Sababu Za Watu Kukosa Makazi Marekani | Kutoa Misaada Kwa Wasiojiweza...HUKU YUES

  Рет қаралды 45,310

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Nilitembelea mtaa unaitwa Skid Row uliopo Downtown Los Angeles. Skid Row ni mtaa ambao una idadi kubwa ya Homeless (watu wasio na makazi). Yote hayo yamechangiwa na hali ngumu ya maisha, madawa ya kulevya, matatizo ya akili n.k. Nilitoa misaada ya chakula kwa wale wasiojiweza na kuwauliza sababu ziliyowafanya wao kukosa makazi. Tembea na mimi ili ujionee yaliyojiri Skid Row, Los Angeles.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Hiki Ndiyo Chakula Cha...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles #mtaani

Пікірлер: 268
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@habibubinmoss72
@habibubinmoss72 Жыл бұрын
Huwez kumuelewa uyo ashapagawa
@habibubinmoss72
@habibubinmoss72 Жыл бұрын
Alafu jack unaongea utamu cn mzee😂 I like you swags
@bashobabaraka706
@bashobabaraka706 Жыл бұрын
I appreciate Mr Jack, Our almighty God may grant you a long life with full of happiness Am Baraka from Dodoma Tanzania
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Bro nimepata idea apo huez kuwa unawahoj hao watu Kwa mmoja mmoja nn kilitokea had wakawa homeless
@mimi254official
@mimi254official Жыл бұрын
please Jack what type of camera do you normally use coz I have been searching for a camera to create my own contents please @jack don't ignore my request just tell me 🙏🙏
@bakarikitatile4853
@bakarikitatile4853 Жыл бұрын
Nakubali Sana unachokifanya jack coz nilikuwa naamini tunaopata shida huko ughaibuni ni watu kutoka Africa tuu kumbe ni watu wa kutoka Dunia nzima wanataabika sawa na watu wa mataifa masikini ,, thanks so much bro god bless you forever
@pastorbonnyphillip8945
@pastorbonnyphillip8945 Жыл бұрын
Kiimani hili ni jambo kubwa sana, anachokifanya Jack sio documentaries tu bali anaiwakilisha africa na Tanzania kuwasaidia wazungu. Wengine hatujaweza kufika huko ila tutakuombea na utatoa misaada mingi kwa hao wenye shida huko ulaya. UNAWEZA JACK
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
Maneno kidogo
@vamitv873
@vamitv873 Жыл бұрын
Ulaya Tena.!?
@vkmalove1307
@vkmalove1307 Жыл бұрын
Unafanya mambo makubwa zana una stahiri tuzo ,. Hivi hiyo mdada wakichina ananini usoni kwake
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante. Ubarikiwe popote ulipo!
@Respect_Amazing73
@Respect_Amazing73 Жыл бұрын
Jack una staili pongezi weye noma sana
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 Жыл бұрын
Kumbe naishi vizuri!!!! Alhamdulillah!!!!
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Kiukweli hakuna semehu ambaye haina masikini au watu wasio Na makazi homeless people and poor people is in every country my brother jack but let's pray for them and pray for us too Big up Jack ❤️❤️❤️🙏🙏🙏👍👍👍👍👏👏
@raphaeltete6436
@raphaeltete6436 Жыл бұрын
No Qatari citizen is poor
@renniengatia8441
@renniengatia8441 Жыл бұрын
It really doesn't matter which part of earth you can meet and help God's people. Showing love, helping the poor and visiting the sick in hospital covers many sins. God bless you Jack wa USA for doing God's work and sparing your time for God's people
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen and Thanks. God bless you and your family!
@ERNESTNTANGA-hr7yg
@ERNESTNTANGA-hr7yg Ай бұрын
Big up brother Mungu azidi kukubariki na kukutimizia malengo yako🙏🙏🙏 "You are ten times better brother"
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Ipo siku bro juhudi zako M/mungu ataziona unachokifanya ni zaida ya ufanyacho..🙏
@ramadhanurassa2410
@ramadhanurassa2410 Жыл бұрын
Inaonekana huko hakuna watu wenye njaa sana ila wapo wanaokuja kujaribu maisha ya homeless nyengine ni stress na drugs ila so njaa ya chakula
@israelimjema4573
@israelimjema4573 6 күн бұрын
Aloo ndugu mungu akubariki sana uko vizuri nimekupenda
@petermarwa7818
@petermarwa7818 8 ай бұрын
Nakutazama nikiwa ilemela mtaa wa kashishi kata nyamhongolo jiji la mwanza Tanzania, Asante sana kwa kutuonyesha mambo mazuri na magum ya kujifunza, kumbe kwetu kuzuri sana, ni kupambana tu nothing more.
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Жыл бұрын
Hao hawataki Kazi sisi kama wabongo tukifika huko ni kazi kazi hatuwez kuwa kama hao isitukatishe tamaa kwa wenye ndoto za kwenda United State
@LilmmyCrazyfficial
@LilmmyCrazyfficial 2 ай бұрын
Sio ivyo bro hao ni HOMELESS niwatu? Watu? Ambao walifanyaka makosa. Makubwa. Sana alafu ndo waka wekwa na serekali kuwa ivyo kaka 😢😢😢
@Eaglesviewtv
@Eaglesviewtv Жыл бұрын
Moral lesson, love and live fully wherever you are. The only better place is heaven. Thank Jack
@davidernestemmanuel701
@davidernestemmanuel701 Жыл бұрын
Natamani hata nami siku moja niwe kama yeye, kwani ndoto zetu zinafanana ila mimi sina uwezo na yeye ni mkubwa ki kazi asante kwa kuiwakilisha Tanzania na Africa pia asante bro.Jack
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Miongoni mwao hawataki kabisa kushea historia zao.but what I believe,wengi wao wamekuwa homeless Kwa sababu za skendo.wameharibu Kwa makosa tofauti.mfano uporaji wa Mali yakiwemo magari,kujihusisha na dawa za kulevya na vitu km hivyo ambavyo vimepelekea kuwa na record mbaya zinazowafanya wasiaminike tena kwenye jamii.huwezi kumuajiri mwizi,jambazi,mporaji au muuaji. Thanks bro Nice job.
@Aeko_off
@Aeko_off Жыл бұрын
Mimi na baki congo-drc i like your job , so touch my comment❤❤
@kyanzawillaine410
@kyanzawillaine410 Жыл бұрын
Kiukweli unanifanya kuotesha Imani Tangu juu kuwasaidia wasiojiweza Ila ninguvu kutoka kwa Mungu mtu binafsi hawezi kazi hiyo isipokuwa kuwezeshwa na Muumba Mungu
@makondegeneration2967
@makondegeneration2967 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Jack...Zidi kutonyesha maisha ya huko mbele maana siyo poa.. from Mozambique
@sadiboytz2054
@sadiboytz2054 Жыл бұрын
Mwanangu jack unachokifanya mungu akubaliki mim nimeishi hayo maisha street south africa pritoria
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Жыл бұрын
Mungu tu na watu wake❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Congratulations Jack!! It is a lesson to those people who want to go to USA that life is not easy as they think!!
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
I hope they get it and understand the lesson!
@timothymagutu4560
@timothymagutu4560 7 ай бұрын
But it better their than here in Africa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
@@timothymagutu4560 wise men had understood what Jack said!!
@godfreymwanache668
@godfreymwanache668 Жыл бұрын
God bless you brother kwa moyo wa utoaji hope that MUNGU atakubariki zaidi
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante!
@joaolaus9747
@joaolaus9747 Жыл бұрын
Jack you are doing a good thing, take a wrong thought from us Africans who think America life is easy, so good job my big man
@hammelmoussa2158
@hammelmoussa2158 Жыл бұрын
Asante sana bro ume fanya vizuri mungu akubarikie 🤲🏿🙏🏿
@EmmaDanfody-gj5mi
@EmmaDanfody-gj5mi Жыл бұрын
Kazi nzuri bro me nilikuw sjui kama na huko wapo watu wasio na makazi
@elkairosway1895
@elkairosway1895 Жыл бұрын
Glory be to God. God bless you for what you are doing.
@imranvaalvlogs2060
@imranvaalvlogs2060 Жыл бұрын
Maasha Allah,Mwenyezi Mungu akuzidishie kafanya kazi nzuri ya kusitiri binaramu
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!!
@manarabrahim
@manarabrahim Жыл бұрын
Jack vipi baba niambi basi boss nakupenda
@frankmpembu
@frankmpembu Жыл бұрын
Naamini, tupo watanzania wengi na Afrika kwa ujumla ambao tunajivunia kupitia wewe kwa kazi nzuri unayoifanya. Mungu akubariki sana Jack.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante na Amina. Ubarikiwe pia!
@tiberiusmaiko743
@tiberiusmaiko743 Жыл бұрын
Accent and tone of this guy
@cheddyphannison5084
@cheddyphannison5084 Жыл бұрын
Awesome,May God bless you sir
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
God bless you Mr. Jack for showing us the other side of the USA , people should understand that, despite the highest development the USA has, life is not easy so far!!
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana ndivyo tunatakiwa kuishi hapa duniani kwa upendo na kuwahurumia wengine kwa kile kidogo Mungu alichotujalia Kukataa ubinafsi kwa sababu hapa duniani ni kama tumekuja kutembea tu. Hivyo yatupasa kuwa na upendo na huruma. Mungu anafurahishwa na wewe kwa upendo unaoonyesha kwa wenzetu ubarikiwe sana Jack.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia!🙏🏾
@abuumunyrelbatwaawy7490
@abuumunyrelbatwaawy7490 3 ай бұрын
Yaani katika video zako zote, ila hii ni bora sana kaka, mola akubaarik
@amosmahona433
@amosmahona433 11 ай бұрын
Jack@MWenyezi Mungu akubariki sana
@singachankenyanews4083
@singachankenyanews4083 Жыл бұрын
Keep up the good work Mr Jack
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 Жыл бұрын
Kijanaaa mwenzangu Kwa kuamua kufanya kitu kwaajili ya taifa lako 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@claudeniyondiko5460
@claudeniyondiko5460 Жыл бұрын
Kaka ongela sana kwakua wew unatufunza giski tunaweza kua na roho ya upendo Mungu akubariki sana naamini nikishinda green card nitakuomba tuonane Mungu atuweshe kua washindi najua utanigunza mengi bro
@CaaroMiilly-mq1dd
@CaaroMiilly-mq1dd 2 күн бұрын
God bless you 🙏
@albertpike5893
@albertpike5893 Жыл бұрын
"It is what it is!!!" A phrase mostly used by blacks in America. Jack nakubali kazi yako brother we need people like you on earth to help the needy. Allah says " there's no good charity on earth which can be compared with FEEDING THE PEOPLE. Much respect brother one love brother
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@tonny_n
@tonny_n Жыл бұрын
Kijana mdogo kama wewe,kuanza maisha ya KUSAIDIA WENGINE ni HAZINA KUBWA unajiwekea Kuanzia sasa na Huko Mbelini..GOD BLESS YOU
@user-cs4jk2xw8f
@user-cs4jk2xw8f Жыл бұрын
Asante Sana kak
@johnmogaka9822
@johnmogaka9822 Жыл бұрын
Keep the wheels 🛞 rolling don't quit ❤
@fabianshagama2647
@fabianshagama2647 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kuwapa msaada hao jamaa,
@husseinkashushu3395
@husseinkashushu3395 Жыл бұрын
😂 uyo mwenye koti jekundu alikuwa anavaa barakoa bila kutoa maskio nje hahahah kweli watu wanaoagawa
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 Жыл бұрын
Franco here from Tanzania, I real love what you are doing, God bless you.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@neemamaganga7699
@neemamaganga7699 Жыл бұрын
Jack Wewe Mungu hatakuacha atazidi kukubariki Sana barikiwa broo
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!🙏🏾
@kennedykithome
@kennedykithome Жыл бұрын
Blessings Jack
@salumujuma
@salumujuma Жыл бұрын
Mungu akubariki jack
@amospiusngeleja9776
@amospiusngeleja9776 Жыл бұрын
Da,watanzania wote tungekuwa hivi ingelikua fahari,jack unaninenepesha sana yaani!
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@farajirahisi6836
@farajirahisi6836 Жыл бұрын
Mungu akubarik broh.jambo zuri unafanya.nimejifunza kidogo nikipatacho niwe ninashare.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yea, Kutoa ni moyo si utajiri. If you take care of God's people, God will take care of you!
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Jack nafurahishwa sana na moyo wa upendo na huruma
@japhetkatambi7723
@japhetkatambi7723 Жыл бұрын
I like this More appreciation Jack💐 Chukua Maua yako🙌
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 Жыл бұрын
U r a friend in need....stay blessed Jack!! Inaonekana huko hata ombaomba wanapenda kuitwa boss eh
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen, God bless you!
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Жыл бұрын
Umewaona wanamuomba nani??embu unganisha waya wa mdomo wako na ubongo mzee.
@ndihokubwayoherman2473
@ndihokubwayoherman2473 Жыл бұрын
God bless bro 🙏 to help us
@bonifasilameck9546
@bonifasilameck9546 10 ай бұрын
tuko pamoja san kak nimependa hiko ulicho kifanya Mungu atakuzidishia
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Amina!
@user-ht1bl2bb7e
@user-ht1bl2bb7e Ай бұрын
naipenda sana marekana
@bahatiserafini9790
@bahatiserafini9790 Жыл бұрын
Bro nakukubali sana
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Жыл бұрын
Good brodhre lm respect
@emmanuelsimfukwe
@emmanuelsimfukwe Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi unayoifanya ya kusaidia watu ukoUSA
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante!
@muhidinsultan2049
@muhidinsultan2049 Жыл бұрын
Ooooh?? Bro Jack ur work is so amazing and GOD my bless u, Sure homeless people abroad especially U.S.A its not compared as Africa Country that is so bad for sure ,I try to think about those people when rain came its a big problem for them. Bro keep going u deliver good for us. I like ur show
@solanaswalo8400
@solanaswalo8400 11 ай бұрын
Maisha magumu kumbe kila kona. Nimejifunza ,unaweza fanikiwa popote hata kama ni Africa
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Kaz nzuri
@achelnijimbere9073
@achelnijimbere9073 Жыл бұрын
Thx for that
@James-gt3ee
@James-gt3ee Жыл бұрын
GOD BLESS U JACK...keep on keeping on..
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@pianotv6465
@pianotv6465 6 ай бұрын
god bless u
@oswardkabasa8503
@oswardkabasa8503 Жыл бұрын
All the best bro
@user-np9wp4vo6m
@user-np9wp4vo6m 11 ай бұрын
Today my self I have got the lesson that homeless people they're in any country including america
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie mibaraka Bro.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!
@amirimbago8325
@amirimbago8325 Жыл бұрын
God bless you brother...in this world and hereafter
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!🙏🏾
@topboy5775
@topboy5775 Жыл бұрын
Jack uko pw sana bro
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Nimejifunza kuwa homeless wa marekani Wana levo ya chuo na wa tz wao ni chekechea mie nikajua watagombaninia na kumwaga wanachukua kistaarabu mno tz ungesongwa hapo Hadi kero na wako happy na serikari inajitahid nayo
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
GOD BLESS YOU JACK
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!!
@yusufmwangazi5286
@yusufmwangazi5286 Жыл бұрын
I hope one day I we hav money 2 help de need jack be bless
@cheddyphannison5084
@cheddyphannison5084 Жыл бұрын
MAY GOD BLESS YOU FOR THE GOOD WORK,ITS NOT IN VAIN
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!🙏🏾
@petersayi
@petersayi Жыл бұрын
One love broo Jackson GOD bress you
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@johnchakupewadc4679
@johnchakupewadc4679 Жыл бұрын
Mungu awenawemuda wote Kaka nikitukikubwasana unafanya God bless you
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@jumannemuhenga7038
@jumannemuhenga7038 Жыл бұрын
Keep it up and god bless you
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you so much!
@saidiramadhani-gr3hh
@saidiramadhani-gr3hh Жыл бұрын
Popote na nchi yoyote duniani watu kama hao hawakosekani kimsingi unapofika kwenye nchi za watu lazima upiganie lengo lililokupeleka huko basi.
@stevensimon5642
@stevensimon5642 Жыл бұрын
Wengi wnaamini hiyo hainaga watu kama hao, sasa ndo anatuelewesha
@Coleunlimited1
@Coleunlimited1 Жыл бұрын
Nice content, Always Mr Jack 💪🏽
@mottoTv1
@mottoTv1 Жыл бұрын
nice bro
@zakbrighton
@zakbrighton Жыл бұрын
Kali sana
@pastitutamogaka7776
@pastitutamogaka7776 Жыл бұрын
Jack your wondeful man just help plz GOD will intervine with your life
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@floriansimwinga3037
@floriansimwinga3037 Жыл бұрын
Jack unafanya vitu poa sana Mungu akubariki sana......naomba angalia kwenye email yako nimekuandikia kitu.
@charleskemei8524
@charleskemei8524 Жыл бұрын
Be blessed brother 🙏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
You too. Stay blessed!🙏🏾
@modiaz881
@modiaz881 Жыл бұрын
Nice
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Hawa wanasiasa wetu huwa wanadanganya watu eti huko ni maziwa na asali
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 Жыл бұрын
Maskini na wanae tajiri na mali zake. Hongera sana Jack, Mungu akuzidishie inshallah!!
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia!
@ChilunjikakatsilizeniBri-yr9fg
@ChilunjikakatsilizeniBri-yr9fg Жыл бұрын
Life is the text my friend...
@brightonchizamuzungu9724
@brightonchizamuzungu9724 Жыл бұрын
Jack is a real good guy
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@24Dailylife-Channel
@24Dailylife-Channel Жыл бұрын
Maisha kote sawa ili mradi uwe na kazi pamoja na hifadhi na uwe na amani, inaonekana huko America hakuna Aman na Kuna ubaguzi wa hali ya juu watu wengi wanaokwenda huko wanafuata starehe tu
@novatinive3448
@novatinive3448 Жыл бұрын
God bless you
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen
@user-bu9wl9fn3c
@user-bu9wl9fn3c 11 ай бұрын
Katika muda wa winter hawa wanadamu watafanya vipi ?
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Jack you are not alone
@ameirhemed210
@ameirhemed210 Жыл бұрын
KAKA SAFI SANA VIDEOS ZOTE HUJA KOSEYA
@davidkianda6067
@davidkianda6067 Жыл бұрын
God bless you braza, 🙏🙏
@davidkianda6067
@davidkianda6067 Жыл бұрын
Unatuwakilisha Africa mzima, streaming live from Kenya🙏🙏🙏
@samwelkikura
@samwelkikura 10 ай бұрын
Hlw jack, niko kilimanjaro tanzania kwa upande wa Tanzania tuna watoto wa mitaani wengi, ila huko naona watu wazima wengi so tatizo ni nn aswaa
@ishemwabulayusuph5418
@ishemwabulayusuph5418 Жыл бұрын
I wanna ask you Jack what happens to someone to become homeless at the country with a lot of opportunities?
@officialaftab8760
@officialaftab8760 Жыл бұрын
god bless
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@ChilunjikakatsilizeniBri-yr9fg
@ChilunjikakatsilizeniBri-yr9fg Жыл бұрын
Maisha Ni mutiyani mwanangu
@raychipanha1919
@raychipanha1919 Жыл бұрын
Jack forever
@brightonchizamuzungu9724
@brightonchizamuzungu9724 Жыл бұрын
Kweli watanzania tumezaliwa na upendo.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA
27:09
EBM SWAHILI
Рет қаралды 5 М.
Kwa sababu gani nyumba za America niza mbao?!!
10:23
Huku Yues
Рет қаралды 98 М.
Njia 5 za Kuja USA
2:14
Erica Lulakwa
Рет қаралды 3,8 М.
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
MAISHA YA MAREKANI NI YA MADENI | WENGI WANAKUFA KWA STRESS YA PESA | ELIMU YA FEDHA
1:20:10
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН