Ni Balaa MBOSSO Ajinunulia Gari Kama La TANASHA, S2KIZZY Ajitunuku Mashine Mpya Ni Hatari Mjini

  Рет қаралды 80,836

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

Ni Balaa MBOSSO Ajinunulia Gari Kama La TANASHA, S2KIZZY Ajitunuku Mashine Mpya Ni Hatari Mjini

Пікірлер: 80
@mbidadaud1256
@mbidadaud1256 4 жыл бұрын
Unakuta jitu linadic wakati hata baiskel halina vitu kama hivi vinatupa moyo vijana tuwe watafutaji
@akibarahamadi5058
@akibarahamadi5058 4 жыл бұрын
mbosso ana hit nying lazima awe na gari kubwa
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Acha ushamba ww fala 100 tu iyo
@mrdoubleg5352
@mrdoubleg5352 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapo bro kuja kenya ujionee wasanii na madinga...
@oliveradiva7602
@oliveradiva7602 4 жыл бұрын
mbosso Tunagoja goma ya corona hapa kwetu Kenya juu uku kwetu tuna kupeda sana 0729200118
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Uncle corona haimalizi, fikiria kisha jiulize, utapata jawabu
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 4 жыл бұрын
Dhanzo upo vizuri ase unavyojua ku praud vitu sasa
@jafariramadhani3264
@jafariramadhani3264 3 жыл бұрын
Hiyo nyekundu na nyeusi ndio nn
@rajabumwenda9758
@rajabumwenda9758 4 жыл бұрын
nawakubal wanangu hao
@JourneyBook
@JourneyBook 4 жыл бұрын
Maisha ya ma celeb bana 😅😅 haya riziki mafungu 7 alhamdulillah lake limeshafika.wengin kulen kwa macho tu mkisubir fungu lenu
@alenpeterlenibarbayduleni1307
@alenpeterlenibarbayduleni1307 4 жыл бұрын
Mwandishi wewe acha unafki
@taimuba529
@taimuba529 4 жыл бұрын
Kama sio milioni 4 😄😄😄😄
@oxyrio1224
@oxyrio1224 4 жыл бұрын
Million 4 hizo kenya
@husseinngozi1540
@husseinngozi1540 4 жыл бұрын
Mtangazaji mshamba kama hajawahi ona magari anasifia mpka Rim’s za gari 😂😂😂😂crown za million Tisa hizo zinamchanganya 😂😂😂hiyo prado Landcruiser ya 120 inamchanganya kishenzi mpka bampa anasifia never seen😂😂😂
@fisjaykitamuliko1183
@fisjaykitamuliko1183 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Mrdigital.
@Mrdigital. 4 жыл бұрын
Unayo crown??
@thomasponera6018
@thomasponera6018 4 жыл бұрын
Mjomba unadhani ni mchezo kumiliki hiyo ndiga . Acha umbugila wewe kiinua mgongo Cha mfanyakazi serikalini kwa miaka yake yote kwenye utumish anaweza asilambe hiyo milioni Mia , wewe unachukulia poa mtu kununua gari la milioni zaidi ya Mia halafu kijana mdogo nahisi hata wewe mzee
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 4 жыл бұрын
Kweli Kabisaaa mshamba jamaaaa
@fidelicedgar917
@fidelicedgar917 4 жыл бұрын
Fala ww nunua n ww yako
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Rich mavoko wapi, napita tu jamani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 жыл бұрын
Hatar sana hizo gari balaa
@yussufmohd5281
@yussufmohd5281 4 жыл бұрын
Utabak hvy hvy Utakufa Atabaskeli y Urith huna
@nondombilizi6624
@nondombilizi6624 4 жыл бұрын
Pinga kazi kijana
@omerakenyancomedian4931
@omerakenyancomedian4931 4 жыл бұрын
Omera Kenyan comedian amefurahii iko poa
@petersynto8634
@petersynto8634 4 жыл бұрын
Nimeamini ukitaka maisha mazuri ni WCB
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Mziki unahela siyo masihara
@abdallahali937
@abdallahali937 4 жыл бұрын
Wenye wivu wajinyonge muko wapi wafwasi wote wa mbosso khan tumtetee mwenzetu👍👍👍👇👇👇🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@philimonmassenga5764
@philimonmassenga5764 4 жыл бұрын
Pesaaaa tu
@azizone4139
@azizone4139 4 жыл бұрын
Studio kwa mokko kama chooni
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Sema mwana badilisha hyo nguo yako ya juu
@juliankuka2496
@juliankuka2496 4 жыл бұрын
media personality wa tz mna udaku kibao....njooni kenya huu upuzi hatuna..
@amanipeace6007
@amanipeace6007 4 жыл бұрын
Huu upuuzi ndo umefanya mnatufatilia lkn m sijui blog yeyote ya kenya
@juliankuka2496
@juliankuka2496 4 жыл бұрын
amani Peace tulia basi acha moto
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Bongo bhana hiyo gari kuna brother wangu kanunua gari kama hii kaagiza japani milioni 75 mpaka inakuja bongo
@godblessnassary7785
@godblessnassary7785 4 жыл бұрын
Kwahiyo
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 жыл бұрын
Acha ushamba wewe inategemea ya mwaka gani Kaka uyo bro wako kapewa liskrepa la mwaka 90 uko inategemea Nini japo kwa Prado hiyo haifiki mili 4 nikwenye mia na 50 uko it's depend na year of manufacturer ile V8 ya Diamond Platnumz ndio inagonga mil 300 au 400
@emanuelyustin5472
@emanuelyustin5472 4 жыл бұрын
Mtangazaji kanjanja uyo anamsifia mwanaume mwenzio atari
@xunguyounus2729
@xunguyounus2729 4 жыл бұрын
Njooni Zanzibar kama mnataka magari
@JBONLY
@JBONLY 4 жыл бұрын
Used sio au slepar
@yussufmohd5281
@yussufmohd5281 4 жыл бұрын
Xungu Younus , Waje kuona T ONE CYO
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
mtangazaji mbona unachekacheka ovyo kinafiki kwani vipi
@donnsaitaa350
@donnsaitaa350 4 жыл бұрын
Wee khadijaa mafutaaa asifuh kwa nn
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
@@donnsaitaa350 hebu rudia kusoma hiyo message yako harafu uniambie hapo ulimanisha nini mana hata cjakuelewa
@ovn-sportswear4983
@ovn-sportswear4983 4 жыл бұрын
Mbona usemi kama y tanasha kwamimi mkemya naona iyo ndo ile aliyokuwa anatumia tanasha maana hata kwenye interview aliyo fanya tanasha juzi aliulizwa vp kuusu zawadi ya gari ulilopewa na diamond yeye akasema kwamba gari yenyewe kaiacha
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 4 жыл бұрын
Angalia show ya mbele tofauti nayatannasha acha kuwa mvivu wa ubongo wewe
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
haki ya mungu wabongo siyo watu wazuri kajifanya kanunuwa hamna rorote hii ndo yenyewe gari la tanasha akajambie mbele
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
@@hamzamoshi8275 tatizo siyo show ya mbele nshu hapo ni kweli gari hilo ni la tanasha, hapo kilichofanyika ni marekebisho yamefanyika tu kwenye hiyo gari wakwende huko
@donnsaitaa350
@donnsaitaa350 4 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 naicee aujaa angaliaa vizur izzo ghal tazama ya tanashaa na mbosso cyoo mnalopokaa tooo wazembee nyieee
@donnsaitaa350
@donnsaitaa350 4 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 em tajaaa ww malekebishooo ghan af ziangaliee vizur izoo ghar zuna fanana
@Djaiicool2012
@Djaiicool2012 4 жыл бұрын
Hapa kenya hio ni ya mbochi anaendea shopping. 🚶🚶🚶🚶🚶
@nancynziku2602
@nancynziku2602 4 жыл бұрын
Acha roho mbaya kama mtu kanunua kitu lazima watu wamsifie
@Djaiicool2012
@Djaiicool2012 4 жыл бұрын
@@nancynziku2602 😃😃🏃🏃 sawa mrembo.
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 жыл бұрын
Janaume zima unaongea uchoko Sasa apa umesikia Kenya acha uchoko wewe
@balkisidaniel4969
@balkisidaniel4969 4 жыл бұрын
Wamefukuza mke na gari wameshagawa !!!!
@mbarakhassan573
@mbarakhassan573 4 жыл бұрын
Diamond kampiga chini tanasha, sasa Mali ya tanasha ameridhi mbosso...mbosso amekua mwari wa diamond sasa
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 жыл бұрын
Acheni ushamba nyie hizo gari mbili tofauti kabisa japo zote ni prado ya tanasha ipo kwa Mondi na plate namba zake tofauti kabisa
@alenialex6941
@alenialex6941 4 жыл бұрын
DTD izo namba zina kama miaka miwili tusidanganyane
@katojunior7506
@katojunior7506 4 жыл бұрын
Miaka 2?? DS yenyew haina miaka 2
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 4 жыл бұрын
ALENI ALEX Brother wewe ndo huelewi kabisaaa chochote
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 4 жыл бұрын
kato Junior True
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 4 жыл бұрын
Wewe alen Alex kaa kimya hujui kitu kuhusu magari unaonekana kabisa ungekuwa unamiliki au ushawai hata kumiliki basi usingekuwa unaongea pumba
@LLYKEJONNESS
@LLYKEJONNESS 4 жыл бұрын
Ni ile ile ya Tanasha wamebadilisha tu number.. WCB... Hatuwaamini hata mara 1sikuhizi 😄😄if you know you know 👊🏾
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Umaskin wako usiupeleke kwa wengine, tafta picha ya gari la Tanasha ndo ujue kutofautisha
@LLYKEJONNESS
@LLYKEJONNESS 4 жыл бұрын
@@chiefkaitaba.m.9466 ushindwe katika jina la Jesu wewe ndio maskin... Tofwakwa!!
@christinealwis8566
@christinealwis8566 4 жыл бұрын
U r thinking like me aki
@ndegejr4218
@ndegejr4218 4 жыл бұрын
Hazifanani wewe
@LLYKEJONNESS
@LLYKEJONNESS 4 жыл бұрын
@@christinealwis8566 Yap meanwhile the Tz will start insulting but it's da truth
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 103 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН
Harmonize Guarded Heavily As He Arrives For His Rehearsals!!
2:25
2mbili Tv
Рет қаралды 1,1 МЛН
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
MKE WANGU UNAMUWEKAJE JAIVAH x MARIOO STATUS JAMANI ?? 🤣🤣
1:56
EXCLUSIVE |MBOSSO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE
14:01
Vimba Media
Рет қаралды 75 М.
Gari jipya Harmonize alilozawadiwa na WCB
4:51
Millard Ayo
Рет қаралды 250 М.