GB64 post match analysis are 💯 Top notch. He understands football.
@HassanKhamis-x3o18 күн бұрын
Uko sawa brother hakuna mchezo laini tutamumba m mungu ata tusaidia
@RamadhanNkusa18 күн бұрын
Yanga wanalalamìka hawajui sheria za. Mpira❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Nan kakwambia yanga hawajuu Sheri's😠😠😠😠🥴
@TomasiklistophaMwinuka18 күн бұрын
Gb 64 wachane hao mbumbuu wanapenda sana kujifananisha nasimba
@chidampiri101218 күн бұрын
GB 64 uko vizuri na udata nyingi
@RamaKd-s8w18 күн бұрын
Wao GB 64
@KenSyabo-z7z18 күн бұрын
Jamaaa unajua sanh ball ww🎉
@AbdullahAbdullahhajji18 күн бұрын
Simba nguvu moja
@IsaacParuz18 күн бұрын
Ulichokuwa unakiongea kuhusu mzee saidi ni sahihi mfano angalia mechi ya Leo tumeshinda Moja lazima mzee saidi aonekane kwenye vyombo vya habari ila ushindi wa goli 5 hajaongelea Kabisa
@MwajumaNgaruma18 күн бұрын
Side chawa yule
@RamadhanMohd-q8l18 күн бұрын
Kam unamkubali gb gong like 🎉🎉
@EliudBoniphace18 күн бұрын
Simba ana malaika mlinzi upande wao
@IbrahimJames-s7l18 күн бұрын
Gb Ni mmojaa mwingne Ni MB unaujua Kaka upuuz ndo unasifiwa went awatumii akil kongole kwako
@MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl18 күн бұрын
Nayatakasirika sana mwakahuu
@MrishoMindu-zq7mz18 күн бұрын
Jahazi lina Tembea hilooo anaye taka adandie tuondoke. Watakula Maneno Yao mwaka huu.
@bahatimshali273118 күн бұрын
Jamaa anaongea kwa facts. Anajua hadi anakera😂
@AdamSaffi21118 күн бұрын
I think he is a science graduate and also a secondary school teacher. I mean a university graduate! Maana siku hizi hata my grandson yuko chekechea naye Ali-graduate November. Nchi ya ajabu.
@TegemeaFutemakatifu18 күн бұрын
Napendaga sana Interview zake
@sulleymernmannarah793018 күн бұрын
@@AdamSaffi211😂😂
@AllyKimeme18 күн бұрын
Nyuma mwiko hawana lolote ila Wana taka kuji weka juu wao kuliko mnyama simba Tim kubwa
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Hanna kitu maneno mengi
@shimagibson156818 күн бұрын
Pa1 GB
@LatiphaAyoub18 күн бұрын
Daaah mwanangu umewacha Sana kausha wasameheee ukweli wanao wanatuletea mapepe tu
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Eeeh unanchekesha we ,🦎🦎🦎🦎🦎🦎🦎🦗🦎
@danielelikana261518 күн бұрын
Penalty tena zilitakiwa kuwa 2 maana Kapombe alifanyiwa faulo na pia David Bryson aliunawa tena mpira..yaani ilikuwa 2 in 1.
@JastFinancial0218 күн бұрын
😅😅😅true
@HassanMkwenda18 күн бұрын
Wanaforce tu hawana timu vyura hao
@ShukuruMakoko18 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AugustinaJonas18 күн бұрын
Saf Gb64 nimependa kingereza chako
@Mariah-r1o18 күн бұрын
🎄🎄🎄🎄🙏🦁
@bobbyfiasco431118 күн бұрын
Mpira hujui. 😅😅😅
@RamadhanNkusa18 күн бұрын
Mbona. Hao tasafu wanalia sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
We tasafu Bibi ako
@AugustinaJonas18 күн бұрын
Sawa kaka
@PaulinaJuma-e5l18 күн бұрын
Ahoua
@NassoroKitara18 күн бұрын
Mbona husemi Simba anafungwa na yanga Kila wanapokutana
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Uwii
@2ndkingdom0518 күн бұрын
inabebwa na timu 15 ndomana iPo keleleni
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Kabisa unachosema n kweli kabisa
@ameirzapy131818 күн бұрын
Kubebwaaa huko,, Mna wasiwasi kabisa,, kwa hiyo hukubali ubora wao😅
@pascalvirgilio720818 күн бұрын
Mdomo unatuponza Simba ebu tufanye vitendo lakini unapokuja kusema atushuki kwa mchezo gani wa timu yetu hakuna timu bado tunahitaji kuiboresha simba sio maneno mengi.
@AllyKessy18 күн бұрын
JKT unamchukuliaje kwanza ongea kisport sio unaongea ongea tu
@pascalvirgilio720818 күн бұрын
@AllyKessy Usifananishe Simba na JKT wewe Simba ni timu kubwa itabaki kuwa kubwa tu..mfano kama JKT angeshinda unafikiri angesema ameifunga timu ndogo? Au kubwa? Timu yetu ni kubwa lakini bado ni dhaifu
@AshelyAbel-x1q18 күн бұрын
Jifunze kuujua mpira hakuna timu imekamirika kira idara
@pascalvirgilio720818 күн бұрын
@@AshelyAbel-x1q Basi kama ni hivyo tupunguze mdomo katika mechi za simba kama ao wakina GB 72
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
@@AllyKessywe kunguru
@Josephtibu-l9e18 күн бұрын
UBAYA UBWELA😂😂😂
@KazziyAbel18 күн бұрын
Inshaallah mungu katujalia tumepata hicho hicho mungu.
@MohamadKhalid-k3r18 күн бұрын
Timu kuliko zote ligi hii ni Simba ila mechi 14 penalty 12 kueni na aibu msijisifie Simba bado mbovu acheni ushoga
@JastFinancial0218 күн бұрын
Shoga mwenyew
@RamadhaniMuhomba18 күн бұрын
Kwa hiyo we mmama penalty hazitakiwi wewe ukipewa penalty unaweza kupiga unalia umefiwa
@JastFinancial0218 күн бұрын
@@RamadhaniMuhomba mwanaume mzma unalia wamepew penalty ko ulitaka wasiweke Sheria 17 zitatimiaje acha ushamb utapakw mafuta