Nilisaidia Watu Wenye Uhitaji | Homeless Wanaoishi Skid Row, Los Angeles, California | HUKU YUES 🇺🇸

  Рет қаралды 13,505

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@lilianmacha4887
@lilianmacha4887 Жыл бұрын
Hi
@mohswlh5087
@mohswlh5087 Жыл бұрын
I like it bro Allah akuongoze
@KULKID
@KULKID Жыл бұрын
Hello I like to vlog how you handle your camera?
@JamesLaizerMoko-l8t
@JamesLaizerMoko-l8t 7 ай бұрын
Ubarikiwe xana mr jack kwa moyo wa kujitoa kwa watu wasio jiweza God bless you brother
@lampuandanner9390
@lampuandanner9390 Жыл бұрын
Thanks for helping them 🙏👍
@charleskisala7428
@charleskisala7428 Жыл бұрын
I am.new in this channel but I love what you are doing bro...keep up the good work. Much love and support from Kenya
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks and welcome to my channel!!
@martherraymond6752
@martherraymond6752 Жыл бұрын
Hongrea bro jack Nimependa coz unamjua Mungu huwa nasikia furaha nikiona kijana yupo anampenda Mungu,,,, be blessed bro
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Жыл бұрын
jamani tuusiione marekani tuu kumbe na omba omba huko wapo tu kama kwetu daresalaam mnazi mmoja, hongera kaka unatuonyesha uhalisia wa maisha, maana watu wanafikiri marekani ni kula bata tu, kumbe hali sio hivyo kabisa aise
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hata watu wote wapewe pesa bure still masikini watakuwepo zipo fact mbalimbali mfano uteja, matatizo ya akili nk
@vinescompiled
@vinescompiled Жыл бұрын
Jack Mungu Akibariki zaidi
@mikbete
@mikbete Жыл бұрын
Endeleea kujenga uhusiano na Mungu ili uzidi kufanyaika msaada zaidi kwa watu unao kutana nao na pia unao jaribu kuwafikia. Wewe ni mtu mwema, Mungu akubariki sana. TZ
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!
@beatricekiseve5325
@beatricekiseve5325 Жыл бұрын
Dah
@sophiabakari-ot6ip
@sophiabakari-ot6ip Жыл бұрын
Watsap
@roseonline7
@roseonline7 Жыл бұрын
Watching, subscribing and liking from Kenya. Good job Jack.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Awesome! Thank you!
@heathjacob6841
@heathjacob6841 Жыл бұрын
So sad especially in the city of angels n you're a special angel tu for sharing
@michaelmariomario6052
@michaelmariomario6052 Жыл бұрын
Jack Mungu akubariki kwa roho ya utu.... NAMI ningependa kukujoin tusaidie wote.... Kindly inbox me your details
@nkinzingabosamuel4854
@nkinzingabosamuel4854 Жыл бұрын
Ooooh brother I'm crying for all theses Brothers they are staggering to much, I'll pray God for them🧎🧎🧎🙏🙏🙏🙏🙏🙏 God pls make a way for u'r children's
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!🙏🏾
@magbenny1416
@magbenny1416 Жыл бұрын
Hi Jack, may God reward you abundantly........New subscriber from kenya
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 Жыл бұрын
Appreciate bro..tupe na video ya maisha mtaani i mean kwene makazi ya watuu wengii
@alainndindimaamuri8459
@alainndindimaamuri8459 Жыл бұрын
Jack unafaza mambo mazuri Sana mungu atakubariki wasikukatishe Tama don't give up #Congo 🇨🇩🇨🇩
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante sana kwa support. Ubarikiwe!🙏🏾
@johnmogaka9822
@johnmogaka9822 Жыл бұрын
GOD bless you for showing concern to the needy
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@babianliza
@babianliza Жыл бұрын
You are doing great job may the Lord of heaven touch other heart to be like so that u can lend hand homeless pple.praying for good health to so ua love to those u are suffering.nitafutie njia ile ulitumia kuingia nami nije kuwasaidia nawaonea huruma sana
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen and Thanks. Ubarikiwe!
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 Жыл бұрын
Jack nimekuelewa sana bro hongera sana kaka
@evodialuchenja793
@evodialuchenja793 Жыл бұрын
Napenda sana unacho kifanya kwa akili yangu nilikuwa najua hakuna watu masikini au wa hali ya chini huko marekani mungu akubariki nimejifunza kitu
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Bro nakukubali sana I wish one day to see ya
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Leo umepata mchumba kabisa na namba umechukua mzee
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie Ni ajabu kuona MUAFRIKA anasaidia MZUNGU Thats love
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante. Ubarikiwe pia!
@tellebacarsound57
@tellebacarsound57 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie bro
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Kumbe hiyo k2 inaezekana tu
@ZingKingTheeOG
@ZingKingTheeOG Жыл бұрын
He jst smoked weed 😋🍁🍁...that be the best thing
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 Жыл бұрын
Hakika Jack unafanya Jambo la Ki Mungu Sana Mungu aendelee kukuinuwa zaidi
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante. Ubarikiwe pia!
@joshuanambute7276
@joshuanambute7276 Жыл бұрын
You got a new subscriber from Kenya bro👏👏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Welcome aboard!
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Жыл бұрын
Dah! Upo real sana mwanangu
@akimjuma2026
@akimjuma2026 Жыл бұрын
Nime come tena ku watching 👀👀 thanks bro
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Welcome back!
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Allah akubaliki
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Mimi nikifanikiwa kukanyaga tuu ardhi ya marekani,hakika sitabaki kama nilivyo maana kwanza huwa sina ubishoo na sichagui kazi
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Жыл бұрын
Kuna mwamba kapiga u-turn kama joti aisee maisha haya
@harunakaishozi
@harunakaishozi Жыл бұрын
I appreciate brother you've done a good job God bless you
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Bwana akubariki nakuzidi kaka
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina, ubarikiwe pia!🙏🏾
@rachelmacharia2727
@rachelmacharia2727 Жыл бұрын
God bless you bro
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen and Thanks!
@lyricssongtz6764
@lyricssongtz6764 Жыл бұрын
rexpect ma broth 🇹🇿
@rashidikatunzi3851
@rashidikatunzi3851 Жыл бұрын
Apo sawa
@OcholaTheCreator
@OcholaTheCreator Жыл бұрын
now I understand what they mean by "came from the streets"
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
people have lost their consciousness Jack if I would have had had told to suggest a city for me to move to....... would you say this ooohhhh common 🙃😢😥😢😥😢😥
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
😀😀😀kapiga moshi mpk kasiz hajui anaulizwa nn
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka yangu..Be safe too outhere…😨🤝
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante na Amina. Ubarikiwe!
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Жыл бұрын
@@jackwausa sor broh jack naomba unipatie namba yako ya what's up please I have things to talk to you
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Kazi mzuri sana
@lytwilliam7050
@lytwilliam7050 Жыл бұрын
barikiwa sana.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia!
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Huyo muhuni wa mwisho kaniacha hoi na hiko kisketi cha jeans hana habari wala nini…😂😂😂
@alfredd1902
@alfredd1902 Жыл бұрын
The classic cars you see moving and stopping around are for drug peddlers selling to them drugs ,kuna moja ya white ilisimama ika drop kitu ikaenda .
@allysekela-tq4jk
@allysekela-tq4jk Жыл бұрын
umeticha kaka
@rashidikatunzi3851
@rashidikatunzi3851 Жыл бұрын
Jack unaktana na visanga eti mama anakwambia um energy wepons na bad ustuki kuwa anaeza akakukata😂😂
@ribentsp
@ribentsp Жыл бұрын
Unatupenda wapi,wakati tukiwaomba msaada wakuja uko mnatuchunia,haya ni maisha tu.#tukiwa Kama people tutaonana tu😡😡😡😡😓😓😓🚶🚶🚶
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Very nice but take care homie
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Halafu kuna wengine waaminishwa ukiolewa na mzungu umetoboa tupige kazi jama wadada
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
😂😂😂 huo ni uongo waliodanganywa waafrika wengi. Muhimu ni kupiga kazi tu na kuacha kua tegemezi kwa mtu mwingine!
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
@@jackwausa kwanza unatufungua akili sanaa nahizi video wengi tunajua marekani hakuna maskini
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا MASIKINI WAPO DUNIA NZIMA.
@OcholaTheCreator
@OcholaTheCreator Жыл бұрын
what is a young kid doing in jail
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Жыл бұрын
Mateja wa marekani
@sergotabian6830
@sergotabian6830 Жыл бұрын
😲😢😥💞💞💞💞👍👍👍👍👍🌹🌹🌹🌹😘😘😘😘🥰🥰👌👌👌👌🇳🇱🇳🇱
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
@abdilehussen2123
@abdilehussen2123 Жыл бұрын
Hawa ni watu wenye matatizo ya akili na drug adicted
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Kiukweli nimejifunza kiti
@harunakaishozi
@harunakaishozi Жыл бұрын
Hi jack I need contact for the little girl
@youngchezo2744
@youngchezo2744 Жыл бұрын
Duuuu!!!
@josephatjofrey7247
@josephatjofrey7247 Жыл бұрын
Naomba number ya huyu binti alietoka jera
@HalifaSalim
@HalifaSalim Ай бұрын
From znz
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
Jack huyu mwamba mbona kavaa skirt duuu ukistaaajabu ya Musa......dk ya 9 why
@elishapaul1706
@elishapaul1706 Жыл бұрын
Ndiotutafute green card ila tujue hkn life rahc
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Ipo siku LISU ATAAIMUKIA HAYA
@abdilehussen2123
@abdilehussen2123 Жыл бұрын
Hawa ni watu wenye tatizo la akili na drug adicted
@javaboyyrn2891
@javaboyyrn2891 Жыл бұрын
Akunaga watoto barabar ukoo?
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Жыл бұрын
Mtu anawezaje kupaki gari eneo kama hilo? Aisee au ndio masela nao wa mitaa hiyo
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Street parking zipo kwa mtu yeyote anaetaka kupark gari lake
@anwary_sultan
@anwary_sultan Жыл бұрын
Thanks bro could you tell me why some Pple from Africa tells us a lot about opportunities in like part time jobs that do not even require skills or education. Why Americans can't take such good opportunities...
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
It's true, There are so many opportunities that do not require much skills like working at fast food restaurants and so on. And about Americans not taking those opportunities- It's because of different reasons like the pay is too low for them, or they'd prefer working on something else etc
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Duh mzee mbona naona kama haina uhalisia sana yaan wao bora wawe mateja kuliko kufanya kaz yenye kuingiza kipato kidogo?? Au ni kwamba wengi wao wanamatatizo kiasi kwamba hawakubaliki na kuaminika popote....maake haiingii akilini kabisa eti kama firsa zipo kwann waombe mtaani vyakula vya elfu kumi kumi na tano
@fredialfredi202
@fredialfredi202 Жыл бұрын
Naitaji masliano na wewe ndugu.
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 Жыл бұрын
Nimekuona Jana but nimependa unacho fanya,nilipends kipande kimoja wakati umeenda kule kwenye bango la Hollywood 😄😄😄panafanana na huku kwetu nilicheka sana😄😄
@ramadhanitokwete8069
@ramadhanitokwete8069 Жыл бұрын
Mwamba kala sketi na haelewi
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Sasa wanaoga wapi kufua wapi
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Watu wenyewe wana nguvu
@rimahusseinali-mr9il
@rimahusseinali-mr9il Жыл бұрын
Sanyengine usizungumze English ukasha maliza kuzungumza na mtu
@MAJALIWAIDAMA
@MAJALIWAIDAMA Жыл бұрын
MBONA HUONGEI KISWAHILI BRO KUNA SEHEMU UNAKAA KIMYA WHY UWE UNATUELEZEA MAZINGIRA SUBSCRIBER WAKO
@aminaabubakar727
@aminaabubakar727 Жыл бұрын
Maskin wanaskitisha
@mashauriobedi6290
@mashauriobedi6290 Жыл бұрын
Mostly wanaonekana like mateja. Mtu Smart huwezi mkuta mazingira hayo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
SIO WOTE MATEJA WENGINE SHIDA 2.
@hassanikaawizy2597
@hassanikaawizy2597 Жыл бұрын
Iv kaz wakiend kuomba hawapewi jarb kuwa unawauliza
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
HUWEZI KUWAULIZA MASUALI KAMA HAYO.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hao Wana matatizo ya akili watafanya Kazi gani sasa
@Brendaa5438
@Brendaa5438 Жыл бұрын
Is this guy normal wearing a skirt
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Жыл бұрын
You think the guys there are normal?
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Dada mzuri,sasa simu wanachaji wapi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWANI KUNYA ANAKUNYA WAPI.
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@shukranjulius9526 👍👍👍👍
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Nilikuwa Mwizi Niliiba Mamilion ya Pesa Africa Kusini / Nilizamia
1:05:48
I Spent a Day in LA's Most Dangerous Hood
28:59
Drew Binsky
Рет қаралды 2,4 МЛН
My North Korean Holiday: The Funniest / Worst Place on Earth?
55:10
Show Me the World
Рет қаралды 5 МЛН
Haji Adam & GABO  Mariam REFUND FULL MOVIE Part 2
1:14:00
Bongo Cinema
Рет қаралды 95 М.
Life in the City of Zombies | Kensington Philadelphia
18:46
Brandon Buckingham
Рет қаралды 3,3 МЛН
Hunt to Survive | Hadza Tribe (Unchanged for 50,000 years)
38:31
Ruhi Çenet
Рет қаралды 49 МЛН
Mtanzania Ndani Ya America's Got Talent LIVE- 2023
14:01
Jack Wa USA
Рет қаралды 25 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН