Nikki Mbishi - Ufunuo Wa Unju Bin Unuq Official Album

  Рет қаралды 46,802

Nikki Mbishi[Unju]

Nikki Mbishi[Unju]

Күн бұрын

Пікірлер
@paschalearbert3630
@paschalearbert3630 4 жыл бұрын
Daaah nikk mbishi wee ndo HIP HOP yenyewe OG daah nakubari mzee wangu najua apo kuna wanahip hop wenzangu kama vipi tia like twende sawa mahofsaaa wangu
@juvenalymnyama735
@juvenalymnyama735 6 жыл бұрын
Kama unamkubali Nikki gonga like
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 6 жыл бұрын
As a pastor I think this man is a lyrical genius.Hes got sense on the air.Wondering why I've never known him.TZ has got plenty of shooting stars in their artistic clouds
@robifilosomaniofficialonli4272
@robifilosomaniofficialonli4272 6 жыл бұрын
Wowww nimeiskiza yote Nikki wewe mkariii...kutoka kenya
@PatsonIkula
@PatsonIkula 6 жыл бұрын
Saa hii kuna vijana wanaangaika mtaani kutafuta kazi
@emmanuelstephan5952
@emmanuelstephan5952 6 жыл бұрын
Ingekuwa mbele hii albamu ingekuwa imevunja rekodi ya mauzo
@milimaglobal
@milimaglobal 3 жыл бұрын
Tatizo bongo watu ni wabaili na wizi umekufuru. Ni watu wachache Sana wanaoweza kununua album hapa. Labda in the future tutaanza kuwaheshimu wasanii zaidi.
@isayangwahi9251
@isayangwahi9251 6 жыл бұрын
NIKKI MBISHI UNJU BABU BOMBA SAID PLAY BOY MWEMA MZEE KIJANA OLD SCHOOL BOY MAJINA KIBAO BRODA.....MA ALL TIME HIPHOP ARTIST....DOPE! AWEEEEE
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana 10 ай бұрын
Respect! Love from Malindi, Kenya
@gimbumtingita3501
@gimbumtingita3501 Жыл бұрын
Nikki Mbishi ndiye my no one msaanii wa hippop bongo baada ya Prof J
@sebachaz6483
@sebachaz6483 6 жыл бұрын
Nikki mbishi mi nakuelewa mpaka Mimi mwenyewe sijielewi big up Nikki mbish
@dizzobusiness3042
@dizzobusiness3042 6 жыл бұрын
Hawa ndio wanaotwa wenye uthubutu na ndio wenye kujiamini eti nyimbo zenye maana kama hizi huziskii redioni dah
@wilfredwilgard4641
@wilfredwilgard4641 4 жыл бұрын
Nas wa bongo we love u men
@augustinoyangaza7777
@augustinoyangaza7777 5 жыл бұрын
We as Tanzanians should protect Nikki at all costs...
@sekundemaster460
@sekundemaster460 6 жыл бұрын
sina swali Nikki hapa napakuwa tu kila kona zako tupo p1 tupe sana humu hom boy Media zinaboa sime time so twende kama HV unju au VP nipe like Nikki kama umenisoma achuze Wangu 👊
@sekundemaster460
@sekundemaster460 6 жыл бұрын
pa1 nakubali bado naipakuwa hiii kitu mpka bando iishe saut sabufa nje qanaluka pamoja na nikk mbish usiwaze kaka pa1
@ramanolmwilax2520
@ramanolmwilax2520 6 жыл бұрын
Nikki mbish nakubal kaz zako na album ya iko poa mzee
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 2 жыл бұрын
Real HipHop naenjoy sana napokula ngoma za kikubwa Nikki Mbishi for life.......watu kama wewe wanatakiwa kupewa ulinzi coz mnavitu vikubwa na vya thamani sana
@omkamasamson9050
@omkamasamson9050 6 жыл бұрын
ustawi wa jamii uku jamii hazi stawi......nmekuelewa sana
@swaashgang5943
@swaashgang5943 6 жыл бұрын
this is still a masterpiece...big up Unju
@yohanidimoso3711
@yohanidimoso3711 6 жыл бұрын
naelewa sana Dr UNJU
@cassianoyohana591
@cassianoyohana591 6 жыл бұрын
uyo ndo zohaan...aumwelewi
@phelixphelix3873
@phelixphelix3873 10 ай бұрын
The real OG, zidi kunibamba Nikki bin Kipchoge
@KingShabbazz
@KingShabbazz 3 жыл бұрын
King of Swahili.. I might not represent all Kenyans but Gadamnit Nikki is straight up FLAMES 🔥🔥🔥🔥🔥
@GQTVONLINE
@GQTVONLINE 6 жыл бұрын
hizi ndio harakati tunaitaji sio.mgumu mpaka unakosa Pesa ZA ONLINE hizi
@ramseyhewas8992
@ramseyhewas8992 6 жыл бұрын
Kamkubwa kwa nini usianzishe collage tupate kizaz kama niki cku moja ukirud kwa mola wako uache mrith mi nakufananisha xana na kenric lamaar xana michano yako
@innocentsilivester9783
@innocentsilivester9783 6 жыл бұрын
pamoja sana kaka mkubwa nafahamu na Nina hakika Mimi ndio shabiki wako namba moja
@darhustler
@darhustler 6 жыл бұрын
The realest mc, Undisputed. Wengine wakasome
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 6 жыл бұрын
ukiitwa spesho ujue kuna mtumba...NikiMatics
@stephannathanael762
@stephannathanael762 6 жыл бұрын
U made my day ... .keep hiphop alive
@allymlungu4025
@allymlungu4025 5 жыл бұрын
Real nick, i appriciate you, 👍👍👍👍👍
@andreamanaku8676
@andreamanaku8676 6 жыл бұрын
ngoma za ukweeee unaweza enda bank ukaombea mkopo na ukapewa ujawahi kosea bro
@ommywaemmy8418
@ommywaemmy8418 6 жыл бұрын
My favourite hip hop artist ever
@godfreykyando3345
@godfreykyando3345 6 жыл бұрын
gunia alibebi maji noma braza heshima kwako
@jacksonluselo2260
@jacksonluselo2260 6 жыл бұрын
Nikki baba ataipokea vizuri kweli!? Maana naona kama umewagusa akina kaka vile
@Danny_29j
@Danny_29j 6 жыл бұрын
Makin San mkubwaaaa 👏👏
@djdanga9361
@djdanga9361 6 жыл бұрын
Ooo yeeaa..suziishi#kalulete we the best inshiitiii.,. Unju kama hawaelewi,,,.. 👊
@mwanamkuluhassan7144
@mwanamkuluhassan7144 4 жыл бұрын
Kaka Niki mbish mtafute bronze michano season one. Ufanyanae ngoma mtshirikishe maana da munaendana sana na ninaimani mtafika mbali. Kijana anatalent kubwa
@rogermwanawahunda4041
@rogermwanawahunda4041 6 жыл бұрын
Safi sana hizi ndiyo harakati tunazozitaka hip hop never die
@leerico78
@leerico78 6 жыл бұрын
nimeipenda intro piano hiyo
@thomaskihaga5908
@thomaskihaga5908 6 жыл бұрын
Madini adim wapili akasome
@josephmaganga46
@josephmaganga46 5 жыл бұрын
shout to bro so amaizing rhymes
@venancenyanda3343
@venancenyanda3343 5 жыл бұрын
ngwese bunju bin unuq dah amakweli bongo fleva utumwa inch mpaka motuari mnaomba rushwa hahahahahah unju............
@mochings8012
@mochings8012 5 жыл бұрын
50:39 wagogo papa ni mbuda
@dinahafaikabiskuitwmamajai7221
@dinahafaikabiskuitwmamajai7221 6 жыл бұрын
ukidiss wanasema unatsfta kiki( unju bin unuki) na ukitak ganja kal ni sinza kwa kapachino
@mochings8012
@mochings8012 5 жыл бұрын
My Nikki’s most favorite album
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 6 жыл бұрын
Salute nikki mbishi
@tashamatutu5993
@tashamatutu5993 6 жыл бұрын
Excuse me miss....Ngoma yangu ya dunia...
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 жыл бұрын
Album iko poa sana unjuu.well done.
@ibrahimmzito390
@ibrahimmzito390 6 жыл бұрын
Unju bin unuq tisha mbaya bro
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
DAH NIME-ENJOY KINOMANOMAAA KAMA NALIONA HIVI VIBE LA MTWARA
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 6 жыл бұрын
Kwanza! Shikamooo! Professor Nickas Machuche, #Dr unju #the living Mc,, Haijawah tokea, Africa na dunia kuwa na mc! Consiour! Kama Nikki, #respect kaka
@shabanimdila5822
@shabanimdila5822 6 жыл бұрын
Heshma kwako dkt unju,
@daudisimwinga1324
@daudisimwinga1324 6 жыл бұрын
Real hip hop artist. I love the way music can be used to portray what happens in our society
@mcndeu984
@mcndeu984 Жыл бұрын
I'll 😮😮😮😮😮😅😅O😅😅 all good
@mcndeu984
@mcndeu984 Жыл бұрын
I'll .. All 😅 L see all good. Ho
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 6 жыл бұрын
I bought this album back in a days
@emmanuelmlemale9346
@emmanuelmlemale9346 6 жыл бұрын
Nikki no emminem Wa bongo
@paulbruno5349
@paulbruno5349 5 жыл бұрын
Huyu ndo Hip hop hawa wengine oya oya
@razackyahaya7798
@razackyahaya7798 4 жыл бұрын
Whos there still 2020
@gthirty
@gthirty 6 жыл бұрын
Big up broo.., Kaz nzuri kinoma
@ray45king84
@ray45king84 3 жыл бұрын
Nikki is a legend and deserves more money,power,respect and recognition TZ hip hop scene.
@godfreymbwanga7750
@godfreymbwanga7750 6 жыл бұрын
nimeipenda hiyooo
@joashsamson5252
@joashsamson5252 6 жыл бұрын
Kali yao unju
@sanvandee6037
@sanvandee6037 6 жыл бұрын
Respect kaka mbish
@otilasanga2307
@otilasanga2307 6 жыл бұрын
mimi snaga kiburi nawe bg
@dionickapongo2856
@dionickapongo2856 6 жыл бұрын
album review next week in da xxl, kama kweli wanasuport hip hop.
@jumazinga941
@jumazinga941 4 жыл бұрын
Unju cyo mtu wa kawaida
@fanleck2922
@fanleck2922 5 жыл бұрын
Nakutafuta sana Nikk ...ninahitaji kazi zako.
@onegifted1348
@onegifted1348 6 жыл бұрын
Ufunuo wa unju.pamoja sana nikki mbishi
@barakamtesigwa3097
@barakamtesigwa3097 5 жыл бұрын
Unju bin hunuq wajipange saana hao wanao unga unga mistari we mkali zaid ya njaa
@jamerude3753
@jamerude3753 2 жыл бұрын
Nimetenga mda wangu kuisikiliza hii album nimegundua ni kali sana na nakuahidi kununua ile ya mpya ya gamboshi
@theliquidator8770
@theliquidator8770 6 жыл бұрын
NikkiMbishi the concious MC
@ibrayuzow6320
@ibrayuzow6320 6 жыл бұрын
asante sana dr. unju
@dottoramadhan9896
@dottoramadhan9896 6 жыл бұрын
nice album.... broo
@clementjenii8339
@clementjenii8339 6 жыл бұрын
Unatisha Mr unju
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 6 жыл бұрын
Bro nakubali.Ww ni definition ya Fasihi
@jumaramadhania4482
@jumaramadhania4482 6 жыл бұрын
Salute Dr unju!
@a.shakursomo6206
@a.shakursomo6206 6 жыл бұрын
Downloaded already.....kesho watu watatatiiii
@hamzaharuna2053
@hamzaharuna2053 6 жыл бұрын
Daah the elite mc bongo
@bonifacemeela5247
@bonifacemeela5247 4 жыл бұрын
My best emcee of all time
@magrethlwilla9135
@magrethlwilla9135 5 жыл бұрын
So nice song ur so clever Dr hunju
@officialrick-ctz7093
@officialrick-ctz7093 6 жыл бұрын
Much respect bro,,, 🔥🔥
@julienmirali9778
@julienmirali9778 11 ай бұрын
My favourite Rapper in TZ...Respect bro
@masiihiddajjaal
@masiihiddajjaal 6 жыл бұрын
Ujuuuuuu... 🙆
@andrew-kitwanambogger8242
@andrew-kitwanambogger8242 6 жыл бұрын
Unju bin UNUKI for life 👊😎
@israelchongola3887
@israelchongola3887 6 жыл бұрын
The most underated emcee
@hekimadaimon4924
@hekimadaimon4924 6 жыл бұрын
noma xanaaa mwambaa
@davsondennis7583
@davsondennis7583 6 жыл бұрын
heshim san kwa mtu na stress zake
@eliaslusana1908
@eliaslusana1908 6 жыл бұрын
Unju bin unuc respect broo
@brownapollo263
@brownapollo263 6 жыл бұрын
THE G.O.AT
@youngmastertv2472
@youngmastertv2472 6 жыл бұрын
Nikki baba ya muziki
@micshariki.africa
@micshariki.africa 6 жыл бұрын
Haipo Deezer?
@katalendaba5806
@katalendaba5806 6 жыл бұрын
Sweet hiphop
@leerico78
@leerico78 6 жыл бұрын
link tafadhali niichukue yote
@amonijajila1218
@amonijajila1218 4 жыл бұрын
Inchi ambayo 50cent analipwa mi silipwi
@selemanishame1273
@selemanishame1273 6 жыл бұрын
Gud music
@charlesnganda1896
@charlesnganda1896 5 жыл бұрын
Kali sana
@jamesbruno375
@jamesbruno375 6 жыл бұрын
That's ma G
@jumamzee6600
@jumamzee6600 3 жыл бұрын
Asante wewe ni mbishi
@RichFeelingsForex
@RichFeelingsForex 6 жыл бұрын
hiphop is alive
@hashimabdallah8523
@hashimabdallah8523 5 жыл бұрын
Abana noma
@allymuhamadahmadahmad793
@allymuhamadahmadahmad793 3 жыл бұрын
My best east africa hip hop
@puritymlanda6491
@puritymlanda6491 5 жыл бұрын
Nikki Kichwa
@haidarykalyango8386
@haidarykalyango8386 6 жыл бұрын
Big up
@KIMSTAR999
@KIMSTAR999 6 жыл бұрын
fire braza
Nikki Mbishi - Sauti Ya Jogoo Official Album
1:18:34
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 56 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
The Incredible (feat. Izzo Bizness, Chidi Beenz, Stereo Singasinga) (Remix)
5:17
One The Incredible - Topic
Рет қаралды 92 М.
Kaa La Moto - Huwa Sifurahii Kupiga Watu
9:20
Iko Nini Podcast
Рет қаралды 5 М.
Fid Q feat Yvonne Mwale - Sihitaji Marafiki official video
4:02
CheusidawaTV
Рет қаралды 503 М.
Baba Msaliti - P Mawenge (Mwingi Wa Habari Album)
3:41
PMawenge
Рет қаралды 31 М.
Nikki Mbishi - Da Vinci Codes Pt.2 [ROMAnza] Official Video
3:19
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 72 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН