Huu ndyo uimbaji wa kisababato harisi. ungesambaa Kwa wasabato wote ingefaa sana
@Shukuru_ Жыл бұрын
Asee mbarikiwe sana, nimependa sana style ya uimbaji hasa upigaji wa vyombo. Hakuna mikito/ngoma
@onesmobombile9749 Жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo pekee zitakazoupindua ulimwengu wa ukiristo. Tumechoka na midundo na style za ulimwengu zinazomtukuza Shetani. Bwana Yesu awabariki na kuwaokoa 🙏