No video

Njia Nne (4) Za Kupata Pesa Zaidi Kupitia Mauzo

  Рет қаралды 15,487

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 74
@jumahumphrey3656
@jumahumphrey3656 6 жыл бұрын
Kinachonivutia huna muda wa kupotrza dk5 mpk 8 ushamaliza mada safi sana
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
Hapo ndipo Nanauka Naitaji atupe elimu ya Jinsi ya kufupisha habari, daaa.. Dk 5 but full package
@amaniisaya2637
@amaniisaya2637 6 жыл бұрын
Kwa hakika kaka Joel,. katika vitu ambavyo mara nyingi wafanya biashara tunakosea ni kule ku communicate character more than benefits our products... asante sana
@neemaphilberth1057
@neemaphilberth1057 6 жыл бұрын
Umenigusa apo kwenye "specific sales goals " wengi huwa tunauza bidhaa bila kuwa na goals hii inapelekea mtu kushindwa kuona hela ya mauzo nakuiona biashara ngumu ,,,asante sana kaka Joel
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
hii mada nimeipenda saña IPO ndani ya ndoto zangu yani kila siku nitakuw naiangalia hii ili niwez3 kuongeza mauzo yangu katika biashara yangu asante mungu akupandishe juu zaid ili niendelee kujifunza kwako
@abbasssaid8719
@abbasssaid8719 6 жыл бұрын
Sir Joel yani laiti ungejua ni jinsi gani kila siku naposikiliza na kutizama video zako muelekeo wa kutimiza ndoto zangu unakua karibu sana asante nakuahidi ipo siku inshallah nitakutafuta nikupe ushuda amiin
@mwanaimanali7133
@mwanaimanali7133 6 жыл бұрын
thanx sana bro yani sijawah poteza mda toka nianze kukufatilia ,yan unani motivate san see you at the top
@rashidikimungu3607
@rashidikimungu3607 6 жыл бұрын
I always gain when I buy a small time to watch your videos
@ziy1067
@ziy1067 6 жыл бұрын
Dr.Joel your instruction really help me alot .thank
@patrickemmanuelemmanuel9354
@patrickemmanuelemmanuel9354 6 жыл бұрын
asante kaka tunapata elimu nzur nimeelewa zaidi sehemu ya mwisho nikweli wateja wengi hataka kujua uzur wa bidhaa zaidi wanachohitaji nifaida gani watipata mfano mm nauza bag wateja wengi huniuliza nikininua bag either la shule mtu anakuuliza litadumu kwa mdagani
@dickisonurassa2126
@dickisonurassa2126 6 жыл бұрын
Habari yako brother Lengo na nia yangu kubwa napenda kuuza nguo za kiume na na za kike lakn bado sina uwakika na soko lake na pia bado najishaur niuze za duka au mtumbaa ambao una soko na huuzika kwa haraka zaid
@danielmkahala8643
@danielmkahala8643 6 жыл бұрын
Ukiza kitu kimoja changamoto kubwa sana kaka.mfano mm nilianza kidogo lakini Wateja wanaulizia hata vitu sivijui najifunza toka kwao naweka na wananunu na pia eneo Lima mata sana
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 жыл бұрын
enterpreneurs weng wamekosa sana communication skills wit' their clients na strong attitude cuz attitude ndo inayo'determine habit, focus n relationship kwenye biashara.....asante sana Sir Joel, natamani niwe karibu zaid na ww bro Joel cuz kila siku you nourishe ma mind n take me to the next level hakika ww ni rafiki wa kweli.
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Kendrick Menson sure mr!
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 жыл бұрын
Lily Kessy appreciate sana
@eliasayasini1466
@eliasayasini1466 6 жыл бұрын
Mzee nmekufatilia sana ingawa sio mda sana ila Elim yako ni nzuri sana
@leoniaphilipo4351
@leoniaphilipo4351 6 жыл бұрын
Mimi najivunia kukusikiliza bcs kila siku natoka na kitu kikubwa sana, be blessed bro.
@kelvinnyanda3871
@kelvinnyanda3871 5 жыл бұрын
Safi sana nimejifunza vingi, ila wengi wao wanakosea hata product wanayouza, right product pia ni muhimu
@eliezermtokoma2057
@eliezermtokoma2057 6 жыл бұрын
Yaani Kaka Joel wewe unachangia kwa sehemu kubwa kwenye mafanikio yangu. MUNGU azidi kukuinua
@KingKala-ik8oh
@KingKala-ik8oh 6 ай бұрын
nimebarikiwa Kwa huu ujumbe god bless you brother
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 6 жыл бұрын
Amin Kaka Joel Arthur nanauka zote hizo ni muhimu kwangu napaswa nizingatie hili niweze kuongeza mauzo Yangu!!! god bless you
@godfreylawrent4373
@godfreylawrent4373 6 жыл бұрын
you feed my brain,big up brother
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 5 жыл бұрын
Noted!!!.Ahsante sana / somo zuri.
@odeniadam9435
@odeniadam9435 6 жыл бұрын
you feed my idea big up bro
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 6 жыл бұрын
Asante sana bro kwa somo zuri, nashukuru sna kwa kunifanya niweze kubadilisha mtazamo wangu mm nataka nianze na crarify your mission
@hafsacletty1519
@hafsacletty1519 6 жыл бұрын
Shukran M/mungu Akuzidishie imani
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Asant sana mwalimu Nanauka nimejifunza kwamba unaweza kuweka faida kidogo ukafanya mzunguko mkubwa na ukaleta faida zaidi
@MrMomoDesire
@MrMomoDesire 6 жыл бұрын
kaka napenda sana mafundisho yako,,Mimi n kijana nasoma chuo lakini napenda sana bishara najifunza mengi sana kupitia wew katika kuendeleza biashara ninazofanya ,natamani nipate mawasiliano ya moja kwa moja na ww kaka
@vincentmuli4283
@vincentmuli4283 5 жыл бұрын
Congratulation My Brother,its my the "best speeker are those who speek slow and who plan the uses of time". you are one among of them. Big up
@swimcoachabel1105
@swimcoachabel1105 5 жыл бұрын
Asante naona cha kufanya zaidi ni kujipa samani na kutambua nn target yako
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 6 жыл бұрын
Nitaanza na kuweka malengo nimejiekee Malengo ya kudumia WATEJA kazaa katika office yangu
@georgewilliam7319
@georgewilliam7319 6 жыл бұрын
barikiwa sana brother.
@rizikikweka5018
@rizikikweka5018 4 жыл бұрын
brother now Ur You Tube channel is part of my hobby
@peterkiyumbi7442
@peterkiyumbi7442 6 жыл бұрын
Thanks bro nanauka joel
@MrMomoDesire
@MrMomoDesire 6 жыл бұрын
Joel nanauka ,napenda sana mafundisho yako kaka
@cainewilliam5236
@cainewilliam5236 6 жыл бұрын
See you at the top. Niko Dom nahitaji vitabu vyako broh
@sangijamadukwa1486
@sangijamadukwa1486 6 жыл бұрын
Namba mbili mbn inaugumu kaka! Unaweza kusema kua leo nataka niuze kiasi flan lkn wateja wanakua wachache, utafanyaje
@awadhiwolker7226
@awadhiwolker7226 6 жыл бұрын
Daaaah thank alot broo sema ,ntakupa feedback soon kwa maana nko na mkakat wa kuanzisha biashara fulan nimepta mwanga kutoka kwako sasa nn nifnya ili nifkie malengo,m/mungu akubark
@adenelly3873
@adenelly3873 4 жыл бұрын
Nitaanza na hii ya ku clarify mission. Ni muhimu Sana
@maulidmasamaki2836
@maulidmasamaki2836 6 жыл бұрын
Kuelezea faida ya bidhaa naona ni jambo la muhimu sana la kuanza nalo
@cars0070
@cars0070 6 жыл бұрын
Brother hapo kwenye kukosolewa ndo hua kunanipa tabu ila now ntakua Makini na hao wakosoaji ili nifike mbele
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 6 жыл бұрын
Point ya kwanza..... watu wengi kweli, awajui ni watu wa haina gan ktk biashara yao......
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
michael kessy yes kaka
@abrahmannassor1383
@abrahmannassor1383 6 жыл бұрын
Asante sana kaka
@teamfocusfunny966
@teamfocusfunny966 6 жыл бұрын
uliyo yasema ni sahihi kabisa, maana baadhi nimewahi kutana nayo, asante Sana
@machachedvd7750
@machachedvd7750 4 жыл бұрын
Nakupongeza sana
@asyamaulidi7857
@asyamaulidi7857 6 жыл бұрын
Allah bless you my brother Joel
@annafesto3559
@annafesto3559 2 жыл бұрын
Shukran kwa somo nataka wateja wangu waniamn njia gani ntumiee?
@marthajeremiah
@marthajeremiah 5 жыл бұрын
asante bro
@alijuma675
@alijuma675 6 жыл бұрын
Nakukubali Sana bro
@hekimashola9079
@hekimashola9079 6 жыл бұрын
kila nikiangalia video zako napata kipya ipo siku nitakutafuta nikuone face to face barikiwa sana kaka
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Hekima Shola km mimi ninavyotamani
@emmanuelyusuph9057
@emmanuelyusuph9057 6 жыл бұрын
nashukuru sana kaka Joel
@idutathomasmaige2113
@idutathomasmaige2113 5 жыл бұрын
Hatua ya kuwaambia wateja wako faida ya bidhaaa nimeipenda zaidi ninaianza soon as possible
@happymbare2770
@happymbare2770 6 жыл бұрын
barikiwa Sana kaka nmjifunza Sana
@rashidkihombo6782
@rashidkihombo6782 4 жыл бұрын
Yote muhimu kwangu natakiwa kuzingatia sana
@barikipeter721
@barikipeter721 6 жыл бұрын
Thanks you kaka zote nahitaji nizifanye
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 5 жыл бұрын
Sasa baba mtu kwa mfano anauza ice cream sasa mtu anapata faida gn kw mfano au chakula faida utampa kuwa atashiba au nn? Naona muongozo
@geraldkidugalo7341
@geraldkidugalo7341 Жыл бұрын
My mental natamani kujua namna ya kutengeneza mtazamo chanya
@reonardhaule1255
@reonardhaule1255 5 жыл бұрын
Nataka kuanza biashara ya kuuza magazeti kwakilo kilo kwa jumla na rejareja rejareja
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
Noted Sir!
@basamtz8674
@basamtz8674 6 жыл бұрын
Asante kaka joel
@mamafadila7806
@mamafadila7806 6 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kutoka kwako asnte sana
@theprovitionofnature9188
@theprovitionofnature9188 6 жыл бұрын
Asante kaka
@sebastianmsuya25
@sebastianmsuya25 6 жыл бұрын
thanks kaka
@nolascomwinuka8080
@nolascomwinuka8080 5 жыл бұрын
Nashindwa kuongeza mauzo
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
Mi nahitaji kuzifatilia zote nione kama nitafanikiwa
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Asante coach!! mimi nafanya networkmarketing nayolenga watu 18+ walengwa ni watu wote je nina haja ya kulenga tena kundi lolote?
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
namna ya kuelezea faida ya bidhaa yangu pamoja na kuweka bei kulingana na aina ya kundi.
@ebenernnko3339
@ebenernnko3339 6 жыл бұрын
kweli umenibadisha lkn nina swali ntawezaje kukuona?
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Ebener Nnko tuko wengi🤔
@andrewkatte2656
@andrewkatte2656 6 жыл бұрын
0766094458 naomba tuwasiliane bro
@odeniadam9435
@odeniadam9435 6 жыл бұрын
you feed my idea big up bro
@odeniadam9435
@odeniadam9435 6 жыл бұрын
you feed my idea big up bro
Aina 6 Za Boss Wakorofi Na Jinsi Ya Kuwakabili
14:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,2 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
7:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 110 М.
Jinsi ya kukabiliana na aibu - Joel Nanauka
7:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
Siri Tano (5 ) Za Kuwa Mzungumzaji Mzuri
7:56
Joel Nanauka
Рет қаралды 96 М.
Dakika Sitini Za Mwanzo Kila Unapoamka
6:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 74 М.
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,8 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,2 МЛН