Mbosso you will always be great nlichopenda zaid ni upendo kwa wazaz wako nashukuru saana kwa niyaba ya wazazi umewainua saana hongera saana mbosso khan
@MumtazKhan-tu4hz4 жыл бұрын
Mjumbe mdogo wangu mbosso Khan Big up sana wazazi wamekuja baraka zote
@t-cha83632 жыл бұрын
Gari fire Moto 🔥 Hongera Mbosso kwakutimiza Ndoto.. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nelsontanzania10984 жыл бұрын
WCB Label kubwa Hongera Mbosso zidi kutusua 💪
@farouqbanda86564 жыл бұрын
Mbosso mimi hapa Kenya nakupongeza bro it's all your efforts. .continue keeping your flag high .
@sumathedony82454 жыл бұрын
Kinacho mfanya mbosso afike mbal na atazidi kufika mbal ni nidhamu,hekima,busara na uweledi ktk kazi yake...Mungu mzidishie inshallah
@masibosvlogmasibos97384 жыл бұрын
Kabisa, inshalah
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Suma thedony, kweli!
@lydiamuli33284 жыл бұрын
True
@khadijakoga75944 жыл бұрын
True
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Suma thedony Amina
@nimconalka87054 жыл бұрын
Mwenye ako na heshima na busura mboso keep going bro
@benkbenk94614 жыл бұрын
Mashambiki wa Mbosso Kenya twagonga like hapa ! Hongera! Hongera ! Hongera ! Mbosso 🇰🇪
@felixokumu29114 жыл бұрын
I admire his personality he never gets offended. God bless you sana bro.
@tunumohamed26083 жыл бұрын
Nakupenda mnoooo
@mohamedalii75434 жыл бұрын
Hongera platnumz kwa kuwakuza vijana am proud of you.
@kingoclock59644 жыл бұрын
Hongera dogo kwa kuwambuka wazazi wako mana ni vijaba wachache wenye akili hiyo
@juliusmurimi55104 жыл бұрын
Mbosso kipenzi cha wengi..mob love from Kenya.. I like your personality.. Usichange
@mcalex13684 жыл бұрын
julius murimi 👌👌
@patiencenimmoh39564 жыл бұрын
Mara nyingi ukimtanguliza Mungu na kuwa mwenye nidhamu mambo yako hunyooka. Nakuombea Mwenyezi Mungu akuzidishie, akuneemeshee na akulinde kwenye hii safari yako ya mziki... Mbosso much love from +254😘😘😘
@dianahgesare50642 жыл бұрын
Mbosso has been my crash ...I silently admire him generally ,his music , he's my number one bongo artist ,all that he has done or achieve is by the grace of Allah,Na Baraka sizidi kumfuata kwa kutosahau nyumbani kwao.baraka ya mzazi Ni Jambo la muhimu...he be my role model..I just like everything about Him simple personality humbled always and forcused may your intelligence yield more🙏🙏💕🌹
@teychriss32484 жыл бұрын
Aisee! Mungu hujibu kwa wakati! Uvumilivu ktk maisha ndio nguzo kuu! Uwezo wako wa kuimba ulionekana toka ukiwa Yamoto to be honestly mm nilikuona kuwa sauti yako iliwazidi wote! Pamoja na kutengana kwenu hukukata tamaa ! Big up! Yaani am speechless 😶! You nailed it!
@loicekazungu12973 жыл бұрын
Hongera sana kaka mboso mungu azidi kukuinua kila unacho fanya
@kanickanderson82274 жыл бұрын
Wale wote wa mbosso Khan mshede tujuane gonga like twende sawa
@tygerkadoh15464 жыл бұрын
Wenye wivu wajiuee
@kanickanderson82274 жыл бұрын
Umeoa eeeh watapa tabu sn sio ngoja tuinjoy na muindi wa kibiti
@tygerkadoh15464 жыл бұрын
Ila kuna jamaa amefanana nae uyoo
@kanickanderson82274 жыл бұрын
Jamaa gn uyo?
@hassanmshana67284 жыл бұрын
Kwel discipline ndo kila kitu
@hakimFxB94314 жыл бұрын
from kenya....the guy is very humble na mwenye heshima na upolee..zidi kuenda mbali mr mbosso...
@stellatobiasi36654 жыл бұрын
Wanao mkubali mboso naomba like zenu jaman😘
@sammysammy20014 жыл бұрын
Hata wakati mgumu unapo msikiza mboso uko saww
@anordalphonce8624 жыл бұрын
Stella Tobiasi akika amepiga hatua kubwa mungu amujalie
@anordalphonce8624 жыл бұрын
Stella Tobiasi akika amepiga hatua kubwa mungu amujalie
@MeRy-qk6bp4 жыл бұрын
Tupoooo
@unclejkonlinetv12184 жыл бұрын
Big up Sana mboso mwanzo wa mateso mwisho ni furaha mungu akuzidishie. Umewafanyia wazazi jambo zuri mungu akubarikie
@vero574 жыл бұрын
Mbosso kuhusu corona umeongea vya muhimu sana kuliko mkuuu wa mkoa wa Dar,welldone brother keep it up
@francisraphael92504 жыл бұрын
Mmh hatar
@abubakaryomary39854 жыл бұрын
Good Kijana umejitahidi big up
@khalphanibrahim81924 жыл бұрын
Veto madimakis
@khalphanibrahim81924 жыл бұрын
Vero aradini
@johnmngaro68324 жыл бұрын
Hongera sana mboso bidii yako, upole na tabia nzuri ndo nawezasema imekufikisha hapa. Uzidi kuenuliwa
@saeedabunajash62354 жыл бұрын
Baraka za sheitwan, sio za M/Mungu. Allah kaharamisha mziki, kwa hio hawezi kubariki. Samahanini mashabiki wa mbosso. Twakumbushana tu
@shoshdehblessedtv28414 жыл бұрын
Kamati ya roho chafu,islam is just hypocrates,nachukia waislamu ni wanyama🤣🤣🤣🤣🤣
@saeedabunajash62354 жыл бұрын
@@shoshdehblessedtv2841 ni kweli, wewe ni sheitwan ndio maana unapenda mziki. Si unaona faida ya mziki, mbosso ana watoto wa nje ya ndoa na anajisifu, kwa hio kama hakutubia atafute jawabu la kwenda mjibu alietuumba na akatuekea taratiibu za kuishi. Nakuomba tena radhi kama nimekuudhi ila vumilia, ukweli lazima usemwe
@shoshdehblessedtv28414 жыл бұрын
Kazi kujifanya tu eti waislamu,na ishirikina ndio mama yenu,you will all rot in hell walking demonds,show me one upright islam i will change to islam,all these wcb ni waislamu waliopotoka they dont know what they know🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saeedabunajash62354 жыл бұрын
@@shoshdehblessedtv2841 usome tu utaujua ni dini ambayo Allah (Mwenyezi Mungu) alowapa Mitume na Manabii, tangu Baba yetu Adam mpaka Nabii na Mtume wa mwisho Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wasallam. Na kati ya hao pia yumo Issa ambae nyinyi mnamwita Yessu, sisi pia tunamuamini kwa yote aloteremshiwa kutoka kwa muumba ni haki, na tu naamini Mitume na Manabii wote waliharamisha ushirikina. Sasa sijui huo ushirikina uusemao wewe umeukuta kwenye kitabu gani?
@shoshdehblessedtv28414 жыл бұрын
@@saeedabunajash6235 do islam practice nir respect other religions ooh nooo!they think they own the world,pride will take them down!
@jayjay43134 жыл бұрын
Na na Mungu akubariki kaka Mbosso uwe mtu wa hekima hivyo hivyo, maisha yako yote. Blessings
@Sir.K_Ogola4 жыл бұрын
I like the way he explains about singing a Corona song. We need to continue with life though not fully normal but at least we need to feel like we're not so lost into the Corona pandemic menace.
@stevemruma35054 жыл бұрын
Kweli
@aminarai4510 Жыл бұрын
Kaka mbooso naomba kazi
@mkovzrmuscat71104 жыл бұрын
Hongella Mbosso mwenyezi Mungu akuzidishe hapo inshaallaah
@hafidhchoi31864 жыл бұрын
Hio ndio sifa y mond n kuzid kua juu kw kuwasogeza n wengne km hawa smart mboso big up simba kw kuwawezesha vijna
@Jitu_Lisilofikirika.4 жыл бұрын
Alaf kuna fara anaitwa h baba akilewa anasemaga mondi anajipenda yeye tuu na hajali wengine... Inashtua
@abedadam25544 жыл бұрын
.
@daudisamsoni42434 жыл бұрын
Hafidh Choi
@wallennyambegera36994 жыл бұрын
Mbosso one of my favorites in WCB as well as Bongo flavour at large. Mungu aibariki kazi yako. Kongole Diamond kwa kukuza vipaji, huku Kenya twathamini WCB sana.❤🔥🔥🔥
@edmondplatnumzmsafi80654 жыл бұрын
Mbosso Khan💪💪💪 nipo Zambia ila wasafi media naifatilia sana @WCB4LIFE
@eppiemodest4 жыл бұрын
Kijana mbosso si mtu wa kustarehe saaaana na mabinti kama vijana wengine. Ni kijana mwenye tabia ya utulivu. Heshima. Hekima na anajitambua anapoelekea. Anaipa heshima sana wasafi media kwa tabia hiyo.Mungu amsaidie aendelee na busara hiyo. Amenifurahisha sana nikuwa mzazi tena mama.
@salmareborn9194 жыл бұрын
Ilove mbosso he is so humble...
@jamesgitimu14494 жыл бұрын
Here from kenya...I really like mboso coz hana mringo
@bellaharimenshi28144 жыл бұрын
Hongera saana bro. Umefanya jambo lamaana saana kwa wazazi wako. Allah azidi kukubariki kwenye kazi zako.
@awino99annabel153 жыл бұрын
Mbosso u a the hero of bongo actually you have made it & still u will be blessed mentor
@minanicharles30814 жыл бұрын
U know brother mbosso I really like ur word means unapenda kushauri watu kwakupiga kazi na video I like that
@ribanimak.48193 жыл бұрын
I really like this humble boy! He will go along way. May God bless him.
@sheilakasina87614 жыл бұрын
You're such a humble human being more blessings my brother from another mother🙏
@eppiemodest4 жыл бұрын
Mungu akuzidishie.umeanza kuwafikiria wazazi wako kwanza na nyumba na usafiri.Mungu atakufikisha mbali sana kimaendeleo kama kaka yako au bosi wako Diamond.wasafi juu.
@chicharitoronaldo59504 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI NASIBU Unainua vijana na mafanikio tunayaonaa...Hongera mshedede!!!
@jacoanania63584 жыл бұрын
Chicharito Ronaldo wanapanga hao wanajifanya zao
@salamakombo32574 жыл бұрын
Kweli my nasebu amewabeba nag waliobebwa wamejikaza
@NGULYATI4 жыл бұрын
Mshedede umenyoosha mzee
@Jitu_Lisilofikirika.4 жыл бұрын
@@jacoanania6358 daaah we bwege una wivu kama una mimba changa,panga na wewe basi🥴🥴🥴🏃🏃🏃
@mnerostationeries11134 жыл бұрын
@@jacoanania6358 mashoga mpo wengi kumbe
@kinlee80354 жыл бұрын
Gang!!!! Eeeh bhana mboso respect saaana umeonyesha hatua kubwa sana ya kimaisha
@ramamanyama29444 жыл бұрын
Wngp wameona WCB ndo lable yakuingia sa kwengine wap tena gonga like twende sawa
@aronelius95154 жыл бұрын
Mbosso my best singer and writer..... Ila mtangazaji wa kiume hapo mzee naona haujakaa kitaaluma zaidi.
@marechojohn42894 жыл бұрын
Huyo mtangazaji ayejifunika sio level za wasaf anazngua interview nying..anakuwa hayuko systematic na Hana skills za kumsoma MTU coz watu wana mood swing IPO siku atapigwa
@iammusic34044 жыл бұрын
Level za clouds sio😂😂😂
@francisalphan67894 жыл бұрын
@@iammusic3404 hahahaha
@najmagudeh2034 жыл бұрын
Kweli kbsa
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Ni mjing auliza udaku tuu
@kingcopper_tz4 жыл бұрын
Asingefaa wasingemtoa EATV, dulla ni talented
@everylinesitima27293 жыл бұрын
Yaani mbosso ako very simple sio wa kujionyesha aishe! From kenya
@vero574 жыл бұрын
Nakusikia tuu lakini ,welldone brother,l salute you God bless you mbosso
@adamcollins53544 жыл бұрын
Mbosso mkali saana
@fredjohntz67324 жыл бұрын
Wakwanza kukoment kutoka 🇺🇬 like zenu 🇹🇿 ziko wap
@fredjohntz67324 жыл бұрын
Nice job 👍
@LifewithMasakaFamily4 жыл бұрын
Daaamn mbosso kwani una mama watoto wangapi wewe🤣🤣anyway love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zaynpdogdhgg87554 жыл бұрын
Mashaallah kkngu nakuombea baraka za mwenyezi mungu ziendelee kuwa nyingi namaisha marefu pia innshaallah
@mariamothman74044 жыл бұрын
Nakupenda sana mbosso khan mafanikio yako sistaajabu juhudi unayo penda sana mziki mzur👏👏👏
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Hongera sana kaka inapendeza kijana ukipambana ufanyee mambo mazurii
@rashidymwamtumu59654 жыл бұрын
Khadija Omari
@wisehekima39734 жыл бұрын
Hongera Brother mboso Mungu akutunze ufanikiwe zaidi uwakumbuke na walionyuma yako
@rachelpease73024 жыл бұрын
God bless you for this
@siyamunadhir36694 жыл бұрын
Hakuna kinacho shindikana chini ya jua ukiweka bidii ukiwa na subra na ukipambana kila kitu kinawezakana just Don't give up shukurn za peke kwa MWENYZI MUNGU kwasababu ninaamini yeye Ndo anayejua kesho yako my best actress in W_-C_-B=_-🔥🔥🔥
@didaamohsin65944 жыл бұрын
MASHA ALLAH...HONGERA..WAJALII WAZAZI WAKO..WAKIWA HAI
@janenjoki27995 ай бұрын
Mbosso kisebeho kweli 🎉 Agosti 2024
@alipqasse99674 жыл бұрын
Pongezi bosso mziki wako naupenda ata naskiza sai♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@AliUleplumber8 ай бұрын
Moja ya mafanikio makubwa ni kuwapa wazazi maisha tafauti MashaAllah 🥰
@muthomikenneth45934 жыл бұрын
Mbosso is such a being. Great guy
@rashidhassan68054 жыл бұрын
kaka unajua
@fauziawaziri96654 жыл бұрын
Mboss kama mboss akiwa jukwaani haboi asante mboss napenda sana nyimbo zako hasa iye ya katoto hodari hodari hodari wa mapenzi
@bunny_dailylife4 жыл бұрын
Mbosso he's so humble big up mbosso
@simonmashenene6042 Жыл бұрын
😂😂😂 shall up sana mbosso,Mungu mkubwa kikubwa juhudi….ila mwanahabari na maswali khaaa😂😂😂😂😂
@jmsodokii37484 жыл бұрын
Huyu sio mtangazaji wa level ya wasafi
@giftnyale60014 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaaaaa
@dboystar75554 жыл бұрын
KAMA wasafi ikinichukua ntafanya kazi nzuri nawao
@johattyomertho94654 жыл бұрын
WCB label ya mafanyikiyo Congratulations sn kwake Diamond platnumz kwakuwafanya vijana watimize ndoto zao
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
HIV meneja huwa ni mmoja kwa fundi zima la wcb au kila mtu nawake🙈
@Jitu_Lisilofikirika.4 жыл бұрын
@@beatricetenywa4367 kila mtu na wake,mondi salam sk,lava lava Ricardo momo,mbosso sjui nani
@Mwaikwasi4 жыл бұрын
@@Jitu_Lisilofikirika. babu tale ni wa nani aisee
@Jitu_Lisilofikirika.4 жыл бұрын
@@Mwaikwasi najuaga ni moja ya kiongozi tuuu, though sinaga undani kabiiiisa
@Mwaikwasi4 жыл бұрын
@@Jitu_Lisilofikirika. wa Rayvanny Ni makame juma lakini. Alafu Kaka subscribe kwenye channel yangu
@PENDO-w9k Жыл бұрын
😮😮😮wow mungu akupa sawa na unachotaka ila utuombee na sisi.🤝🤝
@allaniallan9894 жыл бұрын
Congrats mbosso
@shidastambuli40684 жыл бұрын
Big up sn mbosso khan Mungu aendelee kukupa hekima na busara na ufike mbali sn
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Hongera zake sana😊
@diamondplatnumz96764 жыл бұрын
Na kupa pongezi kwa kucomment kila video
@neemacharles98483 жыл бұрын
Hongera yake mboso mungu azidi kukubariki kazi ya mikono yako
@@beatricetenywa4367 0747700433nichk sap tuwe mrfk
@fhhffh63824 жыл бұрын
Mbosso ni mhandyy ata kushinda chibu by far... God bless u sana # kip pushing it's not a destination #254
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
Kivipi?
@emariusrush32854 жыл бұрын
Acha Ww babalao tena
@chunaamina87194 жыл бұрын
Kbsa n Muhandy kisha simple Na amecool hapendagi kuchezea madem Na kuwaacha tu, he is smart kenya we love u more than chibu
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
@@chunaamina8719 we uko na mboso muda wote? Unajua madem wa mboso ww? Ofcoz nakubaliana naww kuwa ni mtu poa sana, the same to dimond ni jamaa poa sana hata ukikutana naye mtaani hana ustaa anaongea na watu wote, ndo maana wny akili timamu walisema ndege wafananao huruka pamoja. Angalia maisha anayoishi dimond na mboso utadhani mtu na mdogo wake, dimond ni kioo cha jamii kwa dunia nzima na anatoa msaada kwa vijana wenzake hasa swala la ajira. Sasa mnataka aje malaika ndo muappreciate roho njema ya mond
@danielmadenyeka42484 жыл бұрын
Nyumba nzuri na gari nzuri. Hngr sn
@fababindawood83634 жыл бұрын
Hongera mbosso
@lupandesimukindje81704 жыл бұрын
Mwambie mbosso atutolee behind the scenes ya tamba