ALLAH atujalie tuwe wenye uwezo wakutoa zaka sote na awajalie wenye uwezo wa kipato Zaidi na Zaidi ili waendelee kutoa. 🤲🏿❣️📿
@AndulHida-hs5py10 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe
@MasoudMrisho-r4z10 ай бұрын
Allah atuongoze katika hili lnshaAllah
@pavillioncry524110 ай бұрын
We mwandishi hufai kuwa mtangazaji sauti inavutia sanna Kamanungekuwa mke wangu Nisingekuruhusu
@a.85610 ай бұрын
Jazakallah khayran
@saidieiddy138110 ай бұрын
Hii dini tamu sana❤
@jumahamad372315 күн бұрын
Jee wenye bishara za mahoteli Na wamechanganya na pombe jee katika biashara jee inafaa kutoa zaka
@saumujuma-qk7ql10 ай бұрын
Kwahyo hio zaka tunatoa kias gan katika Mali yangu?
@abdullahomar423610 ай бұрын
Muandishi umeudhi hujauliza maswali ya msingi niliyokuwa nataraji
@kalamuMedia10 ай бұрын
Yapi Abdullah tuulize in sha Allah
@Issa-ud6sy10 ай бұрын
Shekh,Nina biashara,Nina Lima mazao na ninamifugo,nitatoa kipi katika hizo?
@kalamuMedia10 ай бұрын
Kwa kesi yako hii Kila kimoja kitolee Zaka kama kimefika viwango Ngombe wako kama wamefika 40 basi Toa Zaka mbuzi mmoja (Ndani ya mwaka) Kama mazao yako yamefika Gunia 7 Kwa msimu basi toka Kilo 33 Kwa mwaka na Kwa kesi ya Biashara yako basi Toa kama unavyoelekezwa katika hii video yetu. Ahsante
@sadiqselengu419710 ай бұрын
Hii gunia saba mtu atoe kilo 33.. JE gunia hili la kilo ngapi?? Pili mfano mpunga kwa gunia la mpunga nikiwa nimekoboa au likiwa bado ni mpunga??? @@kalamuMedia