Nilipita Kwenye Dhiki Nyingi, Maisha Ya Martha Mwaipaja Huyu Waleo Sio Wa Jana.

  Рет қаралды 471,557

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 285
@marystephen1183
@marystephen1183 5 жыл бұрын
Ujumbe wa msingi apa ulionigusa ni neno wakati, kwamba napita sababu ya wakati na nitatoka sababu ya wakati...oooh JESUS I LOVE U SO MUCH ni wakati tu.....ubarikiwe Martha
@mwanaidikashoda5835
@mwanaidikashoda5835 5 жыл бұрын
Nakupenda Sana dada mungu azidi kuku bariki
@sikiviabraitoni6741
@sikiviabraitoni6741 5 жыл бұрын
Dada mungu akubaliki sana unanibalik sana
@sikiviabraitoni6741
@sikiviabraitoni6741 5 жыл бұрын
kupitia uwimbajiwako Dada najifunza mengi kutokakwako mungu akubaliki sana
@Mzeiyaa
@Mzeiyaa 5 жыл бұрын
@@sikiviabraitoni6741 yq TGQWV@-MTRWV bku. The
@vailethlinus8623
@vailethlinus8623 5 жыл бұрын
MARY STEPHEN hh
@nyotampenda2967
@nyotampenda2967 5 жыл бұрын
Tunakupenda ku Sena ukweli, kwangu mimi wewe ndo wa kwanza katika Gospel Martha, nyimbo zako zinagusa saana moyo wangu, almost all the songs. ❤️❤️🥰❤️🥰❤️🥰
@mbunge0375
@mbunge0375 4 жыл бұрын
Kama kuna mme yeyote chini ya jua ambaye anayeweza kumkwaza Martha huyu, katu hawezi kuishi na mke yeyote duniani. Martha uko vizuri kupindukia. Neema ya Mungu iwe nawe daima.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 жыл бұрын
Usiusemew moyo
@obbymark8556
@obbymark8556 5 жыл бұрын
Uncle Jimmy mm nashauri kwenye interview za waimbaji wa Gospel muwe mnahoji maswali mengi ambayo watu wengi wanahitaji kujua kuhusu huyo muimbaji mfano ,amezaliwa wapi, elimu yake ,maisha yake binafsi na vitu anavofanya nje ya mziki wa injili maana Kuna mambo mengi ya kujifunza kutokana na historia zao na maisha yao binafsi msihoji maswali ambayo yapo wazi na tunajua
@susansaleh8650
@susansaleh8650 5 жыл бұрын
Enda kwa google andika jina zao
@mnadasudy9480
@mnadasudy9480 5 жыл бұрын
obby mark nice
@machozitosha4006
@machozitosha4006 5 жыл бұрын
Ndugu yangu mimi ni mjowao kwa wanao kupenda sana dada
@rachaeljohnaloyce7315
@rachaeljohnaloyce7315 5 жыл бұрын
ni kweli
@justinenabangal1367
@justinenabangal1367 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😢 ata Mimi huwa nyimbo zako hunito huzuni wakati nimezongwa na matatizo hongora Mather ubarikikwe maishani mwako
@robertchris8819
@robertchris8819 3 жыл бұрын
Ule wimbo wa Martha, inaitwa 'ombi langu kwa Mungu' kwa kweli uliniguza sana. Mpaka natamani nikutane naye ana kwa Ana nimpe zawadi yake. Kwa kweli mkimuona naomba mnikutanishe na yeye, Mimi niko kenya.
@aminatakasemire2049
@aminatakasemire2049 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Marthe
@annemariba2454
@annemariba2454 5 жыл бұрын
I love your songs you are blessing to many souls
@evalyanga9899
@evalyanga9899 3 жыл бұрын
Nitafte Dada hapa. 0677883082.ninashida na wewe Dada naipenda huduma ya uimbaji lakini sinanjia
@lionsonlionel2140
@lionsonlionel2140 5 жыл бұрын
Dada waipaja naomba number yako ili nami niinuwe kipaji changu
@mwajumahamisi6738
@mwajumahamisi6738 5 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza kununua album ya huyu dada ni alipotoa album ya ombi langu kwa Mungu. Ilinitoa mahali.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 жыл бұрын
why are you talking like congolese or kenyan?
@elishalugano5679
@elishalugano5679 3 жыл бұрын
Uyu mama arudi kwa ndoa yake kwanza ! sasa yy anasema amepata ziki nyingi sana katika maisha ala Yesu atasema nini? Yesu ndie aliye ziakiwa ww bado iyo nisehemu ya mahandiko kutimia katika maisha ya wanadamu . wewe rudi kwa mume wako ndio Mungu atafurahi juu Mungu si wamatengano rudi rudi ndio furaha yetu nasi mnatupatisha haibu sana na kufanya Jina la Yesu lizarauli na jumuhiya yo te ya wakristo mnajaa na vituko ss utahuti wako wapi na watu wa dunia? afadhali watu wa dunia watengane kuliko ss ss njo wakuwaleta pamoja juu ss ni nuru ya ulimwengu akuna kujitetea apo danganya vipofu rudi kwanza kwa ndoa yako Yesu alivumilia ww vingapi? unaezaesabu ww? mpaka ivi leo Mungu angali nakuvumilia tu na kk samee siku kwa siku kwa nini wewe uwezi vumilia mume wako na kumusamee kama gisi ukonase yy njo amekua nakutesa ama musaliti kwako sumusamee ? uwezi ona ni shetani ndiye adui za ma ndoa? si mume wako njo adui yako.
@JosephinePeter-e7z
@JosephinePeter-e7z 2 ай бұрын
Dad matha ninakupenda san mana nyimbo zako nzur san Zina kweli ya mung hongera dad
@julytito3891
@julytito3891 5 жыл бұрын
Dada umeniliza eti ,naguswaga sana na nyimbo zako pia
@somiaal8019
@somiaal8019 5 жыл бұрын
More love kutoka 254
@sahaabalsahaab1373
@sahaabalsahaab1373 5 жыл бұрын
Kweli kabisa dada kunawakati wa mungu kabisa. Ubarikiw sana dada martha
@modestatemu3991
@modestatemu3991 Жыл бұрын
Kweli anakuwa anatisha jmn kweli MUNGU no kwemaa san
@IrakazaAdonai
@IrakazaAdonai 3 ай бұрын
tusikate tama🙏🙏🙏 pia mimi hio nyimbo inanigusa mpaka sasa hivi
@maryjustapeter5430
@maryjustapeter5430 5 жыл бұрын
Matha Mungu azidi kkutumia kama apendavyo, tunabrkiwa sana.ushauli nalusihii usijichubue ngozi naona kama unabadrika ngozi kaa kama Mungu alivyokuumba. wwe nimzuri sana usialibu ngozi
@tabiarajabu6855
@tabiarajabu6855 Жыл бұрын
Unawafundixhi nn vijana wanaotarajia kuoa au kuolewa?
@YussufSelemani-nl3jz
@YussufSelemani-nl3jz 9 ай бұрын
Oooh Mamy thank you very very much 🙏🙏👍👍
@andrewkitaly6003
@andrewkitaly6003 5 жыл бұрын
uncle jimmy bwana yesu asifiwe naomba nikukumbushe kuwa next time utupe fursa ya kumjua mwimbaji kiundani yaan maisha yake ya awali na ya sasa namaanisha historia yake kwa kina ni hamasa kwa watu wanao pitia changamoto ambazo zina shabihiana na zake. ahsante na ubarikiwe
@monicambise3146
@monicambise3146 5 жыл бұрын
Mimi sipendi kelele napenda utulivu. Ubarikiwe dada napenda nyimbo zako haziumizi masikio
@trophainamagogwa1163
@trophainamagogwa1163 5 жыл бұрын
Monica Mbise ndiyo nyimbo zinazoinua kiroho siyo z Ndomboro ya Solo
@ndebilecharles9461
@ndebilecharles9461 4 жыл бұрын
dada naitwa happy kutoka bariadi simiyu nawapenda sana nataman na mm niwe mwimbaj kama wew na mdogo wako love u so much
@johnesther5388
@johnesther5388 5 жыл бұрын
Mimi nikiwa huku Kenya Martha unanipa motisha sana Mungu akubariki akuzidishie nguvu uzidi kumwimbia milelee daima
@jesicahphibi6904
@jesicahphibi6904 5 ай бұрын
Ukweli kabisaa wakati wa Mungu ukifika hakuna atakae pinga
@MagrethSeleman-g3l
@MagrethSeleman-g3l Жыл бұрын
Nakupend cn nabalikiw cn nanyimbo zak
@DorineWakhisi
@DorineWakhisi 5 ай бұрын
Kamamu nyimbo zako sana zinaguza mioyo za wengi kabisa
@paulynekhalayi4030
@paulynekhalayi4030 2 жыл бұрын
Martha you always touch my heart with your songs ,,may God keep and lift you up to the next level dear💞
@childofgod1131
@childofgod1131 4 жыл бұрын
Martha mwaipaja napenda kazi yko saana... May God bless you
@elizabethlithabeth6061
@elizabethlithabeth6061 4 жыл бұрын
Wakati mwingine tunatamani kukataa tamaa lakini nyimbo hizi namuona mungu
@julianacharles5720
@julianacharles5720 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana nyimbo zako zinanibariki Sana
@rachelalinda7007
@rachelalinda7007 5 жыл бұрын
Yani Huduma yako dada huwa unanibariki sana Mungu azidi kukuinua nyimbo zako zote zina ujumbe unaogusa wengi.
@JanetNafula-k2k
@JanetNafula-k2k Ай бұрын
Nkupnda xna Martha mwaipaja
@mchuumchu9801
@mchuumchu9801 5 жыл бұрын
Ila kwa maringo!!
@emmyngoy9686
@emmyngoy9686 4 жыл бұрын
sura ya inaonekana kweli uyasemayo
@judithmgaya7733
@judithmgaya7733 2 жыл бұрын
Ni mkenya au umeishi kenya muda mrefu!
@gracegracegrace1827
@gracegracegrace1827 5 жыл бұрын
Huyu dada nampendea roho ya utulivu....una majibu ya hekima sana !! Nakupenda sana!!
@anithagilibert6808
@anithagilibert6808 5 жыл бұрын
jamani au macho yangu mbona kama vile sioni Pete kwenye kidole chake nasiyo kawaida Yake ndokashaachana na Mme wake au?
@minzajoji7196
@minzajoji7196 4 жыл бұрын
Makubwa ss Pete ww inakuhusu nn au unaitaka uvae ww maana Pente kavaa kidole Chapili ubeya kaz 😅😅😅
@ndebilecharles9461
@ndebilecharles9461 4 жыл бұрын
mnanibariki sana mwaipaja's family
@SheilaLunga
@SheilaLunga 11 ай бұрын
Mungu hutowa wamtumainio mbali
@BosccoMmuni-n3r
@BosccoMmuni-n3r Жыл бұрын
Martha.ubarikiwe.na.mungu
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 2 жыл бұрын
Big up mtumishi🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@jannetijeylady2913
@jannetijeylady2913 2 жыл бұрын
Nikisikiliza unantja moyo sana
@morrismkariko3373
@morrismkariko3373 4 жыл бұрын
Na Martha anacheka poa😂😂,, anyway blessings to her
@rechormalimbi9689
@rechormalimbi9689 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Martha nyimbo zako ni biblia hakika
@piushappyness226
@piushappyness226 4 жыл бұрын
Nakupenda mno 😍 nashindwa niseme nini
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Tafuta Roho mwenyewe akupe wimbo sbb Mungu ndio anajua anataka kusema nini na watu wake..
@mengiuswege3654
@mengiuswege3654 2 жыл бұрын
Huyu dada Mungu amuweke Kwa kweli Mwanamke wa TOFAUT sana yule Mume amepoteza dhahabu aliyoishika akairusha kuulia ndege na asijuwe kuwa lile jiwe Lina THAMANI zaidi kuliko ndege yule
@modestatemu3991
@modestatemu3991 Жыл бұрын
Jmn jmn matha wewe nimzuri mno
@Beatriceandeyo
@Beatriceandeyo Жыл бұрын
Amen
@MichaelThomas-hl9pu
@MichaelThomas-hl9pu 2 жыл бұрын
Mama uko vizuri kwakweli
@KotomeIan
@KotomeIan 6 ай бұрын
Martha mwaipaja nyimbo zako huwa inaguza sana Acha mungu asidi kukupenda sana....I like your songs mum.
@kacheali4777
@kacheali4777 5 жыл бұрын
Martha u r blzd sz , I love ur songs it's really inspiring me ,The song was released 2013 June I was facing difficulties of getting job nd final got it ,I felt gd nd this song use to encourage me .from i+971
@deogratiashaule5224
@deogratiashaule5224 5 жыл бұрын
Martha you always bless my heart. May God keep you to the next level.
@neemagoodluck4401
@neemagoodluck4401 5 жыл бұрын
Nakupenda Martha Mwaipaja, sante kwa faraja yako na Mungu azid kukutumia
@frankkapinga836
@frankkapinga836 3 жыл бұрын
Matha nakupenda unabusara
@ESPERANCEMAVE-qp8ps
@ESPERANCEMAVE-qp8ps 3 ай бұрын
Merci ma sœur unanisaidia sana tena sana.
@tendaimavhe2869
@tendaimavhe2869 2 жыл бұрын
I luv you Martha....
@anithasayoni6462
@anithasayoni6462 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mpendwa
@lovedoctorernestgoodboymov5432
@lovedoctorernestgoodboymov5432 2 жыл бұрын
Oohh my GOD this voice this voice blessed
@YussufSelemani-nl3jz
@YussufSelemani-nl3jz 9 ай бұрын
Popote nilipo nafulahikia nakusikia nyimbo zako kila muda.Mama shukulani Mungu akuwe pamoja na wewe milele na milele.Amina🙏🙏
@cuthbertzillale6136
@cuthbertzillale6136 2 жыл бұрын
Wewe dada mie nàkupendaga sana sana na hakuna nyimbo Yako hata Moja ambayo haipo kwenye simu yangu...yaani nilianza kukuelewa kwenye nikitafakari jinsi Mungu yaani Sasa hivi tena hizi nyimbo ni Kwa neema ndo nyimbo niliyoweka kwenye muito wasimu yangu...Mungu akubariki sana
@fadhilikibanti3402
@fadhilikibanti3402 5 жыл бұрын
Hii ndiyo mifano halisi ya kuimba Yesu ni mzuri
@neemaelius4878
@neemaelius4878 5 жыл бұрын
Pole sana Martha Mwaipaja maana history yako sawa na yangu ya kufiliwa na baba yangu nikiwa na miaka mitano. Songa mbele kwa kazi ya Mungu
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Martha ni kweli umeachana na mumeo?
@PHILLIMONTEMBO-ks6ln
@PHILLIMONTEMBO-ks6ln Жыл бұрын
Pore sana
@naftarnjile5570
@naftarnjile5570 2 жыл бұрын
maths namkubali
@Lydia-p6w
@Lydia-p6w Жыл бұрын
Mungu atakusaidia
@aaronkingjr8117
@aaronkingjr8117 2 жыл бұрын
MUNGU ni wa ajabu
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
Rudi kwa mumeo,
@leaplay6292
@leaplay6292 3 жыл бұрын
nataka namba ya sim
@estermalembwamalembwa1936
@estermalembwamalembwa1936 6 ай бұрын
Martha mwaipaja ubarikiwe kwa nyimbo nzuri natamani kuimba nawewe asahsante
@RehemaKahindo
@RehemaKahindo 6 ай бұрын
Namkubali
@SamweliKubwa
@SamweliKubwa 4 ай бұрын
Samweli
@ElizaBenjamin
@ElizaBenjamin 9 ай бұрын
Nakupenda Matha na nyimbo Zako zote unanitia Moyo kwa wakati ninaoupitia niMungu ktk maisha yangu
@YohanaYoha-e3q
@YohanaYoha-e3q 9 ай бұрын
N mtoto wake
@muujizakasiwa4534
@muujizakasiwa4534 4 жыл бұрын
Ila uache kuvaa vimini!
@miriammmasy3657
@miriammmasy3657 4 жыл бұрын
Ajavaa za kujidhalilisha bado
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Kabisa
@lidiammbone6126
@lidiammbone6126 3 жыл бұрын
Kweli watu hutoka mbali Sana jipe Raha mwenyewe ubarikiwe mtumishi wa mungu
@lovedoctorernestgoodboymov5432
@lovedoctorernestgoodboymov5432 2 жыл бұрын
Ombilangu kwabwana. I really like this voice. Am here in BRAZIL. But wen II'I be back in the country I will have to meet you Martha . I will try" I really like your carange songs be blessed
@magretngowi83
@magretngowi83 2 жыл бұрын
Nampenda sna
@bernaldfedrick7275
@bernaldfedrick7275 4 жыл бұрын
Huyo mtumishi wa mungu yuko vizuri saana, anapointi nzuri saana,MTU amabye sijamuelewa katika maelezo yake ni Lazaro Baraka
@marypeter9001
@marypeter9001 5 жыл бұрын
Kweli Mungu anakutumia Martha Yani Mimi mbali na kuimba hata ukiongea mi unanibariki Sana Mungu akuinue mtumishi
@abigailm2484
@abigailm2484 3 жыл бұрын
Beautiful African woman. Looks like Winnie Mandela
@joshuachonya74
@joshuachonya74 3 жыл бұрын
Hi
@erickmwani1085
@erickmwani1085 4 жыл бұрын
Utunzi wako nimekuelewa vizuri endelea Martha usilundi nyuma tupe vituvyalohoni.
@kofisafokofi1723
@kofisafokofi1723 3 жыл бұрын
From t day i call you évangéliste Martha mweipaja
@thomasgervas5883
@thomasgervas5883 Жыл бұрын
Safi Sana
@jodemachannel.7504
@jodemachannel.7504 5 жыл бұрын
Yaani hii story imenikumbusha mengi Sana, kwel Mungu ni mkubwa.
@chesangimmaculate2869
@chesangimmaculate2869 5 жыл бұрын
Martha indeed God is great an might is a good doing only good things to those that love him, love u Martha
@jenifacosmas1725
@jenifacosmas1725 4 жыл бұрын
Nakupenda matha wangu wimbonilikua mdogosana kwendakwajilani nikausikia
@joycemushi1720
@joycemushi1720 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada matha kwa kupitia wewe na mm napata matumaini ,Kama Mungu alikukuka naaamin na mm sikumoja atanikumbuka.
@patiencenganaki7831
@patiencenganaki7831 Жыл бұрын
Vraiment que Dieu
@philininomhenzi396
@philininomhenzi396 5 жыл бұрын
Mungu awe nawe daima Dada Martha nyimbo zako czichoki kila mara
@junefother7890
@junefother7890 4 жыл бұрын
Oooooh kweli ilanakupenda nyimbozako nazipenda sana i'm from Burundi hatanawarundi wanapendanyimbozako
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa kila jambo🙏🏽🙏🏽
@josephatondieki1071
@josephatondieki1071 4 жыл бұрын
Hata wkt wa majaribu Mungu hupo na Mungu huyu anataka kkuonyesha kitu Fulani kwa maisha yako, mtegemehe Mungu mwenye hapadiriki .
@WalesElias
@WalesElias Жыл бұрын
Marthe
@Oman-z7j
@Oman-z7j 9 ай бұрын
Martha mungu akubarki sana nyimbo zako nizur sana
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Martha kwanini unajichubua? Sasa wakati ulikuwaga na weusi mzuri?
@happygw6930
@happygw6930 5 жыл бұрын
Hajichubui mafuta unaweza pakaa na mwili unatakata wanaojichubua huwa wana rangi zaidi moja yeye ana amani moyoni kwa Yesu ukiwepo lazima upendeze
@josephinemecky9278
@josephinemecky9278 5 жыл бұрын
Hajichubui ametulia tu anang'aa na Yesu ndani yake
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
@@happygw6930 angalia vidole vyake.Ukijichubua vidole huwa vinaumbua.na martha hakuwa hivi.mbona Upendo Nkone alikiri kuwa alijichubua na sasa ameacha.
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
@@josephinemecky9278 thubutuuu muangalie vidole.huo ni mkorogo.mwenzake Upendo Nkone alikiri kuwa anajichubua kweli.tunaojua mikorogo hapo hutudanganyi
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
@@saitotisaitoti6734 amejichubuwa
@marietajohn2913
@marietajohn2913 5 жыл бұрын
nakupenda sana martha mungu azidi kukubariki dada
@juliakayesi8589
@juliakayesi8589 4 жыл бұрын
Dada nyimbo zako mbili za nifundishe kunyamaza najaribu la mtu sio kwamba ametanda dhambi ulitia moyo nikiwa katika dhiki katika ndoa yangu.mimi nimuimbaji was injili na ninatarijia Mungu kuniinua from Kenya..I believe one day I will meet you and mum Christina shusho.i wish nifanye wimbo Moja nawe
@marynambuye8510
@marynambuye8510 4 жыл бұрын
W
Martha Mwaipaja  - HATUFANANI (Official Video)
7:24
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 10 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН
The Story book Mfahamu Martha mwaipaja kwa undani zaidi
8:01
Alpha Studio 🏅
Рет қаралды 374
ITS A GIRL ! Mama Milly WaJesus Reaction to Our Pregnancy Announcement
28:46
MTOTO WA MARTHA MWAIPAJA ANAVYOSUMBUA MITANDAONI NI BALAA
3:07
NASHUKURU By MARTHA MWAIPAJA x BOAZ. K
6:25
BASIL
Рет қаралды 1,8 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН