SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@bonfacemlembezi7914 Жыл бұрын
Mzee okoka
@FridayMwassa3 ай бұрын
Mtu unaweza ukawa umepotea na usijue kwamba umepotea, Ngoja tuwafundi japo kidogo ingawaje tunajua hamuwezi kurudi kwenye Mungu Jehovah.Ni hivi roho haifi hata sisi wanadamu unaokufa ni mwili tu lakini roho haifi na hiyo ndiyo itakayo hukumiwa,sasa basi viumbe kama mashetani,majini, vibwengo hizo ni roho hazifi,tokeni kwenye upotevu
@PeterXyzdlv5 ай бұрын
Dini ina mambo😢
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
Watu wenye tabia inayofanana, hutembea pamoja. Hawa wenzetu .... na majini hula sahani moja. Mafundisho haya yanajieleza wazi kabisa.
@mariamumrina6761 Жыл бұрын
Hivi kwanini ninyi wakristu mnapenda kukashfu imani za wengine hampendi kabisa kujifunza mambo mazuri kutoka kwa wengine hapa shekh anafundisha kwamba ukila bila kutaja Mwenyezi Mungu ,bac utakula pamoja na sheitwani wewe umemnukuu vibaya sio lazima ukoment ndugu
@munirshabani8731 Жыл бұрын
@@mariamumrina6761wanamatatizo ya akili hawa jamaa si bure
@FridayMwassa11 ай бұрын
@@mariamumrina6761Siyo kukashifu, nyie mmepotea nasisi hatufurahii kipotea kwenu maana Mungu anatamani kila mwanadamu ifikie toba maana Mungu hapendi mwanadamu apotee, kwakuwa jehanamu ameumbiwa shetani na malaika zake
@EliaMwangobe8 күн бұрын
@@mariamumrina6761unataka tujifunze majini??
@maase2023 Жыл бұрын
Ustaaz unachanganya hapo mbn? Tulikuwa kwa maada ya majini ss umerukia kwa shetani! Shetani ni jini aliekufuru lkn kuna majini maswalihin hapo fafanua juu ya kula nao
@Jasminehamisi29Ай бұрын
Sasa hapo ujaelewa nn kabla ya kuanza kitu mtangulize mungu dunia ina vingi tunavyo viona na tusivyo viona licha ya majini kuna wachawi misikule vita ni kubwa 😂😂😂
@harondust1247 Жыл бұрын
Majini ni malaika waasi...hakuna ibada kati ya binadamu na majini
@hattusilli2225 Жыл бұрын
Aliekuambia hio amekudanganya au na yeye hana elimu
@rokoowilfred23183 жыл бұрын
Ndugu huteteana
@machintangachibwena59222 жыл бұрын
Kafiri wewe
@rusiachupa53742 жыл бұрын
Mungu akulipe shekhe wetu na hakika hekima umfanya mtu awe karibu na wewe shekhe nakupenda sana Allah akupe umri mrefu inshaallah 🙏 💖