@@DominicMakamba zabron kulikuwepo na mgogoro ukaisha kimyakimya uwe unafuatilia ata KZbin Kaka
@christinamwangosi73372 жыл бұрын
Hawa watu Wana sauti Mungu huyu jaman
@sylviaoum29432 жыл бұрын
Baba naomba 5 kwaajili yangu...wape tano pia kwa kila mmoja watoto wangu Saraphina, Suzan, Gabriel, Collins, Festo, Doreen Mariam, Gian na Meshack . Tunaenda kuzalisha kwa jina la Yesu. Kwako kila kitu kitakuwa maradufu
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amen kawaimani umepokea
@geofbeka16692 жыл бұрын
Na iwe hivyo kwako katika jina la Yesu
@nginaelkennedy33462 жыл бұрын
Amen
@mosesblessing6142 жыл бұрын
My Lovely kenyans tufanye ile kitu like yako hapa❤❤
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Wow I like it
@eleniadolph30582 жыл бұрын
Agera umetisha sana um ndani navile unasauti ya kumtoa nyoka pangoni Nakubali sana huu wimbo noma💪
@musagervas9472 жыл бұрын
Daah mnajuaa atarii tangu mashamsham hadi 5 Mungu awee na nyieeee
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu
@larrylizakenya2 жыл бұрын
I watched this song as the 80th viewer… watch it get to 8,000; 800,000; 8 million plus more while we are in this land of the living.
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amen
@rose_en_emms2 жыл бұрын
I think I have personally added 100 views since it was released. I can't stop playing it. Now, I know it word for word.
@elihurumalukumay32422 жыл бұрын
Hii sio kwaya ni zaidi ya kwaya!! Janaa kuna jamaa kapigaa bar watu tulichezaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Safiiiiiii
@jacksonjohn56862 жыл бұрын
Mmekuja kufanya mapinduzi na kuliteka soko la muziki wa gospel
@neemasanga59982 жыл бұрын
Kwaya nzima masoro barikiwen saaana
@memory36492 жыл бұрын
Mnajua mnajua mpaka mnajua tena
@ramadhanibakari61672 жыл бұрын
Agnes Mutalemwa 🔥safi sanaaaaa dada yang!kiwango kinazid kukua! Mungu akutunze cz unr the next best female sioloist
@isayasonelo40872 жыл бұрын
am blessed talanta tano
@aloyceponela32492 жыл бұрын
Safi sana
@walterekeneTv2 жыл бұрын
Director mwenyewe napitisha huuu wimbo kabisa.karibu Kenya mwenzenu toka mwanza
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Amen 🙏 tutakuja
@walterekeneTv2 жыл бұрын
@@fredmwakataghe147 +254115310599 WhatsApp
@mtotowamamafaida6172 жыл бұрын
Very nice nimeipend
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@fredymakongoche2 жыл бұрын
Hakika nipe tano ni wimbo nilio usikiliza leo wakati mkiwa kwenye interview na umenibariki sana.. HAKIKA UTUNZI UNA BARAKA TELEEEE.. MAONI YANGU UPANDE WA VIDEO TOENI TOLEO LA PILI LITAKALO KUWA KATIKA MFUMO WA LIVE RECORDING.. itabambaa saaaana.. na mnaweza kuandaa tamasha dogo tu la NIPE TANO LIVE GOSPEL RECORD na wadau tukawaunga mkono.. kwa chochote.
@edwinkamala2 жыл бұрын
Amen
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Safiiiiiii kaka tutalifikisha
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amina amina. Tunashukuru sana sana barikiwa. Tunalifanyia kazi
@aloyceponela32492 жыл бұрын
Mungu awabarki sana kwa kz nzur
@joycebetram65462 жыл бұрын
Ebwanaeeeeeh hii moto! barkiwa xaana watumixhi wa Mungu
@gladmsafiri87332 жыл бұрын
Mnajua sanaa
@agnesalex84612 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Nakupenda survivors gospel choir ❤️❤️❤️❤️
@doidoi8272 жыл бұрын
Nani katunga huu wimbo
@mariej69622 жыл бұрын
Enheeeh! Baba nipe tano, nakuahidi sitozifukia.
@duncanmaina37722 жыл бұрын
Ni ombi langu pia Baba nikambithi tano nikafanyishe kazi na kuzalisha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@janethkusakalah53472 жыл бұрын
Mungu awabariki survivors
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Hakika Mungu kupitia Wimbo huu nipe tu hizo tano nikafanyie kazi...
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Mungu akakupe hitaji la moyo wako
@phanistephaniestephanie11622 жыл бұрын
Wao! Bless you guyz. Nyimbo nzuri kbs
@kizittohescary12132 жыл бұрын
Here were rock iy🙋🙋
@salomemkondola76972 жыл бұрын
Tano nipatie nikachakalike nazo🙏🙏🙌
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@VeledianaKalolo3 ай бұрын
Jamani watumishi napenda huduma yenu na barikiwa mno sichoki kuwa sikiliza Mungu awa bariki sana
@annamkondola13232 жыл бұрын
Wooow BABA NIPE TANO 🔥🔥🔥(baba nipe tano nikafanyike mfano 💃)
@zozombala28782 жыл бұрын
Ubunifu wenu 💥💥💥
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Tunashukuru sana
@ElieMunepo2 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa huduma nzuri watu wa Mungu🙌🇨🇩🇨🇩
@limanyemkondola71492 жыл бұрын
Baba nipe Tano...Nigongee Tano🙌🙌🙌🙌
@nickmoshi82432 жыл бұрын
Mungu awabariki sana, you are so creative
@cateomondi7175 Жыл бұрын
Baba nipe Tano,nitarudisha Tano na Kwa hiyo Tano nitahakikisha nimeongeza Tano nyungine zaidi ya Ile Tano ya Kwanza 😭🙏
@everlinekikwesha70322 жыл бұрын
Kazi nnzuri sna,baba nipo 5nikachakalike nirudishe 5
@edwardcharles16182 жыл бұрын
Jamani jaman Edina huyoooo , Mungu awabariki sana
@kelvinpallangyo96082 жыл бұрын
The first lady to solo is fire... And the song is amazing
@reshinebakery2846 Жыл бұрын
I come again for the amaizing voice of the second male ,guy its so amazing
@judithonyango14492 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana kwa kazi njema na nzuri
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Amen 🙏
@vailetheanyambilile97492 жыл бұрын
⛪⛪⛪ Mungu wabaraka sana
@StevenMunugwa2 жыл бұрын
Kwaya hii inaenda na wakati kabisa. Ubunifu asilimia zote
Hongereni wimbo mzuri . Tukumbuke kuzalisha kweli kwa mwaka ukivuna hata wa wili inatosha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MesiaMpangile Жыл бұрын
Jaman mungu hawabaliki nami natak baba anipe tano
@kadumaisaya42872 жыл бұрын
baba nipe tano aiseee mafunuo makubwa sana safii wimbo umenigusa sana
@jacklinekaaya19672 жыл бұрын
Woooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@neemaiman14022 жыл бұрын
Ee baba na mm nipe tano sitazifukia nitazalisha na watoto wangu nao wape tano tano pia AMEN.
@rose_en_emms2 жыл бұрын
Amazing! When God gives you 5 talents..... invest and get another 5 talents. Matthew 25:14-30
@danielasangalwisye62032 жыл бұрын
Yaani umenifanya niulewe zaidi wimbo ❤️❤️❤️
@rose_en_emms2 жыл бұрын
@@danielasangalwisye6203 I'm glad. The song is derived from Matthew 5
@scolasticanalle91052 жыл бұрын
Sina ulegevu,sina mchezo kazini sina masihara waooooh wonderful song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎼
@tabithadaniel73642 жыл бұрын
Hawa watu wanaimba jamani, sauti zao sio za kawaida kabisa , hizo key ndio kabisaaaa
@alicemutasa28142 жыл бұрын
Eee Baba NAMI nipe Tano👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 guys mbarikiwe mnooo👏🙌
@officalmsafijunior10312 жыл бұрын
Hii Kali xn Hongera sana
@theresiamuseven Жыл бұрын
❤ongera sana my dearAggie na waimbaji wote MUNGUawabariki zaidi
@Mr_batuku2 жыл бұрын
Kazi nzurrrrrrr tano muhimu👊🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤚🏿🤚🏿🤚🏿🤚🏿🤚🏿hakika mungu ni mwema
@godwinlema52382 жыл бұрын
Mungu amewapa kipawa hiki kwa kizazi Cha sasa Mungu wa mbinguni azidi kuwa wainua juu zaidi Nawapenda sana
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amina. Barikiwa sana sana
@sophiamlay42122 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥Baba nipe tano nikafanyike mfano🙏
@theopistergodfrey20562 жыл бұрын
Barikiwa
@everlinekikwesha70322 жыл бұрын
Mungu awabariki,kiukweli nabarikiwa sana na wimbo huu,🙏🏼🙏🏼
@nickymwanza2252 жыл бұрын
The best
@dorcasnyambibi18158 ай бұрын
I am very blessed with this song, God bless you 💝💐💝💐💝💐💝💐💝💐
@saidamri12232 жыл бұрын
Nigongeeee tano 🤜🤛👊❤️❤️❤️🤸❤️❤️❤️❤️❤️
@mtawalatv2 жыл бұрын
Huku mjengoni Boresha Radio tunawapongeza sana chukua tano
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Barikiwa sana sana mtumish. Ahsante sana
@mpeliibrahim3982 жыл бұрын
Nce song Mungu awabariki wapenz
@mpokiibrahim89262 жыл бұрын
nakuona 🔥🔥
@janegodyfrey89482 жыл бұрын
Wimbo mzuri na bora kabisa ,Nipe tano babaaaa ndio habari ya walio okoka
@yusuphjelemela46292 жыл бұрын
Safi sana .. Nakuona ndugu yangu Benjamin Mungu awatumie zaidi
@poponlinesolutions85772 жыл бұрын
Amazing, nipe Tano nami nirundishe tanoo motoooo
@joycelubinza45382 жыл бұрын
Nice work guys.. Hongereni sana 👏
@pettyemadaughterofthemosth12852 жыл бұрын
Mungu anatoa vipaji vya kuimba 🙌🙌🙌
@hopekhin83482 жыл бұрын
Waooooh,Baba nipe tano ,hongereni watumishi.
@cathymwaky69962 жыл бұрын
Hamjawahi kosea nawakubali sana❤❤❤❤
@denismichael16172 жыл бұрын
Wooooo gwala gwalaa haleluyaaaaaaa mpk nilipo Dom mpe tan
@jessielekule30082 жыл бұрын
Kazi nzur utukufu kwa Mungu
@asibwenekalulunga79362 жыл бұрын
Nigongee tanooo this song 🔥
@conniesoita96352 жыл бұрын
A good prayer indeed ...barikiweni
@janechogoro65022 жыл бұрын
Waooh.!mna energy fulani hivi😍😍
@saidamri12232 жыл бұрын
Aisee nawapenda mpk nawapenda tena guys Mungu azid kuwainua viwango vya kimataifa🚴🤸🤾👊🤜🤛❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@benjaminmkango97732 жыл бұрын
Mbarikiwe sana ,,nimebarikiwa Sana na hii song
@fistonmakopa5982 жыл бұрын
Good 👍 job
@geofbeka16692 жыл бұрын
Nyie watu mmefanya nishinde natazama wimbo huu kila baada ya masaa machache, Safi Sana..Mungu awabariki
@sifaelymkichwe31402 жыл бұрын
Huhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu U guyz u just kill it🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nipe 5 on 🔥 MUNGU AWABARIKI SANAAAAA one step everyday Barikiwaaaaaaaa✨
@benjaminmpanduji90232 жыл бұрын
Nipe👊 amazing you great always 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌be blessed
@sophiamlay42122 жыл бұрын
📌🔨nipe tano nikazalishe tano wao mkabarikiwe sana 🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃
@hyasintathomas63492 жыл бұрын
Hamjawahi niangusha kwakwel! Nyimbo hiii in fire
@loyalforumtv2 жыл бұрын
Hiii ngimbo mliuwaaaaaaa nawaona mbali
@samweldaudi5452 жыл бұрын
Hongereni sana Kwa ujumbe wa Neno la Mungu 👊👊👊🤚🤚
@sarahfabian87232 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Mungu napenda utunzi wenu
@martinotieno93342 жыл бұрын
Timely prayer for us Kenyans.....As voters and those seeking our votes
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Sure
@sammydavid66652 жыл бұрын
My peopleeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥 you guys your doing great
@dominic21182 жыл бұрын
Good song
@marykutururu12 жыл бұрын
Just the right Song at the right moment at the right place doing the right thing to me💪👏..Let this firekeep burning 🔥🔥na baraka na neema na rehema na Fadhili za mwenyezi Mungu ziendelee kuwanyeshea na kuwainua 🤲
@godfreyishengoma67322 жыл бұрын
Imenibariki sana watumish
@jackamuli60302 жыл бұрын
👊🏽👊🏽 great👏🏽👏🏽
@ndegecarol44552 жыл бұрын
I'm blessed, your productions are always a blessing 🙌, much love from 🇰🇪 🇺🇸 Hii ni moto moto 🔥 🔥
@fredmwakataghe1472 жыл бұрын
Amen 🙌🙏🙌
@semeninjogolo96812 жыл бұрын
Nawaelewa saaana mungu awabariki
@lilianmwambatula32812 жыл бұрын
Ufunuo wa kitofauti sana yaan unahitaj kisikiliza wimbo ili uelewe nn hasa kinazungumzwa ... hongera mtunzi kwa ufunuo huo nyakat hizi za mwishoo..
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi. Tunashukuru
@andrewezekiel77202 жыл бұрын
Bwanaaa bwanaaa lisongi atariiiii cheee
@numpefikimwaipopo2 жыл бұрын
Loving you always
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
We love u more
@monicaisrael6652 жыл бұрын
Wow wow, yan nyie watu mnajua mpaka mnajua tena 🔥🔥🔥🔥🔥