NINAKUABUDU MUNGU WANGU - NYIMBO ZA KUABUDU (EKARISTI)

  Рет қаралды 252,090

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@raymondmushi3310
@raymondmushi3310 4 жыл бұрын
Nakumbuka kapilano wetu ktk shule niliyokuwa nikisoma alituimbia hii nyimbo na akagusia mstari wa 'Yesu pelikane utazame'. Akatueleza kuwa pelikane ni ndege ambaye hujiua ili makinda yake yaweze kupata chakula wakati wa njaa. Kila niusikiapo wimbo huu wanikumbusha jinsi Yesu alivyo zaidi ya pelikane kwani aliutoa mwili wake kwa ajili yangu mimi mdhambi nisiyestahili. Mbarikiwe sana
@RankMugiira-yp8tv
@RankMugiira-yp8tv Жыл бұрын
Pppppppppppppp
@mariavenance3427
@mariavenance3427 2 ай бұрын
🙏
@catherinedeus8378
@catherinedeus8378 Жыл бұрын
Bwana Yesu Tuhurumie Sisi wadhambi hatustahili mbele yako Okoa Na Bandari yetu
@zenobiakapere1379
@zenobiakapere1379 Жыл бұрын
Asante Yesu,nguvu ya kanisa katoliki iko ndani ya Ekaristi Takatifu.
@HellenMoranga-m5l
@HellenMoranga-m5l 2 ай бұрын
Baba nimekuja mbele zako wew ndiye unayenijua venye Niko mungu wangu
@CentraleSchoenstatt
@CentraleSchoenstatt Жыл бұрын
Tumaina langu ni kwako Yesu
@jorithjasson7725
@jorithjasson7725 2 жыл бұрын
Hii nyimbo Jamni!!! Kuiimba Kwa kumanisha Ina nguvu Fulani ivi naipenda sana
@IvonePriscus
@IvonePriscus 3 ай бұрын
Ninakuabudu Mung wang wa altareni....unayejibu kila ombi langu
@sarahkalumuna4136
@sarahkalumuna4136 11 ай бұрын
Yesu Pelikane nitazame,,, na Kwa Damu yako nitakase...,.Tone moja ndilo linatosha,, na Dunia yote ya Okoka
@calistusmanyonge9383
@calistusmanyonge9383 Жыл бұрын
Proud to be a Catholic, I believe in God, he's my king through his son Jesus Christ 🙏🙏🙏🙏
@NorbertKomba
@NorbertKomba 6 ай бұрын
huu wimbo unanikumbusha mbali na siwez usahau.... ulikua ukiimbwa kwa hisia kali na mabrother wa st paul the appostle lighano monastery.. pia nika ukuta seminary asee it fill my heart all tyme🙏🙏
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 Жыл бұрын
Ninakuabudu Mungu wangu asante bwana kwa kunilinda
@rodgersrojjassoh7168
@rodgersrojjassoh7168 4 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana eeeh yesu utafumbuliwa lini niuone uso wako mwokosi
@timotheeuwandameno6826
@timotheeuwandameno6826 5 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana, inagusa kiini cha imani yetu ! Yeye ni Mungu Mwana na Ukweli.
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina
@seelinselin6215
@seelinselin6215 2 жыл бұрын
Vizuuuri sanaaa
@elizabethmwangimaina7418
@elizabethmwangimaina7418 5 жыл бұрын
NiNakuabudu mung Wangu, unayejificha chiniyagu🙏🙏
@daliuskalinga5683
@daliuskalinga5683 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa nyimbo zenye faraja.
@irenekanyerere8549
@irenekanyerere8549 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na huu na wimbo jamaniii Mungu awabariki muendelee kufanya kazi yake vizuri
@terrygabby8976
@terrygabby8976 5 жыл бұрын
1. Ninakuabudu Mungu wangu, Unayejificha altareni Ninakutolea moyo wangu, usiofahamu siri yako. 2. Mafahamu yangu yadanganya, Yanapokuona na kugusa Namsadiki Yesu hadanganyi, Yeye Mungu Mwana na ukweli 3. Waficha Umungu msalabani, Na ubinadamu altareni Nami na ungama yote mbili, Kama mwivi yule mwenye toba. 4. Thomaso aligusa majeraha, Nami nasadiki bila shaka Ewe Yesu nipe pendo lako, Tumani kwako na imani 5. Umeteswa nini Bwana mwema, Kwa kunipa mkate wa uzima Yesu unifiche ndani yako, Ili nilionje pendo lako 6. Yesu Pellicane utazame, Na kwa damu yako nitakase Tone moja ndilo linatosha, na dunia yote yaokoka 7. Ndani ya mafumbo Yesu yumo, Utafunguliwa kwangu lini? Nikuone Yesu uso wako, Nishiriki nawe heri yako
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina
@sethmartin6555
@sethmartin6555 5 жыл бұрын
Hallow Terry, Nashukuru Sana Kwa mashairi ya wimbo huu, Kwa kweli umenibariki sana maana wimbo huu umenigusa. Sipati picha siku ile nitakapouona uso wa mkonbizi wangu. Nitamwabudu milele. Ee Yesu nitie nguvu nikufuate wewe siku zote za maisha yangu. Amina.
@fatmakizimba744
@fatmakizimba744 4 жыл бұрын
Asante saana kwa mashairi haya .nimebarikiwa.
@francisosward6930
@francisosward6930 3 жыл бұрын
Amina
@gracebutiku9889
@gracebutiku9889 Жыл бұрын
Asante sana kwa mashairi ya wimbo
@frankfaustine2607
@frankfaustine2607 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa kunitumia yimbo za dini
@hefintus
@hefintus 5 жыл бұрын
Ukisikiliza kwa makini unayasikia maeneo, nakumbuka nikiwa seminary ndogo tuliikua tukiimba kwa kiingereza hiyo nyimbo" Jesus God of ages"
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Hongera sana ndugu. Mungu pekee ndiye anayetuwezesha kufanya mambo haya. Tumshukuru na tuendelee kumuimbia daima. barikiwa sana ndugu
@jacquelinemushi8145
@jacquelinemushi8145 4 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki na kuuishi.Hakika ktk Ukatoliki wangu nimemwona Mungu kwa namba ya ajabu.
@upendokasmiri405
@upendokasmiri405 5 жыл бұрын
Yesu wangu wewe ndio fahari yangu🙏🙏🙏
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina
@kalynmwikali1943
@kalynmwikali1943 5 жыл бұрын
Tumaini yangu nikwako yesu
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina
@margrethmichael1023
@margrethmichael1023 4 жыл бұрын
Yesu pelikane nitazame nakwa damu yako nitakase tone moja ndilo linatosha.
@engibertmzaula9461
@engibertmzaula9461 4 жыл бұрын
Naupendaga wimbo huu
@amanijm746
@amanijm746 5 жыл бұрын
Kwa asiyejua mashairi yake ni ngumu kusikia maneno... napenda tune original zaidi
@madamkomba5001
@madamkomba5001 5 жыл бұрын
mafahamu yangu yadanganya yanapokuona na kugusaaaaa
@Jifunze1002
@Jifunze1002 5 жыл бұрын
dah!! wimbo unanigusa sana huu!!
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina
@tilolmuna7683
@tilolmuna7683 4 жыл бұрын
Aamina
@margrethmichael1023
@margrethmichael1023 4 жыл бұрын
Nami naungama zote mbili kama mwivi yule mwenye toba.
@fridahanselmina6183
@fridahanselmina6183 5 жыл бұрын
Thanks sana for the Song
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amina. Asante kushukuru
@gaojohn896
@gaojohn896 5 жыл бұрын
ninakuabudu Mungu wangu
@angelinamghambi3854
@angelinamghambi3854 Жыл бұрын
I love this song ❤❤❤
@patrickmughera5611
@patrickmughera5611 8 ай бұрын
Bon chant
@marrychid8924
@marrychid8924 4 жыл бұрын
Kweli jamani
@bettyachieng726
@bettyachieng726 2 жыл бұрын
solemn and beautiful....❤❤
@kwayabikiramariamamawashau2448
@kwayabikiramariamamawashau2448 4 жыл бұрын
FUMBO ABUDIWA NINAKUABUDU.....
@georgekorir2381
@georgekorir2381 5 жыл бұрын
Nice prayer in a song. God bless you
@KFTStJoseph
@KFTStJoseph 5 жыл бұрын
Amen. God bless you too
@elineelibariki6753
@elineelibariki6753 3 жыл бұрын
Love it!
@zenosakibeno8366
@zenosakibeno8366 4 жыл бұрын
Amen...🙏🙏🙏
@Jifunze1002
@Jifunze1002 5 жыл бұрын
tupite kidogo na kwangu
@nikkynimmoh3397
@nikkynimmoh3397 3 жыл бұрын
My heart it gives me most peace
@methuselalameck8296
@methuselalameck8296 5 жыл бұрын
Amina
@nemesminazi7234
@nemesminazi7234 5 жыл бұрын
Ee yesu wangu na mungu wangu katik umungu wako maxima ninakuabudu
@magrethsheshe3692
@magrethsheshe3692 5 жыл бұрын
EWE YESU NIPE PENDO LAKO TUMAINI KWAKO NA UZIMA
@geofreymahimbo713
@geofreymahimbo713 3 жыл бұрын
2021🙏🙏🙏🔥🔥
@vivianjohn246
@vivianjohn246 5 жыл бұрын
AMINA
@beatusnjalica1506
@beatusnjalica1506 3 жыл бұрын
Naikumbuka Sana wimbo huu nikiwa minisrant Jimbo katoliki njombe tokea 2012 mbaka 2018
@moseskalinga356
@moseskalinga356 5 жыл бұрын
@ipyanamwanyanje2082
@ipyanamwanyanje2082 5 жыл бұрын
Mkwee
@thomaskimani1203
@thomaskimani1203 3 жыл бұрын
Katika ubeti wa Saba neno "utafunguliwa" kwa maoni yangu naona limetumika visivyo. Labda tungesema "utafumbuliwa". I stand to be corrected Nice sweet song
@annamosha968
@annamosha968 Жыл бұрын
Mbona ndivyo ilivyo utafumbuliwa
@markodenischipeta4050
@markodenischipeta4050 4 жыл бұрын
Kuna group la nyimbo za dini..weka namba yako kwenye comment upate kuadiwa na kusikiliza mziki mtakatifu. Mt.Secilia msimamzi wetu utuombee
@beatusjohn5395
@beatusjohn5395 4 жыл бұрын
0764734845
@fatmakizimba744
@fatmakizimba744 4 жыл бұрын
0655993720
@edwinrichard8940
@edwinrichard8940 3 жыл бұрын
0762433675
@johnjm3858
@johnjm3858 5 жыл бұрын
wimbo mzuri sana,naomba jina mtunzi au nota zake please,natanguliza shukrani.0685_326100 whatsApp
@barnabasmalashi4873
@barnabasmalashi4873 5 жыл бұрын
Good song
@paulbenedict1744
@paulbenedict1744 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana naomba kuungwa kwa group hilo la nyimbo 0763580377
@floranyaki7979
@floranyaki7979 2 жыл бұрын
Mtunzi ni Akwino wa Thorma
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
22:56
Kwaya Katoliki
Рет қаралды 116 М.
Ninakuabudu Mungu Wangu - St. Thomas Aquinas
6:54
Kwaya Mt. Fransisko Ksaveri, Chang'ombe Parish DSM
Рет қаралды 28 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Ni Salama Rohoni Mwangu - Tenzi za rohoni lyrics
5:24
Lyrics Captain
Рет қаралды 3,6 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 35 МЛН
POKEA MOYO WANGU
7:09
Lukas magara
Рет қаралды 127 М.
TRACK: NAKUABUDU MUNGU WANGU (Tanzania)
4:43
Munishi TV
Рет қаралды 567 М.
Kuabudu Ekaristi Takatifu.
26:48
Amadeus
Рет қаралды 370 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН