No video

Nini Maana Ya Ndoto Ya Maji?

  Рет қаралды 16,448

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@ummymvungi5555
@ummymvungi5555 6 күн бұрын
Je ukiota unanawishwa kichwa halafu ukazamishwa kwenye maji halafu ukatoka na maji yanatembea ina maana gani
@FredyGasiani
@FredyGasiani 11 ай бұрын
Amen mtumishi mungu akubariki
@faithkiarago8696
@faithkiarago8696 Жыл бұрын
Hapa Saudi Arabia uko live,,tunakucheki poa,, kwa somo la maji
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 6 ай бұрын
Amen,Amen barikiwa zaidi
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 9 ай бұрын
Amen,Amen.Nilikunywa maji kwa ndoto
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 9 ай бұрын
Barikiwa.
@user-mi6bm8dy7n
@user-mi6bm8dy7n 10 ай бұрын
Ukiota unachota maji mazuri kwenye shimo
@hildageorge1781
@hildageorge1781 9 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi asanteee sana ❤
@janetmutua3879
@janetmutua3879 Жыл бұрын
Amen
@user-sp3ns1qj5k
@user-sp3ns1qj5k 6 ай бұрын
Amina mtumishi
@issakatoto9653
@issakatoto9653 Жыл бұрын
bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu mimi nimeota niko na mama yangu tunarudi sijui tunatokea wapi ni usiku mimi nikanunua kitumbua anauza mama bonge mtu mzima kuna kikombe kaweka sarafu za gold tupu sasa ktk kurudisha chenji akanipa shilingi mia mbovu wakati nzuri zipo na naziona tena kaweka ktk sufuria kubwa mnoo jipya kabisa nikaikataa ikawa ugomvi mm na mama angu akatokea mvulana akampigiza kichwa ukutani mara2 mama angu akaondoka kurudi kule tulipotoka mimi nikamfuata akaingia kwenye nyumba ya udongo mm wakati naingia nikafunguliwa mlango na marehemu bibi yangu ila hakunisemesha akaingia chumba kingine mimi nikamkuta mama angu chumba cha kati kajiziba uso analia nikaanza kumbembeleza lkn hiko chumba kuna jiko la mkaa na jikoni kuna nyama ya ngombe inapikwa mimi ndo nakoroga na mwiko huku nimemkumbatia mama angu nambeleza nje akawa anakuja mama angu mdogo kabeba ndoo ya maji kichwani lkn wale vijana walitufanyia vurugu kule kwa muuza vitumbua wakawa wanapita nje wakampiga kikumbo mama angu mdogo akawa anafoka huko nje mm moyoni sitaki kukaa pale nataka kuondoka na mama angu lkn usiku mwingi na njia zina wale vibaka naogopa sasa naomba unisaidie kunifafanulia mtumishi mm natokea Tanzanian ubarikiwe sana
@user-hs5lo5er3z
@user-hs5lo5er3z Жыл бұрын
Mimi ni Eldah ,pastor nauliza mm niliota mama yangu anehama nyumbani na amejenga hema juu ya maji meupe na yemetulia , na anaishi hapo juu ya maji
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 3 ай бұрын
Mtumishi mm nmeota ndoto tulikuwa watu watatu tukapta sehem tuakuta njia tatu mm nkapta njia 1 nkakuta iyo njia 1 inamaji tulivu mmh nkawaza sana....
@makubikateire4978
@makubikateire4978 11 ай бұрын
Mtumishi bwana apewe sifa!!! Nimeota tupo kwenye hafla fulani na watu wengi walikuwepo, lakini kuna mama mmoja mnene akawa kama amekunywa pafu la maji mdomoni kisha akanivuta mkono wangu wa kulia na kunipulizia yale maji yamdomoni mwake. Je hii ina maana gani?
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 6 ай бұрын
Aki mbona ndoto ya kuona mfereji unatoa maji kwa pressure ya juu sana,na ni maji safi
@user-qk4gj3jl4u
@user-qk4gj3jl4u Жыл бұрын
Postor nimeota nimechota maji nikawa nimejitwika lakn yale maji alimwagika shimoni hii inamaanisha nn
@user-rt8xv7oh1r
@user-rt8xv7oh1r Жыл бұрын
Me nimeota nakinga maji bomban maji masafi nampelekea mama yangu
@user-ew2ko2zx7n
@user-ew2ko2zx7n Жыл бұрын
Pastor nimeota tunavuka maji watu wengi kwenye pantoni, na badaye nikaota watu wengi wamezingira dibwi la maji?? Alafu nikawa nashangaa maana yake ni nn??
@MoureenPresiours
@MoureenPresiours 9 ай бұрын
🙏
@simonkamau-ob8bp
@simonkamau-ob8bp Жыл бұрын
God bless u pastor
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Amen
@sifasifa600
@sifasifa600 Жыл бұрын
Jambo baba nilihota nikipelekeyana bibi yangu 20L ya maji inamahanisha nini
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infoh6j4DtVcbTU?feature=share
@BoscoNchembo-js7nh
@BoscoNchembo-js7nh 10 ай бұрын
Sauti ndogo saba
@BoscoNchembo-js7nh
@BoscoNchembo-js7nh 10 ай бұрын
Sauti ndogo Sana
@jamesmapundi3664
@jamesmapundi3664 Жыл бұрын
Ukiota maporomoko ya maji ina maama gani
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Una ambiwa uachilie jambo fulani lina kusumbua ,ya usamehe na ku le go.na pia ni utakaso
@jamesmapundi3664
@jamesmapundi3664 Жыл бұрын
@@revpeternjihia asante
@khadijahhellen1670
@khadijahhellen1670 Жыл бұрын
Na kama unaota hayo maji machafu lakini yako kwenye vidibwi vidibwi vingi na n machafu hio yamaanisha nn
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infoh6j4DtVcbTU?feature=share
@CLARICEKAVIRA-xd5df
@CLARICEKAVIRA-xd5df Жыл бұрын
Djambo mtumishi,niliota mie n'a garçon wangu natuko kwenye rivière yéyé akavuka mais mie nikaogopa vuka,wakati nilisema ninavuka kiato yangu moya ilikua ya jaune ikaanguka kisha garçon wangu anasema anakitafuta,nikatoka mu ndoto.
@user-te2fp7nb8z
@user-te2fp7nb8z 3 ай бұрын
Amen
NDOTO 3 HIZI ZINA KUELEZEA UMESHINDA HIYO VITA.
10:52
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,1 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 48 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 16 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
Time To Say Goodbye💔……. *Emotional*
29:23
WAMBO ASHLEY
Рет қаралды 22 М.
NDOTO Ukiota UNAJISAIDIA haja KUBWA Maana yake ni hii KIBIBLIA.
5:54
Godfrey Mwalongo
Рет қаралды 16 М.
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 338
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
KUOTA UNA ENDESHA GARI INA MANISHA NINI?
15:30
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 27 М.
SIRI KUBWA UKIOTA UNA KULA . SEH 1
11:25
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 3,1 М.
Ndoto ya Kuchinja :Shaikh :Jafari Mtavas
13:47
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН