulivu-ir1nq6 күн бұрын
Yanga noma kwa uchawi Hadi mayele katupiwa vijini misri 😅😂😂 Tena alikua mchezaji wao chuki Yani yanga wanaroho mbaya sana🙌🙌🙌
@THEOBALDNGOBYA6 күн бұрын
Unaongeaa aisee we noma kumbe na elimu ya kilimo unajua nimeipenda hiyo ya kusafisha ghala.
@MohdRehan-v9l6 күн бұрын
Upo sawa Hawa jamaa kweli wanawaroga wachezaji wa simba
TFF Kuna haja ya kuangalia hawa watu wanaochafua Ligi yetu kwa fikra potofu, hili timu lenu ndio linafukizaga mimoshi kwenye away grounds mawazo ya kichawichawi tu...
@marshangeka7123 күн бұрын
Kweli kabisa mwamba
@maikomatayo27947 күн бұрын
GB64 wee ni kiboko nakukubali sana brother wanatuharibia wachesaji wetu kabisa iyo haipingwi wachawi kabisa ila kila kitu kina mwisho watakoma wapuusi kabisa 😂😂😂😂😂
@KABIBIPETER4 күн бұрын
lkn ulisema chama akienda yanga hushabikii simba
@eliadaimon8046 күн бұрын
Simba kombe tuna chukuwa kwer siouongo
@ibrahimusagondo52286 күн бұрын
Hili la kuwaroga wachezaji wetu ni kweli kabisa
@jumanneshego33086 күн бұрын
acha uwongo nyama we umemuona wapi usiwakatae2
@josepahatmargwe65047 күн бұрын
Yanga ni Majini Fc, hawana lolote zaidi ya Vibuyu.
@salimmalaka2567 күн бұрын
NDIO TENA HODARI WA KUKATAA NA WATOWA RUSHWA PIYA
@chiefnumborecords48197 күн бұрын
Huyu kashalewa mbona
@salimmalaka2567 күн бұрын
KAMA KALEWA TEREMKA GARI HILO
@feisalmohamed28486 күн бұрын
Tatizo lako unaanza na ukweli halafu unamalizia na uongo ,uongozi huu sio uongozi ule kwan tofauti iko wapi ya uongozi ?
@emmanuelthomas10785 күн бұрын
Kwendraaaa huko! Ulisema chama akihamia Yanga nawee unahamia AZAM! Kikowapi?
@AwadhiHashimu7 күн бұрын
Vp unawasifu tena kak
@Bboy-ek8vn7 күн бұрын
Pa omary jobe kaenda yanga
@user-wp9wf3et1n5 күн бұрын
Bro bro bro nimekwita mara 3 uko sahihi ogopa so wafua jezi na wapishi wabaya sn
@shabanimzalla71087 күн бұрын
NAKUKUBARI SANA GB64
@justinazakayo61526 күн бұрын
Kweli waombewe hata mimi waje niwaombee bure
@RashidWatac6 күн бұрын
Kabisa mkongwe 64
@yakoubaliy75597 күн бұрын
Kaka Gb 64 leo umeongea point kuliku siku zote nikweli lazima wachezaji wapate duwa na kama huko dar hakuna wataalam pemba wako huku tunaomba mashirikiano wenzetu ili tufanikiwe hawa ngedere weusi wasije wakatuvuruga