Mungu azid kuwabariki nina barikiwa kupitia nyimbo zenu zinanigusa sana🙏
@HappynessShauri3 ай бұрын
Mungu awaongoze usharika wangu wa zamani hongereni sana kwaya ya ukombozi
@rosemarymathew92152 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa huu wimbo umenigusa sana.
@micah36266 жыл бұрын
Asanteni sana wana ukombozi,kwa nyimbo zenu zenye baraka,oh! my God naomba unifikishe Tanzania nikashuhudie moja kwa moja na kutangamana na hawa waimbaji .God bless you so much.Ni Micah kutoka Kenya
@webijacktan66682 жыл бұрын
What a beautiful song this is! Coras acha kabisa ime......
@wiza23094 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@robertmutua25223 жыл бұрын
God bless this choir... such a touching song ..I can listen hundred times.. bless bless bless..
@kpbuildtv91892 жыл бұрын
twiimwe vyu
@davidbahati23084 жыл бұрын
Sijui ni population ndio inasabisha Dar kua bora kwa makanisa makubwa kweli mnaimba from moyoni watu wafurahiya sana
@irenelemmy58636 жыл бұрын
my favourite song, Mungu aseme na huduma yenu wapendwa.
@neemamcharo37974 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana wapendwa Mungu awabariki sana
@gladyschepkirui51496 жыл бұрын
wow!such an inspiration.Mbarikiwe sana kwa kujitolea kumtumikia Mungu.
@seraphinaniunva2078 жыл бұрын
mubarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri nimebarikiwa sana na nyimbo hizi zinaniweka karibu na Mungu,tumaini letu lipo kwa Mungu
@maajabuyadunia94182 жыл бұрын
@rapahelkamwela68088 жыл бұрын
mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa kweli kwa kazi hii nzuri
@rachelmichael68197 жыл бұрын
kweli Mungu anavyombo. mbarikiwe sana, Je albamu imeingia sokoni tayari
@divinekb11677 жыл бұрын
nice song ,, God bless u guys
@alfredsamson66677 жыл бұрын
mungu awabarki, nmeona uwezo wenu na utumishi wenu
@kissakakese32576 жыл бұрын
wimbo wa kila wakati kwangu,mubarikiwe
@ednaemmanuel73465 жыл бұрын
mbarikiwe
@adelasebastian5924 жыл бұрын
Good.
@mboneaalbert6774 жыл бұрын
Bless
@webingogo36334 жыл бұрын
There is a great message in this song may god bless you:
@doktab4 жыл бұрын
Blessing...lovely...heartwarming.
@fedricksinya55137 жыл бұрын
mungu awabariki wooote for good song
@rachelgwandu70786 жыл бұрын
Martha
@rapahelkamwela68085 жыл бұрын
This album has been a blessing pillar to my family.My son who is Just 2years can sing from mikate mitano to the last song kila mtu na shida yake....He real like you guys and so do we.You came to our church but i couldn't use your presence effectively..this i regret........but welcome again and again and so we ask God to continue exalting you all over and over....nawapenda sana
@kpbuildtv91892 жыл бұрын
hapo kwa 2 years its not true
@davidtangulia30408 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@ndaririchard18166 жыл бұрын
Nice song ,blessing you
@mrs.eileenvahaye86699 жыл бұрын
u made me cry!
@meshackandrew23278 жыл бұрын
Mmeugusa sana moyo wangu."Kusifu kwawapasa wanyofu wa moyo"
@seraphinaniunva2078 жыл бұрын
mubarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri nimebarikiwa sana na nyimbo hizi zinaniweka karibu na Mungu,tumaini letu lipo kwa Mungu
@seraphinaniunva2078 жыл бұрын
mubarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri nimebarikiwa sana na nyimbo hizi zinaniweka karibu na Mungu,tumaini letu lipo kwa Mungu