Nilibaki Na Wewe by Neema Cizungu Ft Martha

  Рет қаралды 811,967

Neema Cizungu

Neema Cizungu

3 жыл бұрын

Nilibaki Na Wewe by #Neema Cizungu Ft #Martha Mwaipaja
Welcome to Neema Cizungu KZbin Channel.
shalom watu wa Mungu
na imani mmebarikiwa na wimbo huu ,ni maombi yangu kwako baada ya kusikilize wimbo huu Mungu akupigishe hatua juu zaidi katika kumngoja BWANA lakini pia nakuombea ufanikiwe katika maisha ya kawaida
mungu akubariki
unaweza wasiliana nami #255672555095#
www.ezrafoundation.co.tz
ninaomba usisahau ku subscribe ,
like,
share kwa wengine.
mbarikiwe sana

Пікірлер: 277
@charityj.jalwinyi4438
@charityj.jalwinyi4438 3 жыл бұрын
Be blessed for the blessings you have given me through this sweet song 🎵
@margaretwanjiku7752
@margaretwanjiku7752 3 жыл бұрын
Wakenya wenzangu🇰🇪🇰🇪 wapi like za uyu mresh
@woflybite962
@woflybite962 3 жыл бұрын
Nakupenda sana kabisa Martha na Neema mubarikiwe 🙏
@shangweremiofficial4124
@shangweremiofficial4124 2 жыл бұрын
Waooooo Barikiwa Sana Mtumishi mwenzangu
@lydiashisia2169
@lydiashisia2169 3 жыл бұрын
Usiyeweza nijeruhi ni wewe MUNGU tu.Wacha nikuheshimu MUNGU tu.Kama mnabarikiwa na hawa watumishi gongeni likes za +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tukisonga.
@claricejacqueline3669
@claricejacqueline3669 3 жыл бұрын
Hbbkcc'c
@claricejacqueline3669
@claricejacqueline3669 3 жыл бұрын
V
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 3 жыл бұрын
Kubaki na wewe YESU sioni hasara wacha nibaki nawe siku za uhai wangu🙏🙏
@davidmoris7787
@davidmoris7787 9 ай бұрын
Thanks mama for your glorifying songs.Moris from Kenya 🇰🇪.
@RanwellMlawa
@RanwellMlawa 9 ай бұрын
Amen Mungu NDO kila kitu tuzidi kumuomba atuepushie balaa zote
@Rutasalama-bx8bd
@Rutasalama-bx8bd 6 ай бұрын
Iyi nyimbo inaniguza❤❤😊😊😊
@Rutasalama-bx8bd
@Rutasalama-bx8bd 6 ай бұрын
❤❤😊😊😊
@dottahkenara9584
@dottahkenara9584 9 ай бұрын
❤❤❤❤nawapenda sana
@user-uk4iq4oh7u
@user-uk4iq4oh7u 11 ай бұрын
Dada Martha mungu akulinde
@ErickMahese-wm4yp
@ErickMahese-wm4yp Ай бұрын
Nyimbo iyi nimeisikiya kabisa mungu awape nguvu sana musichoke❤❤❤❤❤❤
@evodienyandj672
@evodienyandj672 3 жыл бұрын
Mungu ni chefu tuu....
@selemanijeanclaude9203
@selemanijeanclaude9203 3 жыл бұрын
Kali na nusu
@VincentKe520
@VincentKe520 2 жыл бұрын
All the way from Kenya team Martha Mwaipaja. Neema Mungu ainue huduma yako
@rizmarkabraham2890
@rizmarkabraham2890 3 жыл бұрын
Nilibaki na wewe Yesu
@GeovanisNiyoncuti
@GeovanisNiyoncuti 6 ай бұрын
Kumbe na mi Niko napita kwa muda tu.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Amen❤
@faithmusyoki5998
@faithmusyoki5998 Жыл бұрын
Wow....am trusting the process....His word is Yes & Amina
@rosejuma8778
@rosejuma8778 3 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa huduma wa uimbaji🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu naomba ukanibariki na kibali cha kuhubiri Neno lako ama uimbaji🤲🤲🤲🤲🤲🤲hata kama si mm mwenyewe wape wanangu🙏🙏🙏🙏
@danielkalori5373
@danielkalori5373 Жыл бұрын
Dada aliye barikiwa kwa sauti nzuri ooh endelea kutubariki na kutuinua kiroho
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Naomba nibaki na wewe Yesus usieweza kunijeruhi 🙏🙏🙏
@michaelnyalama9538
@michaelnyalama9538 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na wimbo huu sana, Mungu akuinue sana na akupandishe kwa kiwango kingine
@judithmwangalika6421
@judithmwangalika6421 3 жыл бұрын
Hakika ktk maisha wa kubaki naye ni Mungu tu ili uwe salama maana mwanadamu hatabiriki kamwe.
@celineaziri9773
@celineaziri9773 9 ай бұрын
Nimebaki na wewe tu YESU wangu😢🙏
@helenmpali7137
@helenmpali7137 Жыл бұрын
Kweli uesu ni rafiki wa kweli.mungu awabariki sana kwa utumishi,kazi yenu si bure nawapenda sana
@stephenmange4508
@stephenmange4508 Жыл бұрын
Nice song martha be blessing wathing it from kenya
@lynettmwende9038
@lynettmwende9038 2 жыл бұрын
Martha am proud of you , Silas from Kenya.
@user-mf6ri8cp4m
@user-mf6ri8cp4m 2 ай бұрын
Ameeen gud song mamy be blessed alot,wimbo unafariji
@justrach8463
@justrach8463 3 жыл бұрын
Hallelujah,nilibaki na wewe Yesu🙏 .Nimebarikiwa saaana na nyimbo iyi
@user-jm3pc7tu7c
@user-jm3pc7tu7c 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen ni kwel nibaki na yesu wangu
@ilvgod1188
@ilvgod1188 3 жыл бұрын
Ameen ,mbarikiwe sana
@juddiewandera
@juddiewandera 2 жыл бұрын
Umebarikiwa sana dada yangu.......ipo neema kubwa sana juu yako
@pennygabby2432
@pennygabby2432 3 жыл бұрын
I love the way Martha smiles sing with confidence and dancing God bless u Mama
@amuridieudonne591
@amuridieudonne591 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri kweli
@mnumbwangujuma992
@mnumbwangujuma992 3 жыл бұрын
Ubalikiwe napenda sana nyimbo zako
@niwagabaaandrea2677
@niwagabaaandrea2677 2 жыл бұрын
Glory to God I really love you Martha am from Uganda but blessed with your songs
@tumuhairweboreen6070
@tumuhairweboreen6070 2 жыл бұрын
A nice song, God bless you Neema Cizungu & Martha Mwaipaja
@ndayahozeadonnette5880
@ndayahozeadonnette5880 2 жыл бұрын
Mmenijenga kwa kubaki na yesu tu mungu awabariki
@geturahimu9782
@geturahimu9782 3 жыл бұрын
barikiwa
@beatriceherbert4673
@beatriceherbert4673 2 жыл бұрын
Am Blessed wth you Martha Mwaipaja🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@sheilananjala7625
@sheilananjala7625 3 жыл бұрын
True true,nilibaki na wewe Mungu tu.Barikiwa woman of God.
@victoriachangandu7433
@victoriachangandu7433 2 жыл бұрын
Amen wimbo mzuri unaobariki .
@annemusalia1942
@annemusalia1942 2 жыл бұрын
Wow this surely blessing God bless this beautiful voices
@lwabanjijean9682
@lwabanjijean9682 Жыл бұрын
Kwa kusema ukweli da neema hii ni ngoma Mungu akubariki saana, na burudika nyumbani kwangu najisikiya ku barikiwa
@blessedjanoh4153
@blessedjanoh4153 3 жыл бұрын
Nilibaki na wewe yesu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@joycekaniki3519
@joycekaniki3519 3 жыл бұрын
Amen Wimbo mzuri
@catherinjoseph7391
@catherinjoseph7391 3 жыл бұрын
Acha nibaki nawe Yesu ..watu wamebaki miiba tu .Big up lovly Dada 2021 be the prosperous Year to u💕💕
@user-jm3pc7tu7c
@user-jm3pc7tu7c Жыл бұрын
Haleluya haleluya haleluya haleluya Amen Amen Amen nilibaki nawe yesu
@mercymasha7753
@mercymasha7753 3 жыл бұрын
AM REALLY BLESSED WHILE I LISTEN TO DHIS SONG AM KWEL NMEBAKI NA WEWE MUNGU wangu katika maisha haya
@fredrickmahanga1441
@fredrickmahanga1441 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@paulburhama2051
@paulburhama2051 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri, Mungu asifiwe na azidi kuwa tumiya Mama Neema na Martha!
@faithmutheu171
@faithmutheu171 7 ай бұрын
Nice song 🙏
@abigailsichi64
@abigailsichi64 3 жыл бұрын
Woow
@chishidesert9900
@chishidesert9900 10 ай бұрын
Preaching the gospel through music is the great work God will reward you richly
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Ubarikiwe.sana.kwaunumbe.mzuri
@rhinakiza
@rhinakiza 2 жыл бұрын
Amina kweli nime baki na wewe tu Mungu
@domnicoketch2012
@domnicoketch2012 3 жыл бұрын
I just love Martha's gospel songs
@deborathomas4256
@deborathomas4256 3 жыл бұрын
Neema cizungu am looking for your 4years ago songs .....but sijazipataaaaah
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 2 жыл бұрын
Zipo
@naomiebatenga2953
@naomiebatenga2953 3 жыл бұрын
Que notre Dieu vous benissez mes soeurs aller toujour de l'avant le saint esprit continuera à vous accompagnez très belle chanson, nilibaki na wewe tu mungu wangu from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@neemamlali9337
@neemamlali9337 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Da Martha na wajina wangu wimbo umegusa moyo wangu!
@maggiehaule4615
@maggiehaule4615 2 жыл бұрын
martha nakupendaaaaaaaaaaa hivi wajuaaa
@mimiebwise6296
@mimiebwise6296 3 жыл бұрын
Neema cizungu napenda sana nyimbo zako hasa ule wa SEMA NAMI. Martha haujachokakunibariki every time, Stay blessesd both of you
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 2 жыл бұрын
Amen
@GeovanisNiyoncuti
@GeovanisNiyoncuti 7 ай бұрын
I'blessed❤❤
@SarahJuma-qf1xq
@SarahJuma-qf1xq 6 ай бұрын
This song is my true life story 😭😭may God bless you more as you bless us mum 🙏🙏
@agneshassan4712
@agneshassan4712 18 күн бұрын
Amina mmenigusa
@mosesambuche6189
@mosesambuche6189 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA DADA NEEMA
@monniekay9816
@monniekay9816 3 жыл бұрын
I love the way Martha smiles and claps her hands when singing.. Yaani wimbo unaingia kweli kweli. Blessings women of God
@christabelnasimiyunasimiyu3691
@christabelnasimiyunasimiyu3691 3 жыл бұрын
Thank for that song imenibariki sana
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Me too
@hamulisifa1126
@hamulisifa1126 2 жыл бұрын
Asante watumishi wa Mungu kwa kututiya nguvu
@milkajm4762
@milkajm4762 Жыл бұрын
Me too
@rahimarahima1327
@rahimarahima1327 3 жыл бұрын
Ameeen hakika nilibaki na wewe BwanaYesu
@nestarmtewele4730
@nestarmtewele4730 3 жыл бұрын
Congratulations for nice song I love you martha mwaipaja 😍 be blessed
@paschaliakipeta2925
@paschaliakipeta2925 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana neeema nakuelewa Sana dada
@amosmumo1069
@amosmumo1069 3 жыл бұрын
Amina....despite everything.......nlbaki nawe mwokozi...........
@lynnemelline1627
@lynnemelline1627 3 жыл бұрын
Wow. I love you mama from Kenya🇰🇪. You bless me so much 🙏🙏🙏🙏💕❤️❤️♥️♥️♥️💞
@elvinahmoraa5988
@elvinahmoraa5988 2 жыл бұрын
Amina kubwa sana 🙏🙏👏
@MukiKyuls
@MukiKyuls 3 жыл бұрын
This song is so deep and hitting home hard. Only God ndio hawezi kukujerui so acha tuheshimu Mungu juu tuliheshimu binadamu wakachukulia kama unyonge. Thanks Martha and Neema. Team Kenya mpo?
@janethcharles7594
@janethcharles7594 2 жыл бұрын
Amen wimbo mzuri
@gladyskiplimoart
@gladyskiplimoart 3 жыл бұрын
Asiyeweza kunijeruhi ni Mungu tu! Kwa hili Mungu tenda 🙏🏼
@triplec1456
@triplec1456 3 жыл бұрын
Nilibaki na wewe Bwana wangu!! Be blessed
@gedbangisapitakuo4943
@gedbangisapitakuo4943 3 жыл бұрын
Une très belle chanson🙏🙏🙏🙏. Here from DRC🇨🇩🇨🇩
@silviaahuga1847
@silviaahuga1847 3 жыл бұрын
I love the way she dance hear staley ur my favorite Singer love you mwaibaja be blessed 🥰
@bonifaceouma5748
@bonifaceouma5748 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako huwa zinaguza moy Wang San.
@safikisimba7123
@safikisimba7123 3 жыл бұрын
Yesunimwema❤️❤️❤️❤️🙏🙏
@beatriceashule8769
@beatriceashule8769 3 жыл бұрын
Mubarikiwe saana wajakazi wa Bwana. Nolibaki na wewe Bwana Yesu.
@gracemueni3914
@gracemueni3914 5 ай бұрын
Wenye tumeletwa uku na tiktok say hello
@madammbelo2159
@madammbelo2159 3 жыл бұрын
Mmebarikiwa Sanaa wamama nyingi hallelujah
@pharizonobaireobarshy3693
@pharizonobaireobarshy3693 2 жыл бұрын
Waaaaah Safi Sana
@mariamthomas375
@mariamthomas375 2 жыл бұрын
Barikiwa dada martha
@suzanavanessa2095
@suzanavanessa2095 2 жыл бұрын
Glory to God 🙏
@lizmass4253
@lizmass4253 3 жыл бұрын
Martha ni mtaratibu kwa nyimbo zake zote what musician may GOD be u both
@mwikaliflorida5343
@mwikaliflorida5343 3 жыл бұрын
Oooh yes baraka baraka tele,haki nimeteseka mwaka 2020 from October mpaka DEC ,nilikuwa na watu wengi marafiki na katija hio kipindi nilikuwa na maumivu wengi wanichekelea,wengine wakanitoroka lakini nilibaki na yesu tu naye nimemwamini yesu ni dawa,sasa washangaa
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 2 жыл бұрын
Amina
@bahatiemmy1865
@bahatiemmy1865 3 жыл бұрын
Very talented women. Be blessed in mighty name of Jesus Christ.
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
ALL PRAISE TO JESUS💝🙏
@assinasylvie3068
@assinasylvie3068 3 жыл бұрын
Ubarikiwe saaaana iyi nyimbo inanitesa MUNGU akubariki unitumishiye namba yako
@jema1232
@jema1232 3 жыл бұрын
Nice
@gracekinda4393
@gracekinda4393 3 жыл бұрын
Glory to the most High all day every day
@joyjunior233
@joyjunior233 3 жыл бұрын
Wow yea
@bettysamba88
@bettysamba88 3 жыл бұрын
I get so blessed by Martha's gospel
@justinetincs3037
@justinetincs3037 3 жыл бұрын
Tnx u ladies to give me this song
@doreeigman8672
@doreeigman8672 3 жыл бұрын
Kwakweli nilibaki n'a were bwana milele, Amen . God bless you 🙏
@Malkey4real.Alleytha_d330
@Malkey4real.Alleytha_d330 3 жыл бұрын
Mungu akubariki u
@Malkey4real.Alleytha_d330
@Malkey4real.Alleytha_d330 3 жыл бұрын
Usikose ku subscribe asante
@isaacmaeke882
@isaacmaeke882 3 жыл бұрын
Shikamoo mama martha
@isaacmaeke882
@isaacmaeke882 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako
@eman5898
@eman5898 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe
@celestinebenson8183
@celestinebenson8183 3 жыл бұрын
Amen
MAPITO BY NEEMA CIZUNGU
7:36
Neema Cizungu
Рет қаралды 317 М.
Sarah Magesa - THE BEST SONGS OF SARAH MAGESA 2020 MIX 480p
41:50
Sarah Magesa
Рет қаралды 998 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 147 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811
6:25
Neema Cizungu
Рет қаралды 267 М.
SEMA NAMI - NEEMA CIZUNGU
5:33
Neema Cizungu
Рет қаралды 1,4 МЛН
BAABA NATAMANI NIKUONE, NISEME NINI BABA AND WEWE NI BABA MWEMA KWANGU
26:31
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,6 МЛН
Neema Cizungu-Nashuka
5:17
Neema Cizungu
Рет қаралды 200 М.
neema cizungu - nimebaki na wewe  [Live performance] RHIC
9:41
Restoration Of Hearts International Church (RHIC)
Рет қаралды 13 М.
Не трогайте эту ВОЛОСАТУЮ ШТУКУ! 😱
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 4,7 МЛН
红尘为救闺蜜使出了浑身解数
0:39
侠客红尘
Рет қаралды 7 МЛН
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 4,2 МЛН
How is it possible? 😅 #behindthescenes? #vfx
0:19
The Quinetto's
Рет қаралды 34 МЛН
😆 @SantiOficialll @SantiFansshort @CAMILOAGUILLONN
0:15
Santi
Рет қаралды 8 МЛН