Nini kimemkuta HARMONIZE Uganda baada ya kupiga show nzito, tukio hili laacha maswali

  Рет қаралды 20,004

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@Mahundavlog
@Mahundavlog 17 сағат бұрын
Kaka zangu mimi naishi na waganda nchini Dubai lakini wabinafsi kishenzi kwa waswahili hawatupendi kweli kweli washwahili wanajifanya wazungu wakati masikini kweli kweli😏😏
@CodeWithAthanase
@CodeWithAthanase 2 күн бұрын
Kuna sababu za kihistoria zinazowafanya wasitumie kiswahili tangu vita ya 1978,kiswahili inaonekana kama lugha ya mapolis wanajeshi na majambazi.Ni story ndefu but inshort Iko hivo
@OliviaOlivia-rh1eb
@OliviaOlivia-rh1eb 12 сағат бұрын
Habibi come to uganda 🇺🇬 ❤❤❤❤
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 3 күн бұрын
Jeshii ❤❤❤❤❤❤❤heshima yako kaka urud salama
@alisamwenemwembe46
@alisamwenemwembe46 3 күн бұрын
Jeshii🎉❤
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 күн бұрын
Angeenda mondi agefeli ila konde kuimba inglish kumemwokoa❤❤
@benxowizkid6687
@benxowizkid6687 3 күн бұрын
Hivi kuna mu.tz badogo anamuongea vby mond ila dah macho yanatofautiana kuona.😂
@benxowizkid6687
@benxowizkid6687 3 күн бұрын
Hivi tuseme kwl harmonise wakawaida sana mbona jamani
@kenrifambi
@kenrifambi 3 күн бұрын
Sasa Diamond huperform Europe daily hatashindwa vipi na UG
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 3 күн бұрын
​@@kenrifambidaily ipi
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 3 күн бұрын
Uzuri wa Diamond nyimbo zake hazitegemei lugha ya kingereza lile vibe tu we mwenyewe utaruka bila kuambiwa😂😂
@charleschito6341
@charleschito6341 2 күн бұрын
Asante Konde jeshi
@benayasamson1270
@benayasamson1270 3 күн бұрын
Uganda hawapend kiswahil kwasabab ya kihistoria
@kevo_da_clever
@kevo_da_clever 3 күн бұрын
Kumbukeni vita ya Kagera, hiyo ndo ilifanya waganda wachukie watanzania na mambo yote
@ZaitunJuma-l5p
@ZaitunJuma-l5p 3 күн бұрын
Kweli kbc yn ht ukipanda gar kutok Uganda kuja Tanzania gar linapiga miziki yao t
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 2 күн бұрын
Ila huyo mtoto wanangu iyo sura na macho yake noma 😂😂😂
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 Күн бұрын
Waganda hawapendi kiswahili kwa sababu ya historia mbaya iliwatokea kiswahili kilitumika na wanajeshi kuwanyanyasa watu na kuwaibia mali zao kwa kipindi kirefu walikuwa wakiongelesha mtu kiswahili haelewi wanaua tu.Museven anatokea western uganda wanaongea kiswahili pia amesoma Tanzania chuo kikuu.Northern uganda wanaongea kiswahili pia
@m___ck799
@m___ck799 3 күн бұрын
Harmonize ameshaperform Uganda many times na kujaza Why is it everytime you have to bring Mondy kwenye story za Harmonize. Please,Respect his name! Thank You
@mhabimina4023
@mhabimina4023 3 күн бұрын
Swahili is most beautiful language 🔥👌
@reginaldephraim1708
@reginaldephraim1708 3 күн бұрын
Kaka fanyeni utafiti Uganda national language ni kingereze then tribal language na kiswahili Uganda inatumika kama lugha ya majeshi either police or amry ni lazima ujue kiswahili so rai ndio wame aminishwa hivyo
@AllySule-t9g
@AllySule-t9g 3 күн бұрын
Kiengereza kipi mnaongea nyinyi na wakenya watu wanaoongea english fasaha ni %35 na lugha yenu yakiganda
@InesRubakare
@InesRubakare 3 күн бұрын
Upon Sawa kabisa.kiswahili ni lugha ya jeshi na police tu.rai wakawaida hawajiwi hata kidogo
@barakaleader1550
@barakaleader1550 3 күн бұрын
Well said
@mazikumange9130
@mazikumange9130 3 күн бұрын
Kingereza Uganda syo national language ila ni official language ambayo inatumika kwenye official occasions tu kama high court etc the same to kiswahili mostly Ugandans use Luganda so generally Uganda haina lugha ya Taifa do research bro
@Zuuh107
@Zuuh107 3 күн бұрын
Kiganda mwaongea ndo ngeee kike komeni kabsa 😂😂😂 etii nyonyo kingee bora hata sis hatuna lafuzi kama yenu
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 3 күн бұрын
Hamna msanii wwte wa east africa ambae ameshamaliza soko la east afrika wasanii wa tz wanatrend tanzania na kenya tuuu uganda wao hawapend wasanii wa nje ya nchi yao
@KizzaSadamJuma
@KizzaSadamJuma 3 күн бұрын
Hawa nani kawambia Uganda hatujui Kiswahili nitu Vile tumezoeya kingereza nakilugha kama vile nyinyi watanzania mnatumia Kiswahili sana kuliko lugha yoyote
@MohamediHasani-bm6xu
@MohamediHasani-bm6xu 2 күн бұрын
Ni ukweli uganda kiswali ni shida sana nishakutama na walimu wengi sana wa uganda kiswahili ni shida
@BongolineTv
@BongolineTv 2 күн бұрын
Museven Kasomea Tanzania Ndo Maana anajua Kiswahili kasomea Na Kuishi Kyerwa Mkoa wa Kagera Fatilia Historia
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 3 күн бұрын
Museveni ameishi sana Tanzania miaka ya nyuma na hata baadhi ya watoto wake wamezaliwa Tanzania
@abasiabdallah6067
@abasiabdallah6067 Күн бұрын
Hapana waganda c wabinafsi nyimbo ni melodi wakat mwingine hatuitaji kuelewa unaimba nn ukiimba utasasikika koote Kama Despacito imeenda na hatuelewi maana
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 3 күн бұрын
In Kenya Kiswahili yafunzwa kutoka shule ya msingi ,sekondari hadi chuo. Na ukizingatia sana kiswahili kilicho sanifu.
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 3 күн бұрын
Hahaaaaaa😂 we jamaa juzi tu ruto kasema atatoa hotuba kwa English mbele ya samia nakusema kiswahili chake si sanity, kiswahili sanifu kiko pwani Mombasa lamu huko huko kwingine hakuna kiswahili sanifu usitudanganye
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 3 күн бұрын
@ mimi wa Mombasa bro na nimekuwa Tz sio mara moja na nikiwa huko mimi Kiswahili wao husema Kiswahili yangu ni nzuri na sanifu..
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 2 күн бұрын
@frankdzombojun1343 ulitakiwa useme kiswahili changu ni kizuri na sanifu hivyo ndo ulipaswa useme , kiswahili cha Mombasa hufanana na cha tanga au zanzibar na lahaja za huko ni sanifu hata kwa tz , kiswahi cha maeneo mengine ya Kenya nikibovu mnoo hakina usanifu na hilo liko bayana , tutakua waongo wakubwa kusema kiswahili kile cha Nairobi au nakuru kukiita sanifu
@DeeMcCraney
@DeeMcCraney 2 күн бұрын
Wanajua Kiswahili ila. Hawakupendi kwa sababu za vita kiswahili ilikuwa ni lugha ya wanajeshi hawana kumbukumbu Nzuri kwa madai yao . Ila Kiu kweli Waganda ni wabaguzi lile kabila lililopo mpakani kwao yaani wako wao wao
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 2 күн бұрын
@DeeMcCraney ni sawa ila hawajali kiingereza kua ilikua lugha ya wakoloni waafrika vitu vyao huchekesha sana , ndio Yale kabla ya mkoloni hakukua na mambo ya mipaka waafrika waliingiliana ndo ukakuta hadi makabila huko na kule yapo mkoloni kaondoka Leo ulaya EU hakuna mipaka karibu ulaya yote unapita bila mavisa Africa mzungu kaondoka ila ile mipaka hatujaiacha na visa kuingia nchi nyingine lazma daah
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 2 күн бұрын
Uganda walikaririshwa kwamba kiswahili ni lugha ya wezi,kimombo sio sana kama luganda na makabila mengine.kiswahili sana ni jeshini na maafande
@musasulaiman8881
@musasulaiman8881 2 күн бұрын
Kafanyeni utafititi mnaongea ujinga. Nimesoma Uganda toka la tatu hadi chuo.
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Күн бұрын
Wanganda awakipendi Kiswahili kutokana na Vita ya Kagera zamani walikuwa wanaongea Kiswahili
@mdeeyoofficial813
@mdeeyoofficial813 Күн бұрын
Mimi ndio msanii mkali ukimtoa chameleon Uganda ktka kuimba nakuongea Kiswahili bro
@beatricewanzaurio3103
@beatricewanzaurio3103 3 күн бұрын
Museveni kaishi Dar na Moro hapa Tz. Mwanae wa kwanza kazaliwa hapa Dar sio usishangae Mseven na Kiswahili. Pia kule mpakani na Kagera wanakisema vyema sana Kiswahili
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 3 күн бұрын
Chameleon anaongea kiswahili sababu ameishi Burundi sana
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 3 күн бұрын
😂fanya utafiti wko vzuri, chameleon ameishi sana kenya na ameanza mziki wke kenya. Burundi ipi kw kiswahili kipi haswaa
@ednahumazi777
@ednahumazi777 2 күн бұрын
Ukweli ni kwamba East Africa yote ijuwe kiswahili
@ankalmzito254
@ankalmzito254 3 күн бұрын
kiswahili ni luga yenye inatumika na majeshi..polisi na majambazi ndio maanake hatupendi hio lugha
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 күн бұрын
Big up konde boss
@VeroniqueNgoy-f3q
@VeroniqueNgoy-f3q 2 күн бұрын
Uyu dada ni mzuri aisee mmemtoa wapi
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 күн бұрын
Mimi siku zote nawaambia konde noma hamtaki kuerewa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 күн бұрын
😂😂😂😂 hii siku moja tuu ndio balaa
@RamaZecha
@RamaZecha 2 күн бұрын
Hwafundishwi kiswahili shule
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 2 күн бұрын
That’s Konde big man 😂😂😂
@KatoMartin-hc7zs
@KatoMartin-hc7zs 3 күн бұрын
Kiswahili uganda ni lugha ya majeshi na police
@takrimasamli7536
@takrimasamli7536 3 күн бұрын
UGANDA NDIO NCHI YA KWANZA AFRICA KUONGEA KIINGEREZA NA NDIO NCHI AMBAYO POPULATION KUBWA WANAONGEA KINGEREZA
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 3 күн бұрын
Kiswahili kigumu sana kulko ngeli.
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 2 күн бұрын
Mseveni ni mchiga wa uganda
@jadekavusa9309
@jadekavusa9309 3 күн бұрын
Yule balaa baba
@jumasuleiman7171
@jumasuleiman7171 3 күн бұрын
Musicho kijuwa kuhusu wauganda hawatupendi sisi wa Tanzania ndio manaa hawataki kukijuwa ki Tanzania hiyo ndio sababu kwa sababu ya roho mbaya yao kwetu
@magorymara5515
@magorymara5515 3 күн бұрын
Unaongea ujinga
@AllySule-t9g
@AllySule-t9g 3 күн бұрын
Waganda hawana shida bhna wanapenda tu kutukuza lugha yao yakiganda
@FallySarkozy
@FallySarkozy 3 күн бұрын
Watanzania no watu waroho mbaya😂😂😂 kwanini Kama music ni biachara avatar I Diamond ku pimanishwa na will paze?? Wakenya si Wanda suppport musikkinnslag wenu?. Kwanini musi mupush poze nae kimusic.? Kama Konde Na Dai??? Nosense
@barakaleader1550
@barakaleader1550 3 күн бұрын
Sio kweli unachosema..kila nchi Ina taratibu zake na Ina Lugha yake Kiswahili sio Lugha ya taifa ya Uganda..
@m-jay2840
@m-jay2840 3 күн бұрын
Kitanzania ni lugha gani?!!! 😂😂😂😂
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 3 күн бұрын
Ooii hyu mtoto mbna kma nmempenda vle, vp sns c nipate namba yke faster quicky kabla wahuni hawaja mfukunyua. Af mbna kma kafanana na Dj Sma.
@humbleshoal
@humbleshoal Күн бұрын
Kaolewa tayari
@JonathanTangulia
@JonathanTangulia 3 күн бұрын
Swahili ouganda ni luda ya njeshi
@MloweMichael
@MloweMichael 3 күн бұрын
Waganda hawajui kiswahili, chamilion alienda Kenya kusoma kiswahili ili afanye mzk
@Baira240
@Baira240 3 күн бұрын
Siyo nyie tu hata mimi nilikuwa nikijua ni mtu wa mwanza Dr jose chameleon
@MimiNaWew
@MimiNaWew 3 күн бұрын
Kuna watanzania ambao wanaishi tanzania awajuwi kiswahili pia
@humbleshoal
@humbleshoal 2 күн бұрын
Wamezaliwa wapi hao?
@bonifacechale8778
@bonifacechale8778 Күн бұрын
Na mm pia sijui
@afrihension
@afrihension 2 күн бұрын
Jose chameleon anajua Kiswahili kwa sababu aliishi Kenya miaka mingi.
@franklyfaustine3880
@franklyfaustine3880 Күн бұрын
Sio kenya bongo
@afrihension
@afrihension Күн бұрын
@@franklyfaustine3880 Fanya utafiti wako vizuri kijana.
@afrihension
@afrihension Күн бұрын
@@franklyfaustine3880 Chameleon aliishi Nairobi kwa miaka mingi na alikua signed kwa record label ya Kenya ilikua inaitwa Ogopa Deejays. Utafiti kidogo utakuonyesha hili.
@musasulaiman8881
@musasulaiman8881 2 күн бұрын
Don't make up stories. Bro Uganda tushanaliza infact after diamond harmonize is next when it comes from musicians from Tanzania
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Күн бұрын
Hata kabla sijaangalia video yote umeshakosea mwanzon kabisa, Uganda hawana ubinafc, ila nivile tu wao wanathamin nyimbo za lugha yao, mimi binafc nafuatilia nyimbo zao na nazipenda kwasababu lugha yao naifaham vzur huwez ukakuta nawasikiliza wasanii wabongo kwa asilimia kubwa kuliko wa Uganda
@karimniyo1909
@karimniyo1909 3 күн бұрын
Sasa kwanini ninyi mnataka mpaka wajuwi kiswahili chenu.? Kwani ninyi mnajuwa ki uganda?
@ms_teeonly
@ms_teeonly 3 күн бұрын
😅
@amarybaajun8811
@amarybaajun8811 3 күн бұрын
Kiswahili ni luga ya dunia kwa sasa
@m-jay2840
@m-jay2840 3 күн бұрын
Why surprise? kwani diamond is the only artist to have big show outside Tanzania or in Tanzania? Stop underestimating others
@brownmoses9543
@brownmoses9543 3 күн бұрын
He is not underestimating bt speaking the truth, kwa East Africa msanii mkubwa ni zmondi tu.
@nkarigajuma8935
@nkarigajuma8935 3 күн бұрын
Kiswahili sio lugha ya kabila lolote hapa duniani ndio maana kama unajua kiswahili hauko kaka utumwa wa kabila lolote huko huru.
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 3 күн бұрын
Mungu awe nae homo wangu❤❤
@njoroboihastla
@njoroboihastla 3 күн бұрын
Who is homo?
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 күн бұрын
Konde boy
@NicholasKyule-qm3zu
@NicholasKyule-qm3zu 3 күн бұрын
Hata nyinyi eleweni kibaganda pia
@FallySarkozy
@FallySarkozy 3 күн бұрын
Museven ana ongea kiswahili kwasababu ame ishi Tanzania.… Joseph chameleone ame ishi Kenya. Radio na weasel awajui Kiswahili. Wanganda Wanamaker sikia Kiswahili kwasababu wa askari wao wanaongea kiswahili. Lake I hakuna kiswahili kwenye shule. Wrong information munaongea.
@ms_teeonly
@ms_teeonly 3 күн бұрын
Radio and weasel awajui mbona wameimba where you are na verse ya kiswahili
@gibbs1320
@gibbs1320 3 күн бұрын
Mbona diamond aliimba ki nigeria kwenye baadhi ya nyimbo kwani ana jua ki nigeria ?!
@fanulibopezzuto336
@fanulibopezzuto336 2 күн бұрын
Vipi wale ngoni wanajua kiswahili?
@Kibabe2024
@Kibabe2024 3 күн бұрын
Kwanini unajali Lugano yako hauoni km hata wao siwatakua wakoloni kama unavo kimbia acha ujinga ndimana hamuendi mbele Jaribuni kutofautisha maisha na nchi na luga kwaio mupunguze ushamba Halafu mind gani alomaliza Africa yani kwanyimbo gani jamani nyinyi machawa Kammaliza nani mwambue Aende Naijeria nani kammaliza pungyzeni uchawa
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 күн бұрын
Harmonize msaniii mkubwa kuliko diamondplatinum niliwaambia mkawa munabisha aya mmeona? Diamond ata kenya anashindwa kujazaaaa anatudanganya mara kalipwa bilioni 80 mara milioni 600
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
BSS 2024 SE15 EP03 UGANDA | FULL SHOW
1:00:09
BongoStarSearch
Рет қаралды 81 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 824 М.
KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA KUTUA CROWN FM
8:05
Yanga TV
Рет қаралды 6 М.
Zelensky akiri wanajeshi wengi wa Ukraine wamekimbia vita
2:42
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 1 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 210 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН