No video

NILIFANYA APPLICATION 300 ZA KAZI MAREKANI NIKABAHATIKA MOJA |KAZI YA KUOSHA VYOMBO ILI NIPATE KULA

  Рет қаралды 27,456

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

‪@blacksingapore‬ ameeleza Safari yake ya maisha kutoka Singida vijijini mpaka kufika Dar es salaam kwa lengo la kutafuta maisha mazuri na kukuza kipaji chake cha muziki
Changamoto za maisha, mpaka kufikia kuosha Vyombo kwenye mgahawa wa kuuza kitimoto mpaka kufanya kazi ya kuuza Vyombo
Na kufikia kuingia kwenye Hotel Business na kua chef.
Namna alivyopambana kuhakikisha anafikia malengo yake ya kua na maisha mazuri anayoyataka.
Changamoto za muziki Bongo na mpaka kufika Marekani akiwa kama mwanafunzi
Please subscribe to his KZbin channel ‪@blacksingapore‬ kujifunza mengi kuhusu Marekani
Thank you Black Singapore for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 210
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 ай бұрын
This guy is a story teller na mpambanaji haswa. Big Up sana kijana. The sky is not even a limit
@nicholassimon3054
@nicholassimon3054 5 ай бұрын
Imenikumbusha mbali sana…kipindi nimemaliza form 6,na hasira zangu za kwenda mbele…chochote kinawezekana nilifanikisha kwenda UK,nimesoma na ndoto yangu ilikuwa shule na kurudi,nilifanikiwa nikapata vyeti vya mama Eliza nikarudi bongo,na sasa maisha sio yale ya zamani..Ashukuriwe mwenyezi Mungu ila kila kitu kinawezekana
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 ай бұрын
Oya tupambane wanangu lla bongo watu wachawi sn especially mitaa yt tuliokulia mamae zao ss hv wanatumiss
@iddimnyau9029
@iddimnyau9029 3 ай бұрын
Msikate tamaa hadi kieleweke
@eliwajajacob8569
@eliwajajacob8569 2 ай бұрын
Wow nndg yangu wa singida hongera sana
@bobboris4859
@bobboris4859 6 ай бұрын
Big inspiration;keep trying as much as possible
@linkreuben3108
@linkreuben3108 6 ай бұрын
Nice interview, wasingida Mwenzangu, karibu Frankfurt Germany!!
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 4 ай бұрын
Tu nafrahi kuwaona wanasingida wenzetu mpo mbali mbarikiwe umsaidie na wengine
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 ай бұрын
Wajefya
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 6 ай бұрын
Asante sana Dada kwa kipindi hiki,asante sana kaka umejieleza vizuri sana hongera kwa kupambana.na mimi nipo uku U.S.A
@protasfidel
@protasfidel 6 ай бұрын
Upo mjigan dada yangu
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 ай бұрын
Yeah mwana kupambana sn aisee
@henrymbogo6569
@henrymbogo6569 6 ай бұрын
Big up mwanangu. Kukata tamaa ni dhambi. Umemheshimisha Mungu kwa ajili ya kuitafuta furaha ya kesho yako
@BibianTz
@BibianTz 6 ай бұрын
Waooo Story yakutufanya tuamke sasa. shukuran sana Sheina 🙏
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 6 ай бұрын
Kwel kabisa yaan tunashukuru sana kwa Elimu hii nimejifunza kitu leo🎉🎉🎉
@user-ns3hd1cp2l
@user-ns3hd1cp2l 6 ай бұрын
Allah akishakadiria jambo lake katu binadamu hawezi panguaa
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 ай бұрын
4 sure mwanangu
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 6 ай бұрын
Hii nzuri sana jamani, kupambana ndo msingi was maisha, naomba mawasiliano yake mnyiramba wa Ome kwetu jamani da shena🎉🎉🎉❤❤❤
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 ай бұрын
Watu ulaya hatutowagi no kirahis hv km unavozani maana wabongo mnapendaga watu wakiwa na kitu tu
@joycehagman3086
@joycehagman3086 6 ай бұрын
Karibu mdogo wangu Karibu Miami,Karibu sana wasingidababa hongera sana
@OmanOman-pf9ut
@OmanOman-pf9ut 6 ай бұрын
❤❤
@NassraMasoud-Oort
@NassraMasoud-Oort 5 ай бұрын
I like your confidence, I proud of you
@blacksingapore
@blacksingapore 6 ай бұрын
Thanks for this opportunity. It was so amazing to me, and I'm glad to be the person to interview with you. God bless you 🫶🏾
@linkreuben3108
@linkreuben3108 6 ай бұрын
Hongera, nice interview wasingida mwenzangu,, karibu Frankfurt, Germany!
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Thanks for coming brother 🙏
@liliankimaro3428
@liliankimaro3428 6 ай бұрын
Hello brother yani umeni inspire saaana blessing to you uko vizuri sana mpambanaji na hakuna kizuri bila ku harsal Ndoto yangu kupitia wewe naona itatimia na naamini Mungu ataniwezesha.
@zainab8251
@zainab8251 6 ай бұрын
Wa mkoa tupo pamoja napenda mtu wa kujiongeza cio mtu unazaliwa iramba unazekea hapo hapo fanya kazi kakaangu utafika mbali sana kwa mapito yako uliopitia mimi niko oman 🇴🇲 na tupambane watu wa singida❤❤❤
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 6 ай бұрын
Niko Tanzania naomba mawasiliano Yako da zainabu, natamani sana kufanya kazi njee ila Sina connection na watu. Zaid ya kufuatilia interview za shena.
@Joyceisaka
@Joyceisaka 4 ай бұрын
Jamani jamani wilaya moja na mm mkalaa aiseee ndugu yangu wa mkoaa
@hedayamohammed2781
@hedayamohammed2781 3 ай бұрын
Nitafute nitakuonyesha njia za kupita ila uwe unamaanisha uchokisema​@@user-kr2yk6gn4q
@halimahassan3031
@halimahassan3031 6 ай бұрын
Watu wengi Sana wanarudishwa JK international airport, big up sana brother
@mwammymoody5771
@mwammymoody5771 5 ай бұрын
JF?
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 ай бұрын
Wasenge sn pl mamae zao
@user-lp5kd5cu8n
@user-lp5kd5cu8n 5 ай бұрын
Congrats 👏 I like your openness and for being courageous 🎉 Keep going never give up because of people talking.
@zainab8251
@zainab8251 6 ай бұрын
Hongera sana mdogo wangu kwa kupambana ALLAH AKUPE SUBRA Kwa kila mtihani maana mafanikio nilizima ukutane na mtihani kila kheri
@_proches
@_proches 6 ай бұрын
Inspiring :)
@johndottomakwaya3540
@johndottomakwaya3540 27 күн бұрын
Black Singapore noma sana babu
@kapeljjkapeljj5407
@kapeljjkapeljj5407 6 ай бұрын
From baltimore maryland here nacheka unavyojieleza kupigwa nakitu kizito hahah wabongo nishiidaa kua msiri mambo yako yanaenda bien
@blandinamanongi8818
@blandinamanongi8818 13 күн бұрын
yupo vizuri sana
@user-tl9mx6sw4o
@user-tl9mx6sw4o 6 ай бұрын
Hongera sana Shena kwa kazi zako nzuri Sana. Nakutuletea interview nzuri, hongera kaka wewe ni mpambanaji kwa unajiamini hicho ndicho kilichokusaidia. Hongera sana ubarikiwe unakichwa chepesi chenye kupambanua mambo.
@margaretkaranja2963
@margaretkaranja2963 5 ай бұрын
Karibu sana New York ndugu yangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
Napendaga Sana hizi interview jomn 7bu zinanifunza mambo mengi mnooo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Glad to hear
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 6 ай бұрын
Dada umemleta mtu mhimu kwangu ananipa nguvu ya kusonga mbele pamoja najuwa sina elimu alafu umri wangu makubwa Ila safari yangu ya USA CANADA au ulaya IPO jirani ubarikiwe sana mpaka watu washangae
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 5 ай бұрын
Kakamkuu hata mim safar ipo jilan
@charlesmbaga6088
@charlesmbaga6088 5 ай бұрын
I need to your email address pls or namba yako nipo California tuna program hapa ya sports Exchange Program kama utakuwa na muda nataka tuongee sema bado kidogo ila ukinipa email nitakutext pls
@charlesmbaga6088
@charlesmbaga6088 5 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance Mambo sister pls nitumie email yako
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 6 ай бұрын
Marekani watu wanatamani kufika kwa maneno Ila kk umeipambania ndoto kwakweli watu wasitume DM tu kuomba kufika🇺🇸pia wajitume binafsi Marekani is home of opportunity 🇺🇸💪🏻
@michaelmichael1931
@michaelmichael1931 6 ай бұрын
📌
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 6 ай бұрын
Noma san
@carterjordan4216
@carterjordan4216 5 ай бұрын
Mwamba anastahili Nyota mabegani.
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 5 ай бұрын
oi n Aje #AfandeMshana umemuna #Blackmwenze2
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 күн бұрын
Hongera sana
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 ай бұрын
Aisee jamaa umepambana kweli kweli bro kikubwa nimependa uliamin kwenye kila kitu chako iman iyo iyo imekufikisha hapo na itakufikisha mbali sana
@jesuspower2390
@jesuspower2390 4 ай бұрын
Hiyo kazi ya kuosha vyombo ni ya maana sana kulikoni usingekuwa unaingiza chochote.. very proud of u bro
@jocktanchristopherokinyi
@jocktanchristopherokinyi 6 ай бұрын
Much appreciation dada. Tunaomba next time tuletee D Nyota kama itawezekana 🙏
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Miami boy nimependa story yako Mungu akufanyie wepesi ufike Marengo yako
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 6 ай бұрын
Madini mengi hii interview 🙏🏻🙏🏻
@salumsalum8866
@salumsalum8866 6 ай бұрын
mbona ulet ma content upo kimya Awadh
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 6 ай бұрын
It's marvellous
@lollipophans
@lollipophans 5 ай бұрын
Jamaa namkubali sana. Kwenye cm yangu Nina videos zake za tik tok km zoteee
@christianchristianwella4910
@christianchristianwella4910 5 ай бұрын
Black singapole safi sana
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 Күн бұрын
This bro made my day😂😂,
@bernadethamlundebartlett387
@bernadethamlundebartlett387 6 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa jamaa anajua kujieleza sana
@vailethtitus6462
@vailethtitus6462 5 ай бұрын
Hii interview ni nzuri sana
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 5 ай бұрын
Dah .jamaa wa gumanga mm nipo ndugut mkalama..hongera
@marthakimia4075
@marthakimia4075 6 ай бұрын
Kwa kweli mimi nafikiri wilaya nzima wewe ndiye wa kwanza. Kama nimekosea nisameheni. Vijaa sana
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 6 ай бұрын
Mdogo wangu wa kwetu GUMAMGA wewe ni mpambanaji. Wanyiramba tunajivunia kuwa na watu jasiri kama wewe.
@zainalukale1857
@zainalukale1857 6 ай бұрын
Umeyawezea maisha kaka hongera
@sophiarwehumbiza209
@sophiarwehumbiza209 6 ай бұрын
yaan story ya kusisimua kweli asante kaka
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 3 ай бұрын
Huyu kaka MashaAllah mjasiri sana big up Black Singapore
@ruuhbakary
@ruuhbakary 6 ай бұрын
Hii interview mzur jmn mashaallah
@habibamura5255
@habibamura5255 5 ай бұрын
Safi sana kaka
@user-hb8ph8fk5s
@user-hb8ph8fk5s Күн бұрын
Wasingida tujuane hapa jmn ila hii ndoto ya kwenda ma mbele inatusumbua weng sana mng atunyanyue na atutunuku tuzitimize😊
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 6 ай бұрын
Leo safi sana umetuletea kidume wadada story zao zilikuwa zinafanana
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 5 ай бұрын
Pole mwanetu , kweli tunatoka mbali
@agnesgodsaviour5968
@agnesgodsaviour5968 5 ай бұрын
Hongera sana Shena Story ya brother inatia wengi moyo.
@fletchamuhalia9103
@fletchamuhalia9103 5 ай бұрын
Kip going bro
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Big up
@fletchamuhalia9103
@fletchamuhalia9103 5 ай бұрын
KAZI nzuri bro kusaidia eatazania
@eliasbiya9367
@eliasbiya9367 6 ай бұрын
Black Singapore is one of my favorite KZbinr. I lobe this interview
@nicholousadriano8478
@nicholousadriano8478 4 ай бұрын
hongera sana Kijana
@savutu
@savutu 5 ай бұрын
Nikienda na Uber nikarudi na bajaji….Duhhh, hiyo imenigusa. Bigup sana Blacky for your determination, efforts and a go to work mentality.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Hatari sana
@ashumohd2192
@ashumohd2192 4 ай бұрын
😂😂😂😂 nmeifurahia saana hii story sheena ❤❤❤❤
@haroldmally261
@haroldmally261 4 ай бұрын
Hongera sana Blacksingapore!
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
Da shena Yan mimi haipiti siku Bila kupitia hii account yako inamadini mengi ❤️
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Shukran kaka
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
😂😂Mm ni dada mpenzi
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 6 ай бұрын
Upo wapi Harlem, Queens, Jamaica,.... etc?.Mimi nilikuwa bowery (China Town) Manhattan NYC the big apple 🍎
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 5 ай бұрын
Respect kwako kaka
@hassankhamis344
@hassankhamis344 5 ай бұрын
Pole sana kaka lakini kuweni making sana na security wa Airport wanakuwa hawana haki ya kukuzuwiya wao siyo kazi yao
@bakarimwabua1663
@bakarimwabua1663 5 ай бұрын
Nice
@jmwaka9316
@jmwaka9316 6 ай бұрын
Dig, hi ya kuzuiwa airport ilishanikuta, nimezuiliwa eti sina cheti cha kuzaliwa
@sundayndabaga9837
@sundayndabaga9837 4 ай бұрын
Yaan Airport ya Tz ni kingese sana mim nimewapa passport wanataka eti kitambulisho cha kazin kwangu niliwajibu tu passport ina contains all details hadi NIDA hipo humo
@esterkivaria8986
@esterkivaria8986 6 ай бұрын
Da shena interview zako ni nzuri mnoo
@heritier5119
@heritier5119 5 ай бұрын
Umepambana sana kutimiza ndoto
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 ай бұрын
Kwa kweli we kinganganizi kweli wa maisha
@huludaemmanuel8803
@huludaemmanuel8803 4 ай бұрын
Interview nzuri sana hii bro keep goin up
@bobboris4859
@bobboris4859 6 ай бұрын
Brother alimove na sisi inshallah tutamove😂😂
@tradamus4158
@tradamus4158 6 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 airport banna wanakera na wanawivu wakisenge sana wanauliza uliza maswali ya kipuuzi sana kiukweli wanakera mno wanatakiwa waajili watu wenye akili timamu na wanaopenda watanzania wenzao kusafili kusiwe na roho mbaya
@MichaelAbdallah-xj8vr
@MichaelAbdallah-xj8vr Ай бұрын
Ck nikisafiri ntawapiga makofi
@ismailahmed8728
@ismailahmed8728 3 ай бұрын
Kama una talent ya music USA si ndo kwake usiache utatisia hapo hapo inshallah kheri watafute wakina roma wezako uweke madude kwenye platform utatisuwa tu
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 6 ай бұрын
Hii entiview ndio ya kwanza kuona mtu anajieleza ukweli huyu anajieleza vizuri
@nicholassimon3054
@nicholassimon3054 5 ай бұрын
Manager wa snura anaitwa HK (Hemedy Kavu)
@KadilJumma-lo3cz
@KadilJumma-lo3cz 4 ай бұрын
Hyper man HK
@rahmarashid1670
@rahmarashid1670 6 ай бұрын
Naomba jamani hiyo website ya Facebook plz
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 6 ай бұрын
Jovial man he is
@rosemunisi818
@rosemunisi818 5 ай бұрын
Uyu kaka nimempenda yan ananichekesha interview nzima
@AgredaMoyo
@AgredaMoyo 5 ай бұрын
Black unitafte Singapore pls nitafuteee pls
@user-ir5ec5jn3w
@user-ir5ec5jn3w 2 ай бұрын
Sister Shena kuna Mtanzania alievuka boda la Mexico akaingia Marekani aliefanyiwa interview kidogo na huyu jamaa Anastory ya kusisimua sana please mtafute
@deejeydaev
@deejeydaev 3 ай бұрын
Nimeangalia mwanzo mwisho. Good
@josephinejosephat
@josephinejosephat 5 ай бұрын
❤❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 ай бұрын
I always love your interview, Sis Shena❤🇹🇿
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Thanks so much
@hillyoman
@hillyoman 5 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance❤
@selemanikhalfani7251
@selemanikhalfani7251 6 ай бұрын
Nimeipenda sn kka
@loner_wolf
@loner_wolf 5 ай бұрын
Hapo kwa mistimu ya umeme nilikutananazo hzo ajira , nikutembeza mabeseni au mahotpot tu ukikosa hapo sabuni za aloe vera
@christianchristianwella4910
@christianchristianwella4910 5 ай бұрын
Mimi nimependa sana nampataje sasa
@user-vj2mg5ng1v
@user-vj2mg5ng1v 3 ай бұрын
Shena Mungu akubariki sana.. Yaani mimi ndo nawaza kuwa itawezekana na lugha ina babaisha? Ila ngoja niende shule.
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 ай бұрын
Wabongo wa airport ni mahasidi sana, ndio wanao rudisha maendeleo ya wengine,
@user-dq4ts8ns9l
@user-dq4ts8ns9l 5 ай бұрын
Airport ya bongo washenzi sana sijui ni roho mbaya but all in all kama imeandikwa hakuna wakuzuia 🙏
@user-ul8xh7dk5p
@user-ul8xh7dk5p 5 ай бұрын
Wacha matusi.bwege nn
@user-tt5rn7kc6l
@user-tt5rn7kc6l 6 ай бұрын
Upo sawa mzee wa Singapore,unatuwakilisha wa singda abroad
@vero57
@vero57 6 ай бұрын
VIJANA WADONGO HUWA WANACHEKIWA SANA KWASABABU YA DRUGS,
@user-yy7rp3sx8y
@user-yy7rp3sx8y 6 ай бұрын
Asante
@user-xk3wo6cc9r
@user-xk3wo6cc9r 2 ай бұрын
Hii amesema kweli kabisa, Airport za Tz wana makusudi sana.
@shearyshabani4308
@shearyshabani4308 4 ай бұрын
Ooo pamoja kaka m mwenyewe wa mkalama ikungu
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 6 ай бұрын
Interview nzuri sana never give up
@annatemu4488
@annatemu4488 6 ай бұрын
😂😂😂😂kaka anaonekana ni mcheshi sanaa
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 5 ай бұрын
Mtoto wetu wa unakuhudi utafika bali sana
@successmbio878
@successmbio878 4 ай бұрын
Haaaa! Kazi ya supermarket kiboko man
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA 3 ай бұрын
Karibu Florida Miami ndugu
@omanhuawei8980
@omanhuawei8980 6 ай бұрын
Hii ya leo ime nifundisha sana
@marychacha7084
@marychacha7084 6 ай бұрын
Mbona huko marekani tunaambiwa kazi kibao why aombe nyingi hivo kabla hajapata..mpaka kapata ya kuosha vyombo...ila yote maisha big up
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Mmh Umesikiliza vizuri kweli ?
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 5 ай бұрын
Hyooo anafikili USA hakuna watu
@quemakame-tu3hz
@quemakame-tu3hz 5 ай бұрын
Mm naomba wasiliano ya hiyo weppset ya hao
@maggydiary
@maggydiary 25 күн бұрын
Interview Nzuri 😅
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 4 ай бұрын
Airport ya nyerere wanazingua sana sana sana wanazingua kinoma
WAITALIANO NI KAMA WAZARAMO
42:09
Official Dating Assistance
Рет қаралды 9 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
Dr. Heather Irobunda on Black Maternal Mortality
41:47
Katherine Schwarzenegger
Рет қаралды 4
KUTOKA KUBEBA ZEGE NAIROBI | SARAKASI ILINIPELEKA ULAYA | MAPENZI YALINIFANYA NIACHE KAZI
1:19:00