Nyimbo nzuri sana.Hongera kwa uinjilashaji wenu kupitia mziki
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
0
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
0
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
0
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
0
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
0
@stevenpius84206 күн бұрын
Jicho la Bwana likikutazama hakuna litakalo kukwamisha maishani🙏
@AloyceKipangula6 күн бұрын
Asante Sana Ndugu Steven Pius. Tumshukuru Mungu kwa Yote
@NicodemusMasanju Жыл бұрын
Kazi nzuri mwalimu, Mungu akubariki
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Nicodemus
@Amatha_K Жыл бұрын
Ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu nimeguswa nao vilivyo🙏🙏
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina🙏
@atienomary260511 ай бұрын
It made shade tears knowing who my God is
@MbuyaRose7 ай бұрын
😊@@AloyceKipangula
@priscadavid59177 ай бұрын
Neema na Baraka zake zimenifikisha hapa...Asante Mungu
@ilungakafutshijulienne4449 Жыл бұрын
Naabudu Mungu kupitiya nyimbo zako hapa Congo Kinshasa, Mungu aku bariki tena👍👍👍👍
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Ndugu Ilunga basi washirikishe na wengine nyimbo hizi Ili Kwa Pamoja tumtukuze Muumba wetu
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Amen
@Mickoneproduction Жыл бұрын
Ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu nice song
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana kaka Mickone kwa kuwa mfuatiliaji Mara kwa Mara katika utume huu. Mungu Akubariki sana🙏
@SuzanaMalewaАй бұрын
Amina nyimbo nzuri sana.
@consiliawanyama1086 Жыл бұрын
Ninayo kila sababu kweli,Ni wedding anniversary yangu 5yrs. Mungu akubariki mtunzi Na waimbaji
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Thanks
@VeronicahMboyo Жыл бұрын
Hongera sana mwalimu, nyimbo nzuri
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@ilungakafutshijulienne4449 Жыл бұрын
Upendo wa Milele wimbo nzuri Sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 kweli tume pendwa sana na Mungu wetu
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Ni Upendo wa Agape 🙏
@veronicamgimba5964 Жыл бұрын
Nimefurahia sana hongera kwa kuinjilisha
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Veronicah
@danieliusshukuru4942Ай бұрын
Hongeraa sana mtunzi kaka Aloyce natamani niupate tu wimbo huo wa ninayo kila sababu tafadhali
@AloyceKipangulaАй бұрын
Nitafute kwa Kwa Watsap 0754459766 Ili nikutumie huo wimbo
@lydiekalende7210 Жыл бұрын
Nahizi nyumbo mutu kayasahau tabu zote kweli 🙏
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@roseayuma251311 ай бұрын
Oh my God we give Him all the glory, and may He uplift you as you proclaim through singing, be blessed.
@AdautMgembe Жыл бұрын
Hongera! sana mwl wangu kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe mzuri. Hazichoshi muda wote unapenda kuzisikiliza. Stay blessed. 🎉🎉🎉
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana kaka Yangu Adaut Mgembe Mungu atubariki Sote
@MaggieNathanАй бұрын
NINAMWAMBIA MUNGU ASANTE KWA MATENDO YAKE YA MAKUU ALIYONITENDEA MWAKA HUU, HADI LEO HII ASANTE SANA YESU BWANA WANGU NA MUNGU WANGU NINAISHI KWA AJILI YAKO TU YESU KRISTO WANGU.
@MissMatage-r6u3 ай бұрын
Huu wimbo nimeutafuta saan.... Ingependeza ningeupata huu wa kwanza pekee ningeshukuru sana. Ninayo sababu ya kumwambia Mungu asante kwa kweli.
@AloyceKipangula3 ай бұрын
Uwe na Sabira Siku chacha zijazo tutakuleletea Wimbo huu ukiwa peke Yake katika mfumo wa Video pia na katika mfumo wa lyrics Ili upate na Maneno yake Yote
@joshuamuoka8352Ай бұрын
Mungu aku bariki mwalimu kwa utunzi wako
@AloyceKipangulaАй бұрын
🙏
@LiviniMangosi-jn3eo Жыл бұрын
Good song mungu awe nanyi waimbaji wote
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Livin Mangosi
@cathywalwit5437 Жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristu Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri zenye utulivu na ujumbe unaofundisha endeleeni kumtukuza Mungu aliyekujalia kipaji hiki
@beatricemaina7643 Жыл бұрын
God bless you
@cathywalwit5437 Жыл бұрын
Amen
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Thanks
@valentineluvara9732 Жыл бұрын
Nitasikia toka mbinguni! Wimbo huu unatakasa. Atukuzwe Mungu
@angelmwamlima3276 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka Kipangula Roho Mt akuongoze zaidi katika utunzi wa nyimbo za uinjilishaji🙏🙏🙏nabarikiwa napata amani Sana ninaposkiliza nyimbo hizi
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu Milele. Asante Sana AngelmwamlimA
@SylvesterKameo3 ай бұрын
Nilikuwa nasali Parokia ya Chang'ombe mwaka 1980-1985, nilipenda sana Kwaya iliyokuwepo wakati huo. Kwa sasa niko Mwanza, mara zote nimepata faraja ninaposikiliza nyimbo za Kwaya hii. Hongereni sana kwa nyimbo tamu za uinjilishaji kupitia utume wa kwaya. Mwenyezi Mungu aendelee kuwamiminia baraka na fadhila tele za kiroho na mwili.
@AloyceKipangula3 ай бұрын
Asante Sana Sylvester endelea kutuombea Ili utume huu uweze kuwaponya Wengi na wamwelekee kristo.
@gidionmibaluro7085 Жыл бұрын
ubarikiwe sana Mwalimu ......nyimbo nzuri sana
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Ndugu GIDION
@gidionmibaluro7085 Жыл бұрын
ndio mwalimu nafrahi sana ....nabarikiwa sana nkiimba nyimbo aswaa @@AloyceKipangula
@atienomary260511 ай бұрын
Wow wow wow wow May the almighty God bless the work of your hands
@AloyceKipangula11 ай бұрын
Amen
@lydiekalende7210 Жыл бұрын
Mungu Akulinde na anguongezee siku za maisha kwa utukufu wa jina lake. Mimi nime barikiwa sana na nyimbo hizo zote. Zimenisongeza sana mbele ya Mungu. Ubarikiwe sana. Nakufuta tokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Merci beaucoup. Izi nyimbo zimenitoa mbali kiroho. Zimenifariji, kunionya, kunivutiya kiroho, … zime nihubiri 🙏
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Amen
@JoachimJoachimmwambali10 ай бұрын
Baba baraka za mungu mtakatifu wa Israëli ziku shukiye kwa uwingi kwa huduma hii ya nyimbo
@venerandamorewa-h2t5 ай бұрын
Nyimbo hii imenibariki sana ni kweli ninakilasababu ya kumwambia MUNGU ASANTE.KWA YOTE ALIYONITENDEA
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Asante Veneranda Endelea Kutuombea Ili utume wetu huu endendelee kwa sifa na utukufu wa Mungu
@sabinakinunda3127 Жыл бұрын
Nyimbo NZURI sana .ubarikiwe mwl.
@ireneirene9834 Жыл бұрын
I think aloyce is underated...these is pure inspiration..asante sana mwalimu..
@AloyceKipangula11 ай бұрын
🙏
@GradyAnordy Жыл бұрын
Hongera kwa uinjilishaji nyimbo nzuri
@PasquaDemello5 ай бұрын
Kwa kweli hii nyimbo ni nzuri,ndio mara ya kwanza asubuhi hii naskiliza,kweli kazi ya mungu inapendeza,mungu tunakushukuru,hongera sanaa❤
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Tumshukuru Mungu kwa Yote anayotutendea
@sekelagatusekelege93257 ай бұрын
Kipangula tunaweza mpaka basi.Utunzi wako una upako wa ajabu
@AloyceKipangula7 ай бұрын
😂😂😂 Atukuzwe Mungu Milele
@petronilamassae72576 ай бұрын
Asante Yesu kwa wema wako..kweli ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu. Mungu awabariki kwa tungo nzuri zenye faraja.
@AloyceKipangula6 ай бұрын
Asante Sana Petronila Masae kwa Matashi Mema.
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@aidanlifestyle8 ай бұрын
MTUNZI BORA WA MUDA WOTE. UTUNZI ULIO NA TAFAKARI YA KIMUNGU. MUNGU AZIDI KUKUBARIKI.
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Asante Sana Aidan🙏
@تتغتا-س6ش5 ай бұрын
Karibu Kenya utubambishe,whaaa nyimbo zako zarudisha furaha ya moyo wangu .More blessed 🙌 ❤❤
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Asante Sana nitakuja Kenya
@Jimmsuva-be5dc Жыл бұрын
Mwalimu hii album ni nzuri sana nikasikia toka mbinguni, asante yesu, ninayo sababu na apandaye haba zimenivutia sana pia sauti zimeboreka sana pia mpiga kinanda ngoma za safari hii ni nzuri kwani zina uasili sio kama za msiape ngoma hazikua za kutulia kama hizi, hizi za kikatoliki zenyewe
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana jimmsuva Mungu atubariki Sote. Na ushauri wako unatusaidia kujipanga vizuri zaidi
@dottomnenwa4394 Жыл бұрын
Hongera sana Mwalimu
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa Yote kaka
@valentineajepkoech5879 Жыл бұрын
Neema na Baraka zake zimetufikisha hapa. So blessed by this line. God bless you mtunzi
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amen Asante Sana kwa Matashi mema. Endelea kuniombea Ili nitunge nyimbo nyingine zaidi kwa sifa na utukufu wa Mungu
@AchiaAleper Жыл бұрын
My heart is really happy when am listening thisCatholic songs am like am in the church😊😊.
@annancy99178 ай бұрын
Aloyce, utungaji wako ni wa kipekee. Nyimbo zako Zina uguzo wa Roho Mtakatifu. Mwenyezi Mungu akubariki sana pamoja na familia yako.
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@tempochoir3 ай бұрын
Amen 🙏 wimbo mzuri ❤
@EmmanuelNaftali8 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana.NAKUPONGEZA KWA UTUNZI WENYE UTUME.HAKIKA NYIMBO HIZI ZIMENIBARIKI.
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Asante Sana Emanuel Naftali Tuendelee kuinjilika na Kuinjilisha Pamoja
@VictoriaRweyemamu8 ай бұрын
Hongera sana kwa nyimbo nzuri zenye tafakari yenye utulivu wa ki-Mungu ubarikiwe sana
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Asante Sana Victoria. Endelea kuniombea Ili nitunge nyimbo zaidi kwa sifa na utukufu wa Mungu
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Thanks
@JuliusMalunde5 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu nyimbo nzuri na zinatutafakarisha vyema
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@emmanuelchome72986 ай бұрын
nataka huo wimbo wa kwanza pekee audio
@gilliansimon85175 ай бұрын
Bwana atakufundisha...nice song
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Amina
@benedictojanuary4930 Жыл бұрын
Mwalimu Goden tunaomba nota za hizo nyimbo uziupload kwenye Swahili music notes. Tuzitumie kwenye ibada. Mungu akubariki kwaa uzuri wa nyimbo hizi🙏
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Nitafanya hivyo Ndugu Benedict January. Kuanzia wiki lijalo Unaweza kuzipata Swahili music
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Nota za Nyimbo hizi Tayari nimeziweka Swahilmusic. Karibu kwa uinjilishaji
@تتغتا-س6ش Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kipaji
@mathayosylivester7121 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana hakika MUNGU ni mwema kila nyimbo zipo pw Sana
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Mathayo Sylvester. Mungu atubariki Sote
@mathayosylivester7121 Жыл бұрын
@@AloyceKipangula Amina Sana brother
@calvinkisanga166811 ай бұрын
Mwl mmbarikiwe nyimbo nzur sana hzi audio zake tunazpataje
@AloyceKipangula11 ай бұрын
Nitafute kwa Whatsapp 0754459766
@hamisikihupa2658 ай бұрын
Kweli ninayo Kila sababu yakumshukuru MUNGU. AMEN...
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Amen
@NicholasChri4 ай бұрын
Baraka tele
@linetlinet28048 ай бұрын
Ninayo sababu ya kumshukuru mungu uahi na ulinzi wake
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Asante Linet
@linetlinet28048 ай бұрын
Nyimbo tamu nimekupenda upendo wamilele
@ChristianChesco5 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@kenethlwaho1395 Жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu kwa utunzi wa nyimbo,Samahani nina shida Mwalimu
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Karibu Kenethlwaho tuwasiliane kwa Simu namba 0754459766. Aloyce Kipangula Mtunzi wa Nyimbo hizo aloyceemma333@gmail.com
@ellykogo50387 ай бұрын
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri sana, nimebarikiwa teletele
@AloyceKipangula7 ай бұрын
Tumshukuru Mungu anayetujalia Haya yote. Asante Sana Elly
@ThadeiAndrea22 күн бұрын
❤❤
@AloyceKipangula22 күн бұрын
👏👏
@ThadeiAndrea5 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wa mwenyezi Mungu
@AloyceKipangula5 ай бұрын
Asante Sana Thadei
@TheresiaPaschal8 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunifikisha hapa siku ya leo
@AloyceKipangula8 ай бұрын
Amina
@cesiliamaneno9566 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa utume wako mungu Akutunze❤,
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina Asante Sana
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Amen
@martinmutuku81027 ай бұрын
Good songs may God bless you as you continue to evangelize to the whole world
@AloyceKipangula7 ай бұрын
Amen
@tafrozashiraku85239 ай бұрын
Kweli ninayo sababu ya kunshukuru mungu
@AloyceKipangula9 ай бұрын
🙏
@atienomary26057 ай бұрын
What agift
@AloyceKipangula7 ай бұрын
Thanks
@OliverShayo-d5o4 ай бұрын
Amazing song
@silvesterkomba Жыл бұрын
Asante kwa mémo la mungu
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@SailosMaligite9 ай бұрын
naomba nota za huo wa ASANTE YESU ,au tuingizie kweny swahilimusic
@AloyceKipangula9 ай бұрын
Sawa nitaziweka Nashukuru kunikumbusha
@angelomfilinge86629 ай бұрын
congratulations, good work. May God bless You all
@AloyceKipangula9 ай бұрын
Asante Sana Ndugu Mfilinge.Endelea kuniombea Ili Kristo azidi kueleweka kwa watu wote kupitia karama aliyonijalia
@MildredLubutse-e8v Жыл бұрын
Congrulation for a sweet song
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@FlorenceKathina8 ай бұрын
Thanks
@SailosMaligite9 ай бұрын
it's fact "Ninayo kila sababu ya kumwambia Mungu asante🙏" mwalimu unajua kugusa mioyo ya watu 👏👏👏 .......Mungu akubariki, tuna tarajia mazuri zaid kutoka kwako mwalimu ✍👍👍
@AloyceKipangula9 ай бұрын
😃😃 Endelea kuniombea Ndugu Sailos Ili Roho Mtakatifu aweze kuendeleza Kazi yake ndani mwangu na Kristo aeleweke kwa watu wote