WAWILI WALIOFANYA ZINAA HAWAFAI KUOANA KISHERIA...? / NDOA YAO INAKUBALIKA KISHERIA...?

  Рет қаралды 23,774

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

Күн бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #Tanzania

Пікірлер: 41
@alakhy9448
@alakhy9448 6 жыл бұрын
Shekhe kajibu vizuri Allah amlipe. Hii ndo amana ya ilmu,anakupa uwazi kwamba kuna baadhi wanasema hivi na wengine wanasema hivi,sio utakuta shekhe anakukatia moja kwa moja haifai wakati anajua kuna wengine wamesema tofauti,matokeo yake mtu akiskia mwingine anasema vingine anaona MASHEKHE WANACHANGANYA . Allah akulipe shekhe batashiy
@abdulkadirjinyevu13
@abdulkadirjinyevu13 3 жыл бұрын
Mashallah umeongea point sana
@mohamedsuleiman7255
@mohamedsuleiman7255 5 жыл бұрын
MashaAllah Mola azidi kukufungua kifua chako akujaze ilmu iliyo kubwa kwa jinsi unavyofafanua majibu yako
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran koo zoma ya Riyadh tv online Allah awalipeni kheri fidunia wali akhera.
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 3 жыл бұрын
Nampenda saana sheikh langu sheikh Shaabani. Maa shaa Allah alaihi.
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Shukran jazzakaLLAH Kher sheikh shukran kwa mafunzo
@SaidSleyyum-fi6jd
@SaidSleyyum-fi6jd Жыл бұрын
Masha Allah sheikh anajua kujibu
@umaimaalharthy3581
@umaimaalharthy3581 5 жыл бұрын
Shukran
@barghashally7791
@barghashally7791 3 жыл бұрын
Maashallh sheikh wetu allh akuhifadhi
@RehemaSalim-m8s
@RehemaSalim-m8s 12 күн бұрын
Aslkm shekhe samahani ninaswali naikiwa mumeo hakuridhishi kwa tendo ĺa.ndoa je unahaki ya kuitisha talaka yako kuliko kuzini hebu nijibu plz nsameh sana
@luisabacaranli9058
@luisabacaranli9058 3 жыл бұрын
Masha allah
@leyhabashigumadaresa2925
@leyhabashigumadaresa2925 3 жыл бұрын
Shukran shekh
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah shukuran suali zuri tunajifunza kwakweli
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran sana sheikh kwa kutuelimisha Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha Allah akuzidishie ilimu.
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
zayyati yusufu amiin kwawote
@azizamohamed1767
@azizamohamed1767 9 ай бұрын
Maashaallah yani nilikua sikusikilizi hasa ila leo nimeona nikusikilize ila maashaallah umejua kuelezea vizuri sana nitakua nakusikiliza siku zote yani upo vizuri sana
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 6 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho
@bahiyaseleman5838
@bahiyaseleman5838 3 жыл бұрын
Mashaa allah shekh wngu una hekma kubwa saana na majibu yako shukraan saana
@jamilaiddy3478
@jamilaiddy3478 5 жыл бұрын
Shukrn shekh
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Shukuran jaziran shehe wetu kwa somo zuli
@adilihassan8455
@adilihassan8455 3 жыл бұрын
Salam alaikum,. Me nashangaa na nyinyi waislamu wenzangu,comment zenu APA ni "shukrani" tuu ,ivi ni muislamu Nani asiejua uznifu ni dhambi kubwa? Jaman tunasema Allah anasameh kla dhambi lakin maut huja ghafla ,,
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@proud2beamuslim824
@proud2beamuslim824 3 жыл бұрын
Aslm aleikum.. Allah (swt)anasameh kila kosa,je ukitubia kwa Allah kama ulizini uneza kusamehewa Bila kupigwa bakora mia.?? Naomba jibu Inshallah
@sarmajid8603
@sarmajid8603 3 жыл бұрын
Kupigwa bakora ni kwa aliyekamatwa,km hukukamatwa ? Usiombe msamaha?
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 жыл бұрын
A sent
@rasheedwashee9112
@rasheedwashee9112 10 ай бұрын
Zinaa hii inayozungumziwa ni ya kuingiana kimwili ama ni zinaa ya matamanio paswi na kuingiana kimwili?
@RiyadhTvOnlineZnz
@RiyadhTvOnlineZnz 10 ай бұрын
Hii ni ya kuingiliana kimwili
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Watu wengi wanampenda Sheikh huyu mie pia nampenda huoni taabu kumuuliza suala lolote
@alishakt7877
@alishakt7877 11 ай бұрын
Sheikh unapotosha watu
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 6 жыл бұрын
jee hao ni maulamaa,maswahaba na maimamu juu ya kuhitilafanaa..je mtume yy kasemaje?juu ya hili?,maana hizi hitilafu hawa wanasema hiv na hawa wengine wanasema vengine,huwa zinachanganyaa..Ila shukran
@shabihuayoubu4663
@shabihuayoubu4663 6 жыл бұрын
Ukhti johari Abdallah Jambo ambalo limejibiwa kulingana na mtizamo wa wanawachuoni kama hivo basi ujue haijaja kauli ya moja kwa moja toka kwa mtume bali dalili zao zinakuwa na kutohowa hukmu toka kauli za Allah na mtume ambaxo hazijaweka wazi moja kwa moja
@saidtwahir9616
@saidtwahir9616 5 жыл бұрын
Asalam aleikum asemalo Mungu Mtume hawezi kulipinga, tofauti ni ufahamu. KAMA DALILI IPO WAZI NDOA YA MZINIFU NA MSHIRIKINA NI HARAMU KWA MUUMINI( Suratul Nuur ayah 3) Basi wasemao kuwa ni halali ya kwamba mzinifu hoewi au haolewi ila na mzinifu au mshirikina wamekosea ufahamu. Maanake ni kwamba kwa alo mzinifu au mshirikina fikra, tabia, mienendo, ya watu sampuli hii ni kuwa zinaa kwao si jambo la ku khalifu Amri ya Allah yaani hawajali dini wala Mungu. ILA KWA MUUMINI NI HARAMU. Kwa asoamini Qurani watafunga ndoa ya uzinzi na ikiwa Mungu kaiharamisha ina maana hamna ndoa ilopita.....Kwani uislamu ni uswafi kadhalika muumini lazma ajitakase na matendi machafu kwa taubah. Wafahamu wangali waendelea na Zinaa endapo watafunga ndoa kabla ya taubah.
@hasnatibaby4134
@hasnatibaby4134 5 жыл бұрын
Said Twahir hapa nimeelewa sasa jmn Allah atunusur waja wake
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
HAIFAI NDOWA YA ULIOMZINI ALAFU UNAMUOWA HAISIHI HUWEZI KUMTOMBA MWANAMKE ALAFU UNATA KA KUMUOWA NA KUTOWA MAHARI HAISIHI 👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹😇👹👹😇👹👹😇👹
@halimarajabu6177
@halimarajabu6177 3 жыл бұрын
Eeh mungu wengi tumezin na watoto tunao
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 жыл бұрын
@@halimarajabu6177 kabisaa.
@wahidabawabu8965
@wahidabawabu8965 3 жыл бұрын
Kama Ivo basi asilimia Mia hawana ndoa toka end za nanini zetu
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 3 жыл бұрын
Maneno yako machafu ulotumia ni dhahir huna akili
@alakhy9448
@alakhy9448 6 жыл бұрын
Shekhe kajibu vizuri Allah amlipe. Hii ndo amana ya ilmu,anakupa uwazi kwamba kuna baadhi wanasema hivi na wengine wanasema hivi,sio utakuta shekhe anakukatia moja kwa moja haifai wakati anajua kuna wengine wamesema tofauti,matokeo yake mtu akiskia mwingine anasema vingine anaona MASHEKHE WANACHANGANYA . Allah akulipe shekhe batashiy
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Shukran
@ummulkheir8321
@ummulkheir8321 4 жыл бұрын
Shukran
Ndoa ya wazinifu.HAIJUZU
16:59
uongofu
Рет қаралды 18 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
NDOA BAADA YA ZINAA
11:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 103 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSELEM HADI KUINGIA GEREZANI (EPISODE 2)
30:52
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 32 М.
Islamic Ruqyah for Healing and Peace | Play While Sleeping
1:59:06
Everyday Ruqya كل يوم رقية
Рет қаралды 13 МЛН
JEE MAMA AKIKUKATAZA KUMUOA MWANAMKE YALAZIMU KUMSIKILIZA
11:46
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 84 М.
NDOA HIZI HAZIKUBALIKI
15:49
Kishki Online TV
Рет қаралды 199 М.
NDOA NA MKE WA ZINAA
8:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 128 М.
Madhara ya Zinaa kisayansi
19:04
M BACHU'S FATAAWA
Рет қаралды 2,2 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН