kwa kupitia huu ushuhuda nmejifunza kwamba ata sisi tuliookoka tunauwezo wa kunenea vitu na kutimia kwa mfano mtoto akiwa tumbon unaweza kumnenea kwamba wew n kichwa na sio mkia au ata kunenea mwaka kwamba mwaka wew mwaka 2022 hautakuwa kama miaka iliyopita kwenye maisha yang utakuwa mwaka wa baraka na vibali Ushuhuda huu n mzur snaaaa kwakwel
@jacintamaingi8433 жыл бұрын
Waaah,nashidwa cha Ku comment,heri walio n yesu,damu ya yesu yatosha
@elvisekhayemba90693 жыл бұрын
Mmmmm eheeee wachawi wana kazi kweli bali kwa Yesu no muswaki asante Jacktan kwa kazi nzuri
@neemanzengele71693 жыл бұрын
Kwa kweli tunganganie wokovu Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Jacktan kwa huduma hii tunajifunza sana .
@Iragibarune1.3 жыл бұрын
Jamani uchawi unakazi nyingi pôle kwayote ilio pitia mungu anakupenda mahandiko m’a Takatifu yana sema kua hata uwe nazambi nyekundu kama bendera uki tubu kwa ukweli utasamehewa nautakua mweupe kuliko seluji usirudilie tena mungu wabariki
@josephmtatilo23263 жыл бұрын
Daah ni hatari Sana tubaki na yesu wetu bila yesu hawa jamaa watatuumiza vibaya
@mercykariithi79193 жыл бұрын
Asante watumishi wa Mungu jactan kwa kazi nzuri Sana unayofanya, unawapatanisha watu na watumishi wa Mungu na kwa mtumishi Leonard asante sana kwa ushuhuda huo mzuri na umemalizia kwa kumuinua Christo pia wewe umefungua roho yako na kuvunjika mbele za Muumba wako na pia huuitishi Hela ya maombezi kama watumishi wengine Ingawa sio wote Yesu Christo azidi kuwa Mungu wako mbaka milele Amina
@haikajohn75803 жыл бұрын
He,!!! Mungu akulinde sana baba.hayo maroho yasikudhuru
@اماحمد-ض4ه3 жыл бұрын
Hakuna kinacho shindikana kwa yesu,asifiwe yesu kwa kku toa huko
@njerimukami31123 жыл бұрын
Asante sana kwa kazi nzuri mungu akubariki sana mchungaji
@anneafrica9393 жыл бұрын
Ndio maana naombaga kabla ya kuingia chooni Damu ya YESU ukiomba unafanya shughuri zako na watoka OK Uko chooni kuna jini subiani wakristo ita Damu ya YESU waombeeni watoto wenu waume zenu wakienda chooni wasizurike. Hata wapangaji oombeeni vyoo nyumba zengine zina mazindiko hata ukienda choo Cha kanisa peleka Damu ya YESU sema napeleka mauti ya kristo initowe kwenye mateka ya choo.
@mdkkagombe41153 жыл бұрын
Tumeyajua mengi zaidi kupitiia Ushuhuda huu Mungu ni mwema kwakila jambo. Hongera sana kwako Mtangazaji kwakazi hii umeifanya.
@gracelauzi97463 жыл бұрын
Sasa aliacha kabisa Emeni Injili isonge mbele kwa Jina la Yesu Amen Amen
@daudilazaro55513 жыл бұрын
Mungu ana sababu na hizi ushuhuda kwa ajili yetu
@tamarali83253 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka unattractive ushuhuda utasaidia watu wengi Sanaa. Jacktan Barikiwa sana
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@rosemwakihaba72113 жыл бұрын
Mungu akubariki mnoo we we shujaa
@linetvisenwa41343 жыл бұрын
Asante Jacktani kwa kazi njema Mungu akuzidishie neema yake.
@rajabhussein77943 жыл бұрын
Kumbe wa nyumbani mpanda daa pole Sana ndugu yangu
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Ubarikiwe sana jacktani
@riccahcate81263 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda. Mungu awakumbuke na kuwasamehe yote kwa Jina la Yesu. Asante kaka Jactan
@johnmkama80743 жыл бұрын
Wataumbuka sana tu
@piusmtwale76903 жыл бұрын
Bila yesu duniani ni bule
@johnmayego48893 жыл бұрын
Mchungaji Leonard hongera kwa ushuhuda MUNGU akubariki
@pastorleonarddionizi93333 жыл бұрын
Ameeeen barikiwa pia
@peninahkariuki46793 жыл бұрын
Amen Ushuhuda mzuri sana 🇰🇪🙏
@fei36683 жыл бұрын
Mungu akubarik
@piusmtwale76903 жыл бұрын
Dunia hii bila mwokozi hakika ni maangamizi tu yesu tuokoe
Amen,tulisahau kukaweka asante kutukumbusha,wakati mwingine tutakaweka
@denisjosephat15033 жыл бұрын
Jaman ongerani Sana kwakupata uokovu maana ulitoka mbali.
@jesmilinaom69893 жыл бұрын
Wanganga mna kazi
@peterlyimo6696 Жыл бұрын
Sema huu ushuhuda kuna watu watajifunza kuloga
@marianachriss24443 жыл бұрын
Kweli kazi ya shetani ni mbovu
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Unge bana na maneno mengine maana wengine wanga hapa wata roga sana
@veeinn79653 жыл бұрын
Majina ya M-pesa please
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Jacktan Msafiri
@pastormalitiushuhuda99659 ай бұрын
Ama kweli Mungu atusaidiye
@shadrachkamyori99117 ай бұрын
Mambo mazito haya. Mtumishi Jaktani ukiikosa mbingu basi tena.
@monicahnjeri2572 жыл бұрын
There is God in heaven
@LoFi_1203 жыл бұрын
Following
@revinaabela42813 жыл бұрын
Duh
@kmwendemusic53793 жыл бұрын
Shetani wewe na mambo yako machafu ivi ndio maana utaishia motoni milele.... Na uchomekee uko kabisa
@myself41283 жыл бұрын
Ina maana hilo pembe nalo lilikuwa hai??ilikuwa lipepo?nywele za kichaa ulizipatia wapi?je ingewezekana mtu angeliiba ilo pemebe ingekuwaje??ulikuwa ukiliona?
@gloriatoo223 жыл бұрын
Shetani ashindwe kabisa
@lolguy-x9n3 жыл бұрын
So mtu anajipaka jini?
@irenengina2333 жыл бұрын
Swali kama mtu anaamini Mungu kabisa na wewe uede kufanya tandiko lako kaburini uue mtu je hapo kutaeda aje ?ungetuelimisha hapo
@myself41283 жыл бұрын
Unapoenda kuroga mtu unakuwa unaonekana au unakuwa huonekani???na je hujawahi pata tatizo na wachawi wenzako??
@milley71852 жыл бұрын
😀😀😀😀
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Nyinyi Walevi Kweli Katikati Ya Stol Mnaeka Ujinga Usio Na Mana