Tupo nyumba ya raha tupo na yesu kihome home ❤❤❤❤🙏
@theedmundtv64572 жыл бұрын
this choir is on another level their songs are such an empowerment🤗give them a like👍
@jamesgissima504 Жыл бұрын
Mpaka leo naskiliza hii nyimbo mungu awabariki watumish
@liliankamundi31122 жыл бұрын
Its the RAHA! RAHA! RAHA! RAHA! RAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! for me🥰🥰🥰🥰🥰🥰💃💃💃how can i stop listening to this😚😚. My 7yr old son can't stop saying KIHOME-HOME. WE LOVE you.
@callistusafricamedia31512 жыл бұрын
I like it too
@amoskaloki29202 жыл бұрын
Mine is kihome hime
@chidyy3919 Жыл бұрын
Naipenda hii yimbo jaman nyie achen uwiiiii hongeren san kaz nzuri
@Devilinintungwawc2vk5 ай бұрын
Hihi nimekuja kuwafatilia naomba like Hata mojatu
@In10tech3 жыл бұрын
naona wengi wazungu kwa comments🤩:::::: ila Mbarikiwe sana
@margaretkioko8772 жыл бұрын
Tik tok took me to mashamsham then the latter brought me here. I must admit that i am in love with this choir... Great people, great vocals.... Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yasintaelisha7624 жыл бұрын
🌹kihome home gud song aisee❤palipo na roho wa Mungu hapo ndipo penye raha kama umabarikiwa na wimbo huu mwezi huu wa Pentecost like hapa❤
@FrederickRichard-b3z Жыл бұрын
go east or west this song is the best
@kemoigideon352 жыл бұрын
It's the RAHA part for me.... Hiyo raha imeweza Kihome home
@alexmwakasungu85525 жыл бұрын
Kazi imepangiliwa vzur pamoja na ujumbe mzuri ulioimbwa na waimbaji wazuri.....KIHOME HOME🔥🔥
@sophiamika82014 жыл бұрын
Ik poa
@crisagondavid96812 жыл бұрын
I love the song be blessed
@christopherpangras9411 Жыл бұрын
Waimbaji mpo vizur mungu awatie nguvu mfike mbal zaid
@cateomondi7175 Жыл бұрын
It's rahaaaaaa for me too 🥰🥰🥰👏👏👏
@sharonkemunto1437 Жыл бұрын
Who is still here in 2023 listening to this sweet song
@aisimborobby6914 жыл бұрын
Nimerudia Mara mbili mbili tumekutan kwa Raha embu kilichokukwaza tukiondoe
@festomlowe67093 жыл бұрын
Amina
@christopherpangras9411 Жыл бұрын
Good music
@rachelmikey54932 жыл бұрын
Tanzania yangu iliyo barikiwa asante yesu.
@festonyakaya46463 жыл бұрын
who is here after mashamsham?
@janethjkavishe5892 жыл бұрын
Gospel business, for the Kingdom of God. Hallelujah!!!! Ameni
@wanjikunderitu69492 жыл бұрын
Vile tu naskia kiswahili....could think ni southafricans on chorus part....Truly blessed with amazing voices. Keep soaring from tiktok 😘😘
@official_minister_suleiman68563 жыл бұрын
Mara ya kwanza kuusikia huu wimbo nilichukulia kawaida,lakini nikausikia siku moja unaimba ndani mwangu ikabidi niusikilize teena..aise toka siku hiyo naupenda na nabarikiwa vilivo..hongereni
@thesurvivorsgospelchoir2 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi
@daimartin263 жыл бұрын
Waooh nice song mbarikiwe sana
@pwoka52085 жыл бұрын
Nilikuwa napita nimejipata kihome home 💣💥🔥😘😍
@williammweta55395 жыл бұрын
Kama mimi aseee nimeikuta tu
@davidwakara16504 жыл бұрын
Joel umetisha sana, these are almost South African levels. Yajayo yanafurahisha.
@mwajejasson69955 жыл бұрын
Palipo n'a roho ya mungu kuna faraha moravian ni kanisa langu Balikiwa sana
@winemosi61734 жыл бұрын
Huu wimbo nimedownlod unagoma tu nisaidien jaman
@mugishabertha5883 жыл бұрын
Mungu awape nguvu nyingine kihome home
@lovenesskalenge26834 жыл бұрын
Rahaa rahaa watu tuko pamojaa tuko na Yesu. Nimekutana na G kwa ajili ya Yesu
@leahgreen47095 жыл бұрын
Namuona mwanangu Albert
@hamisinickson99383 жыл бұрын
Pongezi kwa kazi nzuri iliyojaaaa nguvu ya bwana endeleeni kumwomba mungu aendeleee kuwapa nyimbo nyingine nzuri kama hz
@winniebenedictor47405 жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu awabariki Sana
@stephenmaesh72762 жыл бұрын
first day to hear this song and I can't get enough of it..we love you Tanzania from 🇰🇪🇰🇪kenya
@PromieJosamАй бұрын
Joely wewe kaka ubarikiwe sana
@rtlusungu5 жыл бұрын
Wow wow, wimbo mzuri Sana.. Naurudia Sana, nilimiss kusikia kwaya, na Joel umesound Poa sana brother, you're amazing pamoja na wanakwaya wote ❤
@kelvinwilliam35954 жыл бұрын
Mmetisha sana
@annamwabwagilo24394 жыл бұрын
Mnatisha Mungu awasimamie ndg zangu mko juuu
@ellieswai45134 жыл бұрын
Big up KIHOME HOME, huu wimbo niliusikiliza sana nilipokuwa nafanyia kazi nyumbani kwa ajili ya corona ninyi ni manabii eh!
@happysylivand41974 жыл бұрын
Woooh!! 👌😘😘wimbo mzuri saaaana. Mbarikiwe sana watu wa Mungu.
@siwemagama29875 жыл бұрын
Nice song mbarikiwe sana
@tusajigwekatobe63214 жыл бұрын
Kihome home raha tupu nawapenda mpk bac! Mungu awabariki mno
@thesurvivorsgospelchoir4 жыл бұрын
Amen. Tunashukuru tunakupenda pia
@zephanialukumay30363 жыл бұрын
Hakika kihome home ni moja kati ya hits gospel nilizowahi kuzisikiliza,nimempenda pia babu anavyocheza na wajukuu zake,hakika nimebarikiwa sana
@keeptimenimrod37703 жыл бұрын
Mzee kashakuwa fit mpaka anaruka na gita huyu Yesu mzuri
@BabaEliTV3 жыл бұрын
Napenda sana...More love from +254
@michaellagwen81983 жыл бұрын
Tuko na raha kihome home good job
@gospotv5 жыл бұрын
Barikiwa
@winiedaniel41285 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa wimbo mzur
@jophunimwalufunda55365 жыл бұрын
Hakika kazi ni nzuri
@ipyanamwambona41515 жыл бұрын
Huu wimbo nauelewa sana haipiti siku bila kuutazama mzuriiii.
@elishangoma82354 жыл бұрын
We jamaa unaweza sana mpaka unaboa
@barakawatu92262 жыл бұрын
Palipo na Roho wa Mungu hapo ndipo Kuna Raha, ❤️❤️❤️ be blessed.
@jescacheyo13295 жыл бұрын
Aww my beautiful young kissa keep it up ad mbingu ikujue zaid RAHAA😍❤ mbarikiwe survivors injili iende mbali zaidi🙏🙏🙏
@ngoshakulwa83482 жыл бұрын
Mashamsham brought me here also. God's vibes are the best. Mmenipamba that's a fact!
@agapeantony86015 жыл бұрын
Hakika mmejua kunifurahisha Mungu azidi kuwainua Kwa Viwango vyajuuuuu💃💃💃💃😘😘😘😘
@athanasiabernard72135 жыл бұрын
Mbalikiwe imependeza
@isaacmarco20673 жыл бұрын
Hakika tuwe pamoja katika pendo la yesu
@listentimotheo24404 жыл бұрын
Qaliiii sanaaaaa
@kidarobaby88445 жыл бұрын
Kazi ya whana inasonga mbele
@neemachiwamba11084 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana...nawapenda
@tumainiowden72705 жыл бұрын
Kazi njema sana
@christinamwanosa36854 жыл бұрын
Nimebarikiwa sna na huu wimbo kihomhom
@shukranimwasilembo17634 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa,wimbo mmeimba vizuri sana.mbarikiwe mnoo
@ChristopherCharles-ty6uw6 ай бұрын
Mbarikiwe sana na Jehova kwa huduma njema sana
@ntirenganyajpoul46095 жыл бұрын
Rwanda tunawashukulu
@lightnessmariki55914 жыл бұрын
Raha sana kuwa na yesu
@vivianwillbard86484 жыл бұрын
nabarikiwa sana maana najua kwenye uwepo wa mungu ndipo kwenye rahaa kihome home kihome home
@jacquelinemnanka67573 жыл бұрын
Rahaaaa ndani Yesu
@mesiyamakene33692 жыл бұрын
Hakika Mungu yu mwema.Kihome home big up
@anonymousmathenge2 жыл бұрын
Hope FM 93.3 Nairobi, asanteni kunileta hapa..
@rebeccamlaponi3944 жыл бұрын
Huyu jamaa yupo vizuri sana, ila nasubiria kama nae ataibukia tigo fiesta kama yule dogo !!
@charleschale34244 жыл бұрын
Wimbo bora sana sana
@johnezekiel25234 жыл бұрын
Hahaha safi sana huuu ndo utukufu
@neemangwandu53114 жыл бұрын
Waooo. Hongereni sana wimbo mzuri mno mbarikiwe
@yonayoh37363 жыл бұрын
Tuko na Yesu kihome home
@balongelwa68483 жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki sana Huduma yenu inabariki sana
@sayilameck69303 жыл бұрын
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri uliobeba ujumbe wa kihomehome
@thesurvivorsgospelchoir3 жыл бұрын
amen. tunashukuru sana
@mamatwins86674 жыл бұрын
Tukiwa na YESU tuna raha kihomehome
@mumbielizabeth4844 Жыл бұрын
Wonderful song, , , blessing to my soul
@theresiajames630 Жыл бұрын
I can't stop singing
@glorrineshoo24444 жыл бұрын
Kazi nzuri.. Ila nna swali ivi ayo mafuta yadondokayo ndevuni mwa Haruni ndo yalikuaje kuaje yann.. Mwenye kujua hii story anisaidie
@williammweta55394 жыл бұрын
Tunania kwa pamoja
@tusajigwekanemela47844 жыл бұрын
Aminaaaa
@florenceakyomo43195 жыл бұрын
Nawapenda nyie wanangu acha kabisa,, mziki uko bomba,, ujumbe ndo kabisaaaaa,, Mungu awainue kwa viwango vya juu sana!!!
@rehemamalubalo97475 жыл бұрын
Mungu awatie Nguvu sana
@ireneayako Жыл бұрын
Big up guys u really bless me with ur song
@farajamwakalebela65195 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@ezeledamwihambi15023 жыл бұрын
Tuko na yesu kihomehone 🙏
@zuhuramwambalo17675 жыл бұрын
Kihome home mbarikiwe sana wapendwa kweli ni rahaaa
@thesurvivorsgospelchoir5 жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwa mungu
@faithjowan86264 жыл бұрын
2020 palipo na Roho wa Mungu hapo ndipo kwenye raha... kihome home 🔥🔥🔥🔥
@megoj51793 жыл бұрын
Ki Home Home ni fire 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😅
@pelagiasiria18835 жыл бұрын
Barikiweni sanasana
@petrondaki49433 жыл бұрын
Nice sana
@yehovalyimo37442 жыл бұрын
nimetokea kuipenda sana hii nyimbo.kila nikisikiliza naona kubarikiwa zaidi. its my favorite song already
@annamkondola13235 жыл бұрын
🔥🔥🔥 huu wimbo umenibariki sanaaa, tumekutana kwa raha tupo na yesu kihomehome 💃
@thesurvivorsgospelchoir4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish
@JalinaOmary Жыл бұрын
@@thesurvivorsgospelchoir very much
@hildamasonda65282 жыл бұрын
Tumekutana kihomehome 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥tena tuko na yesu
@justin4k6154 жыл бұрын
Tuko yesu kihome home
@dianamwitto54793 жыл бұрын
Jamani nyimbo za dini zinaleta raha kihomhom
@goodluckleonard15813 жыл бұрын
Mimi na hii kwaya ni ndugu kabisa tuko baba mmoja mama mmoja
@merrygaston17222 жыл бұрын
Jmn hii nyimbo daaa🙌 kihome home raha San ndan ya yesu barikiw waimbaji👊
@patrickpeter45032 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie mema ktk dunia na mbinguni