NITAKUNYWA SUMU KAMA MBOSSO AKINIKATAA/ NAMPENDA HATA ANIFANYE MKE WA PILI

  Рет қаралды 1,077,292

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

#wasafi #refresh NITAKUNYWA SUMU KAMA MBOSSO AKINIKATAA/ NAMPENDA HATA ANIFANYE MKE WA PILI

Пікірлер: 1 800
@mynameisindicated
@mynameisindicated 3 жыл бұрын
Dada nimempenda kwa alivyofunguka. Ni wasichana wachache sana wa kufunguka hivi. Congratulations
@najmaalwy6949
@najmaalwy6949 4 жыл бұрын
Upuuzi huuui dada yetu watuaibishaaa tuuu wanawake wah kenya, siku zote sisi hatukimbili wanaume ila ni u controll yr fillings mboso ana familia yake dadangu mungu atakupa wa kheir
@eviepretty2646
@eviepretty2646 4 жыл бұрын
kama umemkubali huyu Dada ni mrembo half kaletwa na upepo wa kisulisuli kwa mboso tujuane
@arttz1453
@arttz1453 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😆😅😆😅😆😅😆😆😆
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Afadhali ninywe pombe kuliko kuzaa mtoto kama huyo hasara tupu
@shaymaajohn436
@shaymaajohn436 4 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaaa upepo wa kisulisuliiiuu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 жыл бұрын
@@wemakalamu3538 wasema polepole
@user-ws7bc8pv3f
@user-ws7bc8pv3f 4 жыл бұрын
Vipi wa kenya?bona mnashida🤔🤔🤔ivi uko tayali yakuvamiya doa ya mboso ili ukue je? wabongo 🤗mukue maco yahayo majini najitokeza kenya😎😎 nyoooo ibu nenda kologe iyo sumu ukufe tu!mana boso cukulia nyooooo 😏😏😏 ebu jihangalie
@alabassiabullahi2162
@alabassiabullahi2162 4 жыл бұрын
kunywa sumu si kazi mingi dada maisha ni yako pia mwanzo labda huyu unampenda kuna Bora mwenyeze mungu amekujalia nenda soma utajaliwa maisha si hiyo pekee munira..... unajina Nzuri sana... pia sifa yko itakua tu hvo..
@dr.bilallymaster6784
@dr.bilallymaster6784 4 жыл бұрын
Simtaki kibrother namtaka kimapenzi, waliosikia vyema kauli hii nipeni like zenu
@hassanbaska1282
@hassanbaska1282 4 жыл бұрын
nacheka tu niko tayari kuwa wa 9 hata wa mwisho nampenda sana .......
@georgejulius2769
@georgejulius2769 3 жыл бұрын
Hahah
@florianhenry7198
@florianhenry7198 2 жыл бұрын
Maana yake mbosso asimamishe miti kwenye tope mwishowe tope likauke!!!!!!! Ulisikia wapi Mtu mwenyewe kakupa Ten ya Ktz angalia sana dada
@aishahamisi5025
@aishahamisi5025 4 жыл бұрын
Jamani mboso nyimbo zako zinafanya upendwe sana hatamimi ningekua binti mdogo ningekusaka vibaya Ila nisha pita nakupenda
@mathakway3827
@mathakway3827 4 жыл бұрын
Mmmhhh mungu tusaidie, mapenz upofu, mapenz ugonjwa, mapenz kitunguu unakat na kulia mwenyew, haya Dada safar njema kwenye mapenz yako
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 жыл бұрын
Duh
@asnaathuman4217
@asnaathuman4217 3 жыл бұрын
Mmmh kazi ipo
@shikopamedia356
@shikopamedia356 Жыл бұрын
🕺🕺🕺....ila chembechembe za India daah oya mboso 🙌🏽🙌🏽 chanzo kilianzia hapa 😂😂😂
@fredrickkiliani4663
@fredrickkiliani4663 4 жыл бұрын
Duuu mama rwakatare kasha leta shida na upepo wa kisulisuli,🤣🤣🤣🤣
@dallasmoon653
@dallasmoon653 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jordanjonas4921
@jordanjonas4921 4 жыл бұрын
Faridy Kiliani umenae kwer
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 4 жыл бұрын
Nahuu ni uleule upepo wa kisulisuli
@majdkhald5813
@majdkhald5813 4 жыл бұрын
🤣😁😁
@mtanzaniamzanzibara8019
@mtanzaniamzanzibara8019 4 жыл бұрын
Anaekubari kua kenya ni mashemeji zetu angonge like hapa, kesho nafata mrembo kenya na mm😂😂
@chibonitv7836
@chibonitv7836 4 жыл бұрын
Mtanzania Mzanzibara mwenzako amefuatwa subiri na wewe wakufuate
@mtanzaniamzanzibara8019
@mtanzaniamzanzibara8019 4 жыл бұрын
Watakuja tu upepo wa kisulisuli utawaleta😂
@lwitikoraphael2820
@lwitikoraphael2820 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 4 жыл бұрын
Hahahaha twakukaribisha sana254
@charitymghoi1199
@charitymghoi1199 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bonishani8570
@bonishani8570 4 жыл бұрын
kama unakubakii ni upepo wa kisulisuli ndo umemletaa mrembo huyuu like ... 😂😂😂😂
@hamdhusen1653
@hamdhusen1653 4 жыл бұрын
Upepo we kisulisuli
@samaalexmaleto2509
@samaalexmaleto2509 4 жыл бұрын
haaaah
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 4 жыл бұрын
Tena kisuli suli sula sula labda mjinga sana
@faridahmustafa3866
@faridahmustafa3866 4 жыл бұрын
😂😂😂
@rukiaswaleh970
@rukiaswaleh970 4 жыл бұрын
Haaaaaaaa
@officialjclever9879
@officialjclever9879 4 жыл бұрын
Mbosso me natafuta mke wa kuoa mpe nauli ashukie mwanza ntampokea 🙏🏻🙏🏻
@khalidmbwana114
@khalidmbwana114 4 жыл бұрын
Allah akuongoze.maana uko gizani dadangu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 жыл бұрын
Tena gizani kweli
@jeanneandfrancislifestyle1518
@jeanneandfrancislifestyle1518 4 жыл бұрын
Crazy girl jus🤣
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 makubwa jamani
@KladesKladseee
@KladesKladseee 4 жыл бұрын
gizani kweli daaaah
@barasaslaa5114
@barasaslaa5114 4 жыл бұрын
Hapana kaeleza ukweli bhana
@latifsalehadam71
@latifsalehadam71 4 жыл бұрын
Pole sana dada yangu . Nyumbani ni nyumbani . MUNGU AKULINDE urudi nyumbani . Waze wako wanaku hitajia sana kushinda uyo mbosso .
@Ephantus7teenchronicles
@Ephantus7teenchronicles 4 жыл бұрын
Kenyans get married to Tanzanias and vice versa. Izi mataifa Zina mahusiano ya kimapenzi tangu Enzi Za kinababu 😉😉 Ka unakubaliana nami nipe like 👇👇👇👇
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 4 жыл бұрын
Jamani me katika maisha yangu sijawai kufikiria kunywa sumu kwasababu ya mapenzi.
@hamedal-shruiqi2123
@hamedal-shruiqi2123 4 жыл бұрын
Mmmmm hatariiiiii mkenya mwenzangu pole
@philomenakitabu6182
@philomenakitabu6182 4 жыл бұрын
😂 😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 жыл бұрын
Hahaha
@honekisebwa226
@honekisebwa226 4 жыл бұрын
Hahahaaaa
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Kaacha kwnda shule uyo,angemaliza shule asinge shobokea upuzi huo
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
😂😂😂Kwakwel munapepo kawaingia kisurisuri kaamia Kenya
@shaniahrachma7767
@shaniahrachma7767 4 жыл бұрын
hawa waswahili wa mombasa wanaujinga sanaa washazoea starehe hawapendi kujituma kuolewa tu na kuzaa hovyo na kupewa talaka kwa mwezi hemu acha mapepe ww mtt mbosso sio size yko wataka mume ama umalaya pumbaffff...asiyefunzwa na mamaye......
@augustmj4573
@augustmj4573 4 жыл бұрын
ooohyooo wasafi wasafi wasafii nawakubalii knoma 😋😋😋
@kingafrojr6970
@kingafrojr6970 4 жыл бұрын
august mj Awa jamaa noma sanaaa yani 🔥🔥🔥🔥🔥
@makarangaadonias5156
@makarangaadonias5156 3 жыл бұрын
Dah noma na nusu
@kayadolf5817
@kayadolf5817 4 жыл бұрын
Acha ufala sister, mapenzi ya kibongo yatakutoa kamasi, vitu ground ni different
@josiahjohn5230
@josiahjohn5230 4 жыл бұрын
Huyo dada anajipotezea bule mda wake bola aludi kwao tuu atajuta sana kwann mabinti mna pepo wa baya rudi kwenu dada mboso hakufai
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 4 жыл бұрын
Wakenya mnashida gani na wanaume wa Tanzania??? Au sisi ni watamu????😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@jujulizzy283
@jujulizzy283 4 жыл бұрын
Tuna udambwi mwingi tukiwa faragha
@samlush6127
@samlush6127 4 жыл бұрын
Hahahah msenge we jamaa
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 4 жыл бұрын
@@jujulizzy283 😂😂😂😂😂😂 Udambwi udambwi
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Vivuruge nyie atakae wapenda nyinyi atakua tahira kama huyo binti dadeeeki soma iyo.
@stephanojohn5317
@stephanojohn5317 4 жыл бұрын
Duuuuh noma sana wanawake sijui mnaugonjwa wa kisulisuli wanaume wapo wengi wakini unamfuata mwanaume ambaye anamke wake inashangaza sana
@aishamawalla1839
@aishamawalla1839 4 жыл бұрын
Mzuri sanaaaa,ila unaweka mdomo vibaya mno
@elinahdaudi8195
@elinahdaudi8195 4 жыл бұрын
Mimi nafikiri ni kilema wa mdomo
@erickmpalanzi6021
@erickmpalanzi6021 4 жыл бұрын
Hahahhahhahhahahha aishaaaaa
@aishamawalla1839
@aishamawalla1839 4 жыл бұрын
@@elinahdaudi8195 mapozi shogaaaa
@aishamawalla1839
@aishamawalla1839 4 жыл бұрын
@@erickmpalanzi6021 mapozi yamezidi,ila dada duuu nimkali kinyama hapo hajapigwa sop sop na kidodoki umeona jamaaa anampa elfu 10 ya chips au ya vochaaaa?hata huku uswazi kwetu wa men zetu wanajikamua kidogo walau ule uinjoy life japo kidogo
@erickmpalanzi6021
@erickmpalanzi6021 4 жыл бұрын
@@aishamawalla1839 namimi ntaanza kuimba kwakwel
@sadickhamis9343
@sadickhamis9343 4 жыл бұрын
Ehh mungu Baba simamisha Dunia nishuke vichekesho kila kukicha Kenya hakuna wanaume nn Tanzania juu safi mboso unawakilisha vyema taifa letu Wanaume wa Tanzania wote kama mpo karibu na duka mwambie muuzaji akupe soda nakuja kuripa
@cristianamos8790
@cristianamos8790 4 жыл бұрын
She's so biutfull, but if mbosso doesn't take you home, I will do that.
@rukiamaliyo1898
@rukiamaliyo1898 3 жыл бұрын
Muogope Allah Munira Binti wa Kiislam, Kazi ya Kukupa Uhai na Kuutoa Uhai Si yako Unakufuru bana.
@emanuelatseari5826
@emanuelatseari5826 4 жыл бұрын
wakenya n mashemeji zetu tunawapendaaaaaa sanaaaaaa
@evaristifaustini5399
@evaristifaustini5399 4 жыл бұрын
Mamaeeee nakwambiaaa uspokaaa vizurii utatombwaAa mpaka urudi mombasaa mwenyewe hapo bongo sio pamchezo
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 4 жыл бұрын
Simpendi kibrother nampnd kimapenzi 🙆‍♂️niko tayar kunywa sumu😳 pole dada moyo wako umepend pasp sahihi..
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
😄😄😄😂😂😂😂
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 4 жыл бұрын
Katalizwa hakaaa ahaaaa 😂guys msichek ni janga hili 🤣🤣🤣🤣 unakuwaje tayar kunyw sum kw mty ambae unajua fika hawez kuw wako.... dada kachanganyikiw na baba wa 4 ako ready kulea wote muhim anampend wanawake siye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marrykisara3138
@marrykisara3138 4 жыл бұрын
Ahaaaa
@feimymusic990
@feimymusic990 4 жыл бұрын
Aseela Aseela weeee mwache mwenzio
@samirmoyo9303
@samirmoyo9303 4 жыл бұрын
Wasaaafi...Wasafiiiii.....aise sasa na mm nimechka kuwa shabk haki vile naanz kuimb najua🦁 atanpokea kwel kuwa usafin rahaaa uuwiii hautongoz ndio maan wasaf hatuoi ngooo kama na ww upo tayar kujiung Wasaf like hapa nikuplek
@bodeamaimbo4180
@bodeamaimbo4180 4 жыл бұрын
Upepo wa kisulisuli unaleta balaah sasa
@eddymenas
@eddymenas 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@arttz1453
@arttz1453 4 жыл бұрын
😂😂😁😁😆😆
@mohamedmbulu4293
@mohamedmbulu4293 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@neyjoseph813
@neyjoseph813 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@renafarmers1375
@renafarmers1375 4 жыл бұрын
Bodea Maimbo duh uyo ni taira
@petrokambo779
@petrokambo779 3 жыл бұрын
Angekuwa Hana hela ungempenda
@lailamohammed3213
@lailamohammed3213 4 жыл бұрын
Nmecheka kifalaaa kuna watoto wanamatatizo jaman si anatakiwa asome😥😥😥
@Djroja_mo
@Djroja_mo 4 жыл бұрын
Kwakweli😂😂😂
@juliasbeda2894
@juliasbeda2894 4 жыл бұрын
Hahahaha
@josephlyanga328
@josephlyanga328 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@isharaz4834
@isharaz4834 4 жыл бұрын
Daaah wallah atuabisha wakenya huyu..pumbavu
@lavabite7128
@lavabite7128 4 жыл бұрын
acha bhana mapenz yana nguv kushnda shule sema mwanangu mbosso kazngua kampa mtto elf kumi. by lava boy official insta
@aleky2336
@aleky2336 4 жыл бұрын
Dada ukiwa serious penda kitu moja,saii naona wampenda mbosso pia unapenda sumu,chagua moja,
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 жыл бұрын
Hahaha kitambi changu bamoleee!😁😁😁😁
@beatricekissia1013
@beatricekissia1013 4 жыл бұрын
Mbosso eshimu isia za uyu Dada
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Kweli kabisa wengi hawajui swala la hisia
@abdallakalawa7402
@abdallakalawa7402 4 жыл бұрын
kweli nishida ikiwezekana amuelewe mapenzi nikitu cha ajabu😍😍😍
@mariabahati1264
@mariabahati1264 4 жыл бұрын
Mwenye Ezi Mungu atakusitiri tu kuongea duas Mungu akuepushie hizo balaa shetani ashindwe maskini msichana wa watu....Ni kweli huo ni upepo wa kisuli suli ila Mungu atakuepushia namuhurumia saana huyu msichana mdogo maskini
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
Huyu kama ni mdogo wangu nakata hizo fito zake asitoke tena ndani, pumbavu🤣🤣🤣
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Hahahaha
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
@@salmaalimusa547 🤣🤣🤣🤣
@winniewillium8718
@winniewillium8718 4 жыл бұрын
Hahahahahahahaha
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
@@winniewillium8718 🤣🤣
@sweeteverline4592
@sweeteverline4592 4 жыл бұрын
Kbxaa
@reycwkizenga7445
@reycwkizenga7445 3 жыл бұрын
Mdogo wangu upo sawa aa
@emmaculatajohn399
@emmaculatajohn399 4 жыл бұрын
Naomba nimalizie mwaka Kwa Amani na furaha niliyonayo Amen. Nouma sana pole munira. Love ooo
@evahawazi9196
@evahawazi9196 4 жыл бұрын
Utaumwa ukimwi dada yangu usije ukajutiya maisha yako ya kesho wasani awaowaki
@anesikakwezi6490
@anesikakwezi6490 4 жыл бұрын
Mbosso chukua mtto huyo mtto yuko vizur kinomaa🔥🔥
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 3 жыл бұрын
Kanywe sumu mama,,,funza na adhabu ya Mungu inakusubiri.
@aminamauhfoda9201
@aminamauhfoda9201 4 жыл бұрын
Mzuri mashallah
@idrissahussein5366
@idrissahussein5366 4 жыл бұрын
Yes nimeipenda iyooo
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 4 жыл бұрын
Emotionally, Dooooooh!! Mbosso weweeeeee😀😀😀
@user-ws7bc8pv3f
@user-ws7bc8pv3f 4 жыл бұрын
Huna lolote bado jifuze gutuza nwele zako bona uko mcafu😏😏😏uyo mdomo vipi?🙄ebe gatafute wengine we arigupa 10000fr😂😂😂wengine wanapewa manyumba,magali,we napewe 10000fr😅😅😅mi naona kunywe sumu tuuu😆😆😆😆mana na babayika sana hata tick ?nilazima uweze sm?daaaah🤔🤔huna lolote kbs we nenda kalime mwambie mama yako ukoneshe shamba ulimeee🤗🤗🤗 unajua nimejishitua niko natapika kukuona pubafuuu😥😥😥
@arjunimayagila9500
@arjunimayagila9500 4 жыл бұрын
Baby kendy rudi shule kwanza usione kama hakupendi umetorokwenu umekuja home nisaidieni basi mnaoujua wimbo huu
@gplanet8279
@gplanet8279 4 жыл бұрын
John Steven hahahahahah
@khaithamrubea5109
@khaithamrubea5109 4 жыл бұрын
Jaman namm nampenda mondi nitatoka zenj nije nimfate uko madale niko tyr kulea watoto wake mtangazaji nifikishie salamu jaman
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 жыл бұрын
Wewee!!
@rashidaboud990
@rashidaboud990 4 жыл бұрын
Kweli hela matatizo mboso asingekuwa msanii angebaki single milele hata perfect match Kenya hachukuwi slay queen.. Hhh
@youngmiska5774
@youngmiska5774 4 жыл бұрын
Rashid Aboud 😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 жыл бұрын
Kabisa ajue kabisa sio kwamba yy ni mwanaume perfect kuliko wengne ila ni title yake na pesa ndo zinawachanganya😛😛😛ukiangalia lidada kama hilo limekubuhu kabisa inamaana limeacha mpenzi kenya😎😎yani tena WEWEE!!
@ernestmateo6967
@ernestmateo6967 4 жыл бұрын
Huu upepo balaa jamani
@samirahassan3212
@samirahassan3212 3 жыл бұрын
waislam waachieni makafiri waseme kunaupepo wakisulisuli maana nikukufuru upepo munguhakuumba upepo huo haya nimaneno yakikafiri acheni kukufuru waislam
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 4 жыл бұрын
Dàahh yaan dada nimzuri Hadi unakosea kutaja tiketi unasema tikiti duuuuhh , km naww umeisikia hiyo fanya km tunapungiana mikono hivi
@mariamosaideabudala3463
@mariamosaideabudala3463 4 жыл бұрын
Alex Mavindi yawezekana we ndio umekosea
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
Hahahahah
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Tikitimaji
@hassansapi2704
@hassansapi2704 4 жыл бұрын
We ndo umekosea kaka.. Ticket ni kingereza na Tikiti ndo tafsiri yake kwa kiswahili fasaha.
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
@@hassansapi2704 sema kiswahili cha Kenya, Tanzania tikiti ni melon, tikitimaji watermelon, Tanzania ni tiket
@escomsupplies3476
@escomsupplies3476 4 жыл бұрын
Ghai...maajabu haya dunia kapasukaaa acha nimtumikie Mungu siku zote mie
@mukusinsuleymani3243
@mukusinsuleymani3243 4 жыл бұрын
Tobaaa🙆🙆🙆 uku kuokota Embe kweny mchungwa madomo zege nafac Kama iz wanaztafuta polen🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dallasmoon653
@dallasmoon653 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 sijui hizi nafasi huwaga zinaenda wapi Kwa madomo zege. Ni kama ule msemo kwenye miti mingi hamna wajenzi
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 4 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mukusinsuleymani3243
@mukusinsuleymani3243 4 жыл бұрын
@@dallasmoon653 kwer eee
@ashazubere3837
@ashazubere3837 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@OmanOman-xe7gw
@OmanOman-xe7gw 4 жыл бұрын
Maskini dada uko mzuriiii nenda ukakamilishe shuleee i love you 😘😘😘
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Km unakubali kuwa uyu demu akili c nzuri "mawenge" like apa...
@rehemanassor6317
@rehemanassor6317 4 жыл бұрын
Abdul Mohd dishi linayumba chamsingi wapigieni Azam waje kurekebisha mitambo uwiiiiiiiiii uso mkavu eti wake wa 4 kwani kuoa wa 4 ni lazima kuoa wa 4 nisunah nasilazima jamani kwani alieomba upepo wakisulisuli aliita wanaume, wanawake misielewi miujiza hii
@rajabmartojr3302
@rajabmartojr3302 4 жыл бұрын
Ngoja nianze mziki
@janewanjiku8537
@janewanjiku8537 4 жыл бұрын
Crazy girl from Kenya
@abdulmchere6315
@abdulmchere6315 4 жыл бұрын
Ndo kapenda mwenzie wakenya vibamia
@ayshasalim6118
@ayshasalim6118 4 жыл бұрын
Hahahah
@abdulmchere6315
@abdulmchere6315 4 жыл бұрын
@@ayshasalim6118 mbn wafurah ivo😂😂
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 4 жыл бұрын
😂😊
@godfreysebastian2260
@godfreysebastian2260 4 жыл бұрын
ohooo my good Mboso nimajificha hapa njoo mami
@muhubiriproduction69
@muhubiriproduction69 4 жыл бұрын
huu upepo wa kisuli suli umekuwa aje tena?? badala ulete wanaume unaleta wadada, mambo kwa ground ni tofauti kabisa
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 3 жыл бұрын
Hata boso mtihani huo
@maryamally2787
@maryamally2787 4 жыл бұрын
ALLAH akufanyie wepesi dadaa kwani iblis kakuingilia paka huoni kama ni moto unajipalilia... angalia qisaa cha nabii yusuf (A.S) na mke wa mwajiri wake.... hapo ndo utajua nguvu za iblis... Allah akuongoze mkenya mwenzangu, mdogo wangu😢😢😢
@feisalbaruan7227
@feisalbaruan7227 4 жыл бұрын
Mbosso ulitumia dawa gan ili utupe na sisi mabaharia mana sio kwakuliliwa huko😆😆😆😆😆
@ukhtydydafromoman686
@ukhtydydafromoman686 4 жыл бұрын
Yaani nikweli Kabisa
@hawaduguda7321
@hawaduguda7321 4 жыл бұрын
Daaa mapenzi mapenzi shikamoo mapenzi mmmh
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 4 жыл бұрын
Amepatwa na upepo wa kisulisuli😃😃😃😃😃😃pole dada utatiwa alf uachwe upo.
@biashasuleimanabdalla481
@biashasuleimanabdalla481 3 жыл бұрын
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Mwenye Enzi mungu atustiri hizi dalili zakiama. Wala mwanangu usisubutu kunywa sumu mwenye Enzi mungu hampokei mwenye kujikatia umri. Wazazi wako ndio watakao kukosa mboss ata endelea na maisha yake zaidi naunavyo fikia.
@paschaljohntz4295
@paschaljohntz4295 4 жыл бұрын
Kama umeelewa hii kiki imesukwa na mbosso like hapa 😅
@suziehennessy9829
@suziehennessy9829 4 жыл бұрын
Kaschana kadogo sana,anahangaikia mapenzi,anahitaji kuelekezwa njia mwafaka maana hajui anachokifanya
@kuschprince3216
@kuschprince3216 2 жыл бұрын
"Huyu mdada anahitaji msaada: Akapimwe akili!! Mboso ndiye wa kula sumu akikukosa wewe,sio wewe ule sumu!! Mbona watudhalilisha hivyo??!! Huyo mboso hana uzuri wowote,ukimpata kabla haja weka make up,utadhani ni mchungaji wa mbuzi/kondoo huko mishomoroni!! Hana utajiri wa kubabaisha mtu wa kisiwani Mombasa alikupa tsh.10,000 ,what is that?? Hizo ni Ksh.500,ambazo ni lunch ya mtoto wangu aliye darasa la 4!! Unajitakia kifo ukimkosa, kufa tuje tukuzike,tule pilau na kahawa halafu tu ore!! Na nyie wazazi, mshuhulkieni huyu bint Yenu na mhakikishe anatopolewa/ ametolewa jini kahaba kwani hii si kawaida na kisha mumuonye kudakia/Kunyemelea mabwana za watu,hasa huko TZ,atalipuliwa aanze kutafuna makaratasi/nyasi barabarani!!!!!
@anselmoconstanciodalepa8788
@anselmoconstanciodalepa8788 2 жыл бұрын
Kweli
@mercymueni8376
@mercymueni8376 2 жыл бұрын
SI kweli ujui uchugu wa mapez bro , ujawai kupeda kweli dadagu ako sawa kabixaaaaaaa
@rojaamos4097
@rojaamos4097 2 жыл бұрын
Hatali mboss
@fatinaaman241
@fatinaaman241 4 жыл бұрын
Huyo kaletwa na upepo wa kisulisuli
@mukusinsuleymani3243
@mukusinsuleymani3243 4 жыл бұрын
😂😂😂Kwer eee
@davidmnyagwia5627
@davidmnyagwia5627 4 жыл бұрын
Daaaah huu upepo wa kisulisuli noma sanaaaa!!!
@paskoshija826
@paskoshija826 4 жыл бұрын
Fatina Aman
@pigapesa2366
@pigapesa2366 4 жыл бұрын
Mtoto mzuri harafu hajui kuringa Tanzania 🇹🇿 ya MH : Magufuli ni TZ mpya watajipendekeza wengi Mwaka huu na bado....!💘👏🏃🏃🙌
@davidchesco52
@davidchesco52 4 жыл бұрын
Piga Pesa eeeeh watahamia wote
@rajabudau7478
@rajabudau7478 4 жыл бұрын
Hajielewi huyu ...
@chirrakibona4962
@chirrakibona4962 4 жыл бұрын
Ira wana wake wa, kenya mnaupendo Sana💚🇹🇿💚🇹🇿
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 жыл бұрын
Balaa Zito ALLAH Atustiri In Shaa Allah
@keviewsononkundie2437
@keviewsononkundie2437 4 жыл бұрын
Woooiiiiii. sema Mapenzi kunogea. from +254 ,Wabongo nipe likes tafadhali
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Za nn? Kwanza mwambie hyu ndg yenu atulize ksimi harafu tutakupa like 👍
@malimabwanjiga3883
@malimabwanjiga3883 4 жыл бұрын
Upepo umemleta 😂🤣🤣
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 4 жыл бұрын
Malima Bwanjiga @@haaaaaaa
@tababdulla2877
@tababdulla2877 4 жыл бұрын
Hahaha kisuli suli
@hafidhchoi3186
@hafidhchoi3186 4 жыл бұрын
Kazi kwako mboso weraaaa fanya asinywe sumu weraaa mboso
@christinekirimi7066
@christinekirimi7066 4 жыл бұрын
This girl is young,beautiful and stupid in love.I think she just needs someone to help her see her worth.Go to school, work hard,and be something in life and the likes of justin bieber will come looking for you.
@issaadam867
@issaadam867 4 жыл бұрын
Christine Kirimi Word
@stevencharles304
@stevencharles304 4 жыл бұрын
Christine Kirimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😂🤣
@mashmash49
@mashmash49 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 Natafta huyu dem link ME
@djenabathiam9011
@djenabathiam9011 4 жыл бұрын
Christine Kirimi thanks for making me understand little side of her story I'm from🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳 I don't understand Swahili but I love Tanzanian music an celebrity gossip the sad part are the speak only Swahili they don't understand Tanzanian music is goin madly international
@christinekirimi7066
@christinekirimi7066 4 жыл бұрын
@@djenabathiam9011 You welcome. I'm not from Tanzania as well but I understand Swahili because it's out national language as well.
@hawaissa4705
@hawaissa4705 3 жыл бұрын
Yote ni mpenzi tu asikwambie mtu moyo ukienda ujue umeenda a naongea kwa hisia kutoka moyon jaman❤️
@dularwambo3243
@dularwambo3243 4 жыл бұрын
Jaman em tuoneshen basii ataa Chini shemeji kama ana Mshepu... asaa atokee ukoo hana ataa mshepu arud tuu kwakeli...🤕🤕
@mjemathedone9824
@mjemathedone9824 4 жыл бұрын
Jaman wasafiiii xaxa mnang'aaa mpka madem wantka kunywa sumu duuuuuh munila poleee
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 жыл бұрын
Njaa inasumbua mji mzito😍🤣🤣
@MrNdanguza
@MrNdanguza 4 жыл бұрын
Duh mahaba ya Mombasa shidah mtoto mzuri sanaaa mix mwarabu
@Dapeopletz7
@Dapeopletz7 4 жыл бұрын
Very jinga kabisa, hawa ndio wakupiga risasi
@veronicamartine6813
@veronicamartine6813 4 жыл бұрын
Dapeopletz
@batookgum2699
@batookgum2699 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@minnahussein5220
@minnahussein5220 4 жыл бұрын
uwa kabsa jinga sna toto ilo ana pepo
@khamichaji5332
@khamichaji5332 4 жыл бұрын
Mbosso Khan hatariiiiii konk fire
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 4 жыл бұрын
Dah mbosso mtoto hatakunywa sumu kisulisuli chafanya kaziyake hahahaha wanawake sisi sijui tunakwama wapi namapennzi pole yako dadangu 254
@snakeboy1225
@snakeboy1225 4 жыл бұрын
Ishu ndogo sana hiyo Kesho naanza kuimba
@fatmamohamed9420
@fatmamohamed9420 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 4 жыл бұрын
Eeeh io zaidi😂😂🔥🚨💯
@judithandrew6480
@judithandrew6480 4 жыл бұрын
Unajiaribu mbwembwe za mdomo unavyouweka
@liberatedpeople6054
@liberatedpeople6054 4 жыл бұрын
Daah si unijaribu mimi kwa dakika ☝ tuu uone kazi ya mabaharia
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 4 жыл бұрын
Wacha ujinga wewe msichana umependa nini rudi kwenu ukatafute mume mswahili unamwambia wewe unampenda atakuhanisi mpaka utoke roho mbichi
@fazzikikuyu2088
@fazzikikuyu2088 4 жыл бұрын
Aibu kwako msichana
@aminahema9714
@aminahema9714 4 жыл бұрын
@@fazzikikuyu2088 Aibu tupu mxhenzi kweli kuaibisha taifa2 wakat tuna aibu kibao nngemjua aliko huyu mjinga cjui n mombssa ipi hiii fala sana
@elizarlauzi8176
@elizarlauzi8176 4 жыл бұрын
@@aminahema9714 hahaaa eti anampenda mbosso kashenzi haka kaschana mbna .☹☹☹ acha atiwe mimba aachwe akatoke makamasi likoni....
@mesalimsalimgondasalimgond8491
@mesalimsalimgondasalimgond8491 4 жыл бұрын
Kabisa mjiga sana huyo daa hivi mmi nitakuwa na kasoro gni hata nimfate mwanamume niwambie nakupenda Sheeeeeeeni you munira ulikosa nni hasa kwa mungu 😭😭 hayawani mara 10000x10000
@aminahema9714
@aminahema9714 4 жыл бұрын
@@elizarlauzi8176 likoni ipi aache ujinga mm nipo likon naja kitandika haka
@vanny.jx.nakubalxnvannyboy1587
@vanny.jx.nakubalxnvannyboy1587 4 жыл бұрын
Mwenzio. Matha ametolewa kafara na ww jitie kiherehere akakutoe kfr
@kingafrojr6970
@kingafrojr6970 4 жыл бұрын
Jamani 🔥🔥🔥 mtoto mashallah naogopaaaaa😏😏😏😏
@margrethkimaro2009
@margrethkimaro2009 4 жыл бұрын
Namimi nakupenda jamani mboso duh mimi nitakuwa watatu. 😂😂😂😂😂🤣🤣
@ngirafreddy3229
@ngirafreddy3229 4 жыл бұрын
Sisi tumkufia tukachoka ila uyu amechizi bana😜😜😜😜😜😜 Pole Sana
@aminajuma2981
@aminajuma2981 4 жыл бұрын
Upepo wa kisuli suli ume mpenda mboss 🤣🤣🤣🤣
@fatmahymaulidy6264
@fatmahymaulidy6264 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@luizpaul6199
@luizpaul6199 4 жыл бұрын
Upuuuzi idleness ni mbaya sana.Nkkkt
@emmanuelmataba5997
@emmanuelmataba5997 4 жыл бұрын
Mbona hiki kidemu Kama vile dishi limeyumba!
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Akili zake kama Hamo rapa
@johnkyara2016
@johnkyara2016 4 жыл бұрын
Hii kali ya kumaliza mwaka
@julietamileck6663
@julietamileck6663 4 жыл бұрын
Ebitoke mwingine the end of year😁😁♥️🤔
@piliabraham2728
@piliabraham2728 4 жыл бұрын
Hahhahahhaaa
@KladesKladseee
@KladesKladseee 4 жыл бұрын
Daaaah huyu mrembo mungu akufungue macho jamni umepotea
@oxtinho159
@oxtinho159 4 жыл бұрын
Anataka Mushedede 😂😂
@madadamadada1402
@madadamadada1402 4 жыл бұрын
OXTINHO 15 hhhhhh
@mohamedhussein3089
@mohamedhussein3089 4 жыл бұрын
Hhhh mboso mwenywe Ana ishi maisha ya kiswazi
@bonniboniventure5621
@bonniboniventure5621 3 жыл бұрын
Alicho ongea gwajima kuhusu korona
@jrsaid4270
@jrsaid4270 3 жыл бұрын
Kibint kidogo Sana at kinajikuta kinaweza kupenda Rudi Kenya utapata mume wako
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 43 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН
Mbosso Shida
3:01
Parody Tv
Рет қаралды 24 М.
NANDY APATA KIGUGUMIZI KUJIBU ISHU YA KUACHANA NA BILLNASS
1:46
Millard Ayo
Рет қаралды 448 М.
LULU DIVA ALIVYOVAMIWA NYUMBANI KWAKE
6:03
Sheko TV Online
Рет қаралды 272 М.
MREMBO ALIYE CHEPUKA NA CLAM VEVO APIGWA MASWALI MAGUMU,MISTAKE
8:32
VIDEO: ALIKIBA Alivyokutana USO kwa USO na HAMISA MOBETTO
2:50
Rick Media
Рет қаралды 182 М.