NIPENI SILAA NIMALIZE KAZI, ISRSEL YAZIDIWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL ANAOMBA SILAA MAREKAN

  Рет қаралды 8,973

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Пікірлер: 51
@frankrobert9706
@frankrobert9706 3 ай бұрын
Wanaomba mabomu waendelee kuua watoto na wanawake wa kiparestine Marekani na Israeli ni wauaji wakubwa wa wapalestina
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
Hakuna bingwa duniani. Atabaki kua ALLAH peke yake mwenye siri kubwa mno. Anatamba anataka kuua bado. Walikuwepo zaidi yake yy leo wako wapi? Yaani wako ktk hali mbaya makaburini mwao yaani hawako hai wala pia sio wafu. Kila kitu walichotambia kimetoweka.
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 3 ай бұрын
Mpuuz ww ujuh ktu hwa waisram walishachinja wtu wng Kwa ajir ya din yao
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
@@stevenialbert5033 kwendraa wewe ndio mpumbavu namba1 kuna waiwaji kama makafiri duniani wanaomwaga damu za watu bila sababu kwa sababu za wizi wao na kuteka mali? Kwanza koma kuniita mpumbavu kwa hoja za kitoto.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Na watoto pia walichinja watu kwa ajili ya dini yao alafu hao mapadri wenu wanavo wadanganya alafu unakuja hapa unaleta ukuma​@@stevenialbert5033
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Angalia nchi za kislam na angalia nchi za hao ambao wanasema ni magaidi kenge wewe​@@stevenialbert5033
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Wako wapi wale wanao sema Israel taifa kubwa na linaweza kujitegemea kwa lolote lile
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Umeona eheee!!!Usiongelee Watu weusi wajinga wa kutupa jalalani .. Afrika inabaadhi ya watu Wajingaaaa!!!!!
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Hayapo hayawezi kusema makuma hayo
@walker-96
@walker-96 3 ай бұрын
Nchi nyingi duniani zinachukua silaha nyingi za nje....... Uache kushabikia mauaji akili huna
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
@@walker-96 .Wewe kijana mweupe ni Mjinga sana . Nimeandika wapi kuwa mauji yaendelee au vita!!!!
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
@@walker-96 yeye hachukui anaomba omba
@mussammanga7791
@mussammanga7791 3 ай бұрын
Sasa wewe si unajeshi kali na silaha za kisasa? kwanini uwombe silaha wkt unaopigana nao ni wapiganaji 20,000? na ulisema wiki moja ushawamaliza huu ni mwezi wa 10, tunachoshuhudia ni maangamizi ya raia na sio wapiganaji. MwenyeziMungu atawaangamiza nyote nyinyi wazayuni na hao mnawaomba silaha.
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 3 ай бұрын
Hata urusi anaomb siraha korea
@mussammanga7791
@mussammanga7791 3 ай бұрын
@@stevenialbert5033 Kwanza jifunze kiswahili. Baadae tutazungumza.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 ай бұрын
Mlebanini na iran wametashambulia😂😂.
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 3 ай бұрын
Taifa kubwa omba omba hahaaaaaaaa Israel😅
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 ай бұрын
Wanaanza kumlilia bwana wao matekan mashoga wanaashiida kweli
@AhmadKhamisali
@AhmadKhamisali 3 ай бұрын
Allah atamshuulika nyau huyo
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Wajnga hawa Hawawezi vita wanaua raia wanawake na watoto mateka wameshindwa kuwakomboa ajiuzulu
@suleim505
@suleim505 3 ай бұрын
MUNGU AWAPATILIZE APAAPA DUNIANI KWA KUWAADHIBU, PIA NA WALE WOTE WANAOWAOMBEA KWENYE NYUMBA ZOA ZA IBADA : MUNGU AKAWASWEKE WOTE MOTONI.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Neta paka mjinga mashoga hawawezi kupigana na wanaume marjali ndio maana vita vya ardhini wanafeli
@Cabosport
@Cabosport 3 ай бұрын
Si alisema ataendelea na Vita ata Marekani akissitisha kupeleka silaha.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Mkwara tu😂
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 ай бұрын
Bibi Netanyahu Pumbavu yake, Eti nipeni siraha nimalize kazi!!, lengo kumbe Netanyahu ni kuwamaliza Wapalestina?. Sasa Ngoma inarudi kwake ili auone uchungu wa kuua watu.
@muhengamakunga
@muhengamakunga 3 ай бұрын
huyu jamaa hajielew hamas tu ndo wanao mfanya aombe msaada je Hezbollah waki ingia mzigon
@HusseinHassan-p7g
@HusseinHassan-p7g 3 ай бұрын
Izrael kumbe anasaidiwa kama ukren kumbe amna kitu sasa unataka kupigana na iran utaweza kweli
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 3 ай бұрын
Jaman mm nauliza tu Malekan iyo inapata wap slaa na mabomu mbona kila nchi yenye vita anasaidia yeye pesa, lisasi, bunduki na Mabomu na bado aishiwi kwann kule Ukraine yeye ndio anatoa anasababisha putin mbaka Leo anaangaika kumpiga Ukraine
@ALEXANDERELIKADO
@ALEXANDERELIKADO 3 ай бұрын
Islael haitabiliki tangu dunia wanawezafanya lolote mm siwez amin et kazdiwa
@mohamedmbayo187
@mohamedmbayo187 3 ай бұрын
Hii nchi ndiyo mnatuambia ni noma kwenye vita imewashindwa kikundi cha wahuni mpaka nch imeishiwa silaha ama kweli kazi ipo
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 3 ай бұрын
Mpeni silaha awamalize watoto na wanawake kisha mje mtetee haki zao
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 ай бұрын
Umeona ujinga wanaoufanya hawa mashoga
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 3 ай бұрын
huo ukatili yan unalilia lisasi kwaajili ya kuhuwa wanadamu wezako
@asiaswalehe
@asiaswalehe 3 ай бұрын
Netanyaum puzkwel
@mrok284
@mrok284 3 ай бұрын
Haya ni manyaambi hayana uwezo wowote. Mpaka yategemee marekani. Allah awaongoze au awadhalilishe?
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Propaganda hao bado wanapewa
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 3 ай бұрын
The living ghost 😢... you will pay the innocent people
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 3 ай бұрын
The living ghost 😢... you will pay the innocent people blood
@allythabit3236
@allythabit3236 3 ай бұрын
Uyu netanyau n maku nn kwn Hamas nan anawap silaha apamban na Hal yk mamae
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 3 ай бұрын
Bora wasimpe silaha waepushe mauaji ya raiaa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 ай бұрын
😂😂Sijui nacheka nini😂😂
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 ай бұрын
Kumbe waliakua hawanalizaha wanagonja wasaidiwe anamuonba bwana wake marekani ampe silaha
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 ай бұрын
Huyu mzee amechanganyikiwa sasa 😂😂😂
@AllaudinMeghji
@AllaudinMeghji 3 ай бұрын
Kenge wewe utashindwa kwa uwezo wa mungu
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 3 ай бұрын
Apa anadanganya ili atakaejichanganya akutane na moto
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 3 ай бұрын
Cha moto gani wale omba omba tu hawana lolote vita inawalemea hawatashinda hadi siku ya mwisho
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 3 ай бұрын
Kama tu urusi anataka msaada kwann israel???
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 3 ай бұрын
But Russia anapigana Ana watu wengi NATO plus
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Russia anapigana na Nchi 33 za NATO...Eneo alilioteka Russia sawa na Nchi ya Israel au Ureno!!!!!
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
Urusi haombi msaada anaomba kushikana na watu wenye kujitambua. Wewe support izrael endelea lkn utakumbuka lzm kwa nini ulikua unafurahia mauwaji.
@meckmussa1840
@meckmussa1840 3 ай бұрын
Umeona eee
Video shows Iranian missile attack on Israel
10:55
CNN
Рет қаралды 1 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 58 МЛН
IRAN HATUWEZI KUPIGWA NA TAIFA LOLOTE TUMEJIPANGA
6:57
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 28 М.
ANGALIA MAPOKEZI YA TUNDU LISU ZANZIBAR
3:20
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 67 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12